Тёмный

MABINGWA WA ULINGO: Tony Rashid Vs Bongani Mahlangu - 03/08/2021 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 273 тыс.
50% 1

Fuatilia hatua kwa hatua, ujionee mbinu alizotumia bondia kutoka Afrika Kusini Bongani Mahlangu kumkalisha Mtanzania, Tony Rashid kwa KO.
#MwakinyoVsIndongo #TonyRashidVsBonganiMahlangu #MwakinyoIndongo #TonyMahlangu #VitasaNight #Vitasa #Septemba03 #MabingwaWaUlingo
@hassan_mwakinyo_jr
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Спорт

Опубликовано:

 

2 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 153   
@allyhamisi6394
@allyhamisi6394 2 года назад
Tumepoteza moja watanzania🇹🇿 woote tumepata moja watanzania🇹🇿 woote hongereni Hassani na Tonny👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@aminamagoma479
@aminamagoma479 2 года назад
Daah!Pole sana home boy umepambana ila leo haikuwa bahat yako,Jipange tena match ijayo,Asiyekubali kushindwa c mshindani. Tumepoteza kwa halali kabisa,
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 2 года назад
huyo bondia wa SA yuko well trained amemzidi sana huyo wetu wa tz.Umeona kwanza huyo bondia wa SA ana huwezo mkubwa sana wa kumkwepa mpinzani wake ulingoni yani huwezo wake wa kukwepo makombola ni mkubwa sana.Yuko very skilled uingoni
@kessyngarawa9902
@kessyngarawa9902 2 года назад
Tony Rashid umewakirisha vizuri sana bendera..Hayo matokeo yasikuumize..kaa na team yako.pitia video..wapo kina Ibrahim class namabondia wengi wenye uzoefu watakupa mbinu..upo vizuri tena sana na hapo umeongeza experience tu..Pamoja..nakukubali
@zarinatv2024
@zarinatv2024 2 года назад
Jaman yaan nimeumia sana Tony alivyopigwa🥲🥲🙆‍♀️🙆‍♀️
@fromgascity
@fromgascity 2 года назад
Hili pambano linatoa somo ,,,,NEVER GIVE UP ,,,,dogo alijiamin sana
@losa4976
@losa4976 2 года назад
Oh oh oh . Yan watangazaji hovyo kabisa
@josephchawala3510
@josephchawala3510 Год назад
Ongera
@chenyakwihela1637
@chenyakwihela1637 2 года назад
Bora hata hili pambano kuliko la mwakinyo
@kimandoluArusha
@kimandoluArusha 2 года назад
kweli kabisa,tumekesha kusubiria pambano refaree anakuja kuharibu mechi
@salumnassor3845
@salumnassor3845 2 года назад
Liliburudisha sana hili pambano
@salumnassor3845
@salumnassor3845 2 года назад
Liliburudisha sana hili pambano
@franceanton5371
@franceanton5371 2 года назад
Hili ndilo pambano bora nguvu nyingi na mbinu nyingi
@MwafricaMweusi
@MwafricaMweusi 2 года назад
Kuliko yooote hili ni bora kabisa.
@ayubdax3977
@ayubdax3977 2 года назад
Tony uko una uwezo sana, ume wakilisha Poa sana Tz So , Usikate tamaa,
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 2 года назад
This man from South Africa looks like he prepared for marathon race not for fighting !
@Allystor
@Allystor 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 2 года назад
too much running rounding rounding like a motorcycle 😂😂😂
@HD_mark
@HD_mark 2 года назад
That's how Mayweather became unbeaten
@sideboyyboyy1834
@sideboyyboyy1834 2 года назад
@@hassanparamana2215 but he won by ko
@sideboyyboyy1834
@sideboyyboyy1834 2 года назад
@@HD_markyap
@nassoribrahim2192
@nassoribrahim2192 2 года назад
Huyu tony amecheza vzr na kama angepata washauri wazuri kwenye kona yake kumpa mbinu mbadala ( plan B ) mechi ingekuwa rahisi kwake kwani huyu m-south Africa hana stamina ya kutosha amefanikiwa kwa style yake ya kuutumia ulingo hii mechi ilikuwa nzuri ukilinganisha na Main event. @hard work pay.
@josephmhanga7093
@josephmhanga7093 2 года назад
Toni ni mbindia wa kweli yuko vizuri sana
@luckybanda730
@luckybanda730 2 года назад
Keep on it Tony Rashid
@leskarmeikok8956
@leskarmeikok8956 2 года назад
Aseee hii mechi ilikuwa ya kwetu kabisa jamaa anakimbia kimbia round 11 kaja kutumaliza mwishoni
@leilatmussa6533
@leilatmussa6533 2 года назад
Daaaah nimeumia Sana tony alivyo shindwa ilabado tunakuamini tutaenderea kukupenda
@gervasmwagen8135
@gervasmwagen8135 Год назад
Iliiiii pambano hstariiiii sana
@domykimata5768
@domykimata5768 2 года назад
Tony his good boxer and he know to fighting good more morethan other boxer in Tanzanian
@mponejawillson1453
@mponejawillson1453 2 года назад
Hili ndo pambano la ukweri ila sio kama lile la mwakinyo na yule mlevi mwenzie.
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 8 месяцев назад
Hii ni style maalumu sio kukimbia acheni ushamba
@sideboyyboyy1834
@sideboyyboyy1834 2 года назад
Jamaa kapambana sanaa ila kashindwa kulinda ushindi wake kapoteza dikika za mwisho dooh imeniuma sanaa tony alipanic kukosa kupiga k,o ndomaana kapoteaza dooh
@joelinko6632
@joelinko6632 2 года назад
Uyu m sauth Africa nimempenda sana kwanza alivoingia na ngoma la bob marley alafu anajiamini anajua ili pambano lilikua kali kuliko lile la mwakinyo bongo bado sana refa anamwambia et usikimbie badala kocha wa toni ampe mbinu za kumkabili ili asikimbie uyo bongani ata akipewa mwakinyo anamkalisha
@MwafricaMweusi
@MwafricaMweusi 2 года назад
😂😂😂😂😂😂 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@officialankomadevu6427
@officialankomadevu6427 2 года назад
Hongera tony
@josephkiwone8806
@josephkiwone8806 2 года назад
Yani ibra class anajua sana yan kama angekuwa kwenye corner ya tony bas tz tungeshinda msikilize class vizuri anatabiri yanatokea
@saloomidd1084
@saloomidd1084 2 года назад
Katika mabondia wote huyu msouth ndio amenifurahisha kwa mbwembwe zake na ametumia akili nyingi sana wengine waliobaki wanatumia miguvu tu bila akili
@stephanoyusuph1256
@stephanoyusuph1256 2 года назад
Ili pambano saf sana dogo Tonny anafata nyayo za twaha kiduku
@saloomidd1084
@saloomidd1084 2 года назад
@@stephanoyusuph1256 Tatizo ndio hivyo amekutana na mtu mwenye uzoefu na akili nyingi. Yule msouth ni mwepesi sana kukwepa na huku anarusha ngumi kwa wakati mmoja
@rashidnono7918
@rashidnono7918 2 года назад
Nmekubali
@temkezatv4381
@temkezatv4381 2 года назад
Good
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 2 года назад
Huyo msouth anatumia style ya Terence na Prince naseem, kumpiga huyo ni kazi ngumu sana .
@johnmike5454
@johnmike5454 2 года назад
Saaaaana yani
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 2 года назад
@@johnmike5454 watasumbuka sana ,huu mchezo wa ngumi kama uliwahi kupitia karate hautokusumbua utawapiga mno sababu unakuwa mwepesi na uwezo mkubwa wa kunyumbulika .Sasa mfano ,,,mwakinyo ,mwakinyo kakulia humo tena kwenye uwanja wa kick box ndo maana hawamwezi ,kuna mlinzi mmoja wa tundu lisu wakati wa kampeni anaeleza vizuri mziki wa mwakinyo .Nenda RU-vid andika hivi ,,,dude lililo tumika kumlinda tundu lisu,,,msikilize yule jamaa utajua mwakinyo ni nani .
@ismailmuyenzi3403
@ismailmuyenzi3403 2 года назад
Champion tony 👊
@emmanuelmasse6219
@emmanuelmasse6219 2 года назад
Jamani bondia ni mwakinyo wengine Hawa
@noelwakota5852
@noelwakota5852 2 года назад
IBRA CLAC
@kosovoawadh8362
@kosovoawadh8362 2 года назад
Majaji wote na Azam wafungiwe serikali iangalie ndomana tukienda nje tunashindwa hata mwakinyo kaona ndomana Kawa mnyonge kajua tony kashindwa
@wilsonmpega8225
@wilsonmpega8225 2 года назад
Ooo ooo oooooo ooooooo
@anordmwambinga2520
@anordmwambinga2520 2 года назад
Kwangu Mimi tony ni mshindi pia naona ni bondia atafika mbali
@amosimichaeli4833
@amosimichaeli4833 2 года назад
leo ni ushind tony
@abdallahfances693
@abdallahfances693 2 года назад
Dah! Itamuuma Sana Tony kupoteza akishinda pambano mwalim Tujifunze kulinda Tulichokipata mda wa mwisho hakutakiwa kukamia na Ajifunze hata kukumbatia akiona kapigwa Sehem mbaya asilete ununda Ila poule Sana dogo jipange unaweza Sana
@mwambatv5202
@mwambatv5202 2 года назад
Round ya 10 ilipoisha kuna kitu huyo jamaa amenyweshwa chini ya tawell ambayo alikuwa anafutwa jasho kuna chupa, amekunywa kitu, afu ndio akapewa maji, huyu anatumia dawa za kuongeza nguvu, hili pambana Tony akikuwa anashinda, amechezewa faulo
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 2 года назад
M̶t̶a̶n̶g̶a̶z̶a̶j̶i̶ -"🅣︎🅞︎🅝︎🅨︎ a͟t͟u͟l͟i͟e͟ r͟o͟u͟n͟d͟ y͟a͟ 12...." T̶O̶N̶Y̶ - 💤💤
@wolpertv2151
@wolpertv2151 2 года назад
Senzo ni mnafiki sana
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 8 месяцев назад
Sababu miguu mizito vyuma vingi na kuvuta gari
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 8 месяцев назад
Maboxers wengi wa Tanzania ukiwa na mfumo wa kufaiti na kuranda utawasumbua tu
@adamsimba4886
@adamsimba4886 2 года назад
Tony yuko poa sana
@samwelyanthony258
@samwelyanthony258 2 года назад
Tonny ameshinda kishindo cha ngu tonnny huyoooo!
@jumakasim8784
@jumakasim8784 2 года назад
Ngumi ni akili na technique huyu msouth amecheza na akili ya Tony bila tony kujielewa yeye asingekua anamfuata lakn huyu msouth kapigana kwa akili nyingi bila kukimbia angekaa
@ssmithsaid3483
@ssmithsaid3483 2 года назад
Kakasirika tatizo
@abdulkiliga335
@abdulkiliga335 2 года назад
Sasa izi ndo ngumi burudan inakuja yenyewe t
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 2 года назад
The box from SA is well trained, he knows how to control the game😂😂😂
@majidmbuguni2903
@majidmbuguni2903 2 года назад
Go gif
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf 2 года назад
He knows how to run
@HD_mark
@HD_mark 2 года назад
Hii uppercut haitomwacha Tonny salama, mark my words!
@rechorechojumamaroda5045
@rechorechojumamaroda5045 2 года назад
Tony alikosea wakati wimbo wa taifa unaimbwa yeye anacheza Kama kwaya
@maulebanali1314
@maulebanali1314 2 года назад
Huyu jamaa akienda kwao atasimulia kuwa bongo si pakuja kichwakichwa
@mujibumsigit2741
@mujibumsigit2741 2 года назад
Hakikisha kesho Toni unafanya vizur usije ukatuudhi Tena utahama bongo
@eliudamunime5492
@eliudamunime5492 2 года назад
THEY WAS ABOUT TO ROB BONGANI
@kiya0910
@kiya0910 6 месяцев назад
Hili pambano liniliuma Sana
@afrosk3753
@afrosk3753 2 года назад
Kweli huyu bongani kuna vitu anatumia
@bahatimkumbo7298
@bahatimkumbo7298 2 года назад
Yes nitakwenda na tony na kiduku ndio mabondia wangu huyu mwingine anayeona watu wabeba tofali , sijaona kama anajua ngumi Bali anapambana na mabwege
@malickabubakari2179
@malickabubakari2179 2 года назад
Ww acha majungu kiduku kafanya nn akitoka anakalisha.acheni unazi nyie ngulue
@alfredymakuru8333
@alfredymakuru8333 2 года назад
Panda wew tuone uwezo wako
@mwanahawabakari718
@mwanahawabakari718 2 года назад
Mnaongea Sana Kama nyie ndio mnaopigana
@tumainmindolo3107
@tumainmindolo3107 2 года назад
So sad 😔 Tony aombe rematch halafu iwe kwao tukamchape huko huko S.A
@malangunda7365
@malangunda7365 2 года назад
Uchawi huui
@joelinko6632
@joelinko6632 2 года назад
Yani bongo tuna njaa mpaka glopsi tuna dai😭😭😭
@awadhijemie3360
@awadhijemie3360 2 года назад
Uyo jamaa anausika na nini adi anataka kumvua
@paulinadaudmvaiponya7614
@paulinadaudmvaiponya7614 2 года назад
Simba
@jomwenomkal
@jomwenomkal 2 года назад
Tonny is worry
@adamsimba4886
@adamsimba4886 2 года назад
Ngumi nzuri chali etu anacheza kama mbele vile
@kombostambuli1366
@kombostambuli1366 2 года назад
Bondiamwakinyo vs mnamibia
@saidmuhsin2446
@saidmuhsin2446 2 года назад
Wote wapiganaji wazuri..ila ukiangalia ndio kama Muhammad ali alivyocheza na Sony liston
@ntymmwasambili6372
@ntymmwasambili6372 2 года назад
Tony bado ni mpambanaji bola sana isipokua leo aikua kwake ajipange mapambano bado mengi sana
@johnmike5454
@johnmike5454 2 года назад
Eti bongani anapanch sana hahahaha, mnatangaza vibaya wapuuzi nyinyi
@MwafricaMweusi
@MwafricaMweusi 2 года назад
Maboya Sana badala ya kutangaza ngumi Wana msifia mtu mmoja muda wote wakati msauzi ni mnyama mkali pia
@djmswatt3795
@djmswatt3795 2 года назад
Ila tonny miwa anarusha
@theprogrammer3351
@theprogrammer3351 2 года назад
Hawa mabondia wote wapo vizuri ila si wa? kuwafananisha na Mwakinyo... Mwakinyo hadi ss anashikiria ubingwa wa Afrika na wala si ubingwa wa Tanzania pekee.... Hvy nyie Machiz achen uchiz wenu.... Hata kwa record za Bondia aliyepigana na Mwakinyo hakuna bondia aliyefikia kat ya Hawa... Rai yai kwa Mwakinyo azidishe mazoez ya punch maana huo ndy uzaifu wake
@binahmedjuma8681
@binahmedjuma8681 2 года назад
Eti ubingwa wa Tanzania! 😆😆😆Tanzania my foot
@noelwakota5852
@noelwakota5852 2 года назад
Irudiwe io mech
@fadhilijoshua398
@fadhilijoshua398 2 года назад
Tonny aliloose concentration but yuko poouwa sana
@shinjemackenzie6256
@shinjemackenzie6256 2 года назад
Mm nalia na kocha wa tony mwisho wa mzunguko tony alipaswa na yeye kulinda point zake maana tayari alikuwa mbele kwa point kuliko huyo mwanaliaza wa kusini lakini kocha hakuliona hilo matokeo yake dogo bahati mbaya ngumi zito ikamtoa kwenye mchezo lakini yote kwa yote Tony ni bodia mzur sana asikate tamaa
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 года назад
Brother niliacha aya mambo ya ngumi coz nilijua akuna wapiganaji hapa.lakn uyu toni rashid ndo bondia wakumtengeneza sio uyo mtu wakutafuta wagonjwa alafu anajiita profitional aje uku South Africa akutane na wapigia ngumi wamchonyoshe .kiduku yuko sawa
@godfreymalinga1476
@godfreymalinga1476 2 года назад
Mwakinyo amna kitu
@coolruler6820
@coolruler6820 2 года назад
Basi tu bongo hakuna makocha wa ukweli katika ngumi ila huyu kijana akipata benchi maridadi la ufundi ni wa kiwango cha akina Ryan Carcia. Kocha chaurembo kanikosha tofauti na makocha wengine, anajua pa kusimama na yu haraka kuchukua maamuzi
@leonardmanawa952
@leonardmanawa952 2 года назад
Tonn yuko vzuri Sena bahati hakuwa yake
@michaeljackson9177
@michaeljackson9177 2 года назад
Unapingwa na mzee? Tatzo kajiamini Sana
@bundalathomas6414
@bundalathomas6414 2 года назад
Usajili was simba
@immanuelmwaipopo1605
@immanuelmwaipopo1605 2 года назад
Wakwetu alipewa moja tu ndipo maji alipoamua kuyaita mma!
@kingibanda8178
@kingibanda8178 2 года назад
msauth naona mbiyo tu nahuyu mbongo hanajiendea tu
@habariyaostudiomedia8699
@habariyaostudiomedia8699 2 года назад
Daaaa ira watanzania tunapendelewa
@bilalbaker9238
@bilalbaker9238 2 года назад
Anakimbia mpaka anakera
@losa4976
@losa4976 2 года назад
Eti the fight was stopped by the referee.the 😂😂 sema by the way of technical knockout
@cymone6159
@cymone6159 2 года назад
Hata hivyo limetunguliwa sana hilo sauz
@jamesswai6583
@jamesswai6583 2 года назад
The south African boxer is faster in legs
@allylameck6165
@allylameck6165 2 года назад
Uyu dogo kajitaid lkn uyudogo humuwezi bongan mkongwe mno
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 2 года назад
Sijawahy kumkubalib mwakinyo hata cku moja sab ya njodo zke yule kundu🥴
@africafightingkingafk862
@africafightingkingafk862 2 года назад
This is an Asian-style pirate style of play, the purpose is to win by points. But unexpectedly ko the opponent.
@plantino3091
@plantino3091 2 года назад
Hili ndo pambano amabalo linafanana na mapambano ya kweliii duniani. sasa huyo mwakinyo endeleeni kumpa mbeleko mtakuja kumuua maaana atakuja kupigana na watu ambao sio rank yake! Leo ashafika 13 katika rank kiujanja siku yoyote ataitwa Russia au philipino tutaenda kumkosa ajipange.
@dicksonaroka6961
@dicksonaroka6961 2 года назад
Mbona unaongea kipumbavu hvyo hiv we umeanza kumjua mwakinyo toka lin?? Na je unamjua yule bondia wa uingereza aliempiga mwakinyo yule ndio bondia namber moja kwa uzito wa mwakinyo na alimpiga tena pale pale uingereza mbele ya mashabiki wake huu mchezo n uwezo na maandaliza ushind n popote pale endelea kumwonea wivu tu ...
@hamadjuma9059
@hamadjuma9059 2 года назад
Sijawh kuona ngumi au bondia kama huyu anakimbia uwanja nzima
@abdulkiliga335
@abdulkiliga335 2 года назад
Dance boksingi km mwamedi Ali
@alfredymakuru8333
@alfredymakuru8333 2 года назад
Anaboa bhnaa anakimbia ovyoo tuu
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 2 года назад
@@abdulkiliga335 yaaaa upo sahihii nduguu
@godfreymalinga1476
@godfreymalinga1476 2 года назад
Ila hii inaruhusiwa ni technique moja wapo
@saidmuhsin2446
@saidmuhsin2446 2 года назад
Katika boxing kila mmoja ana style yake..huyu referee inaonekana sio mzowefu...huwezi kujaji why too much run...naomba referee watafutwe wenye uzowefu ama wasomeshwe
@godfreymalinga1476
@godfreymalinga1476 2 года назад
Hiyo ni technique
@profesakidenku1436
@profesakidenku1436 2 года назад
Kama mwakinyo angepigana na huyu bongani angekalishwa Mapemaa
@ibrahimmbango9117
@ibrahimmbango9117 2 года назад
unamuona mwakinyo kama boya sio endeleeni ila yeye anafanya yake
@mraj4586
@mraj4586 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@mraj4586
@mraj4586 2 года назад
Kweli huyu jamaa anajua ila sio mwikinyo
@peterjohn4206
@peterjohn4206 2 года назад
Kweli kabisa kaenda kuchukua bondia ata ajui ngumi😂
@justinjasson7070
@justinjasson7070 2 года назад
Uzito tofauti, lakini bondia wa mwakinyo anamikanda mingi alishachukua, tony hana akili, ngumi sio kutupatupa tu.
@kessyngarawa9902
@kessyngarawa9902 2 года назад
Pia ushauri wangu fanyia kazi namna yakukatisha ring Napia puga punc kw body yani chini ..tumbo mbafu kumdhoofisha opponents wako ..Otherwise nakutakia kila.la kheri kw mechi zingine..Karibu sana sana moro.
@tbwayjunior8947
@tbwayjunior8947 2 года назад
Katumia dawa yakumlgeza
@jumamnumbwa9483
@jumamnumbwa9483 2 года назад
Huyu commentaitor sindio yule alipigwa na upepo urusi
@martinswai8031
@martinswai8031 2 года назад
Pambano limeniuma hili. Huyu msauz kumbaf zake anakimbia tu mda wote
@MwafricaMweusi
@MwafricaMweusi 2 года назад
Nifunzo kwetu aisee muhimu tupate waalimu wenye mbinu nyingi style aliyotumia huyo msauzi inaruhusiwa ni moja Kati ya mbinu bora za kumlegeza mpinzani wako.
@christopherlucas2218
@christopherlucas2218 2 года назад
HUYU MPUUZI KASHINDWA KUITETEA HESHIMA YA BENDELA IYO BENDELA UKIKABIDHIWA INAMANISHA UMEBEBA NCHI ALAFU YEYE ANALETA USENGE WA KITOTO
@kishkiogkishki1960
@kishkiogkishki1960 2 года назад
Huyo jamaa kapatiwa dawa chekin pambano la 10 lilipo isha hicho kitambaa hakikuwekwa stail yakupangusa mtu
@awadhijemie3360
@awadhijemie3360 2 года назад
Kitambaa kipi
@ben.breaker
@ben.breaker 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-cTi4vOt4Wys.html FAHYVANNY vs PAULA KAJALA 🔥🐉
@flova7022
@flova7022 2 года назад
Watu tunachek ngumi unatuletea usenge WA kidem
@MwafricaMweusi
@MwafricaMweusi 2 года назад
😂😂😂 msauz ni mnyama wa ajabu 🙏🏼🙏🏼
@PetVMyinga
@PetVMyinga 2 года назад
Kijana kaonja joto ya jiwe🤣🤣🤣
@maulebanali1314
@maulebanali1314 2 года назад
Tony ninamuelewa Sana Yuko vizuri analeta raha
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 2 года назад
Too much run.كككك
@johnmike5454
@johnmike5454 2 года назад
mnajifanya mmesahau cha simba na keizer chief eeeee hahahaha, hao sio watu pumbavu zenu mnajifanya hamuelewi tuuuu, eti Tony, Tony, Tony hahahaha
Далее
Ronaldo Respect Moments 😍
0:20
Просмотров 12 млн
БУТСЫ ЗА 600 РУБЛЕЙ!
0:40
Просмотров 309 тыс.