Тёмный

Dulla Makabila x Chudy - Peleka Gari (Official Music Video) 

Makerz Gang
Подписаться 91 тыс.
Просмотров 1,4 млн
50% 1

Wimbo Mpya Wa Singeli Kutoka Kwa Dulla Makabila & Chudy
#music #Singeli #musicvideo
Copyright ©2023 Umeme Bei Poa. All rights reserved.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 882   
@yasiniathumani4630
@yasiniathumani4630 Год назад
Wamepishana kama manara na rushayna, nani mwingine amesikia hapo, like zangu jamani ❤❤
@MwanashaMaguno
@MwanashaMaguno Год назад
Ata mie nimestuka kuskia kipande icho😂😂
@TheopistaMuheta-qp1bc
@TheopistaMuheta-qp1bc Год назад
Ebwanae atamie
@WwddffDdssaa-rq3xu
@WwddffDdssaa-rq3xu 7 месяцев назад
Baraaaa❤❤❤
@zamzamyusuphukagemulo
@zamzamyusuphukagemulo 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@muna1165
@muna1165 Год назад
Alie sikia MANARA na RUSHAINA jamani gonga like apo
@YuYu-wy3kv
@YuYu-wy3kv 7 месяцев назад
Anamwelewaje Rushyana kipindi hicho dah! Kijana una makubwa😂
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Год назад
APA nimefata DULAH MAKABILAH TU...BILA KUPOTEZA MUDA WEKENI IZO LIKE ZAKE BASI..☑️🔥
@user-kc5cp6ju6s
@user-kc5cp6ju6s Год назад
Nakubali dula
@mwalabu-integwa-Oj-yv8np
@mwalabu-integwa-Oj-yv8np Год назад
Alierudia hii nyimbo zaidi ya Mala pili like zang jamani
@UdakuKingdom
@UdakuKingdom Год назад
Wambea MAKABILA anabeba tena tuzo Gonga like 👍 apa njoo kwenye account mimi mbea wa dunia
@fadhilsalum2143
@fadhilsalum2143 Год назад
Nyimbo mbn kama siyo yake sema anaonekana kama yake coz ananguvu kushinda uyo jamaa mwenye nyimbo
@salomecomedyofficial
@salomecomedyofficial Год назад
Hataaaari,, kenya tunamuita king makabila
@abdiaziz2978
@abdiaziz2978 Год назад
Balaa mc ndio mwenye singeli yake hapa bongo
@mkkillermediahd7100
@mkkillermediahd7100 9 месяцев назад
​@@abdiaziz2978😊😊😊😊¹¹
@hunainamudhiry
@hunainamudhiry 9 месяцев назад
Hiii kwel bil utata
@wamichapotz9530
@wamichapotz9530 Год назад
Mjumbe mzuri sana bigup chidy na mkali dulla gonga like kama umeangalia hii ngoma zaidi ya mara tatu
@basilhamis681
@basilhamis681 Год назад
Mimi ni dereva wa daladala huu wimbo unanifanya niwempole barabarani
@mwljuliuskiwovele
@mwljuliuskiwovele Год назад
Watu wanasema singeli sio muziki wenye maadili na kuelimisha ila mimi nakataaa ,uimbaji wa mziki wa sasa hasa wa Dulla makabila ni wa tofauti sana ,na hizi nyimbo zinafaa sana kwa kuelimisha .Nakubali kazi nzuri,huyu jamaa anakitu na atafika mbali😂😂
@paskopopezekiel07
@paskopopezekiel07 Год назад
Maana halisi ya King Of Singeli Dulla Makabila
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Год назад
Kiukweli Makabila Anastaili Kua Mfalme wa Singeli Maana Anatoaga Nyimbo Nzuri za Ujumbe Lakini nifupi na Zinaujumbe Mzuri Sana King Of Singeli Dullah Makabila
@IsakarichardmchomeIsakarichard
@IsakarichardmchomeIsakarichard 3 месяца назад
Ni sawaah 😊😊
@HappyKirenga
@HappyKirenga Год назад
Kama umemuelewa chudy gongaa like♥️
@Marktonboy006
@Marktonboy006 Год назад
254 mombasanii nipeni likes🎁🎁🎁☑️most creative singeli master
@georgemdoe2161
@georgemdoe2161 Год назад
Dulla kuna kipind ulikuw unajiita King of Singeli kw utashi wako tu na si vitendo. Ila ukisikia Mafuta na Maji yanajitenga ni kwenye hits kama hizi,hazinaga upinzani yani. KEEP GOING BRO
@MichaelMasoud-cg7kk
@MichaelMasoud-cg7kk Год назад
Dullah makabila kwenye singeli Tanzania one nakubal sana brother
@alisalum2023
@alisalum2023 Год назад
Alioandika maneno ya kiengereza mungu anamuona baada ya kuandika station ameandika stataton au ni macho yangu kama mtu umeona kama mimi like zangu ila nyimbo nzr
@ramadhanimkomeni9515
@ramadhanimkomeni9515 Год назад
Dullah Kam Dullah king mganga wake fundii sana huyu mbwaa👑👑👑
@ChingaBoy56
@ChingaBoy56 Год назад
Like 3 kwa Makabila ❤💯
@victorylimo3473
@victorylimo3473 Год назад
Tuliomuona nest ps kali gonna like🎉🎉🎉🎉
@iluxmoney9989
@iluxmoney9989 Год назад
Kikubwa Duwa bro Wangu 💛 Iposiku mungu atasaidia tu Kila kitu kitakuwa sawa 🙏
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 9 месяцев назад
Dulla Noma saana aisee 🔥💥🔥
@official_saidkijeshi4201
@official_saidkijeshi4201 Год назад
Aaaaa dulla makabila is unstoppable kila ngoma anayotowa au kushiriki lazima iwe kali bigup mzee
@justinemtasiwa4979
@justinemtasiwa4979 Год назад
Singeli ya kwanza ambayo sijaskia matusi big up sana makabila na chudy
@abdallahomary5900
@abdallahomary5900 Год назад
Movie 🎥 good idea kaliii sasa mziki wa singeli unakuja kubadilisha chudy Love singeli bila matusi inawezekana 💣 🔥🔥🔥🔥🔥🙌
@kassimmwanamkoko9592
@kassimmwanamkoko9592 Год назад
Aiseee ....nooooouuuuma aaaaa sana ni bonge la Ngoma....kazi nzuri Sana ndugu zangu....makabila huwa hakoseei ndani ya hizi Ngoma...big up Sana wazeee
@poleclassic
@poleclassic Год назад
Tumetoka kwa uchawi usafini tumefika kwenye gereji,,gari kituoni boom❤.Much love from +254 Dulla Makabila unatisha kinoma.
@ZulfaMsuya
@ZulfaMsuya Год назад
Mungu ampe nguvu 2nauzina azidi kuimba zaidi yaapo❤❤❤
@cretrinomz
@cretrinomz Год назад
nemeipenda sana ngoma kali nipeni like wanangu wa makabila
@amirinestory
@amirinestory Год назад
Hizi ndio nyimbo za kusikiliza na familia,full mafunzo na maadili...
@muhsinjuma5335
@muhsinjuma5335 Год назад
Hakika
@laurianvallentino9958
@laurianvallentino9958 Год назад
Wale tumeangalia zaidi ya mara mbili twende pamoja
@cuprumkimwaga
@cuprumkimwaga Год назад
Nimeangalia Mara sita hili Dullah linajua mpaka linakera , fire 🔥 🔥
@emanuelmnyukwa4471
@emanuelmnyukwa4471 9 месяцев назад
Daaah ii nyimbo n balaa singeli afu story like true vile daaah bonge la Content nyie n balaaa King 👑 of Content🎉
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv Год назад
Ila huu Wimbo Konk Comment yangu fupi tu inatosha 😢😢😢😢😢
@mcdericktv7298
@mcdericktv7298 Год назад
Singeli to the next level...💪💪💪
@suleymaniabdallah4446
@suleymaniabdallah4446 Год назад
Mwaka wako 2023 makabila kaka dua kwako kama goma la dua hakuna wa kukutia mguu kwa sasa
@eliaskahory7116
@eliaskahory7116 Год назад
Sema daaa Ukwer nyimbo nzuri. Sema duuu Jamaa anajikream mpaka ananakuakama mwanamke
@hadijarajabu7198
@hadijarajabu7198 8 месяцев назад
Kiukweli sikuwahi kuipenda sengeli lakini huyu jamaa ni noma, hongera sana Makabila
@kawanga0073
@kawanga0073 Год назад
Yani mm nikionaga singeli alafu dulllah mwamba yupo lazima nicheki najua kuna Creativity ndani yake 👏👏👏👏👏👏
@ramakado4060
@ramakado4060 Год назад
Kweli
@nongastyl3509
@nongastyl3509 Год назад
Kumbe tuko wengi
@WardaOthman-dt9zq
@WardaOthman-dt9zq Год назад
Dula makabila ubalikiwe unajua alafu unajua tena
@GenovevarKavikule-it2wc
@GenovevarKavikule-it2wc 9 месяцев назад
Yaani huu wimbo sichoki kuuangalia
@Toptenherbs
@Toptenherbs Год назад
Kweli hii peleka gari kituoni
@adamcode2185
@adamcode2185 Год назад
Udereva na pombe vimepishana km manara na rushayna 🔥
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr Год назад
Unyama ni mwingi mnooooo
@abelfrancis8437
@abelfrancis8437 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@chiefshonelyzbeth5844
@chiefshonelyzbeth5844 9 месяцев назад
Kwa hii singeli dulla anajua sana
@hamisimauta1154
@hamisimauta1154 Год назад
fans wa dula nataka like zang hapa
@JemimaKijiu-xx7lg
@JemimaKijiu-xx7lg 7 месяцев назад
Sio Siri dulla makabila saivi nampenda sana
@ShabaniMgweno-xi2jz
@ShabaniMgweno-xi2jz Год назад
We mfalume wa singel kwakwel Dulla makabila nakukubali
@jaydannychawaboy5418
@jaydannychawaboy5418 Год назад
king dulla umeiweza mno kabisa ❤️❤️❤️❤️
@sedjotshomba4867
@sedjotshomba4867 Год назад
Wamakabila mambo ni moto 🔥🔥🔥🔥🔥 all the way from DRCONGO
@khamisbk8569
@khamisbk8569 Год назад
Wakitaka wasitake ww ni king of singel tz
@sijaolomi
@sijaolomi Год назад
Dula hoi hoi atawalipoidisi pita huku humeonyesha jua alizibwi na ungo umekalisha dulla hoi hoi
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
Makabila mwanangu mwaka wako huu hawakuwezi pambama baba
@DFellaMnyama
@DFellaMnyama Год назад
Bonge la wimbo na nifull maujuz aisee Muzik mtam ukiujuwa
@nelsonngimilanga3145
@nelsonngimilanga3145 Год назад
Ndio wajue kwenye ile tuzo hukubahatisha ✊✊✊
@DanifordDaudi
@DanifordDaudi 11 месяцев назад
Saw kaka ngoma nzuriiii sana
@adamchigamba2862
@adamchigamba2862 5 месяцев назад
Dulla Makabila unaweza kinona, unyama sana
@saidmbarouk3553
@saidmbarouk3553 Год назад
ipo poa sana
@ibrahimahmadi7280
@ibrahimahmadi7280 Год назад
More than words to say wacha watukane sie tuimbe ❤❤❤ kikubwa upendo tu
@user-gw9cq2vf2p
@user-gw9cq2vf2p Год назад
Hanaga kazi mbovu❤
@suleymaniswalehe7614
@suleymaniswalehe7614 9 месяцев назад
King of singeli #dullahmakabilla
@hamzajumajuma5595
@hamzajumajuma5595 Год назад
NAKUBAI-KAKA💪👍
@buddahbway9758
@buddahbway9758 Год назад
Noma sanaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@gasperyjoseph8221
@gasperyjoseph8221 9 месяцев назад
Sasa wew ndo umepshan sasa na so manara tena
@BakariRashidi-pv6yr
@BakariRashidi-pv6yr 2 месяца назад
Dah pole sana
@Ziyadaassumani
@Ziyadaassumani Месяц назад
Dulaa nakukubali sanaaaa mfalme wa ngomaaa
@victorylimo3473
@victorylimo3473 Год назад
Woyooooooo ❤❤❤❤❤❤
@alexmwita5033
@alexmwita5033 Год назад
Sijawahi comment ila hii wacha ni comment kama ifuatavyo very creative 💪💪😎
@ANDREWKAZUNGU-gt7lb
@ANDREWKAZUNGU-gt7lb Год назад
Nzr hyoo
@mwajabujumanne9025
@mwajabujumanne9025 Год назад
Hiii video. 🔥 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 9 месяцев назад
Huyu mwana chudy Anajua mnoo
@tumkithemr933
@tumkithemr933 Год назад
Duuuuuh Ubunifu 99.99% Uhalisia wa nyimbo 99.99% Ubora wa vdeo 99.98% Ubora wa shairi 100% Uhalisia wa mfano 100% (rushaina & manara🤣) Urefu wa shairi 98.99% Overall GPA ni 4.9 out of 5.0 Gonga like kwa dulla chap!!🤣🤣
@yusuphsaid7965
@yusuphsaid7965 Год назад
Nakubali mwanangu Makabila sikupingi unajua vibe km kawa🔥🔥🔥
@mkechiivo5332
@mkechiivo5332 Год назад
Mamae nyi wana mmeua kinomaaaaaaaaaa
@usajilikwanza2017
@usajilikwanza2017 8 месяцев назад
dulla kujiita king of singeri haukosei
@mckobatz5861
@mckobatz5861 Год назад
Jumbe zinazomiss kwenye tasnia safi wadogo zangu 🔥
@Tanzania_Ya_mama
@Tanzania_Ya_mama Год назад
Video pumbu sana sema nyimbo kidogo kali
@pandadevushka8605
@pandadevushka8605 Год назад
Kazi Nzurii Sana Yan Dah Tumpeni Maua Yake 🏵️🏵️🌺🌺🌺🌸
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 Год назад
Ubunifu 100% kubwa sana hii salut wajomba
@channyanjen9047
@channyanjen9047 Год назад
Safi sa dulla,umenivunja mbavu apo kwa manara na rushaina
@Issa-if8qn
@Issa-if8qn Год назад
sijaielewa bt makabila umetembea vizuri
@YasirYasirhussen-qo7yz
@YasirYasirhussen-qo7yz 4 месяца назад
Kaka hela zinakupeleka pabaya jalibu kumludia mungu wako umekosea sanaaaa unatakiwa ukubali ulipo kosea we ni mwislamm
@ismailabdallah7853
@ismailabdallah7853 Год назад
mwamba nakukubali sana dulla wewe ni kioo cha kuelimisha jamii sana bog sana
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Год назад
Dulla m,bunifu Sana big up Sana 💪 ngoma Kali sana directed kanyoosha kdeo sana mm syo mpenz wa singel lakn nakbl ngoma zake anajuwa
@rivinrutta8977
@rivinrutta8977 Год назад
Dulla fundiii Sanaaaa endelea ivooo utafika mbali Sana Amin good song pia good video idea
@aboumgaza7629
@aboumgaza7629 Год назад
Heshma kwako
@victorylimo3473
@victorylimo3473 Год назад
Peleka gari kituon nimependa iyo bit kali 🎅 kali
@MaxRubedi-mu8vs
@MaxRubedi-mu8vs Год назад
Nashauri wasanii mpende kutumia neno gerezani na sio kutaja jina la gereza, maana kuna wengine segerea hawaijui ila ukitumia neno gerezani watu wanakuelewa kwa haraka sana
@moemussa5212
@moemussa5212 Год назад
Alafu Uyo NESI Hajavaa Chupi.
@Tozzyclever
@Tozzyclever Год назад
Ila dullah bhn anajuwa saaana ubunifuuuu
@ahmadimohamedi8425
@ahmadimohamedi8425 Год назад
Dulla ni mnyama sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@marokeyLFM
@marokeyLFM Год назад
Dulla Makabila king of singeli 🔥🔥🔥🔥🔥
@aminaluliho8456
@aminaluliho8456 Год назад
Ingoma miaka buku mwanang Ngoma kali❤❤❤❤❤
@BAHATIKIBA-ul6wx
@BAHATIKIBA-ul6wx 11 месяцев назад
Makabila Fundi San Huyu Jamaha Anajuwa Kuliko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Latifa123Latifa12
@Latifa123Latifa12 14 дней назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@hansbaruan3539
@hansbaruan3539 Год назад
King of Singeli
@RafiikissuMrkissu-ic4le
@RafiikissuMrkissu-ic4le 2 месяца назад
Kazi kwaaanzaaa.
@user-ro8xb5yw5t
@user-ro8xb5yw5t Год назад
Video kali Kama sio singeri
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Год назад
Huyu ni muimbaji kabisa bila chenga,wala kubaatisha anajuwa kabisa.
@AminaIsmail-kv6yi
@AminaIsmail-kv6yi Год назад
Dulla ww ndio mfarume wasingeli babukubwa sana
@ChugaonlineShop
@ChugaonlineShop Год назад
Sema hii ngoma ingekuwa kali zaidi kama dulla makabili angeanza verse yakwanza alf uyu dogo akamalizia maana dulla unauwaga sana kweny ngoma za story
@hamisrajabu1675
@hamisrajabu1675 Год назад
Big up nam nimeona hvy
@jamilamwarabu3890
@jamilamwarabu3890 Год назад
Waoooo ila ngoja nichek comment kwanza
@kelvinjoseph4545
@kelvinjoseph4545 Год назад
dulla kaamua kufundisha tu this time
@frankfelix3876
@frankfelix3876 Год назад
Dulla wewe huwezekani big up upewe ufalme wako
@hassanibanzi9322
@hassanibanzi9322 Год назад
Huyu chuddy nimemuelewa sana creativity nzuri Mungu ajalie kaz ya mikono yenu🙏
@cepha30
@cepha30 Год назад
FROM 254 yaan nahisi nyiombo n fupi.... well done
@florianminja8427
@florianminja8427 Год назад
Hata sijaielewa
@khaiyamsimu-ko7rk
@khaiyamsimu-ko7rk Год назад
Hapa angekaa MC balaha na dula . Mwenyewe ingenoga zaidi
@user-it8yu9ox2o
@user-it8yu9ox2o 8 месяцев назад
Duh hongera sana dulla nakukubari sana
Далее
Dulla Makabila - Tuzo (Official Video)
3:58
Просмотров 397 тыс.
Dulla Makabila - Nikizipata (Official Video)
4:42
Просмотров 1,4 млн
Dulla Makabila - Nije Ama Nisije (OFFICIAL VIDEO)
3:51
Kontawa : Dunga Mawe ( official Music Video)
3:52
Просмотров 1,8 млн
Miso Missondo - KWAYA Singeli Beat | IKMZIKI.COM
8:37
Просмотров 246 тыс.
Dulla Makabila - PITA HUKU (Official Video)
4:58
Просмотров 7 млн