Тёмный

Fadhili Majiha 'amtwanga' Bongani Mahlangu | Ubingwa wa WBC | VITASA  

UTV Tanzania
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 67 тыс.
50% 1

USIKU WA VITASA: Bondia Mtanzania Fadhili Majiha amemnyoosha Bongani Mahlangu kutoka Afrika Kusini kwa pointi katika pambano la raundi kumi na kushinda mkanda wa WBC Intercontinental.
Katika pambano hili kuanzia raundi ya nne, Bongani amekalishwa (knock-down) zaidi ya mara mbili baada ya kukutana na makonde mazito kutoka kwa Fadhili….
Hili hapa pambano zima.
Ni pambano la nane la utangulizi (under card) hapa PTA Sabasaba, Dar es Salaam kuelekea pambano kuu kati ya Ibrah Class vs Xiao Tao Su. #RingItaongea

Спорт

Опубликовано:

 

27 окт 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@athumanimanzabay1894
@athumanimanzabay1894 8 месяцев назад
Bongani ni professor but mziki wa majiha hatarii one luv stoper 👏🥊🙏
@gudimbwana8088
@gudimbwana8088 8 месяцев назад
dogo Majiha ulikuwa wapi siku zote. congratulation coming up the great
@josephkapinga652
@josephkapinga652 8 месяцев назад
Fadhili ni bondia professional mwenye kila kitu❤❤❤
@user-ls1es8sd1s
@user-ls1es8sd1s 6 месяцев назад
BondiA Bora tanzaniA fadhili majiya stopa mtu hatari kabisa💕🇹🇿💪🌟🏃🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏃🏼‍♀️👏👏👏🌹🌹🥀
@MshamuNey
@MshamuNey 8 месяцев назад
Umetisha fadhili hiii imeeendaaa! Hongera kwako
@kiya0910
@kiya0910 8 месяцев назад
Weeee fadhili majira hatari. Sana🎉 hingera majira uko vizur ❤
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 6 месяцев назад
Majiha bondia bora kuliko wote Tanzania katika orodha ya WBC na anashika nafasi ya 4 Africa,dogo mkali sana,chek Jab yake,Mzee Majiha ahan majivuno na hajisikii kama mabondia wetu wengine,Mungu atamuinua zaidi,
@jumaseif2140
@jumaseif2140 8 месяцев назад
Huyu bondia majiha yuko vizuri kacheza boxing kiufundi 100%
@classfordmaster4254
@classfordmaster4254 8 месяцев назад
Fadhili unastahili pongez sana🔥
@user-bv4mi2wo8o
@user-bv4mi2wo8o 8 месяцев назад
Fadhili anajuwa sana
@saluuhans
@saluuhans 8 месяцев назад
Fights nzuri sana
@user-ls1es8sd1s
@user-ls1es8sd1s 6 месяцев назад
Stopa wew ni BondiA mzuli Sana kaza zaidi nme kubari sannaaaaa
@fightpigaday
@fightpigaday 8 месяцев назад
Ongera Fadhili
@jumaseif2140
@jumaseif2140 8 месяцев назад
Majiha the best
@ramadhankhatwib8561
@ramadhankhatwib8561 8 месяцев назад
Majiha sio poa hongera
@edsonnyamwela6669
@edsonnyamwela6669 8 месяцев назад
Hii fight ndio ilitakiwa kuwa main card
@naomysalumu1858
@naomysalumu1858 4 месяца назад
Uyu fadhili ndoalinifany nikapenda ngumi
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 4 месяца назад
Bondia ni Mwakinyo,,Iblahim Clasck,,Fadhili Majiha,, Seleman Kidunda,. Wengine ni mayowe tu,
@naaswiryabdul4168
@naaswiryabdul4168 4 месяца назад
Kuna goodluck mrema unamjua ww
@user-oq7dz5xi4d
@user-oq7dz5xi4d 3 месяца назад
Ujue fadhili majiha kibongo bongo wengi wanaisi kama mgeni uyu mfupa wa sokwe sisi ndio tunamjua kitambo ni hatari sana alikua anapiga wazungu nnje ya nchi uko
@user-oq7dz5xi4d
@user-oq7dz5xi4d 3 месяца назад
Kashaleta mikanda mikubwa tu sema watu awamuongelei ila sasa mtamjua kashafungua bosta
@AminJuma-fb2pn
@AminJuma-fb2pn 7 месяцев назад
Majiha good fighter ❤
@LydiaStephano
@LydiaStephano 8 месяцев назад
Hii michezo yataka moyo unampiga mtu hajakukosea😂😂😂
@brandsmedia4861
@brandsmedia4861 8 месяцев назад
😂😂 Kibunda kinapiganiwa
@joakimjoakimpeterjoakim
@joakimjoakimpeterjoakim 8 месяцев назад
Kosa lenyew ni hela ndg
@musaissa7463
@musaissa7463 8 месяцев назад
technical dr.
@brandsmedia4861
@brandsmedia4861 8 месяцев назад
Tumsuport Majiha akue, tuachane na mwakinyo😂
@hassanshareef6572
@hassanshareef6572 5 месяцев назад
Majiha kafanikiwa kuiona light uksi akaikwepa ikampa ushindi
@user-yt2bk8ch5p
@user-yt2bk8ch5p 4 месяца назад
Hapa Mahlangu alikutana na kisanga yaani kiufupi aliyakanyaga
@Masende
@Masende 8 месяцев назад
Fadhil anajua sana
@user-lo9pb1po8l
@user-lo9pb1po8l 8 месяцев назад
Watangazaji hawaamin kama msouth kapigwa maana kila anavyowekwa chini wanajaribu kumtetea,mnaboa sana
@henrysangiwa1731
@henrysangiwa1731 8 месяцев назад
Tuwe na heshima ya wimbo wa Taifa...wimbo wa Taifa unaimbwa bondia anacheza Kama amapiano anashindwa na mandonga
@saidhamza5318
@saidhamza5318 8 месяцев назад
Bongani mbona umetoa Rasta? Utapigwa tu 👀
@user-ls1es8sd1s
@user-ls1es8sd1s 6 месяцев назад
Kiu kweli kabisa Akuna BondiA kama fadhli majiya uyu ni BondiA hatari sana nani BondiA. Bora tanzaniA kwau zito wake sjaona waku weza kupambana na stopa mtu Hatari kabisa💪🌟🇹🇿🏃🏃🏼‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏃🏼‍♀️🏃🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️👏👏💕
@senseisafari1355
@senseisafari1355 8 месяцев назад
Oss oss
@stephensandiko6049
@stephensandiko6049 8 месяцев назад
fadhiri upo huyo bongani sio poa
@ellyg7570
@ellyg7570 8 месяцев назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@SelemaKidundo-ii2pz
@SelemaKidundo-ii2pz 8 месяцев назад
Refakaumudumchezo niwakimataifa namabondiawetu wamechezangumi haswa nawapongeza sana
@Kasonadi-hp1lv
@Kasonadi-hp1lv 8 месяцев назад
Good
@hassanshareef6572
@hassanshareef6572 5 месяцев назад
Kwame mmejua kumsoma bongan Maana stopper alikua anabez kulia tu na bongan akajikuta anashindwa kucheza
@stephensandiko6049
@stephensandiko6049 8 месяцев назад
huyo dogo hatari
@henrysangiwa1731
@henrysangiwa1731 8 месяцев назад
Kwani mambondia wetu wanafungwaje zile gloves mbona zinafungukaga ??
@paulmwangoka
@paulmwangoka 6 месяцев назад
Tz hakuna kama majiiha
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 8 месяцев назад
Huyu jamaa best fighter ila tutulie tu,,,wabongo tutamtia figisu si mda mrefu,,,,,😂😂😂 sababu tunajuana
@Lais-de3wr
@Lais-de3wr 8 месяцев назад
9:20 9:21 9:21 9:22 9:22 9:22 9:22
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 8 месяцев назад
Fadhili cyo maarifu tu ila kwa tz yuko pooaw kinoma huyu mwamba
@muadhihassan4486
@muadhihassan4486 8 месяцев назад
Umaarufu ndo unakuja
@SelemaKidundo-ii2pz
@SelemaKidundo-ii2pz 6 месяцев назад
Huyumajihanibondiahaswa mbona akinakiduku akinamwakinyo hawamwiti wapigane
@SelemaKidundo-ii2pz
@SelemaKidundo-ii2pz 8 месяцев назад
Bongani nimempa tisini nasita kiukweli kamabondia aliechoka anamtwanga halakasana
@SelemaKidundo-ii2pz
@SelemaKidundo-ii2pz 8 месяцев назад
Majihabondozurisana nimempa asilimiamia
@ramadhankhatwib8561
@ramadhankhatwib8561 8 месяцев назад
Hawa jamaa ni mafundi si mchezo
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 8 месяцев назад
huyu jamaa ndo kashinda kiharali sio Ibra wala stumai muki
@DumaBeatus-yz6mu
@DumaBeatus-yz6mu 8 месяцев назад
Panapo stahili pongezi, pongeza acha chuki
@kitwanathabiti
@kitwanathabiti 8 месяцев назад
Wewe haujui ngumi
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 8 месяцев назад
@@DumaBeatus-yz6mu ngumi ni mchezo w waz kk huyu jamaa Fadhili kashinda kihalali lkn Ibra kabebwa acha kutetea dhulma haitatufikisha popote km bondia wetu kapigwa tuseme ukwel ili ajifunze siku y pili
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 8 месяцев назад
@@kitwanathabiti sw kk lkn ngumi ni mchezo wa wazi kila mtu anaona
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 8 месяцев назад
@@halidimgonza5945 Sasa yule m China amepiga ngumi gani ya maana!?Au una chuki binafsi au matatizo ya macho au ngumi hujui!?
Далее
Дьявол - ТРЕШ ОБЗОР на фильм
19:10
Thank you king gnome Crawly for saving my life 🙏
00:38
MWIBA MCHUNGU, KIKOKOTOO KIPYA CHA MAFAO...
11:28
Просмотров 2,1 тыс.
ОБХИТРИЛ NIKE НА 3,5 МЛН $🏅
0:48
Просмотров 21 млн
Почему треки липкие🤔
0:31
Просмотров 7 млн