Тёмный

ELON MUSK apata mtoto wa 12! Hii ndio sababu kwanini anao wengi! Mmoja alijigeuza kuwa mwanamke 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 63   
@SbOm-b7k
@SbOm-b7k 3 месяца назад
Anastahik pongex ni mfano mzur kwa wenginee, kuzaa n jambo zur Mana hatujui yupi anaekusaidia 🎉 nampongeza kwa kwelii
@asiliyetuonlinetv5063
@asiliyetuonlinetv5063 3 месяца назад
Point ni kumpongeza 🎉🎉 tu ila kusema ya kwamba hujui ni yupi atakae kusaidia Mimi binafsi huwa siungi mkono kabisa hiyo hoja,jamani kuzaa sio bahati mbaya hivyo mtoto yeyote tu atakuwa msaada kwako endapo umemjengea mazingira wezeshi na sio kusubiri eti apate Mara bahati achukuliwe na litajiri au limama limpende limrithishe Mali hizo ni stori tu za bongo movies.,hivyo jua ukizaa wengi uwe na uwezo wa kuwapa mahitaji yote. I mean basic needs.
@joozeycraft2361
@joozeycraft2361 2 месяца назад
Usiwahi zaa mtoto kwa kutegemea akusaidie badaye,zaa umpe malezi ajisaidie mwenyewe.
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 3 месяца назад
Ata mm nikiwa na hela ntazaa watoto weengi sn
@alphadreammedia
@alphadreammedia 3 месяца назад
Weeeee Mungu unampangia kumbe Hadi upate pesa ndipo uzae kama kweli unataka hivyo usimpangia MUNGU Hadi upate pesa.
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 3 месяца назад
​@@alphadreammediasio mpaka pesa.zaa kwa ajili ya kujaza ulimwengu.
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 3 месяца назад
Tumeacha kutumia wakunga wetu ambao walifanya mama na bibi zetu kujifungua watoto wengi bila tatizo lakini baada ya kuondoa wakunga upasuaji umezidi hii Inamaana gani KWAMBA tumepata MAENDELEO au tumerudiahwa nyuma Kwa maksudi na watu wenye Nia ovu na AFRIKA YETU,tutafakari Kwa kina ili kunusuru mataifa yetu.
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t 3 месяца назад
Wazungu hiyo nibiashara wanauza vifaa tiba vyoa ss wenyew hatujielew twafata mkumbo tu.
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 3 месяца назад
Yeah it's so sad bro.
@JamaliAbdallah-mv6hp
@JamaliAbdallah-mv6hp 3 месяца назад
Umenena vema
@devisiprojesti
@devisiprojesti 3 месяца назад
napendasana kuwafatilia kilasiku
@Mwachuomo
@Mwachuomo 3 месяца назад
Pamoja ally masubi
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 месяца назад
Vijan naomba tuzae watoto wengi kama China na India maana Uchumi unahitaji watu. Hasara ya kuzaa watoto wachache yanakuwa majinga hayapambani yanajua yataachiwa Mirathi ila wakiwa wengi wanapeana challenge
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 3 месяца назад
Kweli kabisa mkuu
@hajimlaponi1900
@hajimlaponi1900 3 месяца назад
Shida sio,,,,, kuzaaa shida,,,,, kuwalea broo
@waziriwafedha
@waziriwafedha 2 месяца назад
The more the population the higher the probability of having geniuses in your country. The genius become leaders and change the economy
@joozeycraft2361
@joozeycraft2361 2 месяца назад
Ndio,tunafaa kuzaa kimpango hasa africa,kwasababu maisha imekuwa ghali,masomo bora ni gharama pia ikizingatiwa wengi wetu hatukuw na fursa ya elimu ya juu kisa karo,sembuse uwazae 20....jaribu utatusimulia baadae.
@husseinothman1257
@husseinothman1257 3 месяца назад
Kwa nia yake nzuri na hii dunia, Allah anamjaalia hao pacha.
@asambakanyalusambya249
@asambakanyalusambya249 3 месяца назад
Watu wazaane tu kwa wingi
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 месяца назад
Kwa kweli kutokana na technogia si jambo la kawaida lazima kuna Masada wa madawa yanayofanya hivyo.. Mfano dar pale ubungo plaza kuna herbal clinic ambayo wana dawa hizo za kupata mapacha
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 3 месяца назад
Please my friend nimfahamishe vizur nataka niende nipate awo mapacha...
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 месяца назад
@@aishakhamis2996 M TZ halisi
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t 3 месяца назад
Mm nna mama angu mdogo yuko kijijin huko hajui lolote kazaa pacha mimba 5 zote.
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 месяца назад
@@FatumaMohamedi-t6t inawezekana kabisa Hilo.. Ila huyu boss kuzaa nawanawake tofauti lakini wanatoka mapacha hapo wasiwasi unaanza
@12345678938129
@12345678938129 3 месяца назад
Elon Musk na Nick Canon wameenda sare. Nick Cannon ana 12 naye pia
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 2 месяца назад
Mwenye pesa zake afyatue tuuuu🎉🎉🎉 pesa ya generation wealth ipo😂😂😂 Sasa ww Jin change kuzaa 😮😮😮
@othmanibnabdullah
@othmanibnabdullah 3 месяца назад
Kashauga umasikini huyo girlfriend wake
@francomwacha2262
@francomwacha2262 3 месяца назад
Nawafuatilieni sana sns mm ni sehem ya hii family.. ali natamani utuweke wazi kuhusu majibu juu ya huyo mwamba kuzaa malacha mfululizo ametumia njia gani?
@khamsjabdullah691
@khamsjabdullah691 3 месяца назад
Ni sahihi tupate majibu ya ali masubi ndio tulinganishe na yetu
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 месяца назад
Mimi adi mayai yawe viza ndio basi mungu akiamua kukupa mapacha anakupa tu mapacha kuna mwanamke uganda amezaa mapacha mara 6 mbona hamsgangai nyooo adi anaomba masaada asaidiwe chakula😂😂😂😂
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 3 месяца назад
Kuzaliana ndio mpango mzima hata watoto 20 poa tu
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 месяца назад
Kabsa yni raha tu❤
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 3 месяца назад
@@azizayassin3623 ndio maana mungu ndio anataka hivyo
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 3 месяца назад
Hiyo ni kawaida tu na kujaaliwa kupata pacha ata uowe mke gani. Me nipo na sster wangu ameolewa na mme wa mwanzo amepata mapacha na ameolewa na mme wa pili amepata mapacha tena yupo Tz watto wte wako chuo saiv
@YumnaBurhan-q6h
@YumnaBurhan-q6h 3 месяца назад
Wanaumeee
@benoseaone
@benoseaone 3 месяца назад
Ninahitaji nipate watoto 22
@jumashedafa
@jumashedafa 3 месяца назад
Genetics ukirud nyuma ktk familia yao au huend ata kwa baadh ya hao wanawake wana vinasaba vya mapacha
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 3 месяца назад
Naa pills improvisation.
@jumashedafa
@jumashedafa 3 месяца назад
@@thefactbook...1607 hili cjawah kujua kama linafanyika
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 месяца назад
Mama yangu ametuzaa 10 na yuko freshi kabisa
@saadabakar7750
@saadabakar7750 3 месяца назад
MashaAllah
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 месяца назад
Mungu azidi kumpa Afya na umri mrefu❤❤❤ Ameen
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 3 месяца назад
Halafu na wote hamna pesa? Zaa kutokana na kipato chako, kama pesa unazo zaa hata 100 ila kama msakatonge, kadiria tu ili uweze kuwatunza.
@Manyara-Jr
@Manyara-Jr 3 месяца назад
TAJIRI NA MALI ZAKE MASIKINI NA WATOTO WAKE.. MHH KUNA MAHALI WAHENGA WALITELEZA
@saadabakar7750
@saadabakar7750 3 месяца назад
Yeye kabarikiwa vyote ,MashaAllah
@ReyzDon
@ReyzDon 3 месяца назад
sitaki kuamini ni hali ya kawada
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 3 месяца назад
Nikiwa na hela hivi nazaa na dar nzima😎
@MrAslan47
@MrAslan47 3 месяца назад
planning family 👪 kwazungu none respect ila f**n dram wanatuletey sis damn
@sayokahwege2520
@sayokahwege2520 3 месяца назад
Hali ya kawaida kabisa
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 3 месяца назад
Elon Musk 👌❤️😘
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 3 месяца назад
Watt wa 12 halaf wanawaambia wenzao waoane jinsia 1
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t 3 месяца назад
Ndio mjitafakar
@atutweve4160
@atutweve4160 3 месяца назад
Huyo msouth Afrika sio mzungu og
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 3 месяца назад
​@@atutweve4160msouth africa na ni myahudi
@kwisa4899
@kwisa4899 3 месяца назад
Elon anavinasaba vya Africa si mzungu
@AmaniKizinga-ew9mk
@AmaniKizinga-ew9mk 3 месяца назад
Kwanini mmoja awe mwanamke,, Jesus is coming soon.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 месяца назад
👍✌️👊.
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 3 месяца назад
Hao ni watoto wa maabara kaka
@amemasudi5735
@amemasudi5735 3 месяца назад
Ss hao wazungu wanaosema tuache kuzaa sana mbona huyu hawamwambii wajinga sna hawa
@fredducaunt
@fredducaunt 3 месяца назад
😂😂wajinga wao au nyie mtakaokubali 😂😂
Далее
Ijue Vizuri STARLINK ya ELON MUSK  / Inakuja TANZANIA
5:03
VITUKO VYA KWENYE DALADALA STEVE KIMEMLAMBA NDARO
8:00
Гидравлическая очистка.
0:24
Просмотров 2,6 млн
За что любят «Крузак»🔥
0:45
Просмотров 303 тыс.
Repair Minor Paint Damage Yourself #youubeshorts
0:18