Тёмный

Fix You: Mwanamke kamwe usitumie hela yako kuendeleza mradi/biashara ya mwanaume ambaye hajakuoa 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
Bidada nywele umependeza sana.❤
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 11 месяцев назад
Nakukubali Madam Iren unatuweka kwa darasa kabisa
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 11 месяцев назад
Nakupenda sana Madam Iren kazi yako ni njema
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Asante sana somo zuri ❤
@rebeccal.nyange219
@rebeccal.nyange219 Год назад
nimependa haya mazungumzo, siku wanawake tutaelewa this concept then itakuwa ukombozi kwetu, asante sana
@cresenciahonesty6728
@cresenciahonesty6728 Год назад
Hongera dada irene , umependeza sana😊 usiache kusuka
@romes-tz7323
@romes-tz7323 Год назад
Duuu hizi nondo sijawahi kuziskia kabisa Yan Leo tumelamba dume💯
@Udindigwa
@Udindigwa 10 месяцев назад
Ujumbe Safi Kabisa
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Год назад
Irene mlete Tena natena mtia moyo ham haiishi bado ana material tunayahitaji tafadhali 👍👌😍
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 Год назад
Wow nashukuru sana 🙏
@drpriscaantony7825
@drpriscaantony7825 Год назад
Ujumbe umefikaah ahsante kaka❤
@geraldnaftal1254
@geraldnaftal1254 Год назад
SNS mmeshakuwa studio kubwa now jitahidini kufunga soundproof kizuiya sauti za nje, n'a pia uwo mlango wekeni grisi inasumbuwa sana👾
@miriambethuel8892
@miriambethuel8892 11 месяцев назад
Yaniii wadada tuache kiherehere😂 kujihudumisha...its has to stop
@kizadina6448
@kizadina6448 Год назад
Uyo kaka harudi tena ❤
@modestmkali3436
@modestmkali3436 Год назад
Harudi tena au arudi tena, Nina hakika ulimaanisha ARUDI, mnaharibu kiswahili.
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Год назад
Somo zuri umependeza sana irene❤
@edsonjosephat4777
@edsonjosephat4777 Год назад
Bring him back please
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 Год назад
Nashukuru sana rafiki 🙏
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 11 месяцев назад
Ila nataman watanzani tupunguze kuiga tamaduni zisizo zetu,hili swala la kupwa natamani liishe hata bila kujadiliwa jamani mke ni mke tu tulizike hivyo na thamani ipo hapo hapo kwenye neno mke itoshe huko kwenye mke kulipwa tutamkosea Mungu zaidi
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Kipindi kizuli Sana dada Irene naomba uendelee nakipindi hivi Kila siku maana vinatufunza Sana,, nakupenda xana da irene❤️
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
Ahsante🙏, love you too
@dianasemakula8075
@dianasemakula8075 Год назад
Only in Africa
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Год назад
Yes and vice versa is true
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 Год назад
Nashukuru sana
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 Год назад
Irene nikiwa kama mdada niliye kwenye ndoa Kwa mwaka wa KUMI Sasa, naomba huo muonekano WAKO wa Sasa uendelee, unapendeza sana
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
Ahsante sana dada, basi ntajitahidi😅
@Elizabeth-p4p
@Elizabeth-p4p Год назад
Kaka huyu yupo makini sana na anachokifanya,anajua na anaeleweka sana
@drpriscaantony7825
@drpriscaantony7825 Год назад
You look so beautiful❤
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 8 месяцев назад
🙏
@hamadsaidy8740
@hamadsaidy8740 Год назад
Mwamba umeongea point tupu 🙏
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 Год назад
Nashukuru sana sana 🙏
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 8 месяцев назад
Wengi hawajuwi wanajifanyia tuu.
@jennytugara9470
@jennytugara9470 Год назад
Hiyo statement ya kusema usitumie energy ya kutoa support kwa Mwanamme kabla ya kuolewa. Sasa si mara zote mahusiano ni kuoa au kuolewa. Alafu kuna wanaume wanatoa support na wala hawa demand chochote.
@dayana5513story
@dayana5513story Год назад
Yani uyu kaka kaongea ya moyoni mwangu na wish vijana wajitambue 👏👏👏👏
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 Год назад
Hamna kitu ni pumba tu hiyo ametoa.
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 Год назад
Amina nashukuru sana 🙏
@Zenny89
@Zenny89 Год назад
Mbona aliposema kwenye Lugha Nzuri hapo mwanadada kakohoa🤣🤣🤣..Ameguswa nini🤣
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 Год назад
Lugha ipi rafiki? 😂
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Год назад
ANASEMA KWELI KABISA NAOLEWA SOON KASHATOA MAHARI ILA SIJAWAHI ATA KUMFULIA WALA KUMPIKIA😅, NIKIENDA KWAKE YEYE NDO MPISHI WANGU
@Zenny89
@Zenny89 Год назад
Kama nimemnunulia washing machine je??? Kwanini asinifulie hata Kama ni girlfriend?🤣🤣🤣.. Kama ni hivyo nabeba washing machine yangu pamoja na waya na mabomba🤣🤣
@irenekamugisha
@irenekamugisha Год назад
😂😂
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 Год назад
Tatizo sio kufua au kufulia nini? But ni lini na kwa nani?
@doricelugundiza4849
@doricelugundiza4849 Год назад
Duh uyu arudi jmn…..kwanza yuko very proffessional hacheki cheki hata
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 Год назад
Nashukuru sana rafiki mpya 🙏
@salma_74
@salma_74 Год назад
Ikiwa mume na mke wote ni wafanyakazi. Ni mishahara yote iwe mezani sio mwanamke pekee. Na mume hawezi kumpangia mke matumizi ya mshahara wake bali wapange kwa pamoja au huo unakuwa ni kama kuwa mume ni Dictator.
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 Год назад
Unafahamu mpaka wigi lako ni la mumeo?
@dayana5513story
@dayana5513story Год назад
Pls mrudishe uyu kijana anafaa sana kwa kizazi iki
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 Год назад
Nashukuru sana 🙏
@ashaidd2912
@ashaidd2912 Год назад
Arudi tena
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
✌️👊👍。
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 Год назад
Muongo huyu jamaa....hayo minmawazo Yako....mambo ya dini acha vitabu vizungumze acha kuongea pumba
@philipinamboya2204
@philipinamboya2204 Год назад
ukweli unauma😌
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 Год назад
Naomba hoja yako tafadhali
@philipinamboya2204
@philipinamboya2204 Год назад
​@@officialmtiamoyo6922 Mimi hii mada imenigusa sanaaaa sanaa tena pale uliposema juu ya maandiko matakatifu kuhusu wajibu wa mwanaume
Далее
HUYU MWANAFUNZI MH BALAAA
3:07:53
Просмотров 101 тыс.
Trase Wout Ou  | Dr. Dieunine Loudy LOUIS
52:26
TALK IT PODCAST
31:20
Просмотров 41