Тёмный
No video :(

FBI wathibitisha tukio la kupigwa risasi TRUMP ni Jaribio la Mauaji 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

12 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@user-ty9yg8fg9g
@user-ty9yg8fg9g Месяц назад
Neno ugaidi limehalalishwa na marekani na magharibi kwa waisilamu ili kuwaangamiza na kuwapandikizia chuki duniani Hapo angekuwa huyo kijana ni muisilamu ungeona wangejitokeza wamagharibi wote kulaani lakini kwakuwa ni waupande fulani imeisha hiyo
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Месяц назад
Kweli tupu
@valentinesyekeye6846
@valentinesyekeye6846 Месяц назад
Bora wewe unalijua hilo. Kwanza AU tunaitaka ikachunguze hilo tukio. Hii sio democracy tunayoambiwa kila siku
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Месяц назад
Sio muislamu ndio mana hajawa gaidi😂😂😂!
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 Месяц назад
Walai 😂😂😂😂
@IsmailJafary-ir8cv
@IsmailJafary-ir8cv Месяц назад
Unaona ee yaan angekua muislam bas sasa ona wanavojikanyaga 😂😂
@muddyzanga7476
@muddyzanga7476 Месяц назад
kweli kabisa mzee
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 Месяц назад
Eeewaaah 😂
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Месяц назад
@@hemedjackson2261 kumbe wenye mnajijua
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ Месяц назад
Wanajua Trump akiingia vita imeisha sasa wanataka kuanza njama chafu😢
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x Месяц назад
Yah wanachotaka dunia imwagedam
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Месяц назад
Kwani vita isipoisha inawasaida nini akina Biden.
@princematumbo
@princematumbo Месяц назад
​@@humphreymwihambi4330wewe Wa wapi?! Biden ni chama cha ibilis wanataka damu nyingi sana iwezekanvyo
@Ryannkae
@Ryannkae Месяц назад
@@user-hj4bc5uh2xndio kwani ujuwi aliwayi sema duniani akutakuwa vita tena na kila mtu atarundi ku nchi yake. Maana vita vimekusha na hapo kula mtu anarundi kwao
@user-tj9pm2cd5x
@user-tj9pm2cd5x Месяц назад
​@@princematumbo Mbaguzi wa rangi
@Khaly-v7c
@Khaly-v7c Месяц назад
Ukiwa kafiri hata ufanye ubaya gani bado hujawa gaidi Dunia hiii.
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 Месяц назад
Kisa sio muislam hamlipi jina la ugaidi
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Месяц назад
Gaid ni mwislam tu kwa tafsiri za Nchi nyingi
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f Месяц назад
hapana uyo sio gaidi ameokoka
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Месяц назад
​@@ndukulusudikucho_nyie ndio magaidi wakubwa Shakahola na Mayahudi
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Месяц назад
@@user-sn4iq6cu1f kaokoa kvp anaenda kufirwa
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x Месяц назад
Utaskia anaasili yakiarabu aumuslim
@jakayajuma9867
@jakayajuma9867 Месяц назад
Ni kawaida sana kwa marekan kama serekar aimtaki uyo kiongoz
@emmanuelmanga25
@emmanuelmanga25 Месяц назад
Bwana mdogo ashajulikana tayari, ana miaka 20 anaitwa Thomas Matthew Crook
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x Месяц назад
Duh kumbesio mwarabu maana ndiotumekalilishwa africa
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f Месяц назад
sio gaidi uyo ameokoka
@BarakababaRama
@BarakababaRama Месяц назад
Apo sasa sijui watasemaje maana hakua mwarabu wala muislamu
@allymwilu8089
@allymwilu8089 Месяц назад
Yani huyu mtoaji taalifa ukimuangalia tu kwaumakini utagundua kua naelewa mchezo unaendelea nyuma ya panzia
@BarakababaRama
@BarakababaRama Месяц назад
Sijui watasemaje maana hakua mwarabu wala muislamu
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Месяц назад
Ndio tunasubiri turned kwasababu kila siku wakisingisia waislam
@user-hy7op6tr8p
@user-hy7op6tr8p Месяц назад
Angekuwa muislam vyombo vyote vya habar ingekuwa hapatoshi
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa Месяц назад
Eti marekani kuna usalama watu waache kusifia ujinga huyu ni gaidi hata km ni kafiri mwenzao.
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 Месяц назад
Yupo wapi yule Douglas Murray anaesema waislam tu ndio wauwaji
@ludanchuwa5054
@ludanchuwa5054 Месяц назад
Hatuta wachukia kwarangi zao ila kwatabiya zao
@AllanJelad
@AllanJelad Месяц назад
Hiii hatari sanaa USA and UK ni adimu sana kuona matukio kama haya alafu wao hua inawauma wakiona hizi mambo
@emmanuelmanga25
@emmanuelmanga25 Месяц назад
Fuatilia USA kisha utueleze ni marais wangapi waliouawa kwa risasi
@nassoromfumya7319
@nassoromfumya7319 Месяц назад
Acha kudanganya, unadanganywa na vyombo vya habari vya magharibi, kwao ni nyingi sema haziripotiwi
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Месяц назад
Unasema ni adimu? Ni nchi ipi inayoongoza kwa mauaji ya risasi duniani kama sio Marekani?
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy Месяц назад
Wee Bado mdogo itakuwa marekani paka rais ambae yupo madarakani ashakufa Kwa risasi ndugu
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Месяц назад
MWAMBA AKIINGIA VITA YA UKRAIN,ISRAEL. HAITAKUWEPO.TENA.
@godsonraphael6669
@godsonraphael6669 Месяц назад
Mnasema Biden ndiye muuaji inawezekana maana mtu mtu mwenyewe mikono yake yenyewe inatetemeka ndio maana kamkosa
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 Месяц назад
hawa huwa wanapiga risasi marais wao,sembuse mgombea urais...J kennedy,Lincoln ni mifano hai
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Месяц назад
Wanajua akiingia madalakani Tazuia mambo mengi
@mootelahamongus633
@mootelahamongus633 Месяц назад
Ndiyo tunaambiwaga nchi ya demokrasia hiyo.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Месяц назад
2lia ww
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Месяц назад
Mpaka wao duh atr sana
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Месяц назад
Marakani kununuwa bunduki ni bei ya nyanya.watakuja kusema mshambuliaji n gaidi wakislam 😂
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Месяц назад
Sasa hapo kinacho kushangaza ni kipi kigeni, mmemtrendisha Lisu as if yeye ndio mwamasiasa pekee duniani kushambuliwa na risasi hasa mareakni walikemea sana wanafiki hao, na weae usiejua eti dah mpaka wao, sasa ngoja nikujuze ni hivi hakuna raisi aliewahi kupendwa kama marekani kama Abraham Lincolin wa marekani lakini aliuwawa kwasababu wa kupenda kuwatetea sana watu wa hali ya chini huyu alikuwa raisi wa 16 na aliuwawa april 1865, na raisi wa pili alikuwa ni wiliam mchild nae aliuwawa mwaka 6/9/1901, na raisi wa tatu alikuwa ni James Abraham nae aliuwawa 2/7/1881, na raisi wa nne kuuwawa ni John Kenedy tar 12/11/1963 huyu ni sababu tu alipinga upepari ndani ya marekani na raisi mwengine hakufa ila nae alijaribiwa kama Trump ni Ronald Regan akifuatiwa na Donald Tramp sasa hivi, ila hawa puuzi wanajisahaulisha na kuona kama Afrka ni washenzi kwa kuuwana wenyewe kwa wenyewe vitu ambavyo wao ndio husababisha kwa sababu zao, sasa kama kwao wamehalalisha kuwauwa viongozi wao wakiwa madarkani ndio demkrasia basi sawa.😒
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 Месяц назад
Wahuni wanataka kumuua trump wao wenyewe
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Месяц назад
Jamaa ana shabaha alitaka kusambaza ubongo
@user-hm9ir7yz4z
@user-hm9ir7yz4z Месяц назад
Jamaa alirenga kichwani dah!😮
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw Месяц назад
Hii ingeniuma saana aiisee ... Natamani mwamba aingie mamlakani
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Месяц назад
Sio pw mwanangu
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Месяц назад
Naishi Pittsburgh, Pa
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy Месяц назад
Ndiyo watyu ambao tunaona wameendelea ao maisha Aya Dunia ipo ovyo sana
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw Месяц назад
Watu huuwawa kila siku ata kama nchi inauhuru kiasi gani kumbuka anerika kumiliki bunduki jambo la kawaida saana
@SalehSonda-bz3hl
@SalehSonda-bz3hl Месяц назад
Someni siasa y'a amerka utagundua ni jambo la kawaida
@FahmiNassor
@FahmiNassor Месяц назад
Bado watauwana sana wenyewe kwa wenyewe
@EliyaMloy-lf7vp
@EliyaMloy-lf7vp Месяц назад
kwan huku africa hamuuani sana kila siku watu wanachukuliwa misukule na akina maimuna sio kuua huko
@AdamKondo-b7e
@AdamKondo-b7e Месяц назад
Nini hicho
@bushbabytz
@bushbabytz Месяц назад
ASANTE MUNGU KWA KUMUOKOA RAIS TRUMP, UMEIOKOA AMERIKA NA UMEIOKOA DUNIA NZIMA...
@kiatu
@kiatu Месяц назад
Hii ulichelewa ku post alipokuwa rais au? 😂😂
@bushbabytz
@bushbabytz Месяц назад
@@kiatu TRUMP ANAKUWA TENA RAIS WANGU TAKA USITAKE
@user-ps5co3pc3f
@user-ps5co3pc3f Месяц назад
Jamaa alilenga kichwa dadeex,,Trump nenda katubu aisee ulikua unakufa apo🙆
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Месяц назад
Umeona balaa
@user-ps5co3pc3f
@user-ps5co3pc3f Месяц назад
@@AFRICA_D669 sio poa yaan risas imepita sentimeta chache kutoka kichwan yaan ilikuwa inaharibu ubongo wake na kufa.Yaani amshukuru mungu Kwa hilo
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Месяц назад
@@user-ps5co3pc3f yaani nakumbuka kifo cha john F Kennedy ingekua kama huyo sasa
@kiatu
@kiatu Месяц назад
Dogo kajifunzia pabaya 😂
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 Месяц назад
SNS mpo vizuri sana mlishatabiri hili..
@user-xy6ed7ve6r
@user-xy6ed7ve6r Месяц назад
Tabia za Dunia, hili jambo lingetokea kwenye Nchi za Afrika, tungeziba masikio. Wanaosema Demokrasia wao wenyewe hawaifuati
@johnmike6059
@johnmike6059 Месяц назад
Manafiki wakubwa awa fbi ndo wahusika wakubwa
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Месяц назад
Trump mungu akulinde tupo pamoja nawe
@Marjeby
@Marjeby Месяц назад
Nakuona ulivyo pamoja na Tramp😂😂😂😂😂 Africa mmelaniwa na nani sijui asisas
@Broxnick
@Broxnick Месяц назад
😂😂😂😂 mwenetu anamuombey trump Amani 😂
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Месяц назад
@@Marjeby sijui kwann ila mwamba namkubali sana Obama bush na Biden ndo sjawai kuwaelewa ila Trump namkubali kinyama
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Месяц назад
@@Broxnick namwelewa sana yule mwamba
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f Месяц назад
​@@fasterwalker1464unamuelewa sana yule mwamba nadhan atakua anakukunja ndio ivyo et
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 Месяц назад
Trump wanajua ameshapita urasi kwahiyo wapinzani wanakiwewe
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb Месяц назад
Rafiki WA putin sana uyo ana macasinos mengi urusi
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 Месяц назад
Makafir wao kwa wao ni marafik hakuna GAID apo ila yupo muuwaji 😢😢😢😢😢 END WORLD loading,,,,,,,
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Месяц назад
Mkituiita sisi makafiri na Biblia inawaita wampingao Kristo no makafiri so Ngoma Droo. Kafiri Kwa kafiri😂
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 Месяц назад
@@sarahgaula2220 Kafir sio tusi sarah ila ni mpingaj tu kwa unaloliamini wewe na dini yako
@issazalala4907
@issazalala4907 Месяц назад
Hiyo ndio siasa Ina mapcha pcha nyuma ya panzia
@moseskulola6913
@moseskulola6913 Месяц назад
Watu WA Biden wasituziguwe tuta owana trump akikufa kweli
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 Месяц назад
Acha watwangane waokwawao mana sisi waafraca washatuchakaza sanaa hawa jamaa shenz kabisa
@godsonraphael6669
@godsonraphael6669 Месяц назад
Mifumo haimtaki inamtema
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Месяц назад
Hameponaje uyo mpnga kristo minikajua hamekufa kengeuyo
@katemachanda7035
@katemachanda7035 Месяц назад
Kwa taarifa Yako waliokuwepo madarakani Serikali ya Marekani ya Sasa ndio wapinga Kristo.
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Месяц назад
Kwa hiyoo huo sio ugaidi😅? Ila hawa majamaaa wanajua bropaganda
@yussufkhasim9021
@yussufkhasim9021 Месяц назад
Hawa watu wao ndiyo wamemtu ila kwavile hajakamilisha kazi wamemuua. So, know no evidence
@daudymlauletv8489
@daudymlauletv8489 Месяц назад
Tatz wamgwaya Trump kwa sababu ya Ukraine
@sashawambura
@sashawambura Месяц назад
Not staged!!!??
@FlorenceGervas
@FlorenceGervas Месяц назад
Trump pumzikatu
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n Месяц назад
Uyo mpnga haki za binadamu hafetu malafik wake ma dikteta wakna putini wafewote
@nizarrama225
@nizarrama225 Месяц назад
umekula kande uende ukanye sasa
@dralexmakalla3871
@dralexmakalla3871 Месяц назад
Kama huji world's politics kaa kimya. Trump ndiye mwamba anayepinga ushetani wa wazungu na katika utawala wake hajapigana vita na dunia ilikua na amani
@allykassim1120
@allykassim1120 Месяц назад
utakuwa ni shoga
Далее
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Просмотров 2,8 млн
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 6 млн