Тёмный
No video :(

DRONE VIDEO: MAGARI YAANZA KUPITA DARAJA JIPYA LA WAMI, TAA NA CAMERA KILA KONA "AJALI ZITAPUNGUA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 187 тыс.
50% 1

Huu ni muonekano wa Daraja jipya la kisasa WAMI ambalo linaunganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani pamoja na Mikoa ya Kaskazini na limeanza kutumika rasmi October 27, ambapo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa alikuwepo kushuhudia magari yakianza kupita kwa mara ya kwanza.
Daraja hili ambapo linakwenda kuwa tija kwa takriban miaka 120 ijay, utekelezaji wake wa mradi huu umefikia asilimia 96 kwa ujumla, asilimia 99 kwa maendeleo ya kazi za Daraja na asilimia 93 kwa maendeleo ya kazi za Barabara unganishi.
Akikagua Daraja hili lenye uretu wa Mita 513.5 na upana Mita 11. 8 pamoja na Barabara unganishi KM.3.8 ,Waziri Mbarawa amesema litafungua uchumi na maendeleo ya Wilaya ya Bagamoyo , Mkoa wa Pwani na Nchi kijumla.
Daraja hili linategemewa kupunguza kwa asilimia kubwa ajali za mara kwa mara zilizokuwa zinatokea kwenye daraja la zamani ambalo lilikuwa jembamba na lenye Barabara zenye miiinuko mikali.
Ujenzi wa Daraja hili jipya una lengo la kutatua changamoto zitokanazo na daraja la zamani ambalo kwa sasa halikidhi mahitaji ya magari yanayopita kwa kuwa lilijengwa miaka 63 iliyopita (mwaka 1959) .

Опубликовано:

 

27 окт 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 441   
@cidewashington670
@cidewashington670 Год назад
Pumzika kwa amani mtumishi wetu Magufuli,kazi uliifanya
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@batulimohamed6088
@batulimohamed6088 Год назад
Pumzika kwa amani magufuli .❤mungu alikupenda zaidi... Asante bb. Twapitwa kwa raha
@abedomar5183
@abedomar5183 Год назад
RIP John Magufuli daima tutakumbuka kwa kazi zako
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@clementiddi5708
@clementiddi5708 Год назад
Alianzisha njia na uthubutu alikuwa nao. Hapo ukipita lazima uwepo wake utasikika tu. That's legacy
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 Год назад
Heko kwa Mama Samia kulitoa Daraja kwenye chin ya 40% tu 96%
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 Год назад
Mwingi mama
@selemanikisalo5060
@selemanikisalo5060 Год назад
Hakika
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Год назад
Aisee Alhamdulillah mzee anakumbukwa kwa kazi nzur dah raha sana
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 Год назад
R.i.p jpm kwa maono ya inchi yako mungu akuleheem uko ulipo
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@lucasmalima2301
@lucasmalima2301 Год назад
Ndiyo maana ya kazi iendelee ila maji umeme mwendo kasi vina tuangusga
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 Год назад
R I P . Magu hakika uliipenda kazi yako ulijali Taifa lako uliwahurumia watawaliwa wako Mungu akupe Makazi Mema huko uliko
@marianablessed7135
@marianablessed7135 Год назад
Magufuli @JPM Hongera sana. Kazi zako zinazungumza.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@marianablessed7135
@marianablessed7135 Год назад
@@mimiraia2531 Absolutely. Nimemkumbuka sana.
@shukranichomolla4977
@shukranichomolla4977 Год назад
Pumzika kwa amani Baba yetu kazi zako bado zinaonekana
@gypsumexpertstz6188
@gypsumexpertstz6188 Год назад
kazi ya magu
@cosmecosta2631
@cosmecosta2631 Год назад
Basi apo watu watampongeza mama kwa iyo kazi. Magu pumzika kwa amani mzee wetu.
@nurumwenkale3387
@nurumwenkale3387 Год назад
Hakika watu hawata kuxahau mpka dunia ifikapo mwisho kwa hili
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 Год назад
Usiseme watu jiseme mwenyewe maana mlidai miradi haiwezi kuendelea leo nafsi zinawasuta
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 Год назад
R.I.P JPM🇹🇿
@issayasosolo6033
@issayasosolo6033 Год назад
Magu umeacha alama ya uhalisia wako, Ulithubutu wakasema fedha utapata wapi na bado wanaishi wanaona Yale uliyo kusudia na wao hawana.jipya, wanataka kujisifu wao ya kuwa ndiyo walileta majibu ya matatizo ya Wami, Maamuzi yako yamejibu shida za uhai wa jamii ya watanzania, Tunakuenzi tutawakataa wanafiki wanao kupinga kwa haya yenye ufanisi Ktk jamii yetu,
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@issaalfani1030
@issaalfani1030 Год назад
Magufuli alikua mtu mwenye mtazamo mpana R.I.P JPM
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@happykusaga4344
@happykusaga4344 Год назад
Kabisa Mungu ampunzishe pema
@stanleymartinkayuyuva6289
@stanleymartinkayuyuva6289 Год назад
Asante magu mungu akupumzishe salama
@ayoubomary9336
@ayoubomary9336 Год назад
Hii nchi atakae taka tumkubari lazima afate nyayo za king magu daima milele mzee john tutakukumbuka mwenyezi mungu akuondolee kila adhabu na kufanya kabri lake kuwa Yale yenye kumpendeza mungu Ameen namuitaga chuma mwamba
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
In our hearts forever 💐🌻🌼 **JPM** 🌼🌻💐
@deuslucas2256
@deuslucas2256 Год назад
Asante mag tutamukumbuka daima ,
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@edenilyimoedenilyimo2589
@edenilyimoedenilyimo2589 Год назад
Tutamkumbuka sana magufuli
@lawrancemwita9992
@lawrancemwita9992 Год назад
Pumzika kwa Amani mzee kazi yako na ndoto zako tunaziona
@munnahbakari725
@munnahbakari725 Год назад
Yani nilivoiona Ratco basi nkajihisi nami nipo ndan ya basi naenda zangu tanga🤣Allah alitie nuru kaburi lako kipenzi chetu Hayat Magufuli bado unaishi akilin mwetu hongera mama Samia kwa kuendeleza palipoishia🙏🥂❤
@mbunga-nicholaus
@mbunga-nicholaus Год назад
JPM was born for purposes like this.
@asiashaban5809
@asiashaban5809 Год назад
Duuh hadi raha kwa museleleko mungu akuondolee adhabu ya kabri nakwambia nchi🇹🇿 iko salama japo sio sana😭
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@pendokissatu937
@pendokissatu937 Год назад
JPM your Always In our Prayer HEROO
@ombenikasey7744
@ombenikasey7744 Год назад
Asant magufuli. Umetuachia Alama wa Tanzania tutakukumbuka Raima. R. I. P.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@kudramzee5769
@kudramzee5769 Год назад
Asante sana Ayo tv kwa kutuletea taarifa muhimu kwa wakati
@musason1680
@musason1680 Год назад
Kazi za kipenzi chetu magufuli
@naipendaafyayangu3826
@naipendaafyayangu3826 Год назад
R.I.P magufulii kazi yako ina onekana baba
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Naipenda afya yangu nakusapoti sana mungu amlaze pema peponi hayati magufuli kwa kweli angemaliza miaka 5 mingine aaaaaaa tungekuwa ulaya kabisa wanaomtukana lema tundu na mbowe mungu awalaani wanachokitafuta na kukitaka wasifanikiwe washindwe na walegee magaidi wakubwa sanaaaa siye hatutaki vita
@ru7benniesospeter776
@ru7benniesospeter776 Год назад
Magufuli nakuhusudu daima
@personpeter2221
@personpeter2221 Год назад
Magufuri fiction of Africa
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@aminasenkuni3844
@aminasenkuni3844 Год назад
Wee mwenyezmung mpe Nuru ktka nyumban take ya milele tunakukumbuka Sana kwa kazi zako zilizotukuka.
@deuslucas2256
@deuslucas2256 Год назад
Pumuzika Kwa Aman shujaa hakika tunakukumbuka Kwa mema kama ulivywo nena
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@giftchristianmeela1409
@giftchristianmeela1409 Год назад
Hongera Magufuli kwa kuanzisha, Hongera Samia kwa kumalizia, Hongereni Watanzania kwa kulipa Kodi
@rizikinasetsi4155
@rizikinasetsi4155 Год назад
Rip shujaa wa Tanzania ....Kazi zako zitakutangaza milele....
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 Год назад
Project za Akili za Hayati JPM na Engineer MFUGALE. Nawakumbuka sana hawa Viongozi Muhimu waliojenga Tanzania
@petercostakisoka
@petercostakisoka Год назад
Mungu akuweke mahali pazuri rais wetu magufuli
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@philipoloth8101
@philipoloth8101 Год назад
Nimemkumbk jpm
@goodluckyabsalom516
@goodluckyabsalom516 Год назад
Mungu amlaze maguli mahali pema peponi
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 Год назад
Magufuli oyeeeeeee mjuba kfnyakaz sana
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Hapa Kazi Tu,
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 Год назад
JPM forever ✊🏾
@waytvtz2549
@waytvtz2549 Год назад
Rip magufuli utakumbukwa kwa wema wako
@Chrisantus94
@Chrisantus94 Год назад
Rest in peace magu watu huku wakopa kila uchwao
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@mohamedamaan6264
@mohamedamaan6264 Год назад
ubinafsi tu ndio umekujaa.. watu wanendelea kufanya kazi ww endelea na chuki na ubinasi utafika mbali
@zainab8251
@zainab8251 Год назад
Pumzika kwa amani baba kazi ulifanya ALLAH akupunguzi Adhabu ya kabri
@younglapa9502
@younglapa9502 Год назад
R I P MAGUFULI 🥺 😢 💔
@nassororashidi33
@nassororashidi33 Год назад
R.I.P magufuli bado busisi mwanza,sgr ,airport dodoma, bwawa la nyerere, mji wa kiselikali dodoma, bomba la mafuta Uganda to tanga, ring road dodoma, mwendo kasi mbagala, na vingine vingi vingi alivyo viacha magufuli vikiwa tayari amesha vitolea pesa huyu wa sasa hana kazi aliyo ifanya yeye ni kusimamia tu na atasimamia hadi muda wake utaisha
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 Год назад
Hakika umeacha alama duniani Rip Jpm
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Год назад
Magufuli atakumbukwa Kwa kazi zake
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@mumwimalemo
@mumwimalemo Год назад
Nimekuwa nikipitia comment za watu nimegundua magufuli anaishi katika mioyo ya watu hivyo ni ngumu kusahaulika RIP JPM
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@TamuzaKale
@TamuzaKale Год назад
Ni kwa sababu kafa. Angekuwa hai wasingesema hivyo. Kafia madarakani. Ni kitu kigeni sana duniani. Magu alifungua daraja la KIGAMBONI (JK), MWENDOKASI (JK), DARAJA LA KILOMBERO (JK), TERMINAL 3 (JK) rundo la mabaraba yalifunuliwa kwa JPM lakini ni (JK). Ni vile tu awali hatukuzoea promo za miradi. Kutokana na kauli mbiu ya HAPA KAZI TU, kulikuwa na ulazima wa kuonyesha kila wanachofanya ili kuchochea maslahi ya kisiasa kwamba wanafaya kitu. Lakini mengi yalifanywa kimyakimya kabla ya hapo...
@prettynesspastory3111
@prettynesspastory3111 Год назад
Continue rest in peace my dear JPM 💜💜
@barakamanga5502
@barakamanga5502 Год назад
Duh angekuwepo baba ingekuwa shangwe kwelikweli, hongera mama kawa kuendeleza safari ya mzee
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
Wew umeongea point kidogo
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@revocatusmagezi2235
@revocatusmagezi2235 Год назад
lazima ufurahie kazi yako unataka watu watoke wapi kusherekea mafanikio yako. sema leo shamra shamra kidogo maana roho zinawasuta sio kazi yao, mbona demokrasia ilvyo nzuri kwa sasa wanajipongeza?
@ednershemgaa6167
@ednershemgaa6167 Год назад
Pumzika kwa Amani buriani Baba Magufuli. Rest in peace Daddy😭😭😭🙏🙏 haya yote ni matokeo ya kile ulichokianzisha wewe!!!
@personpeter2221
@personpeter2221 Год назад
MAGUFURI KAONDOKA LIKIWA ASLIMIA 55 KO HII YOTE NI KAZ YA MAGUFURI RIP DR JONH MAGUFURI 🙏🙏
@alhudhaify7810
@alhudhaify7810 Год назад
Acha uongo km hujui kitu Wacha kusema pumba
@blockchain1203
@blockchain1203 Год назад
Mmmmh..!Acha uwongo
@personpeter2221
@personpeter2221 Год назад
@@blockchain1203 ndiyo mm ni mwongo sasa nifahamishe ww mkweli
@geofbeka1669
@geofbeka1669 Год назад
Lilikuwa chini ya asilimia 45
@allysaid8231
@allysaid8231 Год назад
kazi nzuri sana hongeera serikali yetu
@heriethsingano8938
@heriethsingano8938 Год назад
Asante Magufuli kwamaono makubwa kutengenezea daraja hili daima tutakukumbuka RIP
@komboomar8275
@komboomar8275 Год назад
*Alhamdulillah nimeshkuru sanaa kwa hili jambo maana kwa mwezi mm napita mara 4 ama 5 hapo na kila cku nilikuwa nashuhudia ajali hapo*
@massive1765
@massive1765 Год назад
MAGUFULI FOR LIFE
@jumahassan273
@jumahassan273 Год назад
Magufuli oyeeee mungu akupe nafasi ya kuishi peponi amen
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Год назад
Tutakukumbuka San kwa kazi nzur kama hizi shuja wetu HAPA KAZI TU😭😭RIP
@salimmgangq6425
@salimmgangq6425 Год назад
Hongera sana magu huko uliko bado umetuachia kumbukumbu kubwa sana
@ambrosethomas5922
@ambrosethomas5922 Год назад
Magu punzika Kwa amani, utoa maisha Yako kuokoa watz.
@shafiishabani2976
@shafiishabani2976 Год назад
Kazi nzuri Shida itabaki kwa watumiaji!!
@devdmrema7859
@devdmrema7859 Год назад
Babu yangu amefia hapo wami Yan magufuli ashukuriwe na wa Tanzania wote
@herrysanga3486
@herrysanga3486 Год назад
Pole Sana, Mungu ameahidi kuwafufua wapedwa wetu, Yohana 5:28-29 ndg zetu wengi tutawaona tena
@lifeonearth94
@lifeonearth94 Год назад
Enzi za Magu hella zilitumika vizuri sana
@fadhilahassan2455
@fadhilahassan2455 Год назад
Tukiamua kufanya mambo ya msingi yenye tija tunaweza , tuamue sasa kila mahali kwenye changamoto patatulie kwa ukubwa wake kama hapo wami. Mungu ibariki Tz
@wakalimediatz
@wakalimediatz Год назад
R.I.P JPM
@bongo39
@bongo39 Год назад
Hongera mama kwa kuendelezea kazi zote ulizozikuta na kuanzisha zengine mpya
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Magufuli, #Magufuli, #Magufuli, #Magufuli, #Magufuli, #Magufuli, #Magufuli. #Hapa Kazi Tu, #Hapa Kazi Tu, #Hapa Kazi Tu, #Hapa Kazi Tu, #Hapa Kazi Tu,
@simonkyando7458
@simonkyando7458 Год назад
Hakika ni kazi nzuri kwa kweli,tatizo ni sisi watumiaji.Nimeona basi liki overtake lorry 🚛 katikati ya daraja wakati kuna alama inayokataza ku overtake kwenye daraja,hizo ni dalili mbaya za mwanzo,alama za barabarani zimewekwa kwa ajili ya usalama wetu na wala siyo MAPAMBO
@cosein
@cosein Год назад
Mungu amusaidie Magufuri siku ya ufufuo asimwache
@mosalim871
@mosalim871 Год назад
Mungu ibariki nchi yangu Tanzania ni hatua kubwa vilevile ni mchango mkubwa ulioanzishwa na marehemu raisi magufuli kwa kwel ni faraja kuona mradi umefanikishwa
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Год назад
Kazi ya magufuli hiyo msianze kusifia uongo
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 Год назад
Unafki unatokea pale kiongozi anapomaliza au kupita muta muda wake lakini pindi anapokuwa madarakani wapo ambao nyoyo zao hazipendi chochote kizuri kinachofanyika lakini akili zao zinatambua mazuri anayoyafanya. Tuache unafki huyu mama hawezi kuwa Kama Magu pia Magu hasingekuwa Kama huyu mama. Lazima tuelewe kikubwa miradi inaendelezwa
@rambostalon2888
@rambostalon2888 Год назад
R l P magufuli mungu akupunguzie adhabu huko uliko ulikua kipenzi cha wanyonge
@krizofrancisco5310
@krizofrancisco5310 Год назад
Asante Mungu, Asante Magu
@berthatz
@berthatz Год назад
Tunafurahi kuona kazi nzuri zinafanyika ❤️🇹🇿🙏🏾
@zuberiissamnenge9757
@zuberiissamnenge9757 Год назад
Asante Magufuli Asante Mama kwa kukamilisha kazi
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 Год назад
Safi sana maa Shaa Allah.. Cha msingi tupite Bure sio tuanze kulipia Tena kama kigamboni
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 Год назад
Ushuru kama tunavuka border
@longinemuhumba3804
@longinemuhumba3804 Год назад
R.I.P Magufuli
@hassanlamata2312
@hassanlamata2312 Год назад
Sitamsahau kamwe KING J.P.M TRUE SON OF AFRICA NILIKUWA NAPENDA KUMUITA KIBOKO YA MASHOGA WOTE WA MAGHARIBI KWA HAKIKA NITASIMULIA WATOTO WANGU KUHUSU HABARI ZAKE
@danielamosi2970
@danielamosi2970 Год назад
Asntee sana mwanachato tunajua umelala tunaendelea kuenzi mema yko R.I.P magufuli
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Год назад
Mungu akupe pepo la daraja ulipendalo alama kumbwa umeiacha Tanzania na kwa Africa zima baba
@ramadhanishabani1738
@ramadhanishabani1738 Год назад
Kazi ya magufuri hiyo...huyu mwingine kila kukicha yuko kwenye ndege na safari
@wekezauchumi7440
@wekezauchumi7440 Год назад
Magufuri kaliacha wapi hilo daraja..acha usenge
@salimusalim3610
@salimusalim3610 Год назад
Lakini kaendeleza kazi aliyoachiwa sio wewe ukiachiwa urithi unaisha unalalamika umerogwa na ukichaa juu
@kevoooochagga392
@kevoooochagga392 Год назад
duuuh kumbe watu hamjui kandarasi maana yake nn halafu unajikuta lofa unatykana
@personpeter2221
@personpeter2221 Год назад
@@wekezauchumi7440 lilikuwa aslimia 55 tena lime limechelewa kulingana na ilivyokuwa imepanga
@alhudhaify7810
@alhudhaify7810 Год назад
@@wekezauchumi7440 muulize na ajibu kwa hoja, Magufuli amekufa me nilipita ata nguzo hazijamaliza kusimamishwa
@gangmore9091
@gangmore9091 Год назад
Hongera Tanganyika kwa maendeleo
@jumahili8121
@jumahili8121 Год назад
Asante Mama Samia kwa kumalizia kazi
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Год назад
Uthubutu wa Magu jamani! R.I.P JOHN MAGUFULI!
@sadasaid4408
@sadasaid4408 Год назад
Mashallah kazi nzuri Alhamdulilah tunawashukuru wa husika wote
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@robertmgore3653
@robertmgore3653 Год назад
Mwamba imara Jpm
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@augustinomichael228
@augustinomichael228 Год назад
Rest in peace JPM
@swah555suhayl8
@swah555suhayl8 Год назад
MashaAllah tabaarakallah Al hamdulillah
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 Год назад
RIP JPM
@cypriankikoti9160
@cypriankikoti9160 Год назад
R I P be Magu
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@veronicalaiser8394
@veronicalaiser8394 Год назад
Hadi machozi ya furaha jamani. Sasa ndugu zangu madereva kuweni makini.
@jsjs6748
@jsjs6748 Год назад
Tunakukumbuka kwa kazi zako baba Allah akuhifadhi panapo stahili
@geofreybenson9634
@geofreybenson9634 Год назад
Rip magu
@ankotemba7369
@ankotemba7369 Год назад
#Magufuli Tx 255
@Movic5806
@Movic5806 Год назад
JPM
@mohamedyhassani731
@mohamedyhassani731 Год назад
Tutakukumbuka daima comrade JPM 🇹🇿
@jumamohamedi5437
@jumamohamedi5437 Год назад
Rest in peace our Dad JPM MAGUFULI
@mikemnyamwezi7856
@mikemnyamwezi7856 Год назад
R.i.p Jembe
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
#Magufuli, #Hapa Kazi Tu,
@sun7282
@sun7282 Год назад
Pongezi ma samia suluhu Hasan kwa kazi nzur
@morandraymond3169
@morandraymond3169 Год назад
Mungu ametupa kioo kabla kujitamaza vizuri kakivunja tutakukumbuka daima hello power
@gabrieldaimon1345
@gabrieldaimon1345 Год назад
Tupate WAP MTU km yule, nabii. RIP JPM. MTU mwenye maono na macho. Hela yako haikuchezewa na kila aliechezewa alikiona. Lile neno mtanikumbuka uliliongea toka kwenye kilindi cha moyo wako hakika limekuwa kweli tunakukumbuka.
@Mzalendo-
@Mzalendo- Год назад
MAMA SAMIA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEE🔥🔥🔥🔥HONGERA SANA MAMA KAZI IENDELEEEEEEEE
@patrickmarwa5024
@patrickmarwa5024 Год назад
Ongera rais mama samia kwa kazi kubwa ya kumalizia hili daraja samia 2025 hadi 2035 mama samia juu tupo nawe watanzania.
@bilalihalfani1203
@bilalihalfani1203 Год назад
Tutaendelea kukumbuka daima magufuli bab pumzika kwa amani
@samkimweri5893
@samkimweri5893 Год назад
RIP jpm
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Год назад
Waweke na camera maana madreva wengi nchini hawajui matumizi na sheria za barabarani hasa kwenye madaraja.
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Год назад
Camera Zipo kwenye taa angalia dkk 0:48
@sarahpallangyo4076
@sarahpallangyo4076 Год назад
Kazi ya Baba yetu Magufuli Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi 😭😭😭😭😭
Далее
Мухочирон эхтиёт бошед!
01:31
Просмотров 117 тыс.
NDUGU WALIO OANA, JELA MIAKA 50, WAKILI AFUNGUKA
5:31
Просмотров 1,4 тыс.