Тёмный
No video :(

EXCLUSIVE: WOLPER KATUONESHA MPENZI WAKE MPYA "NAHISI NINA MIMBA YAKE, SIYO KIKI" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 90 тыс.
50% 1

#Wolper

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 307   
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 года назад
Wolper nakupenda sana kipenzi 😍😍😍😍😍😍😍😍😍 kama itakua uko mjamzito hongera kipenzi ❤️
@careenpaul2328
@careenpaul2328 4 года назад
2ko pamoja julia
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 года назад
Careen Paul shukran sana kipenzi 😘😘😘😘
@cathy3842
@cathy3842 4 года назад
Am happy for you dea finally u met the right person wao he's more handsome than Harmonize wish u the best
@tum_celine7225
@tum_celine7225 4 года назад
Yan uyu dada anapenda watto wadogo af apoi kila kibenten chake jmn mhhh🤔 unaambiwa sehem zako zasiri zikiwa zimeonwa na watu zaidi ya watano bc hiyo nimali ya umma. Anatia aibu sana uyu dada
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂eeeeeeh jamani wolper ivi una pepo au?
@eliasjoel7425
@eliasjoel7425 4 года назад
Ama kweli ujana maji ya moto na final uzeeni wahenga walisema Kama unaamini mahusiano ya mitandaoni hayawezi kudumu ni kujidhalilisha tu na kujivunjia heshima katika jamii inayokuzunguka na kukudegemea kama wewe ndio kioo cha jamii gonga like hapa kwa kumpa pole Dada yetu tukitaka abadilike
@eshazuberi577
@eshazuberi577 3 года назад
Du
@sadakhamis6684
@sadakhamis6684 4 года назад
Nakupenda lakin kwanni huijuwi thamani yako ?🤷‍♀️au ndopombe hushukia chini
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 4 года назад
Itakuwa
@princesssway1396
@princesssway1396 4 года назад
Umeona eee
@fridajosephyusif4364
@fridajosephyusif4364 4 года назад
Ndio zake
@mwanahamisbakar118
@mwanahamisbakar118 4 года назад
Wauwaji wa vijana Ana lolote baada ya miezi mitatu utasikia tyr kashamuacha kisha anatafuta mwengine
@coolruler6820
@coolruler6820 4 года назад
Wosia wangu kwa kijana huyo: aliuandishi Mfalme Sulemani ktk kitabu chake Jina Mithali "Unasema: Hekima itakuwezesha kumkwepa mwanamke muasherati, mwanamke malaya wa maneno matamu, mwanamke amuachaye mwenzi wa ujana wake na kulisahau Agano la Mungu wake. Nyumba yake yaelekea kuzimu, njia zake zinakwenda ahera. Yeyote amwendeaye kamwe harudi, wala hairudii tena njia ya uhai. Kijana makinika, moyoni ndiko iliko chemichemi yako ya uzima "unatia huruma "kwaheri"
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
Ivi mtoto mdogo uyo anakupa nini?yaani tu wote wadogo unaokuwa nao wanakupa nini?mbona ni disrespect tu kila siku..hujifunzi?
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 года назад
Mmmh kwel mapenzi yamekuwa kama boda boda, kila mtu anaipanda, usililie uzur lilia bahati
@advocatekarama4917
@advocatekarama4917 4 года назад
Kwakweli
@rachelluvuno1017
@rachelluvuno1017 4 года назад
😂😂😂
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 года назад
Nenda kapime mimba baby ujue kaa umenasa fanya yako mtu asikupangie maisha ❤ ila umenichekesha jacky
@husnahemed3717
@husnahemed3717 4 года назад
Yan nakupenda ila sipendi tabia yako my dada badilika umekuwa
@nalkisaqueen3637
@nalkisaqueen3637 4 года назад
Ata mimi ni ivo kbs 😭😭😭😭😭
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 года назад
Husna Hemed kweli😭😭
@bongomsasa2496
@bongomsasa2496 4 года назад
we nae sasa unampendaje mtu halafu hupendi tabia zake? au unampendea umbo ambalo hana sasa!
@husnahemed3717
@husnahemed3717 4 года назад
Ambavyo jituma juhudi zake ktk maisha yautafutaji tu sio tabia
@jacklinegeorge5220
@jacklinegeorge5220 4 года назад
Naomben msaada jaman ,hv hl wig la huyu dada n lile lile la cku zote au hua anabadlsĥa?
@hjhj6230
@hjhj6230 4 года назад
😃😃😃😃
@kukudangersahal2348
@kukudangersahal2348 4 года назад
Tokea sabasaba
@nancyfantasia5781
@nancyfantasia5781 4 года назад
Cyo sabasaba kuna movie nliiona analo hlo hlo jmn na me najiulizaga hlo swal ni lile au lingine????🤣🤣🤣
@princesssway1396
@princesssway1396 4 года назад
Lilelile
@aminihaminih7846
@aminihaminih7846 4 года назад
Ngoja nikutumie namba zake upate jb kamili 😜😂😂😂
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 4 года назад
Hawa watu ni weusi mno ila jamani Taifa hili hadi miaka 50 mbele sijui litakuaje!
@brigidmua2548
@brigidmua2548 4 года назад
Team wolpher....Happiness is the key ...congratulations
@celestinegesare7275
@celestinegesare7275 4 года назад
Yaani mwanamme baada ya kila mwezi... Tabia mbaya kabisa koma dada
@modricnoma3686
@modricnoma3686 4 года назад
😃😃
@hjhj6230
@hjhj6230 4 года назад
Haki anajizalilisha tuu ovyo sanaa
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
Huko ndani ya chupi kuna makombo tu maana kila mtu anaingia na kutoka ndiomaana haolewi
@mariamvincent5160
@mariamvincent5160 4 года назад
Kuolew majaaliw n rizki haijafikaa jaman ndio maan anahangaika kutafut mapenz y kwel duuh walimwengu kw kumjaji mtu loo mumezidiii kwn yy anatak huko kuchezewaaa
@hjhj6230
@hjhj6230 4 года назад
@@mariamvincent5160 hivi kuangaika na wanaume hivyo ndio kupata mume wa kuoa ..mtt wakike jistir tulizana rizki ya ndoa haiji kwa kuhangaika ivyo hapo zaid anajipunguzia heshma yake..tulia muombe mungu kisha uone majibu ya muumba
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 года назад
Ni Bandika Bandua 🤣🤣 uzuri bila akili zinazoumia ni sehemu za Siri.
@sawdasamsan4895
@sawdasamsan4895 4 года назад
😅😅
@mjukuutvonline8373
@mjukuutvonline8373 4 года назад
Really
@neemastephen4245
@neemastephen4245 4 года назад
Kweli kabisaa yani ni mzuri bt hajithamini
@titoplan1607
@titoplan1607 4 года назад
Sehemu za ayi ............. aje?
@amanimanase5794
@amanimanase5794 4 года назад
Una akili ya kutafta pesa ila akili ya mahusiano huna ila sisemi sana ni kweli huwezi jaaliwa vyote
@eudimadickson5032
@eudimadickson5032 4 года назад
M wolper nampenda sana kiukweli lakn maisha yake bado n movie siyo kiuhalisia
@gazaomar5290
@gazaomar5290 4 года назад
very nice my sister I love your toking
@herryignasy3010
@herryignasy3010 4 года назад
Uyu anapepo uyu jamaa akae naye kwa akili wanawake kama hawa hawana hisia ndio maana anabadilisha wanaume kama chupi
@priscamakendi5155
@priscamakendi5155 4 года назад
Hahahahahaha
@ashwramashallah7242
@ashwramashallah7242 4 года назад
Eti kubadilisha wanaume kama chupi😃😃😃
@yumna128
@yumna128 4 года назад
Yani ww wolper ujielewi unapenda vitoto mwisho wa siku vinakuvua ngua vinakuacha unawaibisha wachaga nyau ww
@careenpaul2328
@careenpaul2328 4 года назад
Kwel
@lucybaya3183
@lucybaya3183 4 года назад
Mungu nifundishe kunyamaza
@raphaelbruno2743
@raphaelbruno2743 4 года назад
Hahaaa kilivyokumbatiwa kama kifaranga ovyo kabisa
@supertallone1902
@supertallone1902 3 года назад
Kumbe ulisema kwel mamy...alkua mjamzito😍Hongera mama P
@ashwramashallah7242
@ashwramashallah7242 4 года назад
Uyo kibenten bado ..tafuta mtu alokuzid dada mie nakupenda sana ...hawa vibenten wanakuchezea tu au kiki
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamani give me a break wolper
@ashurakapinga9148
@ashurakapinga9148 4 года назад
Kwakweli wasani wakike mnajizalilisha muogopeni mungu moto unawangoja
@bintissa5929
@bintissa5929 4 года назад
I still Wonder if corona still exist in TZ
@brendahazel6463
@brendahazel6463 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@neymermponde7810
@neymermponde7810 4 года назад
Mtashangaa sana Tz God he bless this country
@victormwanza8920
@victormwanza8920 3 года назад
Rich he is better than Harmonize villager.
@neemamwabukusi5704
@neemamwabukusi5704 4 года назад
Wolper bado hujapata na nafikiri ungetulia ungepata mwanaume wako hivyo vitoto sio taip yako jmn nakuonea huruma kweli yaani
@nasrafita6909
@nasrafita6909 3 года назад
Yaani wabongo bhana mmhu
@felistersmejumaa5188
@felistersmejumaa5188 4 года назад
Pole mkubwa wngu maana hio life yko ni ngumu tu xna utaishia kuchezewa na vibenteni tu
@careenpaul2328
@careenpaul2328 3 года назад
Nyie inawauma nn
@yasseryjuma6833
@yasseryjuma6833 4 года назад
Utawamaliza vijana wote town
@kailomsewa2258
@kailomsewa2258 4 года назад
Nakupenda wiifi lakini mbona sikuelewi 🙄🤔🤔🤔
@suhaylaswai1311
@suhaylaswai1311 4 года назад
Alieona Kama mim anajikuna wigi alaf ananusa like tujuane
@officialidakeys
@officialidakeys 4 года назад
Aya Jamani tunao Mkubali Wolper Ngoga Like apa Tujuane Nakupenda Bure Wolper wangu Mama kwa kweli wasio Kupenda Kazi wanao ***Pleas Subscriber To My RU-vid Channel Official Ida Keys*****
@herryignasy3010
@herryignasy3010 4 года назад
Official Ida Keys unampenda kinafki mwambie ukweli kama uchi mgodi utabaki vumbi mgodi wenyewe unautaratibu syo kila anachimba.
@saadiaali5609
@saadiaali5609 4 года назад
Huyu ni danga tuu wanawake wazuri lakini hawana maana hawakai na vibinteni tafuteni watu wazima wenzenu
@salhiyakhamisjabu8374
@salhiyakhamisjabu8374 4 года назад
Nenda kapime iyo mimba kwanza bac tujipange mashabiki
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
mtaachana tu siku sio nyingi😹😂
@dorislema1814
@dorislema1814 4 года назад
dunian wachaw ni wengi atar ad mitandaon wapo ad uku kwetu wapo
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
@@dorislema1814 wewe juwa hao ni bongo move wao wenyewe wachawi wamahsiano Yao😁😹😂
@susanraphael5894
@susanraphael5894 4 года назад
mmh wewe
@nasrafita6909
@nasrafita6909 3 года назад
Sasa huyu mtoto atamsaidia nini jamani ikisha ukifatilia saaana utakuta wasanii wa kibongo wakike wanapenda watoto wadogo
@mussabulugu6319
@mussabulugu6319 4 года назад
Dada badirisha wigi acha kujishaua hata ongea yako tu cyo poa ongea kama mtanzania cyo hiyo blaablaaa .umri unaenda kesho itakuwa jion shauri yako
@chany9950
@chany9950 4 года назад
Nimeceka jmn wolper namupenda saaana
@franklugalamila3577
@franklugalamila3577 4 года назад
Dada eh we komaaa namm mwenye nakuelewaaa
@kukudangersahal2348
@kukudangersahal2348 4 года назад
Naskia ukimlipa laki unauza nae sura
@leonidakimtai4538
@leonidakimtai4538 4 года назад
Whaaaat😂😂😂😂😂
@farhatfarhat3816
@farhatfarhat3816 4 года назад
Nakupenda sana unavyojituma ni mtafutaji ila kwenye mapenzi uwa unaniangusha sana aujui thamani yako bora uyo akuoe kabisa ili miyoo yetu ituliee
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar 4 года назад
Miaka minne ilio pitsa, mapozi jamani. Usije ukatamka pizza wewe 😂😂
@aminihaminih7846
@aminihaminih7846 4 года назад
😂😂😂😂
@ashwramashallah7242
@ashwramashallah7242 4 года назад
😂😂😂😂
@ibrahimuathumani5692
@ibrahimuathumani5692 4 года назад
Ww dada unakalibia kuitwa Malaya konk
@roswitamkinga8583
@roswitamkinga8583 4 года назад
Nimeamini siku zote siyo kila king'aacho ni dhahabu , kiukwel wasanii wakike asilimia kubwa wanapitiwa na kuachwa hiv mnakwama wapiiiiiii
@maggiesjohn7956
@maggiesjohn7956 4 года назад
Mungu wangu tuhurumie.
@hamisimtupa7327
@hamisimtupa7327 4 года назад
Duh daftari inajaa kila siku anabadilisha huyo dungayembe tu ndo mana hawaolewo
@tiffaommy846
@tiffaommy846 4 года назад
Mlez wa Wana namuona Ana chombo kipya
@sheysarahnjeno9326
@sheysarahnjeno9326 3 года назад
Honger kwake ila atulie
@philiposam5762
@philiposam5762 4 года назад
Mi naisi wanaume uliotembea nao mbaka leo wanajaa levo ceat kwenye emirates ile ya Dubai wanakaa abiria 300
@pastoryrenson9621
@pastoryrenson9621 4 года назад
Hahahaaaa nmecheka kwa nguvu,we jamaa noma
@salhiyakhamisjabu8374
@salhiyakhamisjabu8374 4 года назад
Wolper bhana eti haikuwa pete kwaiyo ilikuwa kamba au
@zaraibrahim2075
@zaraibrahim2075 4 года назад
Waa huyu mwanamke hajielewi, yani leo huyu kesho .
@mirynjeri5850
@mirynjeri5850 4 года назад
Huyu dada mzuri sana lakini bado ajapata mtu sahii😀😀
@hamisimtupa7327
@hamisimtupa7327 4 года назад
Atapataje mtu sahihi wakati malaya hao wanaume alotembea nao akiorodhesha kwenye daftari linajaa
@hjhj6230
@hjhj6230 4 года назад
Yeye mwenyewe sio sahihi ataanzaje pata alie sahihi kwa mfano..
@biharucussi8130
@biharucussi8130 4 года назад
@@hamisimtupa7327 😂😂😂hatari
@maryshakira8650
@maryshakira8650 2 года назад
Jamani uyo mkaka wa jackline ameniibia kweli nime mutumia hela yangu ili ani tumie nguo lakini ame zila zote ame ni block
@wizzmkandawile1140
@wizzmkandawile1140 4 года назад
Tunawapa wiki moja utaskia wameachana na worper CIO demu
@akonkwajackson2544
@akonkwajackson2544 2 года назад
Mwanamke ni mzuri kipindi kile chamwanzo
@ashuadjranahimana2757
@ashuadjranahimana2757 4 года назад
Niko South Africa ivi kwanini wolper iko ivyo hana samani
@saadiaali5609
@saadiaali5609 4 года назад
Kesho uje ukatae useme niuongo hamuku date ushenzi
@frenkfrancis4151
@frenkfrancis4151 4 года назад
Uyu maraya sogodo okotaokota pumbavu Sana uyu dada
@rahmaali4009
@rahmaali4009 4 года назад
Hayo mapepo yenu harafu mnagombea mnataka kura zetu wasanii wote mkgombea hatu wapi kura zetu hakuna mnachoongoza
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 4 года назад
Sawa Mjumbe kama Mjumbe...😁😁😁
@rahmaali4009
@rahmaali4009 4 года назад
@@user-ot2io4cy6w mjumbe Nisha ongea 👌👌😅😅😅😅
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w 4 года назад
@@rahmaali4009 Umetisha Mjumbe Mkuu. Wolper Kataaaaa.....!!!!!😀😀😀
@rahmaali4009
@rahmaali4009 4 года назад
@@user-ot2io4cy6w Yan kabisa Sasa mtu yeye mwenyew mwili weke authamin ata Kuja kuthamin wananchi Yan wasanii wa bongo movies wote wakigombea sipigi kula walha
@bennamush1549
@bennamush1549 4 года назад
Dada unakera Na hivo vibenteni vyako nakupenda lakini tabia zako sizipendi badilika umri unaenda maisha yenyewe mafupi hayaa
@giftmtemi1049
@giftmtemi1049 4 года назад
Duh umalaya weny kiwango aseee
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 года назад
Hakuna hata mapenzi hapo worper ameamua kuwatoa vijana wajulikane kwa aina yake hakuna mwanamke anaweza kuchezewa hivyo
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 года назад
Haya wapenzi njia kadhaa za kuondoa harufu mbaya ....wadada najua itakua mumenielewa ....douching ikiwa mmoja ya sababu za harufu kutokea kama hujui douching ni nini .......link hii hapa 👇🏾👇🏾ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE--P-WKpKl1cM.html Usikose ku subscribe na ku like ikiwa utajifunza kitu pia nidondoshee wazo lako hapo kwenye comment. Shukran 😘😘😘😘
@mostonjohnson9508
@mostonjohnson9508 3 года назад
Atali sanaa
@nazmaabdullkarim8022
@nazmaabdullkarim8022 4 года назад
🤣🤣🤣🤣yaaan bongo move waigizaj Sana et nataka.nikapime
@tamimwatamim3427
@tamimwatamim3427 4 года назад
Nazma Hujambo
@nazmaabdullkarim8022
@nazmaabdullkarim8022 4 года назад
@@tamimwatamim3427 sijambo
@tamimwatamim3427
@tamimwatamim3427 4 года назад
@@nazmaabdullkarim8022 Poa Ahsante
@alexkalonga3632
@alexkalonga3632 4 года назад
Duuu uyu Wolper
@doreenbae866
@doreenbae866 4 года назад
Wacha kujiangusha Dada tafta mume moja kesho kesho tu hapa utasema aumtaki 🤣🤣
@jumanguya9116
@jumanguya9116 4 года назад
Nsyuuuuuuuuuuuuuu Pumbavu sana ww
@fetychina3273
@fetychina3273 4 года назад
Mh!ila mtaendelea kufunuliwa nawatoto wadogo.mpaka mtakoma kwanini hamtafuti saizi zenu jamani?
@mishibabu8946
@mishibabu8946 4 года назад
Wolper she's beatiful,hardworking but hajielewi yani kila kukicha unafumuliwa na vibenten ela ni kwema huko chini 😅😅 bora kunyimwa uzuri hujithamini kabisa
@brigithakahise7048
@brigithakahise7048 3 года назад
Huyu dada ni mzuri ila daah ana kila mwanaume
@naseershiner6738
@naseershiner6738 4 года назад
Mungu wasamehe na nisamehe na Mimi pia
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 4 года назад
.mwenzi 2 utasikia break up 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 but ni mdogo. Mmmm mungu. 2
@rahmaidrisa8204
@rahmaidrisa8204 4 года назад
Yani we wopa unachukua watoto hata aibu huoni
@esnathjoseph4844
@esnathjoseph4844 4 года назад
Uyu Dada nimemuelewa ,tatzo hajabahatika kupata mwanaume mwenye malengo na yeye.
@zainabramadhan2109
@zainabramadhan2109 4 года назад
Uwiiiii Jack vipi Hawa Watoto watakuchezea tu na kukutumia
@frankgeorge9371
@frankgeorge9371 4 года назад
Ivii tokea mondi anatoa nenda kamwambie mpaka Leo chidi wolpar kapitiwa na njemba ngapi 💣🤸
@CarosKitchen
@CarosKitchen 4 года назад
Jack wanaume wanamtumia vibaya sana
@lilymammpayo8072
@lilymammpayo8072 4 года назад
Daah!dunia simama me mishuke
@fatumamohamed7410
@fatumamohamed7410 4 года назад
😄😄😄
@jumamiraji3081
@jumamiraji3081 4 года назад
Malaya wenye viwango hao
@careenpaul2328
@careenpaul2328 4 года назад
We apo so malaya???
@makambamirumbe3078
@makambamirumbe3078 4 года назад
Tena ana kiwango cha PhD
@susanraphael5894
@susanraphael5894 4 года назад
duh
@careenpaul2328
@careenpaul2328 4 года назад
@@makambamirumbe3078 vizur mwaaaaaa
@jocyalex7957
@jocyalex7957 4 года назад
Ndo shida ya. Wanawake wazuri yani wanadharirika tu. Wanaume wanawatumia tu yani hawaolewi wengi sijui kwanini jamani
@mwatumudogo3948
@mwatumudogo3948 4 года назад
Wolper unatuchosha dah unajishusha thamani keee
@pendolazaro4686
@pendolazaro4686 3 года назад
Wolper
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 4 года назад
wee dada
@hawaomarabdishakuru4689
@hawaomarabdishakuru4689 4 года назад
Yaani 🤔kuma ingekuwa na mita sijui ya wolpa inge soma ngapi🤔 duuu.
@maryjonh311
@maryjonh311 3 года назад
😎😎😎
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 4 года назад
Mmmh yani dd jiheshimu kwaza eeeeh Vitt vidogo hivi avina faida jamani mmmh ss huyu na chid bora nani mmmh hapana ss kwann uliachana nae ukawa unatoka na wengine nyuma isije ikawa Kiki tu au unamuumiza chidy na pia marafiki hawa kwann lakini
@vannesanuru8185
@vannesanuru8185 4 года назад
NASA iloo wigii sasa sijui aliemwambia kapendezaa nani
@belindamadata7862
@belindamadata7862 4 года назад
Kichwa kikikosa akili zinazoumia ni sehemu za siri. Kwanza me naona unajitahidi kujiheshimu maake nimewahesabu wanaishia 294 mpaka na huyo mwanafunzi akiwemo,so ni namba bado wala hawajawa wengi ki vile komaa tu bado wa mikoani na sisi tunataka kuja. Kingine mali ni zako haupangiwi na mtu namna ya kuvitumia,mpangaji wa matumizi ya mali zako ni ww mwenyewe ilhali hauvunji sheria acha vijana wajipime ubavu kama na wao wanaweza. Uwanja mzuri ndio huvutia wachezaji komaa tena fanya usajili wa nguvu zaid ya hapo.
@giftymadaraka6676
@giftymadaraka6676 3 года назад
Duh yn k mwanao jaman co wasanii mnatufundisha nn
@aishamwinyi3566
@aishamwinyi3566 4 года назад
Hamna kitu humu mwanamke mzr lkn kichwa kitupu
@frenkfrancis4151
@frenkfrancis4151 4 года назад
Uyu maraya jamani pumbavu Sana
@24newstz21
@24newstz21 4 года назад
We dada ushakuwa kero.
@sharonke7442
@sharonke7442 4 года назад
point of collection, hupendi mtu kwa sababu ila unampenda mtu automatically Je siku hicho kitu ulichompendea kikipotea?
@janatahmad7048
@janatahmad7048 4 года назад
jacke nakupenda rakini tabia zako duuhh sijuiii jamani ivi wanawazani ama???mimi siwezi
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
Huyo dogo anaonekana nimdogo kbs jmn aibu hii
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 4 года назад
mahusian ayan umrii
@jallyokeillah1780
@jallyokeillah1780 4 года назад
Sawa🙉💃💃😃😄😄😄😄😄😄
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
Просмотров 91 тыс.
Музыкальные пародии
00:28
Просмотров 20 тыс.
СЕРЕГА ПИРАТ - TEAM SPIRIT
02:37
Просмотров 227 тыс.
I Built a WATERPARK In My House!
26:28
Просмотров 15 млн