Тёмный

FULL BAJETI YA RAMANI YA CHUMBA NA CHOO MPAKA INAKWISHA INA COST MILIONI 2 NA LAKI 2  

Sanuka Media
Подписаться 47 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

#ujenzinafuu #ujenzi #ramanizanyumba

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@antonychitara5707
@antonychitara5707 24 дня назад
video yke vip
@JohartzKabubi
@JohartzKabubi 20 дней назад
Inajengwa kwa beigani kwajumla
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 17 дней назад
kaka plz nijib hii... mm ninay 10m nataka vyumba viwli jiko na seble kiwanja chng kiko kisemvule inawezekana kufanikiw? nataka nijumba kizur cha kisasa nitafanikiwa?🤔🤔
@abrahmanizayumba9340
@abrahmanizayumba9340 Год назад
Kazi nzuri hongera
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Год назад
Asante 🙏🙏👍
@OmanOman-ns3iw
@OmanOman-ns3iw 6 месяцев назад
Mbona no yako haionekan Vzr nakuhitaj
@manmcog1741
@manmcog1741 11 месяцев назад
Hapa nimekuelewa kaka
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553 4 месяца назад
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Год назад
Nibajenti ndogo Sana kwamtindohuu tutajenga wengi
@HappyJohn-ky9cr
@HappyJohn-ky9cr 10 месяцев назад
Mim niliangalia hii video nikajenga...japo bajet ilizid kidogo
@teddyshauri4309
@teddyshauri4309 3 месяца назад
Weeeeh Sema kweli naomba nikutafute naomba namba yako
@MatildaCharles-ui8lu
@MatildaCharles-ui8lu 16 дней назад
​@@HappyJohn-ky9crmambo naomba unitumie raman ya nyumba yakoo
@hadijaseboha5188
@hadijaseboha5188 Год назад
Aiseeeee hiii imenipa Moyo kumbe Mtu ukiamua unaweza
@sanukamedia9084
@sanukamedia9084 Год назад
Kabisa kknachotakiwa usiogope kufanya ujenzi
@MatildaCharles-ui8lu
@MatildaCharles-ui8lu 19 дней назад
​@@sanukamedia9084iyo bajeti mbona nikipiga maesabu inazidi
@ZuwainaSd
@ZuwainaSd Год назад
Naomba namb yako
@karimrahim33
@karimrahim33 2 месяца назад
Maelezo yake na bajet ni tofauti chukua calculator then utapata jibu tumia hayo maelezo
@SaitotiHinyura
@SaitotiHinyura Год назад
Thanks
@ahz6907
@ahz6907 8 месяцев назад
weka breakup ya hiyo 2.2M kila kitu cement,mchanga,kokoto,nondo,rangi,milango,madirisha,bati,umeme
@salhamlanz9806
@salhamlanz9806 9 месяцев назад
Mimi nakitaka hiki kijumba fundi
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Год назад
Kwaiyo hukiunganisha hizo bajentinaweza kupata nyumba yachumbatatukwa milioni 6na laki6inawezekana
@HappyJohn-ky9cr
@HappyJohn-ky9cr 10 месяцев назад
Ndugu yangu sio kweli...inazidi
@ZKA645
@ZKA645 4 месяца назад
@@HappyJohn-ky9crtena sana, hapo sijasikia kitu chochote kinachohusiana na choo, choo chenyewe, sinki ya kukosha mikono n.k…., mabomba ya maji, mfumo wa kutoa maji nje, mfumo wa umeme yaani vitu vingi tu bado. Na nyumba kusimamisha boma ni rahisi, lakini kwenye finishing ndiko kwenye gharama kubwa…
@ZKA645
@ZKA645 4 месяца назад
@@HappyJohn-ky9crpia na kuhusiana na jiko, hata kama litakuwa ni dogo tu, lakini lina gharama pia, kweli inatia moyo hii estimation yake, lakini sio rahisi kiasi kama hichi
@VailethAnackleth-oe6en
@VailethAnackleth-oe6en Год назад
Chumba kina ukubwa gani
Далее
Pure Comedy #ti13
00:38
Просмотров 212 тыс.
Namna ya kupata kipato cha ziada na AirBnB.
47:02
Просмотров 1,1 тыс.