Тёмный

DUDUBAYA AFICHUA SIRI NZITO MACHAWA WANAPITIA MENGI MWIJAKU NA BABA LEVO SIWAKUBALI 

BINTI KIGOMA TV
Подписаться 122 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

1 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@sijaonalujinama
@sijaonalujinama 4 месяца назад
Dudu baya, unafaa kuwa mchambuzi wa mziki kwenye Tv na Radio kubwa.
@user-nb6yh2bn9y
@user-nb6yh2bn9y 4 месяца назад
Mimwenyewe kigoma moja ntaimaliza nyota DuDu akambilia Kwa YESU gafra 😂😂😂👍👍👍👍🥰🥰😍
@mrplanthewinner1730
@mrplanthewinner1730 3 месяца назад
Huyu jamaa hua anaongea vzr sanaaa
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 4 месяца назад
Hahaha Binti Kigoma unanifurahisha sana...hauna mbwembwe za uzungu!!! Yemuga umetisha sana
@kennedymmbando
@kennedymmbando 4 месяца назад
Hapo kwenye ugomvi na Serikali Dudu B kakana kabisa 😂😂😂 Serikali huwa haina ugomvi na mtu mpaka uukaribishe mwenyewe 😂😂😂 Dudu B mjanja sana .Serikali inapenda watu wenye akili na wasiojipendekeza mfano kujifanya unajuwa sana viongozi .Watu wa karibu na Serikali huwa hawaeleweki heleweki na ni watunza siri na heshima
@NibarutaCelestine
@NibarutaCelestine 4 месяца назад
Huyu jama muna muchosha sana anaongea sana kwawuchungu afu ukweli mutupu mungu akurinde the dudu
@philipongenzatv
@philipongenzatv 4 месяца назад
Unamwaga madini kama vile una Phd
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 4 месяца назад
Dudu baya mimi sio mshabiki wako. Ila una iq moja kubwa. Hustahili kuhojiwa na huyu dada. Hawezi kumatch your iq. Hana maswali ya kukuuliza. Na hayo ya kipuuzi anayouliza hakupi muda ujibu. Yani hafai kabisa kua muandishi.
@philipongenzatv
@philipongenzatv 4 месяца назад
Mwache Tiririka kaka Dudu Bata unatufurahisha
@stevenmeshack467
@stevenmeshack467 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
@user-mv7km8lt5j
@user-mv7km8lt5j 4 месяца назад
❤❤❤
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 месяца назад
Dudu baya akil kubwa hata mtangazaj hakuwez
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul 4 месяца назад
Simba atapokeaje simu wakati anapenda kurecord call za watu kwan mnafikiri simba n Fala anamjua vizur dogo
@jumahalifa6436
@jumahalifa6436 4 месяца назад
HUYU DADA HAONI POST ZETU HAJUI KUHOJI KABLA MTU HAJAMALIZA ANAULIZA ALAFU MASWALI YAKIJINGA KABISA
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 4 месяца назад
INTVW NZIMA ANAFUTA JASHO TU
@sijaonalujinama
@sijaonalujinama 4 месяца назад
Dudu baya, unafaa kuwa mchambuzi wa mziki kwenye Tv na Radio kubwa.
Далее
best way out of the labyrinth🌀🗝️🔝
00:17
Просмотров 1,4 млн
Разоблачение ушные свечи
00:28
Просмотров 736 тыс.