Тёмный

EXCLUSIVE: MWANAFUNZI ALIYEONGOZA KIDATO CHA 4 TANZANIA, AFICHUA SIRI "NILIJIFICHA, NILIKIMBIA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 174 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 332   
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 2 года назад
hongera dada kwa kutoboa mungu ni muweza wa yote...lakin pia na sisi ambao niwazazi jukumu letu kuwaandalia watoto mazingira mazuri...ukimwangalia kwa makin huyu dada unaona kwao jiwe lipo maktaba ya home ndugu yangu tutafute hela😀😀😀😀☺😃😃😃😃
@jimmymbella997
@jimmymbella997 2 года назад
Hongera sana mdogo wangu, mbeya juuuuu.... pia mdogo wangu pia amepata one huko huko mbeya kiukweli Mungu ni mwema sana sana sana❤️❤️🙏✔️✔️✔️
@placidiuscastusrwechungura7310
@placidiuscastusrwechungura7310 2 года назад
Kumbuka huyu ni #MUHAYA..hahaa so sema Wahaya wako JUU na wameiheshimisha Mbeya
@waziriomary9137
@waziriomary9137 2 года назад
Mashallah mungu akusaidie ufike mbali zaidi
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Hongera saan mungu akusimamie katka kila hatua yako ya masomo unayopiga na azitimize ndoto zako
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 2 года назад
Ya! Mungu ametenda.hongera binti mdogo wa Yesu.mbele yako ukutane na shuhuda kubwa zaidi.barikiwa.
@superstuwart2434
@superstuwart2434 2 года назад
Hakuna cha Mungu, we embu cheki mtoto anaishi ghorofani kwao kuna kila kitu anasoma shule ya bei anashidwaje sasa kuongoza. Sisi watoto wetu wanasoma shule za serikali ana stress hajui atakula nini bado mwalimu wake ana stress za madeni ya ualimu bado madarasa mabovu vyoo vibovu wanafunzi wengi walimu wachache... unaongozaje hapo mtoto akitoka shule kazi za nyumbani kama kupika kufua zinamsubiri yani mtoto unafika muda wa kusoma yupo hoi.... ataongoza lini mtoto wa maskini
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 2 года назад
Kuna shule fulani hapa 🇰🇪 inaitwa Olympic Primary school; miaka kama tano watoto best walitokea hapo. Shule ipo Kibera matopeni kwa umaskini, njaa, wabakaji wamejaa
@elsedielme243
@elsedielme243 2 года назад
Mdau una point sana
@andrewemmanuel9585
@andrewemmanuel9585 2 года назад
Point ais ingawa na masikini wanatokea ma TO
@swahilistories01
@swahilistories01 2 года назад
Sio sababu ya kufaulu ni jitihada tu ukiangalia hyo st.francis bei yake ni 1.6M sasa huwez linganisha na feza waja wala nan wanaotoa 3M mpaka 5M still kamanage kutoa best 7 student piaa mbona shule nying tu za kidumu na mfagio zishawah toaa TO hapo sio matter ya shule wala hela ni juhudii tu iliowekwa na wanafunzi pamoja na waalimu
@khamiskombo8724
@khamiskombo8724 2 года назад
Kumbuka mwaka Jana aliongoza ni mtoto wa maskini tena fukara hata izo unifom walimu ndio wanamchangia au hukuona
@saulilaizar767
@saulilaizar767 2 года назад
Consolata utakapo kutana na Rais mwambie maisha ni magumu mitaani ashushe Bei ya vitu, pengine wewe na familia yako mnamudu haya masiha lakini ukipata bahati ya kukutana na Rais mwambie
@victoriamlowe1747
@victoriamlowe1747 2 года назад
Hongera kipenzi changu Mwenyezi Mungu akulinde na Kila Jambo litakalokuwa kinyume wewe ni super woman
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 2 года назад
Binti yangu huyu kanigusa. Nilimkabidhi Mungu mambo yangu. Nakuombea kila la heri. Tahadhari sana Dunia na mapambo yake.
@marcominja8850
@marcominja8850 2 года назад
Hii Tanzania one ni special kwa watu wa maisha ya juu😀😀
@melaniaherman1098
@melaniaherman1098 2 года назад
😁😁😁😁😁😂😂😂😂
@saidbakari1127
@saidbakari1127 2 года назад
Hahahaha Yan
@norahazan796
@norahazan796 2 года назад
Hahahaa
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli aiseee
@lawabidingcitizen3427
@lawabidingcitizen3427 2 года назад
Hongera wazazi kwa malezi na binti kwa nidhamu nzuri na imani thabiti👍🏼
@mwinyilipende8277
@mwinyilipende8277 2 года назад
Congratulations 👍👍 for big results... Naomba utimizee ndoto Yako ya udaktariii
@augustinokumburu1936
@augustinokumburu1936 2 года назад
Hongera sanaa bint may God bless you
@husseinmohamed2756
@husseinmohamed2756 2 года назад
division two ya mtoto wa maskin anaesoma shule ya kata tena anaeishi chumba kimoja cha kupanga na wazazi wake huku akisoma na kibatari, inathaman kubwa sna kwang mm tena ukiwaweka darasa moja na hawa wa kishua huenda akawa anawaongoza kilacku.
@zainab4yo945
@zainab4yo945 2 года назад
kabisaaa ndugu yang
@abdulkilufi9230
@abdulkilufi9230 2 года назад
Sio rahisi aise Hawa Huwa wanakuwa vizuri kwasababu msingi wao mzuri tofauti na aliesoma shule ya kata
@evelynkilawe5379
@evelynkilawe5379 Год назад
peleka umaskini wako huko 😅😂🤣kila kona upo humu yaan wewe unashidA sio bule
@estherngowi8102
@estherngowi8102 2 года назад
Hongera Sana mwanangu,uzidi kusonga mbele zaidi. Usiache kumtegemea Mungu siku zote
@norahazan796
@norahazan796 2 года назад
Shule za kata zitasubiri sana. Vitisho kwa walimu kila siku mazingira mabovu utegemee ufaulu. Kila kitu ni mazingira rafiki. Hongera consolata.
@lusekelocharles8066
@lusekelocharles8066 2 года назад
Hongera sana mtoto uko vizuri the point ni kuutumia muda wako vzr asante kwakumtegemea mungu vyote vinawezekana
@yakaramayaka1456
@yakaramayaka1456 2 года назад
Environment imemsaidia sana.
@pascaljr.5439
@pascaljr.5439 2 года назад
Wakishua hongera.Cc wengine ambao tulioyakoroga enzi zile kayumba tunasota na maisha huyu mama wa kambo hana hat haruma.
@FitiMilele
@FitiMilele 2 года назад
Mtoto mzuri, ana akili na ana pesa. Safi sana. Mashallah. Utapigiwa simu na shule mbalimbali ikiwemo shule moja maarufu international pale Moshi. Utamaliza shule zote unazotaka kuja kusoma bure kuanzia hapo
@veronicathomas9422
@veronicathomas9422 2 года назад
Hongera sanasana Mungu akutunze. Kwa iman naamin wanangu watakuwa vichwa na syo mkia
@gloryidelya9899
@gloryidelya9899 2 года назад
Amen
@onestkasmir1534
@onestkasmir1534 2 года назад
Niliona comment ya kwanza mtu anampinga huyu mtoto kuwa ni kwa vile wana hella kwani mwaka Jana si mtoto wa hali ya chini ndio alifaulu kitaifa acheni jaman tukiambiwa tutafute hella tupunguze kujielza tunasema tunakufa ya nini angalia mtoto anapoishi hizo ni jitihada za wazazi wake mungu na bidii tutafute hella hata tukija kuondk hawa ndio wanachkua kijiti cha utajiri acheni fikra potofu
@nin6324
@nin6324 2 года назад
Yaani Watanzania tuna wivu sana sijui kwanini jamani. Ni kweli Tz one 2021 alitoka shule ya kata lakini huyu kafuta kumbukumbu
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 2 года назад
Kabisa aisee
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 года назад
Hongera Sana.... Mungu akutunze Sana kwa ajiri ya Taifa letu la Tanzania....
@samsonmagesa3959
@samsonmagesa3959 2 года назад
Ongera Dada mabinti wengine wanawaza Mapenzi tu badala ya kuweka Akili kwenye masomo
@singujoseph2896
@singujoseph2896 2 года назад
Ata Kama kaongozaa,Ila mfumo wa elim WS tz haumsaidiii mwanafunzi yyte elim imebase kwenye theory than practical afu mnatuambia tujiajiriii,hamko serious
@abdulrazakhassanor498
@abdulrazakhassanor498 2 года назад
Safi sana mkuu
@omaryabdallah6178
@omaryabdallah6178 2 года назад
Kiswahili F. Unaongea kiswahili katika rafudhi ya kiingereza. Tunaua lugha yetu. Hongera kwa kufanya vizuri.
@elsedielme243
@elsedielme243 2 года назад
Rafudhi ndio nini? 😂 😂 😂. Wewe mwenyewe hujui kuandika kiswahili
@lishuamisi4146
@lishuamisi4146 2 года назад
Hongera sana mwanangu
@vailethkinabo7961
@vailethkinabo7961 2 года назад
Asante Yesu sifa kwa Yesuu
@olivervalentino9788
@olivervalentino9788 2 года назад
Amina
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 2 года назад
Hongra wajina Wangu Mungu akufikishe mbali zaidi
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 года назад
Hongeraaa Sana ila elimu ya bongo ipo kinamna,,,,hebu angalieni jamani Kuna mtoto anasoma St kayumba azimio, afu Kuna wale wanao itwa wa vipaji maalumu,,,,Sasa kwanini wote Hawa huwa wanapimwa kwa mtihani mmoja? Kama Hawa wana kipaji na Hawa hawana?
@sarifakhathon6234
@sarifakhathon6234 2 года назад
Mashaallah Baraka kwako
@mrgeorgeisdory5277
@mrgeorgeisdory5277 2 года назад
Akimbilie kwa Mungu la sivyo Hana Maisha atapiteza au atachukia shule hii nchi ni ngum
@yuzotv458
@yuzotv458 2 года назад
Naunga mkono Hoja😎
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 года назад
Uwazi
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
Hahaa kwel sana nchi hii changamoto
@agneswily1942
@agneswily1942 2 года назад
hongera
@kgchippy
@kgchippy 2 года назад
MashaAllah... I like her
@sniper93999
@sniper93999 2 года назад
Yaan nahic watu cjuw wakoje wanasema amefaulu kutokana na mazingira ya kao maana hana dhiki ila tukunbuke mwaka Jana kuna mtu alifaulu kidato hicho cha nne kwaiyo ayo yote ni mipango ya mungu tuwaombee tu wazidi kufanikiwaaa
@gradnessshitindishitindi4881
@gradnessshitindishitindi4881 2 года назад
Mbeya vyakula n vingi lazima watoto wafauru vzr, pia hali ya hewa n nzurii mnooo!
@kwisa4899
@kwisa4899 2 года назад
Uongo Tu
@delimachesa4916
@delimachesa4916 2 года назад
Larkini pia Malaya wengi ndo wanapotokea so hivyo si vigezo
@naomicharles5336
@naomicharles5336 2 года назад
Hongera Sana 🤝
@sabinashabani1165
@sabinashabani1165 2 года назад
Hongera sana mungu akuogoze katikandoto zako
@mohamedkondo6392
@mohamedkondo6392 2 года назад
Anapenda Physics, Khaaa🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾.. Ugonjwa wa Taifa🤧
@user-sq7pz9ex5g
@user-sq7pz9ex5g 2 года назад
Hongera mdogo wangu Ila huwa mnaishia hapo hapo five na six hatuwaoni so kama inategemea mungu kaza haswaa usiishie hapo big up
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 2 года назад
Hongera consolata
@musampanda5443
@musampanda5443 2 года назад
Next level
@marthasinyangwe3727
@marthasinyangwe3727 2 года назад
Mungu akutunze sana hongera sana mwanangu ufike mbali
@estamathew5167
@estamathew5167 2 года назад
Mmmh shule za ela hizi msitudanganye,,, et mnafaulu mbona za serikali hazijawah kutoa mshindi😙😙😙
@hadijamaleboo9214
@hadijamaleboo9214 2 года назад
Hongeraa
@RUFUS_97
@RUFUS_97 2 года назад
Wajinaaaaa❤️❤️
@honestmsigwa4096
@honestmsigwa4096 2 года назад
Hongera sana binti endeleza hadi kidat cha 6
@mentndebeto3817
@mentndebeto3817 2 года назад
daaaah......umechukua.....nafasiii....anguuu.....an........ila.....munguuuuu..........akutangulie
@davismmari1787
@davismmari1787 2 года назад
Hongera my young sister
@selemanjuma1595
@selemanjuma1595 2 года назад
Hongera
@thomasgabriel3205
@thomasgabriel3205 2 года назад
Endelea kumtanguliza mwenyezi mungu kwa kila hatua unayo pitia kosolata
@salimahmed6005
@salimahmed6005 2 года назад
NOW I UNDERSTAND WHY PATRIC LUMUMBA TOLD ETHIOPIAN ONE DAY THAT AFRICAN WE'RE WEAK, TANZANIAN WE MUST WAKE UP AND STOP PRAISE EVERYTHING.IF YOU'RE LITTLE SMART AND INTELLIGENT YOU MUST KNOW THAT IT'S IMPOSSIBLE TO HAVING 95 LOCAL CHICKENS THAT ARE ALL LAYING TOGETHER...
@prettyh7509
@prettyh7509 2 года назад
Mashallah
@daudidaudindaga1648
@daudidaudindaga1648 2 года назад
Big up sister
@salumjawadu1520
@salumjawadu1520 2 года назад
Congratulations mdg wetu
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 2 года назад
Mashaaalah Serikali impe zawadi
@anodedavies
@anodedavies 2 года назад
Hongera Sana
@pallonetz7603
@pallonetz7603 2 года назад
Mwanangu😘
@rachelthomas1866
@rachelthomas1866 2 года назад
Hongera sana na mungu akutangulie
@angelkillian1168
@angelkillian1168 2 года назад
Hongera sana mdg wangu
@kaipapalai4566
@kaipapalai4566 2 года назад
Good bless you
@dineshog8575
@dineshog8575 2 года назад
Hongera consolata😍
@athumankiiza4955
@athumankiiza4955 2 года назад
Ongeraa saana
@Manyesha6290
@Manyesha6290 2 года назад
Nimependa kwa kumtanguliza mungu first
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 года назад
Ongera sana daughter Tanzania one 2021
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
Duuh dada huyu anaishi pazuri maishabora yana saidia sana
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 2 года назад
Hongera saana binti
@evasamson8238
@evasamson8238 2 года назад
Wanawake siku hizi Kwa kuongoza wako vzr.... wanaume mpo mpo tu siku hizi...kulelewa n nyie, ujinga n nyie dhama zimebadilika mtajua hamjui
@thegreatrafaboyrugete7772
@thegreatrafaboyrugete7772 2 года назад
Hongera Sana dada mkubwa Mungu you pamoja nawe
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 2 года назад
Ivi haya ni matokeo ya Tanzania au Tanganyika?
@davidodesdery4426
@davidodesdery4426 2 года назад
Wahaya...tupo....juuuu....🙏
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 года назад
Ahsante.
@devothaisaya5833
@devothaisaya5833 2 года назад
Wahaya tuko juu zaid
@user-hu6kc7yi3p
@user-hu6kc7yi3p 5 месяцев назад
This year is also mine
@felisteranthony8688
@felisteranthony8688 2 года назад
Hongera Sana Consolatha hongera pia kwa Wazazi wako
@vailethmsigala460
@vailethmsigala460 2 года назад
Hongera saaana
@lynhwilbardruckachale4205
@lynhwilbardruckachale4205 2 года назад
👏👏👏👏
@andrewalphonce7602
@andrewalphonce7602 2 года назад
Mungu akutangulie
@diselakombo2733
@diselakombo2733 2 года назад
Ongera sana
@elsedielme243
@elsedielme243 2 года назад
Dogo unapenda physics halafu unataka kuwa daktari ? I see an engineer there definitely not a doctor 😂😂😂 i used to love physics and months i ended up a software engineer that's a reality
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 2 года назад
Huwezi kusoma medicine pia bila physics mkuu. Kuwa dactari wa medicine inahitaji upige PCB. Na ukicheck hapo physics ndo kiboko zaidi kwa ugumu. It means kama anaipenda physics pcb haitomsumbua
@elsedielme243
@elsedielme243 2 года назад
@@bongoupdatestv9322 ni kweli ila chemistry and biology are the strongest links to medicine while physics and mathematics are the strongest links to engineering.
@aishasaidi8440
@aishasaidi8440 2 года назад
Ongera sana mdogoangu mungu akusimamie
@geofray0132
@geofray0132 2 года назад
Uyo Muhaya, sishangai wana akili sana hili kabila, yaani akitokea Rais Muhaya bas TZ itakuwa km Paris,.....God bless you girl ....
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 2 года назад
Soma mami! Hongera
@kasindanomathew6502
@kasindanomathew6502 2 года назад
Alipenda shule,alikuwa na walezi waliojali elimu yake,pia mazingira ya shule yakawaida tu sema amejaliwa kuwa na kichwa kizurii Cha kushika vitu kwa haraka
@agnesmwakyusa5767
@agnesmwakyusa5767 2 года назад
Ongera kipenz
@leilahasani3118
@leilahasani3118 2 года назад
Kigoma pna Mwanafunzi Alifnya Masomo kumi na Moja na yote ana A Mpka Bible knowledge kpta A lkn hta kumi Bora TZ hkuepo last year. Huyu ukimfuatilia kafnya zke masomo 7 tu eti kawa TO
@gwantwaadamson7887
@gwantwaadamson7887 2 года назад
Gool luck in your education
@frankmwashiuya7949
@frankmwashiuya7949 2 года назад
Hongera zake san lkn pia shule za sent frances hasa ya Mbeya ipewe ulinzi haijawah Felisha wanafunzi aixe
@stevelouis2502
@stevelouis2502 2 года назад
Wakishua 😘😘😘😘
@hagarbills4023
@hagarbills4023 2 года назад
Mungu aendelee kukuongoza ameeen
@zawadijuma5540
@zawadijuma5540 2 года назад
Hongera sana kama
@zawadijuma5540
@zawadijuma5540 2 года назад
Hongera sana kama history hii nzr mungu akubariki zaid consollata
@mahmoudjuma5384
@mahmoudjuma5384 2 года назад
Mungu akuongoze
@kudrantegakaje7237
@kudrantegakaje7237 2 года назад
Hongela San dd
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 года назад
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yangu hapo kama hautojali
@stantv2847
@stantv2847 2 года назад
Congrats
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 2 года назад
Somaaaa weeeeee maliza elimu zako zote uje ujiali kuuza matunda morogoro road😂😂😂😂😂😂😂
@olivervalentino9788
@olivervalentino9788 2 года назад
🤭
@honestandakidemi2332
@honestandakidemi2332 2 года назад
Sijaona sehemu aliyowapongeza walimu
@samakisamaki3226
@samakisamaki3226 2 года назад
Wazazi tunamchango mkubwa kwa ufaulu wa watoto wetu. Sio shule tu na hata maisha ya kawaida na mambo ya nje ya darasa. Wangapi hawajaenda shule na wamefanikiwa na kufanya vizuri kwenye mambo ya maisha yao? Tusiabudu elimu ya darasani na kubeza maisha yetu
@josavage
@josavage 2 года назад
God bless katika safari nyingine inayofuata
@officiallbullet9657
@officiallbullet9657 2 года назад
🙌🙌🙏 kila kitu Ni kwa uwezo wa mungu nimejifunza
@christinagideon961
@christinagideon961 2 года назад
Hii shule hawachukui vilaza cz mwanangu alipata 90 interview akaambiwa amefail daaaaa
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 2 года назад
Hongera sana sana binti
Далее
To mahh too🫰🍅 #abirzkitchen #tomato
01:00
Просмотров 864 тыс.
DALILI HATARISHI KWENYE UPENDO - JOEL NANAUKA
8:33
Просмотров 134 тыс.
KAMA MWALIMU
9:09
Просмотров 877 тыс.