Тёмный

FULL STORY: Producer aeleza dakika za mwisho za maisha ya 'SAM WA UKWELI' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 266 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 904   
@hadijashabani2686
@hadijashabani2686 6 лет назад
😢😢😢ni pigo wallahi💔💔poleni sana familia ya sam Allah awatie nguvu ktk kipind hiki kigimu mlichokua nacho mbele yako nyuma yetu kila nafsi itaonja umauti🙏🙏😢Allah akupunguzie adhab ya kabri 🙏AMIIN😢ALLAH ATUJALIE MWISHO MWEMA😢💔🙏👏
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Hadija Shabani bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake
@godfreyndahaze1768
@godfreyndahaze1768 6 лет назад
Hadija Shabani hatari sana
@bikosteve3802
@bikosteve3802 6 лет назад
From Kenya R. I. P Sam.... Tuliupenda mziki wako... From Kenya leave a like for our fallen soldier
@jescakimario1747
@jescakimario1747 6 лет назад
jamn poleni sanaaa family yake na watanzania wote kwa ujumla ,,,,,jmn kusali ni muhimu pia huu mwaka kwa wasanii umekuwa kama 2012 wasanii weng walitutoka ,,,,it's so sad kwa kwel
@mariej6962
@mariej6962 6 лет назад
Kijana wa studio uko genuine lakini matendo yenu yamemwuua Sam 1. Mmekubali mgonjwa alale studio 2. Kwa maelezo yako kala chakula mara 1 tu tena supu ya makongoro siku zote 2 alizoshinda hapo 3. Mnamsikiliza mgonjwa anachosema wakati mnajua ni kosa mfano kutoitaarifu familia na kutokumpeleka hospitali 4. Anazidiwa mnampeleka maabara. Maabara haitibu inapima tu. Kwanza hao maabara wanatakiwa kufungiwa huduma waliwezaje kumpokea mgonjwa aliyezidiwa hivyo? Conclusion: Sam angekuwa hai leo 100% iwapo mngetumia akili na busara.
@maryammrope148
@maryammrope148 6 лет назад
mwenyewe anaelezea bila aibu laiti angekuwa ndg yake asingempeleka hospital kisa mgonjwa kasema atapona kifo kipo lkn uzembe umechangia mungu ampunguzie adhabu za kabri Inshaallah
@mariej6962
@mariej6962 6 лет назад
Maryam Mrope angekuwa ndugu yake angempeleka hospitali mapema sana. Anavyojieleza haoni kosa lolote. Ingekuwa ulaya hapa angeshakamatwa na hii video ingekuwa ushahidi tosha.
@lazaisblessings2695
@lazaisblessings2695 6 лет назад
Jamani mbona wanadamu tumekua hivi?Hatusitiriani 😔😔😔😔haikua lazima kueleza hayo yote mpaka ya kumfunga pampers
@tumpelugano1698
@tumpelugano1698 6 лет назад
lazais blessings umeona eeh mi sioni hata alichoongea kitasaidia nin kwa sasa
@tonykaromo
@tonykaromo 6 лет назад
From Kenya twakutambua Sam Wa Ukweli.......lazwa pema peponi
@Vickyoung_Ensanako
@Vickyoung_Ensanako 6 лет назад
I really feel deeply hurt when I lose a role model. Sam made me love bongo music. May he rest in peace in paradise. Let him sing in heaven with Angels.
@Theonethatismissing
@Theonethatismissing 7 месяцев назад
😳🤦🏽‍♂️
@evemukabi5984
@evemukabi5984 6 лет назад
RlP Sam ,Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema.......you were one of my favorite bongo artists.
@shishiramnzava3565
@shishiramnzava3565 6 лет назад
Ayo mmeshindwa edit story kweli kujua nini cha kwenda hewani na nini cha kuacha siajpendezwa na kuruhusu kueleza kuwa marehemu aliomba afungwe pampers tena mbaya zaidi mmekazia kabisa kwenye title kama nd heading ya kuwavuta watu... siyo kila fact ya kuipublish nd maana hata yeye marehemu naamini hao aliowaomba wamsaidie hiyo huduma hakutegemea kama ndiyo waje waseme kwenye media....au kwa mtu mwingine as media kubwa kama Millard Ayo plzee mpate muda wa kujiuliza mara mbili before hamjapublish hata kama mna haraka ya kupiga scoop...R.I.P Sam wa Ukweli
@waqasco.851
@waqasco.851 4 года назад
Hawako makini hao.
@lovenesshumphrey4604
@lovenesshumphrey4604 6 лет назад
Daaaah inauma Sana daah ametutangulia nafs msafara n mmoja, mung ailaza roho ya marehemu Mahali pema peponi amen, 😘😘😘😘😘😘
@anthony_genge
@anthony_genge 6 лет назад
#R_I_P samu wa ukweli mwnyz MUNGU akupokee ktk ufalme wake
@gracerosi6179
@gracerosi6179 6 лет назад
Pamoja na msaada wenu mlimchelewesha kumpeleka kwenye matbabu mungu iweke roho maala pama pepon
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
R.I.P BRO SAM
@clementinamandela9851
@clementinamandela9851 6 лет назад
mkali wenu original please subscribe r.I.p
@christophermoris5859
@christophermoris5859 6 лет назад
R.l.P brother Sam
@youngrasta3019
@youngrasta3019 6 лет назад
Rip Sam wa u kweli mungu akutangulie uendako
@gawudenzakiganane7793
@gawudenzakiganane7793 6 лет назад
RIP
@margarethsolomon693
@margarethsolomon693 6 лет назад
Mara nyingi uhai wa mtu cku zingine hupotea kwa kutokujua. Huyu alipaswa kuwahishwa Hosp ili apatiwe maji iv, kwa maelezo hayo tu inaonyesha hapakuwepo hata mmoja wa kuliona hilo kwa kutokujua. Lkn basi, kila mtu ana cku yake na namna ya kuondoka hapa chini ya jua hili. R.I.P. Nimeumia sana.
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Margareth Solomon bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake
@margarethsolomon693
@margarethsolomon693 6 лет назад
Official Son Nimeisikiza vzi sana. Ukiugua UKIMWI sio tiketi ya kifo. Huyo kafa kwa kinyemelezi cha kuharisha kilichopelekea kuishiwa maji na chumvichumvi mwilini. Na yy kama yeye aliishajikatia tamaa ndio maana hakutaka hata mke ajue. Alishadhamiria, ila hao aliowakuta studio hawakuwa watambuzi, na hata kujua athari ya kuharisha. Ukimwi hauui kihivyo bali complications ndizo huua kama hivyo ilivyotokea. (Vinyemelezi).
@peterhezron8060
@peterhezron8060 6 лет назад
aj
@mariamangel1264
@mariamangel1264 6 лет назад
Kifo ni mawaidha tosha mungu mpokey labisa maana dunia iyi
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
G Gg bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo cha samu wa ukweli
@suzanzabron1766
@suzanzabron1766 6 лет назад
Rest in peace sam
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 6 лет назад
Nyie watangazaji mngemstili mwenzenu jamani kha mpaka dunia nzima wajue malehemu kafa na nin jaman kam mke wake alikuwa ajui si mnamwua mapema kwa presha vingine si lazima muweke wazi mngemstili sababu ya mkewe na mtoto watu watawatenga 😔
@azizacleny8677
@azizacleny8677 6 лет назад
innalillah nilikupenda sana sam ila mungu alikupenda zaid
@praxedadominic1639
@praxedadominic1639 6 лет назад
Nimeumia sana sam bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe pumzika kwa amani
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Aziza Cleny Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake
@azizacleny8677
@azizacleny8677 6 лет назад
Official Son asante nimeona jmn inauma
@gabrielgidasangahalamga6875
@gabrielgidasangahalamga6875 6 лет назад
R.LP. mungu amulaze rohoyake mahali pema Amen.
@sistajoy1
@sistajoy1 6 лет назад
Tulikupenda sana ila Mungu ame kupenda zaidi R.I.P sam😓😓pumzika salama
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Furaha Kaluta Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake
@sistajoy1
@sistajoy1 6 лет назад
Okay i wish to know that😓😓😓
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 6 лет назад
Yaan kwa hayo maelezo ukweli ni kwamba wamefanya uzembe mkubwa sana kuendelea kumsikilizia mgonjwa mpaka hali inakuwa mbaya mwishowe anakufa kizembe sana.Kama wangewahi hospitali mapema ni wazi kwamba kifo kingeepukika. Pia Imani kubwa ya ushirikina(kurogwa) alokuwa nayo marehemu ndio imemsababishia kifo kwa haraka sana. Mungu ampumzishe mahali pema
@coolcool7330
@coolcool7330 6 лет назад
Innalillah wainnaillaih rajuun.poleni sana wafiwa
@gloxglox4604
@gloxglox4604 6 лет назад
mungu kakupenda zaidi akulaze mahari pema peponi Sam ila dah niuzuni saana inauma ndo ivyo aina jinsi
@rhodamussa8304
@rhodamussa8304 6 лет назад
R I P bro Sam munguailaze rohayako mahali pema peponi amina
@dailummala3792
@dailummala3792 6 лет назад
hao jamaa washambaa kinoma sasa masaa yote hayo wameshindwa kumpeleka hospital
@rosedaudi6779
@rosedaudi6779 6 лет назад
Umeonaee atame nawashangaa siowaoga kabisa
@asmabintikiwasha13
@asmabintikiwasha13 6 лет назад
Dailu Mmala ww kifo kina dawa
@marymbwiga7985
@marymbwiga7985 6 лет назад
Dailu Mmala yaani mnakaa namgonjwa muda wote dah!
@marymbwiga7985
@marymbwiga7985 6 лет назад
inaonekana hata mke wake hakuwa na uchungu na mumewake inakuwaje unapigiwa simu mumeo anahali mbaya unajibu huna nauli? au walikuwa na ugomvi ndiyomaana hata mgonjwa hakutaka mkewake apewe taarifa!? Duh, nawaza tu
@ashuramamaashuraaachekuvaa7798
nini wewe mbona masogange kafa hospital
@arafazakir4150
@arafazakir4150 6 лет назад
R.I.P sam Allah akufanyie wepec wa,safar yako mbele yako nyuma yetu 😭
@rukiahassan9959
@rukiahassan9959 6 лет назад
ssa mulikua na haja gn kumtangaza ukimwi Rip sam mbele yako nyuma yetu bc na nyinyi mulo msafisha mulivaa gloves au mulifanya tu
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Rukia Hassan bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake
@imaraimara4975
@imaraimara4975 6 лет назад
Rukia hassan Hayo unayouliza sio muhimu, tuwache maswali yasio na maana. Iliobaki ni kumstiri mwenzetu na kumuombea safari njema ya akhera.
@purityflorence5792
@purityflorence5792 6 лет назад
nashangaa,ukimwi washika binadamu
@JacklineSweetbert
@JacklineSweetbert 7 дней назад
Walikua sawa kwasababu alisema ni ukimwi wa kurogwa angesema t ni ukmw kawaid bas wasnge sema yote hayo
@sumahtanzania4991
@sumahtanzania4991 6 лет назад
R .I .P SAM WA UKWELI mung ailaze roho yake pema pepon. Ishaaalah....du. imeniuma.sana
@frankmgendi8985
@frankmgendi8985 6 лет назад
R I P waukelii sam naikubali saan ngoma yako ya nicpokuona cnaraha
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Frank Mgendi bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake
@alysimbaatena7392
@alysimbaatena7392 23 дня назад
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 sam mwenyezi mungu SUBHANNA WATALA Akupe Jannah fredous
@husseinabdu4651
@husseinabdu4651 6 лет назад
Huyu jamaa alokuwa anaelezea, ningekuwa karibu ningempiga Mtu anaumwa baada ya kufikilia hospital unafikilia ndugu zake, mtu ameishiwa nguvu na anashindwa kupumua unampeleka maabara. We have to be seriuous Any way RIP Sam wa ukweli
@janetwali586
@janetwali586 Год назад
mtu anaumwa masaa karibu masaa 24
@dmcommedy2768
@dmcommedy2768 6 лет назад
R.I.P Daaaah atutakuona tena mjukuu wa bonele ukweli kazi zake tutazikumbuka mungu akueke mahara pema peponi na akuepushe na azabu za kabul aamin kama umeguswa na hili like apa na kukoment
@davisanderson2681
@davisanderson2681 6 лет назад
Pumzika kwa Amani #Sam
@angesaidi9
@angesaidi9 6 лет назад
Pole sana wana familia,mboni ninini hasa kwawasani wetu? eeeh Mungu kamlaze mahali pema peponi ndugu yetu sami......amina
@hawazinga1852
@hawazinga1852 6 лет назад
R. I. P nlimpenda sana hy kaka ktk kaz zake ila mungu kampenda zaid
@thuwaibaabdallah1538
@thuwaibaabdallah1538 6 лет назад
mh sam mungu akusamehe makosayako tulikupenda sana ila mungu kakupenda zaidi ulale mahala pema peponi amin ina lilahi waina ilahim rajiun pole ni sn familia muombeeni apumzike kwa amani nakamayupo ayowahi kumfanyia mabaya amswamehe jamani ok kwani nasi hatujijuwi vp hatima yetu in sha allah. Allah atupe mwisho mwema amin
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Rest in peace *Sam* dah innalilah wainnailah rajiun
@husinamfinanga9275
@husinamfinanga9275 6 лет назад
R.I.P
@jumaramadhani5861
@jumaramadhani5861 6 лет назад
Allah amfanyie wepesi katika akhera yake
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
juma ramadhani Ameeen yarab
@alimohammed6868
@alimohammed6868 6 лет назад
Saumu Hassan mda ukishafika
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Ali Mohammed Exactly my dear
@jackypottrick1pottrick641
@jackypottrick1pottrick641 6 лет назад
Poleni kwa hio ya dunia , wenye walikuwa na Sam pia hawakujuwa ako serious sana ni mungu tu , kuhara pia inamaliza mtu nguvu sana , maybe siku yake ilikuwa imefika hakuna binadamu anaeza jua Mungu amueke mahali pema peponi
@justinemathias9871
@justinemathias9871 6 лет назад
marafiki wanafiki yani mnafikia kumfunga mwanamme pampas badara ya kumpeleka hospital pumbavu kabisa alafu linaongea bila aibu
@muradanamohamed
@muradanamohamed 6 лет назад
Justine Mathias acha ujinga
@Dakingyasta
@Dakingyasta 6 лет назад
daah hawa jamaa hawakua serious kabisaa ....yani unamsikiliza mgonjwa kuna muda tunatakiwa tuwe tunajiongezaa mtu anazidiwa mpaka munamuekea pampers afu bado mna relax ..tujifunzee hapa mgonjwa akiumwa peleka hospital sio kumsikiliza ...hili lipo sana katika jamii zetu ,wasilimia kubwa ya binaamu hua hatupendi kua wadhaifu na ni asili yetu na hua tunachukua uda sana kukubaliana na hali zetu ,,ndio maana sam hakutaka taarifa zitoke kwa watu wa karibu na hakutaka kupelekwa hosp ila ki saikologia mulitakiwa kufuata utaratibu wa kumpeleka hospi mapema ..saikologia ilihitajika zaidi ....anyway R.I.P SAM m.mungu alipanga iwe hivo
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 6 лет назад
Usiwalaum ndugu Kifo hakina Kinga
@sakinatanzanian5000
@sakinatanzanian5000 6 лет назад
R.l.p mungu akulaze mahali pema
@getrudesanga6252
@getrudesanga6252 6 лет назад
Mlijali kazi zenu bila kujali ugonjwa wa mwenzenu,,ungenyamaza tu ,,,r.i.p Sam
@fundimagari5825
@fundimagari5825 6 лет назад
hawa washikaji sio kabisa ni wapumbavu mno Mtu anaanza kuumwa mdogo mdogo wao wamekaa tu Mbaka anazidiwa ndio wanastuka wanapeleka maiti hospital huu ni uboya kabisa Vijana wanashindwa kujiongeza kama huyu mwenzetu sasa anaitaji huduma maalum Unamvisha pampas ndio tiba alafu mnatoa siri za mgonjwa eti anaukimwi nyie mlimpima.
@meshackmganga4639
@meshackmganga4639 6 лет назад
fundi magari yaan anasimulia jinsi alivyokuwa mburula
@jasonjastinmatandala3037
@jasonjastinmatandala3037 6 лет назад
Mungu ametoa Mungu ametwaa jina la Bwana lihimidiwe... Amina
@fatumadjumbe2551
@fatumadjumbe2551 6 лет назад
Jamani kila nafsi itaonja mauti Sam kafariki, nimeumia sana kwataarifa hii
@queenandchill91
@queenandchill91 6 лет назад
Nyie maboya kweli ..mtu anaumwa mnamsikiliza anachotaka???badala mmpeleke hospitali...ndo mtafute hao ndugu..Aisee akili zenu O kabisaaa mmemuua Sam....
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 6 лет назад
Yan we jamaa ni mzembe sana kwa huo mda wote mliokaa naye kama mngemuwaisha hospital pengine tungekuwa naye mpaka sasa, afu bila aibu unaongea ,siku mbili zote izo mtu anaumwa tumbo la kuarisha mnamwangalia dah ili jamaa zembe, rest in peace #SAM dah
@naadimyassin5866
@naadimyassin5866 6 лет назад
ina lillah waina lillah lajiuna hakika sote niwaja wa Alla na kwake ndo malejeo yetu masikin Sam mungu akulaze mahali pema pepon
@Nahidame21
@Nahidame21 6 лет назад
rip sam Allah akusamehe madhambi yako
@agripinamgema8879
@agripinamgema8879 6 лет назад
Pole sana Kaka kwa upendo wako. Mbele yake nyuma yetu. RIP SAM
@colilnsmulastborn8562
@colilnsmulastborn8562 6 лет назад
daah! pole sana familia,msanii wetu kutoka kitambo rip
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Colilns mulast born bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake
@mathazakayo288
@mathazakayo288 6 лет назад
rip Sam waukwel
@mctarimo1634
@mctarimo1634 6 лет назад
Duh so pain Rest In peace Sam Wa Ukweli
@seciliarenatus3596
@seciliarenatus3596 6 лет назад
RIP Sam was ukwel daaa
@nicholusmwavuo5404
@nicholusmwavuo5404 6 лет назад
Rip Sam wa u kweli mwenyezi MUNGU ailaze roho yake mahali pema peponi tulikupenda lkn MUNGU kakupenda zaidi.
@sheilabushirsheilabushir9929
@sheilabushirsheilabushir9929 6 лет назад
duh kfo hakna huruma
@remmythatdiva812
@remmythatdiva812 6 лет назад
Mnampeleka MTU ameishiwa na nguvu
@remmythatdiva812
@remmythatdiva812 6 лет назад
Soo sad😭😭😭😭😭
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Sheila Bushir Sheila Bushir Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo cha samu wa ukweli
@thauratali3656
@thauratali3656 6 лет назад
Kifo hakikwepeki mungu alishapanga kuchukua roho yake inalillah wainna ilah rajiun allah amlaze mahala pema peponi
@zawiyatasha5098
@zawiyatasha5098 6 лет назад
Rip sam
@angelmarwa6456
@angelmarwa6456 6 лет назад
Pole kwa familia na ndugu
@raziajolie7774
@raziajolie7774 6 лет назад
Allah amfanyiye wepesi uko mbele yasafari
@allyamry2847
@allyamry2847 6 лет назад
R.I.P kaka sam
@herietando7653
@herietando7653 6 лет назад
Rest in paradise Bro SAM
@herietando7653
@herietando7653 6 лет назад
Rest in paradise again Sam
@lizybabyjohn2430
@lizybabyjohn2430 6 лет назад
Mlikosea jamani mnamuachaje mgonjwa ndani baada ya kumpeleka hosp hata kama alisema mngempeleka tu inaumizaaa saaana R.I.P sam
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 лет назад
HUO UKIMWI CJUI WA KUROGWA CJUI WA NINI,MSIDHARAU WATUMUSHI WA MUNGU KISA KIBUR,JESUS HEAL THOSE STAF KWA UTUKUFU WAKE
@tumainmwatujobe3020
@tumainmwatujobe3020 6 лет назад
wanafiki sana masaa yote hayo mmeshindwa kuokokoa maisha ya mwenzenu
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 лет назад
next mgonjwa hasikilizwi,only after hospital you can listen them,na hakuna ugonjwa mdogo ,mtu mzma analalamika kiivyo mnasema dn u think ugonjwa mdogo ,mlimchelewsha hospital, n alipowaambia ni hiv ya kutengeneza mlimchelewsha kwa YESU
@belgieboys9867
@belgieboys9867 6 лет назад
Goldman Sun shika adabu yako. yesu wako mbona hawakuwaokoa bibi zako na babu zako kwa vifo
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 лет назад
hawakumhitaj,ila siyo kwa vifo vya vijana wadogo,tena et cjui vya kutengenezwa,by the way atawafufua akija ktk utufukufu,na huo ufufuo ni wa milele,kwa sasa anafanya ishara na ajabu kiliko waganga na wasoma nyota wenu kwa utukufu wake ,HATA UPINGE HUBADILI UKWEL
@goldmansun5859
@goldmansun5859 6 лет назад
NA WEWE BWANA MDOGO,CYO KILA KIFO HULETWA KWA MAPENZ YA MUNGU,VINGINE NA WASHENZI TU NDIO MAANA KUNA MISUKULE ,KAMA KIFO FROM GOD UNAWEZA KUMWQMBIA MUNGU UKIWA NA SABABU ZA KUTOSHA NA UKAONGEZEWA CKU ,ITAKUWA FROM DEVILS,
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 6 лет назад
Poleni sana wafiwa ila kama ni mimi nisingekaa muda wote huo ningemfikisha hospitali tokea mwanzo ila ndio imeshatokea lakini inabidi wengine wasome msichukulie poa katika maradhi Jamani
@getrudamatoto1979
@getrudamatoto1979 6 лет назад
R.I.P sam wa kweli
@dontwaha9763
@dontwaha9763 6 лет назад
Inna lilahi wa inna ilaihi rajeuun
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Getruda Matoto bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake
@musicpeoplecaraudio7441
@musicpeoplecaraudio7441 6 лет назад
SAm Wa Kwel, i hav been ur fan for many days may your soul R.I.P. Im commenting with deep sorrow. I cnt believe u hv gone coz we still need you in music industry.
@hamisikatoi4653
@hamisikatoi4653 6 лет назад
Kifo kifo hatahuruma huna sijaamini niko kenya
@carenabaki3181
@carenabaki3181 6 лет назад
We have lot a friend and a mentor may almighty Allah our him in eternal rest and may Allah console the family at this moment
@kissjohantho6722
@kissjohantho6722 6 лет назад
r.I.p
@swabrinamasoud106
@swabrinamasoud106 6 лет назад
Innalillah wainna Lilah rajiuon ya Allah mpokee kiumbe wko uyu kwa mikono miwil, ya Allah umsamehe dhambi zake, ya Allah umuepuxhe kwa adhabu za kaburin Amiin😭😭😭
@sultanyatosha5742
@sultanyatosha5742 6 лет назад
R I P sam
@bobsapenina7207
@bobsapenina7207 6 лет назад
poleni
@edlumala9428
@edlumala9428 6 лет назад
Kazi kuuza sura tu! Ukikutana nao kama wanamiliki pepo vile, msanii hata mkeo nauli hana? Ningekuwa askari hawa wote ningesweka ndani! Mtu anaumwa vipi hamkumuwahisha hospital? Kila saa unasema tu tumbo likawa serious... tumbo likawa serious ... na bado mnamuweka tu studio! Mnangoja apone ili aendee kuimba siyo?
@joycerichard5042
@joycerichard5042 6 лет назад
Rip mwanga wa Milele ukuangazie huko uliko
@rashiddihuka1236
@rashiddihuka1236 6 лет назад
Daaaa r.I.p
@audreyndukwe1504
@audreyndukwe1504 6 лет назад
waaah RIP Sam I loved ur lyrics sanaah
@Eddie25502
@Eddie25502 6 лет назад
Hyo title yenu yakudhalilisha watu mnakera sana pempers kwa mtu mzima ni udhalili ujue...nyie mbona waandishi wa cku iz mnakuwa wasenge wasenge nyinyi 🖕⁉️⁉️⁉️
@dodoshavu488
@dodoshavu488 6 лет назад
Eddie 255 shenzi sana
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Eddie 255 both Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake
@gidobaraka1121
@gidobaraka1121 6 лет назад
Eddie 255 du
@mbumbulicomedians3286
@mbumbulicomedians3286 6 лет назад
millard Ayo nae kaanza upuuzi, kichwa cha habari kinadharirisha hicho
@lilliannalima8015
@lilliannalima8015 6 лет назад
Rip we love you but God loves you so much
@johnmnara6680
@johnmnara6680 6 лет назад
inauma sana dh kaka Sam pumzika salama ndugu zangu tuzimlaumu huyu jamaa kabiza
@sakinaomar8047
@sakinaomar8047 6 лет назад
R.I. P
@nidhalkamal9929
@nidhalkamal9929 6 лет назад
Mungu akulaze mahala pema peponi amina
@christmasmachele5589
@christmasmachele5589 6 лет назад
Ila na nyie ni wapuuzi tokea anashindwa kuenda choo mpaka mnambeba safari ya Kwanza ilikua mnatakiwa kumkimbiza hospital haraka sana sio mnamsikiliza mgonjwa, mmekaa nae muda wote wakati nyie wenyewe mnamuona ana hali mbaya
@Aish1001
@Aish1001 6 лет назад
christmas machele unajuwa sa zingine mipango ya mungu alishapanga
@aishaelias6826
@aishaelias6826 6 лет назад
christmas machele matako sana,wanakaaje na mgonjwa masaa yote hayo??
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
christmas machele Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake
@christmasmachele5589
@christmasmachele5589 6 лет назад
Aisha Elias wenyewe wanakiri jamaa alikua mgonjwa sana badala wammpeleke hospital wanampa supu ya kongoro toka lini dawa ikawa supu ya kongoro? Mtu anayeumwa mpaka anashindwa kuinuka huyo ni mgonjwa wa kukaa ndani au hospital?
@dorcasmshani7262
@dorcasmshani7262 6 лет назад
Yani wapumbavu kweli kweli bora kukaa kimyaa
@imanuelymrema3537
@imanuelymrema3537 6 лет назад
Mungu Amlaze mahala pema pepon Amen
@ramadhanishaibu7788
@ramadhanishaibu7788 6 лет назад
Innaalillah wainnaa ilayhi raajiuun
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 6 лет назад
inaonekana hawa walikuwa wamelewa yaani mda wote huo jaman mko nae tu nymban hadi mnafikia hatua yakumvisha pampers jamani Duu! siwezi kusema Sana pengine ndo mipango ya mungu R. l. p samu
@fredyjohnwaifakaratz6613
@fredyjohnwaifakaratz6613 6 лет назад
ILITABILIWA NANILAZIMA ITOKEE
@azizaamiry862
@azizaamiry862 6 лет назад
Fredy John Waifakara TZ jjjmmiu
@azizaamiry862
@azizaamiry862 6 лет назад
k
@azizaamiry862
@azizaamiry862 6 лет назад
i
@azizaamiry862
@azizaamiry862 6 лет назад
88ii88oo99o999999988988 8788888888888iii7
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Fredy John Waifakara TZ Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo cha samu wa ukweli
@annmbugua7877
@annmbugua7877 6 лет назад
Rip Sam .....your music much loved
@divajoseph2941
@divajoseph2941 6 лет назад
Ila na nyie maboya yani mwenzenu anaumwa hata kumpeleka hosptali hamna khaa? afu unaongea ongea tu hapo nyau nn et alikuwa anaharisha hata nguvu hana sasa unatwambia sisi ili tufanyaje ? 😡😡😡😡
@mbumbulicomedians3286
@mbumbulicomedians3286 6 лет назад
maku hawa waduanzi kinoma
@hawadoss3046
@hawadoss3046 6 лет назад
Diva Joseph ...boya sana huyu mi ameniudhi...unamuanika mwenzako kwa media na unajua ako na family...noma sana
@lovenesshumphrey4604
@lovenesshumphrey4604 6 лет назад
Diva Joseph kwel yan hawajafany pouw yan anakera anaongea tyu upuuzi apo
@bunah4263
@bunah4263 6 лет назад
Inna lilah wainna ilah rajiun Mwenyezi mungu ampumzishe kwa Amani 🙏🙏🙏🙏
@tendatanzania8358
@tendatanzania8358 6 лет назад
TANGAZO Jamani hayo magonjwa na roho za mauti zinatibika yupo Dr. Nenda EAGT CITY CENTER kwa pastor Fj Katunzi atakusaidieni.
@abidinamzaina549
@abidinamzaina549 6 лет назад
Andrew John toka lini umauti unatibika wewe
@nasbuzakaya8357
@nasbuzakaya8357 6 лет назад
Andrew John ww wakat ukifika na mungu akiamua liwe bas haisikii dawa wakati wake ulifika nakila binadamu lazima apitie safari ya umati mungu hailaze roho ya marehemu amn 👐
@wacmber2131
@wacmber2131 6 лет назад
Ikifka wakati wako ww nenda sisi wengine twajua tiba ya umauti HAKUNA
@nasbuzakaya8357
@nasbuzakaya8357 6 лет назад
cmber mtoto duuu unashindana na mungu akiamua liwe bas dawa aiskii usjiangopee na dunia
@davisgongo1898
@davisgongo1898 6 лет назад
R.I.P. Sam I love your work
@jacklinemuloki5419
@jacklinemuloki5419 6 лет назад
R.I.P Sam
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Jackline Muloki Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone chanzo cha kifo chake
@remmylutesh425
@remmylutesh425 6 лет назад
Mbaya sana
@estherboke782
@estherboke782 6 лет назад
Daaah nitakukumbuka kwa nyimbo yako hata kwetu wapo, R.I.P sam poleni zangu taifa nzima LA Tanzania from Kenya😭😭😭
@loisafelix881
@loisafelix881 6 лет назад
Kwa nn hamkumpeleka hospital tangu juzi, hamkutakiwa kumsikiliza kwani pengine hakuwa na pesa ya kujitibia
@ismailipaipu2973
@ismailipaipu2973 6 лет назад
loisa felix 😈😈😈😈
@nimbakitundu7429
@nimbakitundu7429 6 лет назад
loisa felix ndio inaonekana kilichomuua ni pesa my be atapesa ya kula alikua hana tatizo limetokea uko ila anaroho ngumu uyu kaka kwA nn awakumpeleka hospital mapema
@saidibinur9743
@saidibinur9743 6 лет назад
Mungu amlaze mahali pema peponi sam
@eliarichard9218
@eliarichard9218 6 лет назад
mungu aku pokee salama samu R I P brother.
@sitymohd3818
@sitymohd3818 6 лет назад
Seriously!!!! Millardayo hii interview especially huyu kaka anaehojiwa Sio kila jambo linawekwa wazi hasa mitandaoni..
@KisimaTv99
@KisimaTv99 6 лет назад
Laiti kama marehemu angekuwa ndugu yangu, huyu jamaa ningemshitaki, sababu kamdhalilisha sana marehemu, tena sana.
@PeterEphata-p1e
@PeterEphata-p1e 3 месяца назад
😂😂
@meshakimmale2003
@meshakimmale2003 6 лет назад
mrikosea sana kwa kuto kuwatarafu ndugu zake
@dicksonimanyanya488
@dicksonimanyanya488 6 лет назад
mungu aipumuzishe roho yamarehemu amina
@verosaddam9255
@verosaddam9255 6 лет назад
Msimtusi producer, siku ikifika imefika.Hii hadithi yalingana na ya babangu mungu ailaze roho yake pema peponi,huwa wanasumbua saaaana hawataki kusumbua jamii ndio maana alikataaa kupelekwa finally huwa wanafia njiani ni yake imefika jameni.
@billyosunga963
@billyosunga963 6 лет назад
Nyii mngempeleka hosi mapema tuu tangu satoo ni mipango ya Mungu lkin
@omarisaid1315
@omarisaid1315 6 лет назад
Inaillah WAINAILAH RAJUN rest in peace Man...
@asmabintikiwasha13
@asmabintikiwasha13 6 лет назад
innalillah wainnailai rajiuunna tumekupenda kakangu ila mungu kakupenda zaidi
@mwajinawhite6502
@mwajinawhite6502 6 лет назад
poleni sana ndugu zangu m najua jinsi gani ime wauma.
@jumajoji6708
@jumajoji6708 6 лет назад
dar inaumasan jaman ila tumwombee kwan mungu kampenda zaid samu
@christiankilewa8143
@christiankilewa8143 6 лет назад
Inashikitisha kiukweli lakini Mwenyezi Mungu anapopanga kifo cha binadamu hufunga milango ya ufahamu kwa watu wengine, hawa jamaa walifingwa ndio mana walikuws wanashindwa kufanya mamuzi ya harak kumkimbiza hospital Samu kwa haraka yani wanashtuka mtu kesha kwisha nguvu ,kiukweli kifo hupangwa na Mwenyezi Mngu na hakuna wa kukizuiya. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake Sam wa Ukweli Mahali pema peponi R.I.P Sam.
Далее
SAM WA UKWELI: HISTORIA YAKE YA MAISHA
4:56
Просмотров 96 тыс.