Hapo issue siyo maajabu ya chumba kimuonekano bali kinachofanya chumba kiwe bei ni aina ya watu waliowahi kulala hapo. Mfano mtu akipata t.shirt aliyovaa messi uwanjani anaweza iuza hata Billioni 1 mnadani wakati kiuhalisia bei ya hiyo t.shirt ni 40,000 tu
Yaani kwa hayo mawazo lazima utalala. Wengine washaanza kusema bora mbinguni kuliko duniani. Nawauliza wanauhalika gani wakienda huko wataviona hivi😄😄😄
Ahsante ilikuwa ni ni ni strategy maana staff strategy maana staff strategy maana staff strategy maana staff strategy maana staff strategy maana staff strategy maana staff mzuri to you guys for the below request and approval for MBA students also appreciate for
Hiyo ni Kama Lodge za Dodoma NJE Nzuri lakini Ukiingia Ndani Magodoro Kama yameokotwa na Ya Miaka 20 iliyopita. Kiukweli Lodge za Dodoma Mmmmmmmh NAPITA TU.
Kule vikindu ndanindani kiwanja milioni 1 mpaka laki 8 hio nyingine naanzia kupandisha chumba kimoja Kama polic post Kisha nalala nikiamka pia siondoki maana yakwangu dah mi sijui nikoje mawazo yangu yakimasikini tu bac nishaona nyingi hio pesa👌
Hahahaa.. Kabla na baada ya kulala kuna vitu vya kufanya. Tafakari ya siku, Habari, Mawasiliano, Kuandika, Usafi na kifungua kinywa. unatoka ukiwa kamili.