Тёмный
No video :(

EXCLUSIVE : CHID BENZ AMJIBU HAJI MANARA KUHUSU MADAWA YA KULEVYA / SITAKI MSAADA WAKE 

Manara TV
Подписаться 265 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

MWANAMUZIKI CHID BENZ AMEMJIBU HAJI MANARA KUHUSU KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA / SITAKI MSAADA WAKE / NITAZINGUANA NA MTU TAZAMA FULL INTERVIEW HAPA
#manaratv #chidbenz #hajimanara #diamondplatnumz #wasafifm

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 120   
@user-xs8qf4hl3n
@user-xs8qf4hl3n 8 месяцев назад
kwa mutazamo wangu,Chid ameshuka kidogo tu kimaisha.Ila kihakili,kiafia chid yuko sawa kinoma.big up sana chid❤
@am_matis
@am_matis 8 месяцев назад
Kwamajonzi makubwa na mchanganyiko wa furaha kubwa niliyo nayo ni kwamba chid ni yule yule Leo Jan na hata milele nimwambie tu nilikuwa karibu na marahemu nisher since 2021 na tulimuongelea sana chid na tulimuwa tu asikiliza mziki wake na interview zake pia nisher alikuwa anamkubali sana chid ya nikama tulikutana mwenye tabia Moja wote wawili tulikuwa tunamkubali chid nadhani marehemu amekufa akiwa namaswali yakumuuliza chid na alikuwa na mambo yakumsaidia chid ila me nasemaje one day yes nitatimiza vya marehemu na Mimi nitamzika nisher then nitavichanganya vya marehemu na Mimi naomba Mungu anisaidie lkn ndugu yangu rafiki yangu FAMILIA nisher apumzike kwaamani. Ila one day I will do something I promise🙏🙏🙏
@princekiwia2216
@princekiwia2216 8 месяцев назад
One love brother ✔️🙏
@pitbullfamily4499
@pitbullfamily4499 8 месяцев назад
Wallahi Real talk kaka mkuu mimi nta kutafuta tu fanya kituu 💯💯💯🙏🏾
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 8 месяцев назад
Huyu Chid wa leo yupo pure Sober!!! Huyu ndio Chid wetu, Huyu ni Rashid Makwiro 🙌
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 8 месяцев назад
Chidi benz ni shuja kweli, wange kua wengine wangekua kichaa. Huyu kaka anaimani , mungu amemsaidia ku protect akili yake kwa utu alio toa❤❤❤❤❤❤❤❤ You're always legend❤❤❤❤🇬🇧
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 8 месяцев назад
chid wangu nakupenda sana unaakili naushauru ijapokuwa watu wanakushukuliya poa
@gelardsimwela1957
@gelardsimwela1957 8 месяцев назад
Huyu mwamba anaakili sana
@sallynakey_tz
@sallynakey_tz 8 месяцев назад
Yani mimi binafsi mkisema Chidi benz chizi, mvuta bangi, mlevi, mwehu, ila huwaga namuelewaga sana uyu mwamba😅😅😅
@HammyLone-jy2ho
@HammyLone-jy2ho 8 месяцев назад
Dogo unajua sana kutangaza ila punguza kujiamini hii ni interview yangu bora hongera chid unaakili sana Mungu akulinde chid
@moseshandsam1865
@moseshandsam1865 8 месяцев назад
Chid chid king kong keep shinning Broo nasubiria video yako wewe na Diamond 💎 Platnumz kwa ile ngoma yenu .....tunaaishi nao alafu page yako ya RU-vid naona watu wengi wanatumia jina lako sana
@georgenathanael
@georgenathanael 8 месяцев назад
Ah! Chid si chiz bana,,, anajitambua vizur tu,,, wamwache na maisha yake tu
@tigejuma9865
@tigejuma9865 8 месяцев назад
Chid hua anaongea fact...ina mchukua mtu mwenye ufahamu mkubwa kumuelewa asemacho....wengi huishia kusema anapiga kelele...lakn hawajataka kumuelewa...waeza kua Una sikiza na huelewi....big up bro nkkubali xna...toka day one...king Kong la familia...
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 8 месяцев назад
Jamaa ana IQ kubwa sana
@jemimabakari
@jemimabakari 8 месяцев назад
Kumsaidia mtu sio mpaka mumtangaze,msaidieni kimya kimya
@mpambanajitz7026
@mpambanajitz7026 8 месяцев назад
NAMPENDA sana huyu MWAMBA Naamini MUNGU atamwamsha Tena kisanaa Chid Benz lafamilia forever
@Mtangazaji
@Mtangazaji 8 месяцев назад
Chid Benz akili kubwa sana.MUNGU aendelee kumtunza
@josephpatrick3366
@josephpatrick3366 8 месяцев назад
Uyo ndio chid mtu makin sana
@allyomary2271
@allyomary2271 8 месяцев назад
Chid noma sana akiacha matumizi ya vyote vinavyohusiana na ulevi ni mtu smart sana kichwani akiongea nawe ukawekeza sikio na ubongo ni msanii mwenye uwezo mkubwa sana kichwani
@leokamil6284
@leokamil6284 8 месяцев назад
Tatizo yeye mwenyewe anajiona anajua kuliko wengine. Ni sawa mtu kuwa anajua lakini ukiwa na watu wengine kwenye maisha na kazi lazima kujaribu kuishi kwa kusikiliza na makubaliano. Lakini ikiwa kila kitu mtu anajiona anajua zaidi mjuaji mno ni ngumu kufanya kazi na wengine hata kuishi nao.Kuna mtu ata ukimpa ushauri kesho atasema ni yeye kafanya yaani wanataka wajikwaze hiyo ni mbaya sana. Ndio maana unaona kila anaejaribu kumsapoti anashindwa kwa sababu haambiliki anajua sana.Anasahau yeye anashida anaona anaemsaidia ndio mwenye shida. Huyu na Qchief na TID hawa ni Too much know sana
@kennedymushi7110
@kennedymushi7110 8 месяцев назад
​@@leokamil6284😂😅😅
@user-tn4pi2pg8x
@user-tn4pi2pg8x 8 месяцев назад
Akili nyingi San huyu ndo Rashid ❤
@richardsalim1042
@richardsalim1042 8 месяцев назад
Tatizo ni nchi yetu haitambui thamani ya wasanii.msanii ni gazeti la taifa,wasanii hawa hawa ndio wajaza uwanja kipindi cha kampeni why taifa au serikali inashindwa kutenga kiinua mgongo kwa wasanii,hata kuwapa japo bima ya afya tu.msanii wa taifa ni bora hata kuliko mchezaji wa timu ya taifa lakini angalia kidogo mchezaji anaonekana kuliko msanii,wasanii ni kioo cha jamii wanaelimisha ,wanasisimua,wanaonya,na wanaburudisha jamii.anoint mwimbaji wa injili aliimba kudai haki za wasanii akauliza why hakuna hata sanamu la msanii hata mmoja au hata jina la barabara kama ilivyo kawawa road au nyerere road lakini hamna kiongozi anayegusika,kuna msanii anatembelewa lakini sio kwa sababu ya usanii wake bali ni kutokana na kuwahi kuwa sehemu ya serikali(ubunge).Sina hata dalili ya usanii lakini naiona thamani ya msanii,binafsi nilijua muonekana na hatari ya ugonjwa wa ukimwi baada ya ferooz na prof.jay kutunga wimbo wa ukimwi.seasons ya siri za familia ililenga mfumo mzima wa maisha ya binadamu ndani ya ndoa na nje ya ndoa.hizo ni sample tu zipo nyingi lakini wasanii wanachukuliwa powa.Serikali ifanye jambo kuhusu wasanii.
@user-gx1wh4wj2u
@user-gx1wh4wj2u 8 месяцев назад
Respect benz
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 8 месяцев назад
Thats is Rashid Mungu yu mwema ma brother yuko poah sanaaaaaa
@issasaad3403
@issasaad3403 8 месяцев назад
Akili kubwa kila siku nasema chid n genius
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 8 месяцев назад
Huyu ndio Chidy ninayemfahamu.. big up brother❤
@user-ts6fh4si3m
@user-ts6fh4si3m 8 месяцев назад
Huyu jamaa nafikiri huwa anachomoa betri mwenyewe,mbona hapa yupo nenga tu i mean yupo fiti😮😮
@mvungigaming
@mvungigaming 8 месяцев назад
Ndiyo alivyo ni mtu anayeweza kucheza na akili za watu
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 8 месяцев назад
Jama la ku switch 😅
@msakadoobongeladada-uh3sk
@msakadoobongeladada-uh3sk 8 месяцев назад
​@@mvungigamingexactly
@RockSostenes-jy7xq
@RockSostenes-jy7xq 8 месяцев назад
Chidi reo yuko tofauti sana na anaongea Kwa hisia sana aisee😢
@jasperyassin1708
@jasperyassin1708 8 месяцев назад
Kuna mda upo vzr san broo chid
@habari254
@habari254 8 месяцев назад
NIMEPENDA SANA INTERVIEW HII, UMEMPA TAIMU YA KUJIELEZA
@deogratiusrichard7276
@deogratiusrichard7276 8 месяцев назад
Huyu jamaa yuko real kinoma
@Generali.-yp9rk
@Generali.-yp9rk 8 месяцев назад
Kumbe chidi muhuni amekua actor mtaani 😂😂😂😂 nakubali LEGEND
@mussamapesa8863
@mussamapesa8863 8 месяцев назад
Ukitingwa sema
@gooleserviceyoutubescandar3450
@gooleserviceyoutubescandar3450 8 месяцев назад
MTU Mmoja Aliyeamuwa Kurudi Kwenye Maisha Halisi.
@kavisheonline2418
@kavisheonline2418 8 месяцев назад
Wana talk talk kwa kuongea mabaya wanazungumza kwa kusema mabaya
@khamisbk8569
@khamisbk8569 8 месяцев назад
Akili mingi❤❤❤
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 8 месяцев назад
Genius
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 8 месяцев назад
Daaah huyu bado sana
@Daniel_ivan.
@Daniel_ivan. 8 месяцев назад
Mwana akiwa sober anakua fresh sana
@bikoally39
@bikoally39 8 месяцев назад
Big up chid anaongea fact
@user-ck7fd6xd4j
@user-ck7fd6xd4j 7 месяцев назад
Nakumbuka siku ya kwanza unakuja burundi kufanya show aise wanaokudharau saizi waache na uzidi kuwapa nafasi ya kukudharau. Kama huyo baba levo akija burundi hawezi pata hata mtu mmoja ila wew ulijaza show na ulirudi bingo bado tunatamani vibes zako. Nakumbuka nyumbani tuliibiwa siku hio baba mama na familia yote tulikua tumekuja show yako na kulipa VIP .
@jumamohamedi4280
@jumamohamedi4280 8 месяцев назад
Ww ni mtu wa kipekee sna ninja una IQ kubwa mno mwamba tunaimn nawe ipo sk mungu atakusmamia na ss tunakuombea ninja one day 🤙🏿
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 8 месяцев назад
Ila chid na lebo za nguo mpya 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 8 месяцев назад
Umemshtukia pia ww 😅😅
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 8 месяцев назад
Jamaaa Ana akili sana huyu
@user-pi3vt1lw5w
@user-pi3vt1lw5w 8 месяцев назад
One love brother chid!
@japhetbarton8268
@japhetbarton8268 8 месяцев назад
denial as a first stage of grief the pain is real
@user-sb5dc5nn8l
@user-sb5dc5nn8l 8 месяцев назад
watu wakisoma sana wanachanganyikiwa mkuu..
@rummy2345
@rummy2345 8 месяцев назад
@@user-sb5dc5nn8l😂😂
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 8 месяцев назад
Leo chid Yuko vizur Yuko sobber Leo hajalewa Wala hajavuta kitu
@geoffreyembasa8483
@geoffreyembasa8483 8 месяцев назад
Hiyo sound on the background. Too much
@JamalJames-jg9sf
@JamalJames-jg9sf 8 месяцев назад
Chid Benz kinko 😂
@user-gw6zg5yx9e
@user-gw6zg5yx9e 8 месяцев назад
Uyujamaa ayukotayari kuacha Unga kwaiyo ningumu sana kusaidia watuwakotari kumsaidia ila yeye mnamfos
@danielmwita2136
@danielmwita2136 8 месяцев назад
Haujui lolote, jamaa anaoambana sana. Angekuwa ame relapse huo mwili usingekuwepo. Chid Benz anatumia methadone. Watu kama nyie ndio mnamfanya aonekane kama hivyo.
@ayubuzayumba
@ayubuzayumba 8 месяцев назад
Anaakili sana
@sefunduwayo7388
@sefunduwayo7388 8 месяцев назад
Acha unga wewe chid Benz acha kuteteya feeling zako wakati watu wote tuliona muonekano wako bila kujipanga its was suprise
@brinnahkipozz9830
@brinnahkipozz9830 8 месяцев назад
Acha. Ujuajı acha nyege
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 8 месяцев назад
Waandishi wengine..eti nilikuwa simjui King Kong 😢 upunfu wa awareness
@zanzibarbroadcastingcorpor1360
@zanzibarbroadcastingcorpor1360 8 месяцев назад
sio kila anayehoji ni mwandishi kaka, hao wengine ni wamiliki tu wa camera na mic na kwamba sio mabubu
@Michoarbah
@Michoarbah 8 месяцев назад
Hahaha mnavituko nyie
@Ibakibrian
@Ibakibrian 7 месяцев назад
Chid Benz is the pro version of Kanye West people think is stupid
@user-kp6lz7zs1w
@user-kp6lz7zs1w 8 месяцев назад
Nakupenda cn chidi benzi popote ulipo Amini mimi nakupenda cn ❤❤❤❤❤❤ wewe Achana nao watu waseme wajinga cn hao watu ebu waache kukusema
@nurubakary9519
@nurubakary9519 8 месяцев назад
Hum
@abdulrahimomar8554
@abdulrahimomar8554 8 месяцев назад
Nice
@BarakaKanyamibwa-lo4gc
@BarakaKanyamibwa-lo4gc 8 месяцев назад
Mbone uyu djamaa anaakili sana???????
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 8 месяцев назад
Robo3 nzima ya interview anaongea chidy😂
@tabomusic3625
@tabomusic3625 8 месяцев назад
For the stupid ones who dont care about the contents of the message but who has talked a lot or how the speaker’s appearance was
@softtlipssTv
@softtlipssTv 8 месяцев назад
📺📺📺📺📺🔥🔥💥💣
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 8 месяцев назад
Huyu presenter mngemtaftiaga mahojiano yake na wasanii wake wa kisasa ndio anawaweza ila Hawa kina chid, Fido, Nick Mbishi , Blue , Tid huyu Dogo hawezi hoji Hawa watu anazinguaga tu"
@allynungu2574
@allynungu2574 8 месяцев назад
Jamaa akampa cm ashike 😂😂😂
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 8 месяцев назад
Ninamwombea arudi
@dvjmiloow2955
@dvjmiloow2955 8 месяцев назад
Kigeu geu.
@mwasa_tv
@mwasa_tv 8 месяцев назад
Kadata ila anaongea point
@afisamipango005
@afisamipango005 8 месяцев назад
😂😂😂Chid bwana eti uzi umeinbana
@user-zh5tp2yq6f
@user-zh5tp2yq6f 8 месяцев назад
😅😅😅 nilirudi kusikiliza nyimbo yako na mwasiti
@feisalkhalid1210
@feisalkhalid1210 8 месяцев назад
move on with ur IQ today ur sober bro🔥🔥🔥🙏
@fundijumakimbaru7622
@fundijumakimbaru7622 8 месяцев назад
Atoerebo wakati nguo ya dukani kakodi akimariza kuojiwa inarudi dukani kwa wewe ujui wasaniiwengi wanakodi wewe muereze afiche rebo kabra ujamuoji au urikuwa ujamuona mapema basi ungeuchuna tu
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 8 месяцев назад
Namimi nliwaza clouds wamem hoji then wamemsaidia nin Chid is right💯
@godfreyathumani9912
@godfreyathumani9912 8 месяцев назад
😂Kwenye interview mmempata Ila kumfikishiaa ujumbe hamjampata😂 haipatikani
@fadhirisalumu1045
@fadhirisalumu1045 8 месяцев назад
Tatizo anaogopa maswali anaongea yeye hampi nafasi mwandishi kumuuliza
@ayubuzayumba
@ayubuzayumba 8 месяцев назад
Chid ni piece upendo Yani ndio pia kilichomfelisha
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking 8 месяцев назад
Yani watangazaji wa manara tv wameweza kumpata manara ila manara hawezi kumpata chidi ili amsaidie 😏😏😏 Nyokooo!
@MsafiriGathuraku
@MsafiriGathuraku 8 месяцев назад
He looks like lil ommy
@controlTheoryChamps
@controlTheoryChamps 8 месяцев назад
Addiction, dah
@mnalagamnalaga7471
@mnalagamnalaga7471 8 месяцев назад
Pamoja na yote anayoyapitia jamaa ni kichwa vibaya,
@abdilehussen2123
@abdilehussen2123 8 месяцев назад
Kwa hiii ni video inaonesha chidi ni teja
@mpinaclassic4073
@mpinaclassic4073 8 месяцев назад
Chumaaaaaaa
@ommy2525
@ommy2525 8 месяцев назад
Ndio mumvalishe nguo zenye lable ili baada ya interview mzirudishe dukani ama nini ????? 🤣😂😂😂😂
@abdallahmchange1370
@abdallahmchange1370 8 месяцев назад
TEJA
@Tiffany340
@Tiffany340 8 месяцев назад
Hili jamaa lina akili sana daah ukilisikiliza utaki amalize,.. kauliza swali apo ile video iliyotrend kakimbia na chanji, ingekuwa ni kipande cha clip ya wimbo wake ungejaribu kusema jamaa madawa ayo katumia?🤗🤔 SEMA NN,TUNAKUELEWA NA AYO AYO MADAWA YAKO MWAMBAA 😂😂
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 8 месяцев назад
Kwahyo aendelee tu kukandamiza😂😂
@user-zj9uz6vz3g
@user-zj9uz6vz3g 8 месяцев назад
Jamani chid , madaya ya kulevya hanaharibu watu . Tunamis ngoma zako ndo basi tena
@florianscarion5085
@florianscarion5085 8 месяцев назад
Tatizo la chidi leo anaongea hivi kesho anaongea vile
@rehanijuma1421
@rehanijuma1421 8 месяцев назад
Oya tumsaidie tuu ndugu yetu
@bakarisaid6544
@bakarisaid6544 8 месяцев назад
Kashapona huyu
@SaidSaid-ef8md
@SaidSaid-ef8md 8 месяцев назад
Me sioni madawa hapa ila chidi unaleta unyamwezi mwingi bila kuelewa situation yako. Watu wanaelewa umuhimu wako kwenye game but wanashindwa kukusaidia kwamana hawakuelewi. Hebu tafuta interview ueleze usaidiwe nini ili watu wakuelewe, utasaidiwa ila kua serious hata kidogo.. Usilete ubangi bangi wako. Ukishakufanikiwa na kujieka sawa then ndo utajua kuishi maisha unayotaka ili kitakachokufika usilaumu watu.
@oyay2821
@oyay2821 8 месяцев назад
Hio karatasi ya t-shirt itoe basi
@mohamedslh5478
@mohamedslh5478 8 месяцев назад
New style yake iyo amekuja nayo 😅😅
@user-ey5mv1yz3s
@user-ey5mv1yz3s 8 месяцев назад
😂😂😂 nilikua sijaona
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 8 месяцев назад
Alafu Dukani atarudishaje? Ameikodi hiyo
@omarmahewa928
@omarmahewa928 8 месяцев назад
Tatizo sio kumvalisha Chidy no tatizo muwe mnatoa hizo lebo za nguo
@acalyyannick2874
@acalyyannick2874 8 месяцев назад
😂😂😂😂
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 8 месяцев назад
Mkaushieni huyu dogo, hamna anachokifanya , kahangaikeni na watu ambao wana URAHIBU na wako tayari kuacha, huyu anazingua tu
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 8 месяцев назад
We nae kuacha ni process sio kama kunya muache
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 8 месяцев назад
@@mrambadiana9678 .....Kwa hiyo process zote alizopitia mbona hajaacha..?... process ya kwanza ni ww mwenyewe kuamua Kwa moyo wako 'NAACHA NGADA' , bila hivyo hakuna process itakayokusaidia,...!...miaka mia utasaidiwa lkn utarudia,..!..huyo mtoto BOYA anaupenda UNGA
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 8 месяцев назад
Ni kweli watu wanaosaidiwaga ni wale waliotayar kuacha yaani wanaotaka kuacha
@danielkenedy4357
@danielkenedy4357 8 месяцев назад
Udhani rahis, vile ulivyoshindwa kuacha masterbation ndo inavokuw
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 8 месяцев назад
@@danielkenedy4357 ....we ndo Akili huna...mfano nyanya huo..🤣🤣🤣
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 8 месяцев назад
Chid wewe ni takataka mama yako asingekuzaa angekuwa kichaa peleka ujinga huko pokea unachopewa upone nyang'au kibuyu
@Anuaryomary-su9cd
@Anuaryomary-su9cd 8 месяцев назад
Ungemuelewa usingesema ivo it means fata life yko
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 8 месяцев назад
Angalau umeongea, huyo UNGA anaupenda, watu washamsaidia sana Ili aache, lkn wapi, ....kiufupi hakuna haja ya kuhangaika na mtujinga, wakawatafute wengine ambao wako tayari kuacha
@allymnyenye8109
@allymnyenye8109 8 месяцев назад
Hivi mnafikiri Unga ni sigara kwamba mtu akiamua kuacha anaacha ? Unga una athari kubwa mno kwenye addicted ya Ubongo na mwili mzima
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 8 месяцев назад
@@allymnyenye8109 ....Kwa maana hakuna wanaoacha ama..?.....Kwa jinsi alivyohangaikiwa huyo boya haikutosha kuacha..? Sikiliza, kitu cha kwanza ukitaka kuacha UNGA ni lazma uamue mwenyewe, matibabu yanafuata, Wapo watu walikua ma Addicted kweli na waliacha bila kwenda Rehab...kama hukuamua mwenyewe kuacha hata upewe tiba Gani utarudia tu'..!..huyu UNGA anaupenda na hajawa tayari kuuacha..!
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 8 месяцев назад
@@allymnyenye8109yaan yanaropoka tu hayajui madawa kuacha ni long process
@kiketerodoublek1899
@kiketerodoublek1899 8 месяцев назад
NGUVU YA MUNGU 🫶🙏
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 8 месяцев назад
Mgonjwa huyu, msaidieni kimya kimya, acheni wale watu wa taxi wanaomdhalilisha.
Далее
Yana bir yangi qo'shiq YORAM BIYO | Yaqin kunlarda
00:57