Тёмный

VANESSA MDEE INTERVIEW: Historia yake, yeye na Jux na mengine 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 546 тыс.
50% 1

Ni mwimbaji kutoka Bongoflevani, mshindi wa tuzo ya AFRIMMA Nigeria 2014 kama mwimbaji bora wa kike kutoka Afrika Mashariki, leo kwenye hii Exclusive anatueleza alikozaliwa, alikoishi, kuolewa, Watoto lakini pia ameeleza wazi yeye na Jux wakoje.

Развлечения

Опубликовано:

 

25 апр 2015

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 207   
@aishaabdillahi5
@aishaabdillahi5 9 лет назад
I love this girl kwakweli Anajitambua.Mungu Akulinde dearest
@estherdominic1673
@estherdominic1673 2 года назад
pole mwanangu Vanessa mdee kweli machozi yenu mungu amewaona kila maisha mwanangu Ila msisahau kumuomba mungu mtumikie mungu Sana mungu awabariki mno wewe na huyo mme wako pole mtoto wangu kila karibu Lina mlango wake
@kwtkwt4158
@kwtkwt4158 5 лет назад
AIS NAPENDASAN INTERVIEW)ZAVANESSA ANAJIBUVIZULI ANAONGEA VIZULI ANASAUT NZULI PIA NIMZULI NAKUPENDASAN DADA YANGU FROM 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮TUMEKU MISS SAN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@richardmalley530
@richardmalley530 9 лет назад
aisee... i don't think kama kuna studio nyingine nzuri kama hii tz!, yaan sound imetulia,inasikika vizuri,background view, yaan ni more than HD... interview nzuri, yaan classic, you are taking TZ international broh!.. i appreciate that!, make more interviews with different celebrities kama ile ya sheta and more and more.. pamoja xn
@leonardthedon12
@leonardthedon12 9 лет назад
Mtu wangu wa nguvu umetisha.. unamaswali ya mazuri sana..!! Pamoja sana..
@beatricejoseph4584
@beatricejoseph4584 9 лет назад
Vanessa ni mrembo na anajua kujieleza millard nae anamaswal ya mtego intervew nzur
@hassanhussein9062
@hassanhussein9062 9 лет назад
Millard ayo kaka tunakupenda sana wa kazi ambayo unavanya pia napenda siku moja ufanye interview salama jabir nashkuru sana
@anneralph7810
@anneralph7810 9 лет назад
Millard ur good.. Ur smart..yani i really like the way u interview ..and vee knows how to do it..hongera sana kaziii nzuri
@bellabebe7494
@bellabebe7494 9 лет назад
Hatimae vee kakubali kuwa anatoka na jux...how sweet?! I lov them♡♥
@bernardjohn3345
@bernardjohn3345 8 лет назад
+Millard Ayo wwe ni mkal kka nmekukubal sana God be with you
@chachamwita6535
@chachamwita6535 9 лет назад
Nakubali xna kazi zako M Ayo,ww ndio mfano wa kuigwa kwa mapresenta wanaochipukia. Kaza kaka Nipo nyuma yako.,BIG UP xna
@stellamsangi4474
@stellamsangi4474 8 лет назад
daah veejux nakkubal sana truly appreciate uu kwa kaz unazofany first unajielewa and really genous lyk u so much v and Millard
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 8 лет назад
Vanesa i love you skin colour,black is beutiful!plse usijichubue!!
@swahilination3715
@swahilination3715 8 лет назад
Amazing that she even knows how to speak her native PARE language
@agnecyandrew3789
@agnecyandrew3789 6 лет назад
Good
@abigailnjoki2297
@abigailnjoki2297 8 лет назад
Nampenda sana VeeMoney muziki wake, character na style biggest fan from Kenya!!
@benedictonesmo6857
@benedictonesmo6857 2 года назад
Me also
@benedictonesmo6857
@benedictonesmo6857 2 года назад
Roll model wa Rosa ree
@meddeck
@meddeck 9 лет назад
I love this lady. Real talent. Humble, beautiful lady. Ms. Mdee. Not a no-talent socialite....
@zynabmanyandeshi7143
@zynabmanyandeshi7143 2 года назад
Njk kk
@nicaahmonique1175
@nicaahmonique1175 8 месяцев назад
L O
@farajankya5550
@farajankya5550 9 лет назад
i real adore vanessa...yupo very unique...anajua anachokifanya....millard i love those maswali ya mitego from you..hahahaaa...ur good mr countdown
@paulndezi8807
@paulndezi8807 9 лет назад
This woman is truly amazing bro. She has the voice of an angel. Talk about beauty and brains + hot vocals all bundled up together. You should interview her more bruh ***** ....
@abubakaradam5492
@abubakaradam5492 8 лет назад
vannexa thanks kwa kumpenda mkali wangu jux
@maxomari3542
@maxomari3542 8 лет назад
nina mda mdogo nimejaribu kufatilia masupa star wa kibongo na kwa mda mfupi kuckiliza interview mbalimbali hila huyu dada yuko open sana mchangamfuu sana.ubarikiwe sana
@omaryshehe1655
@omaryshehe1655 5 лет назад
Bobo max ok
@sabiyuzk1052
@sabiyuzk1052 4 года назад
Good interview Mungu akuongoze
@bbinnarbinnar9968
@bbinnarbinnar9968 9 лет назад
Yap !!asante kwa kazi nzuri big upvna milayo tv
@mongeramatondo416
@mongeramatondo416 5 лет назад
Nakupenda vanessa, I like the way ulivyo, unanikosha on short, and u have a nice voice, I really love it
@evalynelengarwa5356
@evalynelengarwa5356 9 лет назад
Kwa mara ya kwanza kumuona Vanessa live on interview big wooow! To Ayo ur deserve the best quality and standard interviews.
@chungabhq6413
@chungabhq6413 5 лет назад
natafuta mama wa mtoto wangu kama uyo maana kafungk sana kuhusu life yake very Good 💋❤ sio kizembe mm kutuma love noma sana
@mongeramatondo416
@mongeramatondo416 5 лет назад
Msinichoke jmn kweny kusoma my comments nampenda huyu dada htr yani And una meno mazuriiii
@aminaayoub6400
@aminaayoub6400 9 лет назад
Dah very nice ....vee amekubal anatk na jux
@manzimaringo2622
@manzimaringo2622 9 лет назад
I do appreciate u bro, u do a lot to make us knw wht they are ril doin
@dateededdy5833
@dateededdy5833 9 лет назад
Kazi nzuri sana #mr_countdown nmependa anavyojib masual Veejux nampenda na napenda anachofanya piaa kila la kheir kwake ***** mtu wetu wa nguvu wndelea kutuhabarsha
@SIDETZ92422
@SIDETZ92422 9 лет назад
She is good person, charming, and she has a good pr
@mwajumayusufu6693
@mwajumayusufu6693 5 лет назад
.
@fatma2496
@fatma2496 9 лет назад
Maswali mazuri, 👏interview imetulia
@alfredbomani9098
@alfredbomani9098 9 лет назад
Ametisha sana dada Vanessa...big up braza Millard kwa v2 nzur ka hz
@hamiyudramadhanid194
@hamiyudramadhanid194 6 лет назад
Nakupenda sana vanessa mdee arafu umependeza sana yaan
@MissChristinaErick
@MissChristinaErick 9 лет назад
Asante vee kwa kukubali kuwa jux ni mpenzi wako,mna pendeza sana niiiice couple
@sabrynahmaulid5800
@sabrynahmaulid5800 9 лет назад
nimesoma arusha modern too...i actually love her n shz my inspiration
@chachamwita6535
@chachamwita6535 9 лет назад
Uko vizur mirrad ayo,napenda kazi yko.
@georgenyakerenge1576
@georgenyakerenge1576 9 лет назад
I really love you vanessa
@millenmark5978
@millenmark5978 9 лет назад
ebwana ayo pamoja sana I like dis mahojiano koz yameniweka aware
@mongeramatondo416
@mongeramatondo416 5 лет назад
Kumbe ndo mn unajua kingereza kizurii ee,, big up my sis vanessa mdee
@hildahtemuh1041
@hildahtemuh1041 5 лет назад
Mependa studio km na ww umependa ndoa studio like ap
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u 7 месяцев назад
Wewe ni mzuri sana kwa sura nadhani hata roho yako ni nzuri
@nubaevarist5850
@nubaevarist5850 9 лет назад
well done bro. tnakupenda sana
@danielilashayo1948
@danielilashayo1948 9 лет назад
mtu wa nguvu leo nimekunasa ayo tv you tube
@ricoroyalthedjkenya923
@ricoroyalthedjkenya923 9 лет назад
napenda huyu manzi ur the best vanessa
@miltonemusumbah2544
@miltonemusumbah2544 7 лет назад
Thumps up Millard, you are so professional
@deboravicent3354
@deboravicent3354 6 лет назад
Miltone Musumbah 254 Millard ni proffessional kweli kweli
@juditherasmus1125
@juditherasmus1125 8 лет назад
congrats Vanessa! keep it up
@calvinbrown5287
@calvinbrown5287 8 лет назад
nimependa ilo lemba axe
@benedictstanley5065
@benedictstanley5065 9 лет назад
biig up sn Vanessa
@reubentza
@reubentza 6 лет назад
Duu mwenyezi mungu azilaze Roho za baba zetu mahali pema peponi hata me mwaka 2007 nlikutwa n.a. mtihani huo ila daaah!! MACHOZI....!!!! JAMAN
@musalisasi
@musalisasi 8 лет назад
Nimependa kuwa muwazy
@siapascal7344
@siapascal7344 9 лет назад
Mwaaa mwaaa nayo ni lovely sana. V+J
@pancrasjoseph8419
@pancrasjoseph8419 5 лет назад
Nakuelewa sn v money .jah bless u
@adammwape
@adammwape 5 лет назад
Napenda kigugumizi chako Vanesa
@machakumedia7879
@machakumedia7879 9 лет назад
pamoja sana mtu wangu wa nguvi. Nimeipenda sana hii
@alwatanijnr389
@alwatanijnr389 8 лет назад
nakuelewa sana bro millard
@cheyismail5192
@cheyismail5192 8 лет назад
love her sana
@makorigwakae777
@makorigwakae777 7 лет назад
nice one.cool voice.
@adelynedeus9483
@adelynedeus9483 9 лет назад
napenda kazi zako millad ww ni mtu wangu wa nguvu
@Ellen_Titus
@Ellen_Titus 9 лет назад
i love her omg
@zainababdallah2582
@zainababdallah2582 4 года назад
Venessa l love your skin colour n l like how you talk too
@wesakaphilimon9578
@wesakaphilimon9578 9 лет назад
I love her.
@mongeramatondo416
@mongeramatondo416 5 лет назад
Kwenu kumbe wa kishua eee,,,hongeraaa my dr
@ernestnzeyimana1486
@ernestnzeyimana1486 5 лет назад
Vanessa je t'aime bcp kumbe unajua franch yooo i like you very good
@johnmihamangeleja4192
@johnmihamangeleja4192 8 лет назад
Vanesa mdee anastahili Kuigwa
@adolfinangatunga4424
@adolfinangatunga4424 6 лет назад
I real Lov u much v
@harunashabani4351
@harunashabani4351 5 лет назад
Kweli my nakukubali piga kz
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 5 лет назад
Jamani same bday na mtt wangu...Love Mingi from Canada
@jezzytz1601
@jezzytz1601 5 лет назад
Good vaness unajuwa kujielezaa fresh
@mussasinoni9603
@mussasinoni9603 7 лет назад
Unafanya kazi nzuri sana millard ayo i like you Mungu akuweke sana bro
@deboravicent3354
@deboravicent3354 6 лет назад
Mussa Sinoni Amina
@Ellen_Titus
@Ellen_Titus 9 лет назад
waiting for part 2..............loading
@nyakufotu9782
@nyakufotu9782 7 лет назад
I love your voice
@shilahkizito6279
@shilahkizito6279 9 лет назад
Na kukubali millard. .lv yaa soooo mmmwax
@immaculathaasimwe9533
@immaculathaasimwe9533 9 лет назад
lv dem mey god be wz them@one lv bro mirdi
@maryndito7553
@maryndito7553 9 лет назад
Hiyo imekaaa poa sana nampenda sana huyo binti veemoney interview imesimama
@drmauji1126
@drmauji1126 2 года назад
2017 ulisema unamika 37 ivi punde 26 Hmmmmmmmmm? Bongo bwana
@mrsd846
@mrsd846 7 лет назад
vee money I love u speak very well English and swahili but
@halimambwego8287
@halimambwego8287 7 лет назад
Nilimtambua nikamuelewa na nikampa chance na kusema huyu kuvaa kiatu cha mind yu mbioni na mungu azidi kukuangazia
@mahmoudalmeida804
@mahmoudalmeida804 9 лет назад
Umetisha cna money nice one
@salmamalipula8455
@salmamalipula8455 9 лет назад
nice french mdada
@blandinedubai1133
@blandinedubai1133 5 лет назад
Oh vrement tu essaie j adore et je t adore
@sophiasophy7648
@sophiasophy7648 7 лет назад
ncy vee money wng i love so much
@ghattyjob1762
@ghattyjob1762 9 лет назад
Lv ayo tv big up mtu wangu
@ashilafisilajisentongo3101
@ashilafisilajisentongo3101 9 лет назад
Vannesa ametishaa Bonge la interview millard maswali yameshiba ofcoz kajitahidi kujibu kwa mara ya kwanza namuona vannesa anafungukaa
@sisiss-eu8eq
@sisiss-eu8eq 9 лет назад
Hi! Ninampenda huyo dada. Alafu kunawatu wana bahati. Jux anabahati kweli kweli. KUPATA MWANANKE MWENYE AKILI KAMA VEE SI RAHISI. Ila millard, ikiwezekana uongeze mda itakua powa. Intvz zako nzuri sana ila mda mdogo sana,zinaisha haraka.
@editherkaaya8585
@editherkaaya8585 8 лет назад
I like it
@madamcolethaa641
@madamcolethaa641 5 лет назад
Ikosawa tatizo umejichubua siosawa Mafans tunataka rangi yako
@justinamasanja5718
@justinamasanja5718 9 лет назад
Big up brother
@glorylema
@glorylema 3 года назад
I miss her jamani😥
@emmanuelisaya5784
@emmanuelisaya5784 5 лет назад
Mm hiyo shingo yke nzuri miss
@kasimuyahaya4010
@kasimuyahaya4010 5 лет назад
Kwa Mara ya kwanza vmoney kwenye interview
@moonladysoona7979
@moonladysoona7979 8 лет назад
Nowonder she's cuteeeeee She ws brn in june💋💋💋
@nasramohamed1459
@nasramohamed1459 9 лет назад
Vanessa you're soooo funny, kwenu mko wengi mashaallah mpaka you started counting them to make sure how many you guys are lol kkkk
@awadhally1052
@awadhally1052 2 года назад
Nasra mohamed mashallah❤
@wanjikunjoroge7434
@wanjikunjoroge7434 2 года назад
Mashallah😍😍finally😌
@ruqiyaruq5142
@ruqiyaruq5142 4 года назад
Me dada nimekupenda mapozi yako mcheshi iko vzr dada
@eggysulle7988
@eggysulle7988 6 лет назад
Nakukubali sana Van
@witnesskivaria7483
@witnesskivaria7483 5 лет назад
Nakupenda sana veee
@frankpot8805
@frankpot8805 9 лет назад
Pamoja sana kaza but vanessa
@hajralucman4511
@hajralucman4511 6 лет назад
Nice vee money
@makambatvshow
@makambatvshow 5 лет назад
Je suis content d'entendre une fille tanzanienne qui parle le francais
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 5 лет назад
Ah bon!!! Vous croyez que nous, les Tanzaniens, on ne parle pas le français ou quoi? Bien que c'est pas notre langue nationale ni langue officielle mais on peut toujours l'apprendre quand même. Changez votre mentalité svp.....mon petit frère est un Tanzanien mais il parle le portugais, c'est pas d'office qu'il doit avoir une originaires brésilienne ni Portugaise pour parler le portugais......
@dagobertkato4053
@dagobertkato4053 7 лет назад
I love you Vanessa
@berthakobelo140
@berthakobelo140 9 лет назад
duhh V Money ndani ya ayo TV
@paschaziaelias8304
@paschaziaelias8304 9 лет назад
safi kwa v kuwa mkweli
@dorahmathias5476
@dorahmathias5476 6 лет назад
Nakupenda kila ck v money
@chantalggshshs7858
@chantalggshshs7858 5 лет назад
Vous parlez même le français c'est bon ça
@GIFTKIWELU
@GIFTKIWELU 8 лет назад
Vanessa u so mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
@dalalicharles9645
@dalalicharles9645 9 лет назад
Inapendeza sana
Далее
World Record Tunnel Glide 🪂
00:19
Просмотров 22 млн
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
Vanessa alivyompa JUX nafasi ya pili ya msamaha
3:14
Просмотров 129 тыс.
#краснодар
0:14
Просмотров 2,5 млн