Aamina maana sio sili single mama balaa maana kama me toka nimeachwa na mtoto ana 40 mpaka leo ana miaka sita juz anacheza na wenzie shule anawaambia wenzake me sina baba baba anipenda sijawahi kumwona imeniuma sana na bata me sijui baba ake alipo na hajawah kumtafuta yaana nawaza kwa nn mtoto kawaza vile 😢 💔
wallahi the only person who understand the pain and struggle of raising a child is only a single mother...understand her pain coz am on that ..much love gigi from Saudi Arabia be strong for your Baby God will see you through
Umefanya nilie mpaka cku yangu imeharibika maisha yako ndo ninayo pitia 😢nakukubali sana ila Mungu anajua unayo pitia ipo cku utafutwa machozi amini mm nimeona ktk maisha yangu,❤
These single mothers knows how to love...WAkikupenda usichukulie Poa bro....I have been there i have done It....One love❤❤❤ for All single mothers popote mlipo
Gigi nampenda saaana anaongea ukweli saaana anachekesha anahuzunisha piya analiza nakupenda saaana my Gigi mungu akufanyie wepesi katika kila Jambo lako dada go girl go Gigi
unauwakika gani kuwa ana ongea ukweli gig ni m2 wa drama sana alafu mo nae ana matatizo ukweli wa mambo Yao wana ujua mwenyewe siwezi jua kuna kudanganya midia machoz yasiwe kitambilisho cha kuficha machafu yao wapo wamama wana pitia changamoto lkin kwa gigi siwezi mtetea yeye wala mzazi mwenzake
Ukatili wa kupiga Wanawake umezidi Tanzania, inahitajika Elimu kubwa kwa vijana na wanaume kuhusu ukatili kwa Wanawake, Mama Samia na Serikali simamieni hili jambo Wanawake wanakufa wanaumia wanapata vilema, wanaharibu saikologi za Wanawake na watoto wanaoshuhudia ukatili, tunaomba mliokoe Taifa
Hii interview inanikumbusha machungu yangu 😔😔📌 kama nilie kwa sautiiiii💔 but staki kukufuru nasema hivi Alhamdulilah för everything , Nakushukuru Allah hukuniacha peke yangu😔 and now Iam proud mom twins wangu wanafikisha 16 yrs old, ila haikuwa rahisi.... Hasbu Allah waneemal wakeeyl 🙏 Mungu azidi kukupa nguvu mama mayra I FEEL YOU DEEP DOWN😭😭😭😭😭
Huyu ndio muandishi sasa wangekuwa wale ungesikia kati ya mondi,kiba na konde unampenda nani yaani waandishi wengine wapo kiuchawa chawa chawa chawaaaaaa.
Wangapi mmeirudia hii Interview??Gigy jitahidi kumaliza maumivu mwenyew achana na huyo mbona mtt atakuwa ty....umia Moyoni polepole afu ng'ara hadharani akwambia .Nilipita huko lkn niliamini kilichondani yangu Mpk Leo hiko good ✌yr Woman Of perfection go gal ❣💋💋
Ninakupenda sana Gigy mdogo wangu huwa unaongea ukweli na ninakuamini kwa kila unaloongea sijawahi kuona ubaya wako hata kama upo ni ubinadamu ambao upo kwa kila mtu
And those men She dates they bring more damage to her! I real hope that she gets the help She needs so that the trauma She faces does not repeat to her sweet daughter Mayra! Sending love to Gigy ♥️
People wakasema they don’t understand how she switched from Crying to laughing( sometimes people going through depression, they will wear any kinda face to hide how much they hurt
Gigy kuwa makini namwanao usim ache mwanawo akajiachia kwa huyo mme wako kumbuka ni wakike siku hizi kuna shetani mbaya ame watawala sana wanaume mmh m naogopa bwanaee
I can feel her pain, she real loved/loves that guy, she is a hustler, deep down that past relation and history is still taunting her, I hope she will find someone to make her happy, she is now matured enough to take care of her daughter, shame to that irresponsible father of her daughter.