Тёмный

Fix You: Nilijitoa sana kwa girlfriend wangu lakini akaniacha alipopata kazi, waliniasa sikusikia 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

24 сен 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@magrethrichard8477
@magrethrichard8477 6 месяцев назад
Nauliza wanawake hv unasalitije mwanaume mwenye roho nzuri hv,,nyie mwanaume bora asiwe na hela ila awe na roho nzuri,,,napenda mwanaume mwenye roho na hofu ya mungu❤❤❤
@revocatusbahatibussiah5201
@revocatusbahatibussiah5201 10 месяцев назад
Bro ur so strong like me!!!!! Hata mm iliwah nikuta hiyo but I stand STRONGEST Kupona hadi mwaka uishe.... Na MUNGU atakupatia unaestahili
@shabanialawi1566
@shabanialawi1566 10 месяцев назад
Nakubaliana na wewe Amos! Kwanza hii ku-date haipo kwenye culture yetu, sisi unamuona unaemtaka unasema unaposewa unaoa sio ku-date 😊
@elmereckbet4510
@elmereckbet4510 9 месяцев назад
Familia ♥️
@jacksonrusanyu5521
@jacksonrusanyu5521 10 месяцев назад
Dada zile nywele zako natural zinakutoa sana
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 10 месяцев назад
ila mapenzi kila mtu analalamika kivyake dah wanawake wanakuja apa wanalalamikia wanaume na wanaume nao wanalalamikia wanawake aaahhhh kweli mapenzi kamari 😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻
@thomaskapande8618
@thomaskapande8618 8 месяцев назад
Bet vizuri
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 месяца назад
Makari ndo nini???
@beatricemalle4422
@beatricemalle4422 10 месяцев назад
Mungu ampe mwanamke wa maisha yake atakayempenda na kumuheshimu
@kmotivation1130
@kmotivation1130 10 месяцев назад
Ndugu zangu mimi sijui mapenzi lakina wanaume wenzangu acheni kuwa nice guy ,ukiwa nice guy sana mwana mke ana kutumia kukamilisha dream zake kupia wewe yani anakutumia ipasavyo so stop to be nice man, act like Alfa,Sigma guy itakusaidia , wanawake wengi wanatesa Beta Man coz ni wapole so wanaume Kuweni Makini ,
@elizabethmgina945
@elizabethmgina945 4 месяца назад
Be strong my bro hata mimi nimeumizwa na mpenzi wangu mbaya zaidi ameniambia anaoa mwezi huu wa tano namshukuru MUNGU japo bado cjapona😢
@Zenny89
@Zenny89 10 месяцев назад
Sasa Blaza!!! Kwanini msichana wa kitanga?? Ulitakiwa upate msichana wa kikuriaa… kila ukimwangalia usoni unapata ugonjwa wa Moyo😩.. hutaachwa.
@elamndendya5917
@elamndendya5917 10 месяцев назад
Pole sana kaka ila umetuambia ukweli mtupu
@husseindjumida6568
@husseindjumida6568 10 месяцев назад
Bro anaongea mpaka mamb amabayo hajaulizwaa😂😂. Sio sawaa. Tena kama ww huwezi kua manager, mm na weza kabisaa...
@husseindjumida6568
@husseindjumida6568 10 месяцев назад
Napendaa sana ichi kipindi! Dada pole namafuwa.😢😢
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 10 месяцев назад
Mim tukiachana ntajutia tuu moyo wangu lkn sio materials ambazo nlimsaidia au kunisadia coz vitu vipo vinapatikana ....ila jeraha la moyo Mungu atuponye tuu kwa sabbu kuna watu tukupenda tunaingiaga kichwa,mikono,miguu mpaka na viatu😂😂😂ukina kutendwa kutoka utajua hujui😅😅😅
@naumikabila5880
@naumikabila5880 9 месяцев назад
Hivi kwanin wanawake au wanaume wenye wapole na wako na true love ndo watu wanao umizwa sana kwenye mahusiano jmn??
@abdallahmvungi3566
@abdallahmvungi3566 10 месяцев назад
NIMEPENDA HILO SWALI LA "ULIJUAJE KAMA ATAKUWA MKEO", HAPO NDIPO VIJANA WENGI TUNAPO KOSEA .
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 10 месяцев назад
Dada Irene u back again,,wow,,❤️🥰we love you and kipindi chako pia,,usiache dada Irene endelea nakipindi chako kinatufunza sana
@irenekamugisha
@irenekamugisha 10 месяцев назад
❤❤
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 10 месяцев назад
​@@irenekamugishaumependeza irene
@doricelugundiza4849
@doricelugundiza4849 10 месяцев назад
Pole sana….
@ashaidd2912
@ashaidd2912 10 месяцев назад
Sound down aongelee kwenye mic
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 10 месяцев назад
😂😂😂 Brother Mahusiano Sio Mpango
@elmereckbet4510
@elmereckbet4510 10 месяцев назад
Ila waisa 😃
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 10 месяцев назад
@@elmereckbet4510 😆😆😆😆😆😆
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 10 месяцев назад
@@elmereckbet4510 But Somo Kubwa Unetupatia Sisi Kama Vijana 💥💥💥💥
@wisemelodytz589
@wisemelodytz589 10 месяцев назад
Kipindi bora kabisa hasa kwa sisi vijana kuna mengi ya kujifunza hapa Nulichogundua kutokana na story ya bro ni kwamba alikua "nice guy" wanawake wengi hawapendi hiyo usiwe innocent sana mwamba unatakiwa kuwa na heka heka "bad boy" imagine anataka kufua nguo za ndani mwanaume ni kichwa bro wanaojua wameelewa
@anthonykiula6321
@anthonykiula6321 9 месяцев назад
True.lazima uwe kichaa flan kias
@thomaskapande8618
@thomaskapande8618 8 месяцев назад
😂😂😂😂kaelewa now
@riziwanikipande8807
@riziwanikipande8807 10 месяцев назад
Pole kijana
@officialoscaroscarjrfan
@officialoscaroscarjrfan 10 месяцев назад
Yaani ni mm kabisa huyu daah maumivu yake duuh
@liberatharichard4556
@liberatharichard4556 8 месяцев назад
Typing..................deleting.........., .......😢
@geofreymchwemba9251
@geofreymchwemba9251 10 месяцев назад
Sema hapo kunavitu vya kumsaidia mwanamkee ,, mfano vocha unamsaidia na yeye anakupigia wapo unawapa vocha hawakupigii kabixa,, kwangu sisahi mwanaume kuwajibika kabla ndoa ila kwenye ndoa mwanaume hanstaili kuwajibika
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 10 месяцев назад
Icho ki2 hata Mimi kimenikuta Ila Kwa kua Mimi ni son of LUCIFER, nilimuona Ka choko tu Yule demu, Kwa kua hakuniachia kilema nipo imara Sana mtoto wa kuzimu
@jamesmwakyusa9772
@jamesmwakyusa9772 10 месяцев назад
Duh
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 10 месяцев назад
Khee!Son of who..........nilidhani nimesikia mengi duniani.
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 10 месяцев назад
@@jamesmwakyusa9772 Mambo yakawaida Sana haya hata usiogope wala kutishika
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 10 месяцев назад
@@neemayatosha1618 Mambo yakawaida Sana haya wala usiogope wala kutishika ☠️🤘🏿
@thomaskapande8618
@thomaskapande8618 8 месяцев назад
Sure
@husseindjumida6568
@husseindjumida6568 10 месяцев назад
Sister anajua kuhoji kuliko ma host weng ambao mnao Sns..yani ni namba 1 ao 2 kivyangu mimi..
@anthonykiula6321
@anthonykiula6321 9 месяцев назад
Hata mimi namuelewa
@dayana5513story
@dayana5513story 10 месяцев назад
Ndo maana mimi nimechagua kua single
@danielamosi6871
@danielamosi6871 9 месяцев назад
Usiogope dayana
@thomasgabriel588
@thomasgabriel588 10 месяцев назад
Mwamba mchumba hasomeshwi
@charlesjohn5792
@charlesjohn5792 9 месяцев назад
Kwa tabia hizo za huyu jamaa lazima tu uachwe....
@user-cq2uh6wl6o
@user-cq2uh6wl6o 10 месяцев назад
Duuuuuu Broo Broo iyo stor inaniusu kbs yamenikuta mm mzee yaan isje kukutokea iyo ishu
@martinsimba4366
@martinsimba4366 10 месяцев назад
😂😂Tuko wengi bro😂
@jamesmwakyusa9772
@jamesmwakyusa9772 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@shabanizena2612
@shabanizena2612 10 месяцев назад
Pore
@Salehabdallah-cu7kh
@Salehabdallah-cu7kh 10 месяцев назад
Kila mtu anakua mshauri mambo yakienda kombo....nobody tells us about it wakiwa kwa romance
@thomaskapande8618
@thomaskapande8618 8 месяцев назад
Wanatukaushia
@AminaAmina-yy1fn
@AminaAmina-yy1fn 10 месяцев назад
Umejichanganya
@atomphoton5000
@atomphoton5000 10 месяцев назад
Sasa huyu kaka ni Lambistic anahitaji tiba ya kisaikolojia. Girlfriend kazi yake ni kupelekewa moto tu, malavidavi, romatic gestures, kufuliana chupi, kunyonya papuchi, kumpikia, kusaidia wazazi wake kiuchumi, kumtoa out, kuwekeza kwa future ya mpenzi, kutelekeza familia yako kisa mchumba na kujitoa sadaka hayo ni mambo unayaacha kwanza hadi huyo Girlfriend awe mke na hiyo ni baada ya kujiridhisha pasipo shaka lolote kuwa anaweza kupokea moto wakati wowote, muda wowote na "popote".
@halimoabgal5039
@halimoabgal5039 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂 daaaahh
@acmaheri
@acmaheri 10 месяцев назад
Mhhhhh😂😂😂😂😂😂. Kama mawazo ya vijana wa siku hizi ndio haya wasichana wa nyakati hizi watapata sana tabu
@DannyWiston-rb9cl
@DannyWiston-rb9cl 9 месяцев назад
@@acmaheri huwez kua na mawazo ya vijana wa kizamani ambao ni wazee wasasa, ikiwa wewe ni kijana wa sasa, tunaishi nao kulingana na walivyo
@thomaskapande8618
@thomaskapande8618 8 месяцев назад
Ukiwa mlaini mno kwa mwanamke ndo matokeo yake better ukajua mipaka ya me na ke
Далее
No one will play with him( #standoff #meme #grenade
00:12
Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.
33:27
RAHA NA KARAHA ZA KUOA UGHAIBUNI
1:15:26
Просмотров 20 тыс.