Hii kesi Mimi ndo nilimwokoa Msami alikuwa afungwe kabisa ,nilikuwa bartender na nilishudia tukio mwanzo mpaka mshikaji anakufa Mimi ndo niliyekuwa wa kwanza kujua na kuwataarifu watu wote
Nimegundua sisi watanzania tunapenda sana kuhukumu na hatukamilishi story yaani unasikiliza upande mmoja alaf unatoa hukumu, Mungu atupe akili tuyajue maarifa
KWAKWELI NI AIBU, JAMAA ANAFANYA MEDIA TOUR KABISA, ILI TU KUMHARIBIA MWANAUME MWENZAKO.. AIBU. UNAONEKANA KABISA UNA CHUKI ZA HALI YA JUU, NDO UENDE VITUO VYOTE VYA HABARI TANZANIA.. MWANAUME 🥴🥴🥴🥴🥴🥴