Katika watumishi sijawah waelewa ni mojawapo na hyu mama kwahyo ushinwe kuhubili kweli watu waache dhambi kisa tupo kizazi kipya acheni kudanganya watu nyie mnaojiita wachungaji💋💋💋
ROSE MCHUNGAJI EBU NENDA KAKAE NA CRISTINA SHUSHO KAMPE ELIMU HIYO SRUDI KWA MUMEWE UNAFAA SSNA KTK KUTOA USHAURI WA NDOA CRISTINA SHUSHO ANATAKIWA AKUPATE MSHAURI OM WEWE
MTUMISHI WA MUNGU ,HAKUNA KAZI NGUMU KAMA HII,CHAPA KAZI,MUONEKANO WAKO NAUPENDA MIMI NI BINTI NAKUELEWA.NIMEFURAHI KUKUSIKIA UKIONGEA NAKUSKIA TU UKIHUBIRI JAMANI
Wewe sijui Imani yako iko wapi ? Hapa duniani Kiila mtu na Imani yake , roman , na waislamu ndiyo wachawi sana na washirikina baadhi yao , na huku wapentekoste uchawi ushirikina unakemewa , na ulevi , na uasherati ,