Тёмный

Fahamu Historia ya Maisha ya Meena Ally hadi kujingia mjengoni | XXL Clouds Fm. 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 40 тыс.
50% 1

#CloudsDigital ipo live kutoka Studio za Clouds Fm ambapo Chama la Wana XXL ipo hewani muda huu.
#Clouds360

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@seifali2473
@seifali2473 4 года назад
XXL for fvckn life. Imekua poa zaidi Meena amesogea apo kwenye chama kubwa big up sana 📻
@AbuubakarGuendoz
@AbuubakarGuendoz 29 дней назад
Clouds fm the and only penda sana
@FadhiliKiyungi
@FadhiliKiyungi 5 месяцев назад
Meena ally yawning utangazaji wako nimeupenda sana bigup
@evaristmrope
@evaristmrope 4 года назад
Good idea Clouds fm
@AbuubakarGuendoz
@AbuubakarGuendoz 29 дней назад
Big up my sister meenaaly 👑👑👑❤️
@lovenessnashukurumdogowang2603
@lovenessnashukurumdogowang2603 4 года назад
nimependa sana
@ismailngolloh4517
@ismailngolloh4517 4 года назад
Nimependa alivomalizia....crazy outside serious inside..... Safi
@maryfrank4216
@maryfrank4216 4 года назад
Meena Ally ana fit na millard Ayo bora mmrudishe😢😢😢
@ramadhanimagomba7395
@ramadhanimagomba7395 4 года назад
Bonge moja la combination
@godsonsakafu1688
@godsonsakafu1688 4 года назад
Sasa ampreee🔥 kule anabakiaje Millard peke ake mmevuruga
@davidmashaury1136
@davidmashaury1136 4 года назад
Wapi Kennedy the ramad mnazingua hyo combination haijakaa kbsaaaa
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 4 года назад
Namuona Mamy kama atapata tabu sana kuja kwa Meena hapo XXL
@havyaryyangaza4814
@havyaryyangaza4814 4 года назад
Nawakubali sana wana aiseh mm na clouds kama ndoa vile
@madinakitemo8902
@madinakitemo8902 11 месяцев назад
Meena Ally nakupenda sana
@happymollel713
@happymollel713 4 года назад
Love you meena
@fineboytv1405
@fineboytv1405 4 года назад
Lovee you minaaH
@agnesvintan1538
@agnesvintan1538 4 года назад
Mamy alikua anatosha Mbona,,Mnajichanganya vibaya😁😁😁😁
@agnesvintan1538
@agnesvintan1538 4 года назад
Mamy mi napenda swagz zake anaweza sana
@aftermath5226
@aftermath5226 4 года назад
Meena Ally mawenge sana for sure hadi inaboa sehemu isiyo muhusu kuongea anaongea tuuu kaah!🤔 at least kwa team ya Xxl maybe itamfaa honestly nilikuwa nachukia kipindi cha Amplifier coz of her, alikuwa hamwachii nafsi ya kuongea General @MillardAyo so then now it's good for her to be in here!
@aceotz2579
@aceotz2579 4 года назад
Safi Clouds❤🔥
@othumansola6450
@othumansola6450 4 года назад
Clous nawakubali sana mnajua mpka mnakera bababababake
@barkembarak9270
@barkembarak9270 4 года назад
Love u miner
@davidmagundu2285
@davidmagundu2285 4 года назад
"kwa hiyo Meena ni mtu wa namna gani?" aminia Adam kwa kuulizaga maswali yenye akili 🙌
@davzlychrispin8395
@davzlychrispin8395 3 года назад
I like u sister meena
@lazarojumanne5564
@lazarojumanne5564 4 года назад
Naelewa Sana I love you meena ally popote ulipo nipo 😂😂😂💜💜
@DenisErick-sy2wt
@DenisErick-sy2wt 3 месяца назад
Iwish wote clous
@athumannuru3648
@athumannuru3648 4 года назад
Oyooooooo
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 4 года назад
Mamy baby mnyamwez mwenzangu from Tabora street salmin now Toronto Street
@TheTemba1
@TheTemba1 4 года назад
Love you Minaaa na Mammy I wish ningepata namba ya mummy jamani......
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 года назад
Vidio yenu mbaya kma mnatumia camera ya tecno
@protasprojestus7794
@protasprojestus7794 4 года назад
ww ndio unatumia tecno
@kitumba6916
@kitumba6916 4 года назад
Nimeuelewa usajilii...
@hadijasalimu1808
@hadijasalimu1808 4 года назад
Meena Ally nakupenda burebure
@rehemasalum5213
@rehemasalum5213 4 года назад
XXL good kipind
@OmarAli-jc1hr
@OmarAli-jc1hr 4 года назад
Huyu mdada namkubali kinoma i say..
@isaqislem872
@isaqislem872 4 года назад
Wapi kennedy
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 4 года назад
Meena ally nakukubal kinyama hasa swaga zako zakichuga
@dollamaleko7539
@dollamaleko7539 4 года назад
Mrudisheni Kennedy meena Ally afiti kabisa hila mamy baby mwenye sauti yake mtu achi please
@kautharsalat6449
@kautharsalat6449 4 года назад
Kennedy amepata ajali
@mishicram391
@mishicram391 4 года назад
Saf
@godfreymrema4616
@godfreymrema4616 4 года назад
Mmezingua nyie watu aisee...na nimeamin hii station inaendeshwa kwa chuki na upendeleo... Jana ww bdozen sikuji na hao wajinga wenzako mlisema Leo tutawasikia wale watoto walotoka kingmusic na hiv leo hamna chochote kilichotokea... Mnaendesha vipind kwa hisia na mizuka ndo kinachowa cost icho.. TRY TO BE FINE....goodnght🚮🚮🚮
@MtuSafi
@MtuSafi 4 года назад
Sasa unawalaum kwa lip mzee hao wasanii Kama wameamua wao wasije wataenda kuwafunga kamba interviews ni makubaliano ya mtangazaji na mlengwa sasa mlengwa akisema kwasasa sihitaji interview utamjibu nn.
@isaqislem872
@isaqislem872 4 года назад
Watu wengine wana force chuki na clouds bila sababu yoyote ile, sasa hizo mambo za wasanii kutoka 👑kings yanahusu nn clouds
@godfreymrema4616
@godfreymrema4616 4 года назад
@@isaqislem872 sasa kama hayawahusu jana kwann walitangaza wataleta exclusive interview ya chiq siji Si wangekaa kimya tu🚮🚮
@abuuhanifa7881
@abuuhanifa7881 4 года назад
Yan mnam toa Kennedy mna leta uyu chiriku mna akil kwel wachaga wehu nyie
@kautharsalat6449
@kautharsalat6449 4 года назад
Jaman Kennedy anaumwa
Далее