Тёмный

DUH! BAKHRESA BALAA | ANGALIA ALICHOKIFANYA KATIKA HOTELI ZANZIBAR 

KTV TZ ONLINE
Подписаться 376 тыс.
Просмотров 64 тыс.
50% 1

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Habari #KtvTzOnline
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Juma Maulid
CC: Saadam Seif Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 168   
@stonetown578
@stonetown578 4 года назад
Masha'Allah hongereni sana kwa kuwa na mawazo hayo ya kuwafikiria watoto.
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 года назад
Maisha ni kuishi responsibly, uwezo na mchango wa Bakhresa haulipiki kwa Tanzania. Mungu tayari ameshambariki hatuna budi kumpongeza na kumshukuru kwa mchango wake kwa familia zetu, wageni na muhimu zaidi kwa Tanzania kwa ujumla. Mungu mbariki Bakhresa amin.
@zainabali2041
@zainabali2041 4 года назад
Hongera bakhresa Masha Allah, Allah akubarikie... Shukran ktv tz online hakika hii ni fahari yetu 👏 👏 santen
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 4 года назад
Mashaallah very nice. Lakini mumeweka utaratibu mzuri na wasimamizi wa kutosha wenye elimu tosha ya first aid na emergency yoyote? Usalama wa watoto ndio bora zaidi. Sio watoto wanajazana ktk sehemu moja halafu wanaumizana au wanaanguka ktk maji hakuna life guard. Lazima wawepo na first aiders just incase of anything. Ni sehemu nzuri sana watoto wata enjoy na wazazi pia wanajua wapi pa kuwapeleka watoto wafurahi. I cant wait to come home with my kids so they will enjoy water park in verde
@bimmassoud6993
@bimmassoud6993 4 года назад
Watoto hawajazani kwa sababu kiingilio ni elf 20000
@bimmassoud6993
@bimmassoud6993 4 года назад
Tena 20000 kwa kichwa kimoja
@adammakoye4198
@adammakoye4198 4 года назад
Mwambieni Bakhresa akajenge tena Dodoma makao makuu
@rozanyansambo8856
@rozanyansambo8856 2 года назад
Bei ya usiku mmoja hotel ya Verde ni sh ngapi Kwa bei kubwa na ya chini?
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 4 года назад
Iazima iwepo pia security camera for all location kwasababu huwezi jua kitugani kinaweza kutoke imedietly
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 4 года назад
Shukran Ktv tz online hakika hii ni fahari yetu
@ahmedbaga26
@ahmedbaga26 4 года назад
Masha Allah safi weka na masjid karibu hapa tukileta watoto pawepo na sehemu ya kusalia
@hanifbahajaj9039
@hanifbahajaj9039 4 года назад
Msikiti wa mfalme upo , msikiti aloacha sultan ,
@aliomar255
@aliomar255 4 года назад
Mashaallah Zanzibar inavutia I love Zanzibar
@khamissalum6351
@khamissalum6351 4 года назад
Wazanzibari kwa kuzaa mashallah...sasa mtu anawatoto sita au watano kwa bei hio ya tsh 20,000 nimtihani
@nahime9907
@nahime9907 4 года назад
Hongera...hukutuelezea wana lunch hapo au buffet...Aunty breakfast include au excluded...fafanua zaidi..from kenya mombasa.
@swafiamohammed1708
@swafiamohammed1708 4 года назад
MashaAllah! Mumewe mazuri sana kufurahisha wtt nanyie mutafurahika Inshallah
@kari_ahmad06
@kari_ahmad06 4 года назад
Good aides coming welcome to Zanzibar
@yussufdjroo1446
@yussufdjroo1446 4 года назад
Mashllah Umependeza Je
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 4 года назад
MashaAllah tabarakaAllah
@bilalabdullah2414
@bilalabdullah2414 4 года назад
Lazy River sio lazy Liver... watanzania bwana wanashindwa kutofautisha kati ya "r" na "l"
@ramaally9873
@ramaally9873 4 года назад
Niwatanganyika wa la sio watanzania kwa ujumla
@maryamukhaji8909
@maryamukhaji8909 4 года назад
Shukran kwa uwezo wa allah km tutukuwa na kingilio tutakuj
@asayubeejr1199
@asayubeejr1199 4 года назад
Aaaaaaaa elfu ishirini unasema tu bro nyingi sana hizo kwa jamiiiii yetu haina haja ya kuja nishaona hapa kwa mb kidgo tuh si kwa pesa zote
@rastafaricudo1134
@rastafaricudo1134 4 года назад
hapo splashers na lazy river lazima wakuwepo life guard on position for safety
@majidkhamis6943
@majidkhamis6943 4 года назад
Kila tukiletewa mambo kama haya ndo tunazidi kumsahau allah MM nahisi Mzee kama kunajambo muhimu sana lakufanya ili kuwasaidia watu na kutaka radhi za allah ungali fanya kuliko hizi ghururi za kidunia huo ni ushauri tu
@yusufismail3116
@yusufismail3116 4 года назад
Unavyojuwa wewe muislam hapaswi kuburudika, kuna shida hapo kwenye elimu.
@IbrahimMohamed-fk5cc
@IbrahimMohamed-fk5cc 4 года назад
Jitu lisilo kuwa na Shukhuran utalijuwa 2 yaani rohoo imemuuma we unataka watoto wakacheze wapi wacha rohoo kama yule anaezuia ndege za ATC
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 года назад
@@IbrahimMohamed-fk5cc na hio dislike moja sijui km siyake heheehe ukosefu wa shukran ni mtihani
@aliy3303
@aliy3303 4 года назад
@@IbrahimMohamed-fk5cc tumfikishie Kwa hekma ataelewa Broo.
@famitoissanawanda6295
@famitoissanawanda6295 4 года назад
Acha roho mbaya fala wewe wivu tu!!!! Nyoooo
@samsungj7pro64gb5
@samsungj7pro64gb5 3 года назад
MashaAllah
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 года назад
Mashaallah znz yetu ishakuwa ulaya
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 4 года назад
hhhh si ulaya ni Dubai
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 года назад
@@masoudmasoud8138 bc haya 😄😄😄ndio maendeleo na ukandamizaji kiuchumi kila siku zikienda mbele nchi inazidi kufa
@nureyna629
@nureyna629 4 года назад
Coming there soon Inshaa-Allah, can't wait......
@saharasheekh5073
@saharasheekh5073 2 года назад
Mashallah 👌👏👍💃❤💯❣💖😘🥰
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 4 года назад
Mashaallah mashaallah mashaallah
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 года назад
Lkn ttzo bei kubwa kutokana na uchumi wetu angalau wangeeka elfu 10
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 4 года назад
@@masoudyrashidy9041 unajua anayo ifanya zenji ivutie ni Bakharesa
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 года назад
Dah sorry si imefutika bad luck
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 года назад
Nitafute tena in sha Allah
@mohdsalum3832
@mohdsalum3832 4 года назад
Safi
@ruthjmkombozi5990
@ruthjmkombozi5990 4 года назад
Kwa jinsi hii water park ilivyo nzuri naona bei ziko poa tu, i wish ingekua uku bara, zanz mbali yahee
@rashidbusanya7166
@rashidbusanya7166 4 года назад
Mimi yangu ni macho ila hiyo bakharesa amuogope pia Allah bora ajenge uislaam kwa nguvu zake zaid kuliko mambo ya mapumbao kama hayo ama atusaidie watu maskini kama mimi niliye kosa hata laki 1 ya mtaji wa biashara
@lutfyamlenge4220
@lutfyamlenge4220 4 года назад
Rashid Busanya hahah shda kumbee ndio maana kumbe huna pesa
@hussainomar1849
@hussainomar1849 4 года назад
Mimi nadhani hata Hilo Ni zuri kwa watoto wetu
@suleimanally9399
@suleimanally9399 4 года назад
Hakuna tatizo kwenye haya na mara nyingi anachofanya ni kusaidia jamii kufurahi hakujakatwazwa pia huduma zote kama maeneo yavkuswalia yanapatikana ni mtu mwenyewe binafsi
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 года назад
Rashid busanya umenisababisha nicheke kwa sauti peke yngu km taira apa
@ismaillalmohammed4001
@ismaillalmohammed4001 4 года назад
Haina haja kumcheka kama vipi tumchangie apate mtaji,lakini kumcheka sio solution.
@inner-works3586
@inner-works3586 2 года назад
good
@hussenkhamis3615
@hussenkhamis3615 4 года назад
Pamoja sana I'm a train driver like hapa km uliwah kupanda train yangu Verde
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 4 года назад
Safi sana lkn bei sio rafiki kwa sie wanyonge vitoto vyetu vitabaki kuchungulia tu kwa nje kma watapata hta hiyo fursa ya kuchungulia maana 20 elfu uwe mwanaume kweli hapo kma unavitoto 4 hapo 80 inakuhusu
@tphj2913
@tphj2913 4 года назад
mohammed abdallah 😂😂😂asnt
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 года назад
Mohammed Abdul umenifurahish na ayo maneno yko ila umeongea ukweli mtupu
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 4 года назад
@@mwakahassan8742 wallah ndgu yngu viko vitu vifanyika nchini lkn walengwa wanajulikana we mtu una toto 6 au 5 utawatia humo na kipato chenyewe chakuungaunga hapo polo la mchele linakungoja thubutuuuuuu ndo nliposema watoto wetu sie wengine wataishia kusikia tu
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 4 года назад
@@mwakahassan8742 mfano mdogo hapo kariakoo tu si pesa nyingi lkn ndo unaona watoto wanavochungulia nje pale
@nadirmahfoudh1812
@nadirmahfoudh1812 4 года назад
Masha'allaaaah!!
@mohamedel-mindhir7990
@mohamedel-mindhir7990 4 года назад
Good wacha wazanzibar nasi tusongeshe maisha mbele kiujanja
@samsungoman5626
@samsungoman5626 4 года назад
Maashalla
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 года назад
Mashaallah Allah
@dulabori9922
@dulabori9922 4 года назад
Bado kiwango ni kikubwa Sana ukilinganisha na pato la mtu kwa Sasa mtu mmoja Ana watoto sita imagine mwenyewe
@2nukhamis447
@2nukhamis447 4 года назад
Mashallah
@harithwhite589
@harithwhite589 4 года назад
Elfu 20 pembea peke yake basi hata chipsi kidogo au soda hamna
@theroots2743
@theroots2743 4 года назад
Huyo ndie mfanya biashara sio wengine kutuletea mamba na kuwaachia waingie mwituni ili wawauwe wazanzibar
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 4 года назад
Wekeni reasonable price kwa kuanzia. Bei iko juu kwa wenye uwezo mdogo na watoto zaidi ya wawili. Ekeni angalau mwenye watoto 3 basi atalipa elfu 20 kwa mtoto mmoja na elfu 10 kwa watakaofuata ili aweze ku afford.
@kassimomar7589
@kassimomar7589 4 года назад
Raha wallah ila bei juu
@kelvinwallz8969
@kelvinwallz8969 4 года назад
zenj home ni balaa..
@ahmeidyoung2410
@ahmeidyoung2410 4 года назад
Nice
@jokhasuwed5282
@jokhasuwed5282 4 года назад
Punguzeni bei ukiwa na mtt 1 sasa ukiwa na wtt zaid ya watatu jee punguzeni na sie tu enjoy na wanetu
@111dudi
@111dudi 4 года назад
Wazanzibari ni watu magumu sana.hawaridhiki kwa lolote. Lazima watalitoa kasoro. Huyu aliyeandika "BALAA" anajua maana yake au kajiandikia tuu.akajifunze kiswahili kabla hajakurupuka kuandika
@zaynahassan2036
@zaynahassan2036 4 года назад
YAHYA AL SAQRY nikweli kabisa akiwezaka andike hongera baada ya balaa
@111dudi
@111dudi 4 года назад
@@zaynahassan2036 kiswahili kinavurugwa na waandishi wa magazeti na watangazaji
@fadhilaramadan5143
@fadhilaramadan5143 4 года назад
Mmi naomba kazi. mkuu
@jumailyass9308
@jumailyass9308 4 года назад
Leo umependeza zaidi ndugu mtangazaji
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 года назад
Mtangaji. Jitahidi sana muoneko wako uwe vyengine. Allah atustiri. Amin .
@alawyyussuf2598
@alawyyussuf2598 4 года назад
Unataka muonekano wake uwe vipi ? Avae uchi au? Hayo alovaa mtangazaji ndio vazi la mtoto wa kizanzibari. Kaangalie wasafi TV ya Diamond utapata wanaokaa uchi
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 года назад
@@alawyyussuf2598 Sikutaja vazi hapa. Nimezungumza figer of speach. Ili muhusika atumie akili aweze kujua madhumuni hasa.
@niaanthony9588
@niaanthony9588 4 года назад
Wazazibar tujuane hii Hotel iko maeneo gani?? Pls nipeni location
@munawwarabeid8634
@munawwarabeid8634 4 года назад
Ilokua mtoni marine holet
@niaanthony9588
@niaanthony9588 4 года назад
@@munawwarabeid8634 ahaaa OK shukran
@husnahhhahahausys7810
@husnahhhahahausys7810 4 года назад
Fumba
@khamisjkrushdiy3193
@khamisjkrushdiy3193 4 года назад
ipo mtoni mwanzo ilikuwa inaitwa mtoni marine kabla ya kunuliwa na bakhresa
@hassanomarhassan4734
@hassanomarhassan4734 4 года назад
Ipo mtoni marine
@majidkhamis6943
@majidkhamis6943 4 года назад
Na haswa tunaowahofia ni ndugu zetu na watoto wetu wakiinukia kuona ghururi hapo itakua hakuna kusoma kur an tena wala hawatoathirika tena na allah kwahio ww itakua umebeba dhimma Mzee
@yusufismail3116
@yusufismail3116 4 года назад
Si kweli, labda kiingilio kingekuwa 500/= nasi ishirini ,thubutu hakuna mtoto atakayeshinda huko kila siku.
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 года назад
Huku kwa wenzetu izo ghururi kibao lkn quran msatari wa mbele kuliko ata uko nyumbani kusiko ghururi na io bei hapo unadhani mtu atapeleka wtt kila siku?km si mwaka mara moja hehehe umewaza hilo maisha yenyewe mazito si jambo la kila siku ilo mtu km kadhibiti familia yake ktk kusoma basi watasoma tu unless walezi wenyewe wawe wazembe.
@fatmaggg947
@fatmaggg947 4 года назад
Kwa hoyo ukija na watoto pia kila mtoto pia unamlipia 20 yake na ww mzazi pia 20 au sjaelewa vizuri
@mohdsalum3832
@mohdsalum3832 4 года назад
Bei kubwa angalu elfu 10 kutokana na uchumi wetu
@hamzakombo2347
@hamzakombo2347 4 года назад
Elfu 10 mtajazana hahahaha
@al-bsaidykhalef6897
@al-bsaidykhalef6897 4 года назад
Kweli kabisa elfu kumi sio kubwa
@adammakoye4198
@adammakoye4198 4 года назад
Hta mboga huwa zinaliwa kutokana na uchumi wa mtu. Pia vitafunwa hivyo hivyo huwezi kula sambusa kula bagia huwezi bagia kula mihogo au kiporo.
@endruwguzula5993
@endruwguzula5993 4 года назад
nikweli ila starehe sio ugali kama hauwez kaa nyumbani unahisi garama zilizotumika hapo 20 nayo nihela
@mohdsalum3832
@mohdsalum3832 4 года назад
@@endruwguzula5993 linawezekana kuwa wapo wanamudu ila tuwaangalie walio chini yetu kuwa na waoo pia wanahitaaji nakumbuka mungu katuumba madataja yafauti ya kiuwezo
@mozaselfu3179
@mozaselfu3179 4 года назад
Bei IkO juu wasonazo wataishia nje
@mussaharoun5950
@mussaharoun5950 4 года назад
Watoto wanao takiwa kulipa kuanzia umrigan maana naeza kuja na mtt ila ana miezi au mwaka VIP anatakiwa kulipa
@FahadNasser
@FahadNasser 4 года назад
Hiyo bei sio mchezo. Bakhresa naona ame target wenyewe pesa tu ndio wakacheze hapo. Nakumbuka wet n World au Water World ilikiwa 7500 hivi kama sikosei na zilikuwa nzuri sana kuliko za Azam.
@ally1702
@ally1702 4 года назад
Mh Kaka umenikumbusha mbali Sana Mimi nilikuwa nikiingia kwa elfu mbili tu yaani mpaka Jana amini mungu naongea na mama watoto Basi tumekuongelea nikija tz in Sha Allah nikaingie
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 года назад
Lkn pia kuna watu hawana madrasa zakusomea Quruani na wanahitaji kujrngewa madrasa na msikiti pia sio kujenga mujenge sehemu zakustarehe za dunia tunataka tusaidiwe sehemu zakusomea
@majidkhamis6943
@majidkhamis6943 4 года назад
Assalam alaikum MM kubwa lakusema ni innalillahi wainna ilaihiri rajiuni sisi tunaonakama ni starehe ila huu ni mtihani kwasababu tunaingia kwenye ghururi
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 4 года назад
🚑
@majidhassankhamis9501
@majidhassankhamis9501 4 года назад
Ndio wajna
@jumakhamis6050
@jumakhamis6050 4 года назад
MAJID KHAMIS hakuwa namakosa uhalisia ya mambo lakin nyote mulomfokea bado dunia imewavaa busara inahitaji usikanya maoni ya mwenzio
@eenpaard3915
@eenpaard3915 4 года назад
utunzaji muhimu
@noffelsalim830
@noffelsalim830 2 года назад
Munatoza pesa nyingi,uwezo wa alfu 20 kwa mtu mmoja poleni xn.
@musafaki1253
@musafaki1253 4 года назад
safi sana lkn bei kubwa
@yussuffundy4988
@yussuffundy4988 4 года назад
kwa bei hiyo noumah kweli kweli
@jillydezanzibar4435
@jillydezanzibar4435 4 года назад
Bei ndio shda kwa sis i wenye watoto 5 kwahyo niandae 100000 sio mchezo
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 года назад
Hahaha nacheka km madhuliiii
@alimakame9215
@alimakame9215 4 года назад
😭
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Hii😅
@abuumaryam1628
@abuumaryam1628 4 года назад
Mtu analalamika Bei utasema vile hiyo water park imejenfwa na kijiji Km Huna subir kuangalia km hv tuu WENYE nazo muende tuuuu
@hilalihalfani5861
@hilalihalfani5861 4 года назад
kwaiyo wasikua wazazibari wasije
@nadhifomar9984
@nadhifomar9984 4 года назад
Kiswahili hujii kaka amesema hususani wazazibari ila km sio mzazibari hujakatazwa
@salimmohamedsalim4448
@salimmohamedsalim4448 4 года назад
Raisi wa zanzibar amefanya yake safiii
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 года назад
Kvipi apo mbon cjaelewa
@salimmohamedsalim4448
@salimmohamedsalim4448 4 года назад
@@mwakahassan8742 baharesa naye pia ni raisi au mfalme
@abduliali5044
@abduliali5044 4 года назад
Kwakwel bakhres yp vizur
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 4 года назад
Fanya jema upate mema hizi hotel tujue sio maendeleo kwetu bali ndio chanzo cha maovu ktk nchi yetu saiv zanzibar imeshaingiliwa na mambo tele
@suleimanally9399
@suleimanally9399 4 года назад
Hapa kiukweli wanazingatia sana maadili na mambo mengi
@jumailyass9308
@jumailyass9308 4 года назад
Siku zote uvae hivyo
@wazaswazas4009
@wazaswazas4009 4 года назад
Mhusika mbona hajajitambulisha jina
@gangmore9091
@gangmore9091 4 года назад
Maisha magumu kama munajali watu waje punguzeni bei kwa kila mtoto 5 mkubwa 10
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 4 года назад
Hawa ndio matajiri, hawaongei Sana ila vitendo vinajitoshelesha
@tabumussa9406
@tabumussa9406 4 года назад
Rahill Hamidu mashaalah.M/MUNGU akutirie wepesi.
@tabumussa9406
@tabumussa9406 4 года назад
Rahill Hamidu kabisaaa
@zajilbookings160
@zajilbookings160 4 года назад
KTV vichwa vya habari zenu havipo Rasmi mnatumia lugha za mtaani na mara nyengine haviendani na tukio lenyewe
@bintykonga8706
@bintykonga8706 4 года назад
Kaleta bala nibalaa kweli
@jokhasuwed5282
@jokhasuwed5282 4 года назад
Bei punguzeni
@burudani9901
@burudani9901 4 года назад
Nikija nitayatesa tuuu ayo madude
@twahaabdalla2304
@twahaabdalla2304 4 года назад
Jumla 25000,nauli y kwenda dar
@twahiramour8892
@twahiramour8892 4 года назад
Pasuka wewe
@yussufdjroo1446
@yussufdjroo1446 4 года назад
Ss Kwenda hko Dar hyo PSA hujaitumiya
@mabrukinalhumaimi331
@mabrukinalhumaimi331 4 года назад
Kweli inafaa afikirie tozo aangalie na umri wa mtoto lkn kwa kweli Safi sana maa shaa Allah
@tphj2913
@tphj2913 4 года назад
Hahaha😂 asnt
@stonetown578
@stonetown578 4 года назад
Mwenye pesa ende asokuwa nazo na abakie nyumbani
@majidkhamis6943
@majidkhamis6943 4 года назад
Ila ukifanya vitu ambavyo itakua ni anasa tu itakuja kukukosti siku ya kiama kwan ww huwezi jua yawezekana ww ndo umeamsha hisia za watu kuingia kwenye starehe
@alikhalid4280
@alikhalid4280 4 года назад
PEMBA VP
@jakayamati3510
@jakayamati3510 4 года назад
Hahahaa bora ulize
@sultannassor9756
@sultannassor9756 4 года назад
ktv mukopoa
@majidkhamis6943
@majidkhamis6943 4 года назад
Mzee jitahid kufkiria vitu vya kufanya kabla hujafanya ili utakapo ondoka ulimwenguni iwe umeacha kitu ambacho kitakusaidia huko unakokwenda
@othmanhamad6991
@othmanhamad6991 4 года назад
Hapo hapana ghurur wala nini, sema kama ingekuwa 1000 ghurur ingekuwepo kubwa tu. Maanake hiyo foleni tu ingefika hadi darajani
@faizasaid8262
@faizasaid8262 4 года назад
Mashallah
@aminahamza2831
@aminahamza2831 3 года назад
Mashaallah
Далее
KASRI YA MFALME WA ZANZIBAR
14:34
Просмотров 8 тыс.
KWANINI BEI YA SAMAKI ZANZIBAR NI GHALI............?
10:33
#YALIYOMO NDANI YA SOKO LA KWEREKWE ZANZIBAR
29:19
Просмотров 30 тыс.
CHUMBA MAALUM ANACHOLALA RAIS "SIMU HAIINGII"
6:33
Просмотров 429 тыс.
Chakula maarufu Forodhani#Zanzibar
3:32
Просмотров 19 тыс.
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
Просмотров 65 тыс.