Maa Shaa Allah Ndugu zangu Waislam kama mnaweza tunaweza na tunapenda tunaweza anzisha Whatsup group kwa ajili Ya Allah! Ni kwa ajili ya kutafuta Radhi za JALALU NI kukukumbushana kuamka usiku na wingi wa Kumswalia Mtume Muhammad SAW na kukithirisha ISTIGHFAR
Yaan wallah shekher othoman unajuwa San kufundsha uislm pia Allah amekujaalia kaul ya kuzitek nyoy zenu nachokuombea mm wallah mola wetu mlez nakuomba akujaalie Kila lenye kher hp Dunia mpk kesh akhera akujaalie Pepo ndug yng muislam 🤲🤲❤️
Mansha Allah Allah akulipe sheikh kakutufunza ibada zausiku nanilipenda kuliza unaweza kuswali Sala yahaja nauyouyo usiku unasali na sistifara ao unaswali uyouyousiku kiyamlalyi nijuwenindungu zangu
Unaandikisha ibaada za mitume ama vipi ama mtume kakutumia gani?una tabia za kiyaudi muslamu uwa mnyenyekevu wala haropokwi tu.Uislamu pia ni Rizkii usitegemee mshahara tu