It is amazing how this place stays the same, I competed my form 4 in this school 20 years ago and the environment is the same. For sure the spirit of St Francis lives on
Congratulations kwa Uongozi na Waalimu!!! St. Francis Ina wanafunzi toka sehemu mbalimbali Tanzania nzima. Tunaipenda sn kias kwamba km mtt akifaulu interview yao halafu wkt uohuo kafaulu serkalini anaacha serikalini anakwenda St. Francis!!
Hongera Sana Sana Millard, kiukweli unatufanya vijana wenzio tutembee vifua mbele jinsi unavyotuwakilisha kwenye kazi yako. Unafanya kazi nzuri sana, Mungu azidi kukubariki katika kazi yako ni mipango yako uliyonayo juu ya taaluma yako. Kiukweli unafanya vyema sana "Mtu wetu wa nguvu" stay blessed bro..
Binti zangu wawili, first born na last born wote wamesoma hapa. It is amazing, the way wame maintain standard ya kufaulisha na mazingira kwa ujumla. Hongereni jamii ya St Francis
Wow! What an amaizing Shool🔥 Napenda sana kazi zako na umakini ulio nao katika kutupatia habari All the best in the race to achieve the greater success🙏
Wangapi tunaungana na Mimi kwamba Millard ajengewe Sanamu Posta?😃, Huyu Jamaa ni Hadhina kubwa sana ya Taifa, ni Professional wallah Sitamani Kumpoteza, Mungu Azidi kumpa Afya Njema Always.
Point moja tu hapo ya msingi, nimeisikia mwishoni, namna wanavyo sajiri wanafunzi, they only take clean students, ndio maana kuna urahisi wa kufundisha, na kucontrol vyote vilivyosemwa hapo!!
Fimbo sio nzuri zimewafanya mpaka wabongo wengi kutokuwa na confidence, ndio wengi waliacha shule kwasababu yaviboko na ndio hao leo wanaichukia shule katika mafanikio yao nakufikiri shule si kitu
Kwa hii interview nadhani sasa umechochea watu wengi kwenda huko. Kwa hii ada ni ya kawaida mno na kitu wanacho deliver. Naomba waendelee kuwa bora binti yangu nitampeleka huko Mungu akitujalia maisha marefu
Wow ..I love the interview, it turned me back to my olevel at St Francis in those days.. Mungu akubariki Kaka Millard kwa kazi njema pamoja na the administration of the school
Good. Nishawahi kuongozwa na mkuu wa shule mhindi. Niliifurahia kazi yangu ..alikua vizuri. Alikua sio bosi tu bali the big comforter na trainer mkubwa kwa wafanyakazi # Anna Gamazo secondary school karatu
Yaani yaani hapo kwenye viboko nimependa maana walimu wengi humaliza hasira zanyumbani kwake kwa mwanafunzi mpaka wengine hupata ulemavu hongereni saan
Jamani even Rising star secondary do the same nendeni mkaitembele ipo Mpigi Magoe kwa Jimi imeshika nafasi ya 15 mwaka 2022 wanafunzi 57 with all division 1
The school is so beautful, the environement is so clean, and they are being taught well, teachers have qualified, but other schools you find a teacher who is teaching you, she or he had failed form four national examination acquiring division four, and went to teaching college, and becomes a teacher, what do you expect ? ? ? We should change this behavior of taking people who had failed, getting division four in teaching, otherwise the same results in other schools shall be obtained.
Kwenye viboko sasa lazima tutofautiane, shule zetu usipotumia fimbo darasa zima linataga! Kwanza hawatafanya mazoezi ya kazi za darasani. Kwa Kweli tutofautiane!
Kama shule zote zitakuwa hivi basi hakuna mtoto atafeli. Lakini pamoja na hoyo wanachagua watoto ambao ni Bright kwahiyo wakikutana na hayo mazingira mazuri ya shule wanakuwa Bora zaidi.
If you want to judge a school give them same students with Shule za Kata... nothing else those are normal schools .... any school can make it provided that the intake of students is cream as that.
Bokasa usiwe mpumbavu you don't know education.Tangu zamani enzi za ukoloni skuli za mission ndio zilikuwa bora.Kwanini kwanza high level of discipline ni kubwa mno.Hata hiyooooo lumumba unayosema enzi ikiitwa king george ilikuwa inatoa best cream.Maana mzungu ana high discipline na motivational methods za kum create mwanafunzi hakuna hujuma yeyote.Hata jirani zetu Kenya uliza skuli zao bora ni za seminary.Uliza skuli kama St Mary's aliyosoma Uhuru Kenyatta. Alliance high school.Akina mkapa JPM wamesoma skuli hizi nyerere ndio maana wamekuwa cream.Akina Kwame Nkrumah koffi annan wamesoma hizi skuli.Panua akili yako na fikiria nje ya box.Tatzo wanafunzi sasa hviiiii hawataki kusoma kabisa.Wazazi nao watachangia.Mimi ofisini kwangu ni karibu na skuli.Vipindi vinaendelea wanafunzi wamekaa na muuza chips nje wanaongea kweli hapo utapata matokeo yapi ha ha ha ha ha aaaaaaaaaaaaaah. Wewe hapa kwa mwaka mwanafunzi anatoka mara mbili.Kwanza unayaona mazingira.Umewaona walimu wenyewe walivyo na high discipline.Leo unasema hujuma set up yourself sir.Hata vyuo vikuu vikubwa Duniani angalia cambridge, harvard, MIT huingii ovyooo ovyooo tuu.Entrance zake si za mchezo.Si ma bangi bangi tuu