Тёмный

GB 64 AWAKA CHAMA AMEIHUJUMU SIMBA KWA MUDA MREFU, AENDE ZAKE, FAGIO LA CHUMA BADO 

Ngwale Sports HD
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Chama mwamba wa lusaka

Спорт

Опубликовано:

 

30 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 177   
@mariamabdallah9847
@mariamabdallah9847 15 дней назад
Chama bora alivyoachwa alijiona mkumbwa kuliko simba
@AliAchimoAchimoAlifa
@AliAchimoAchimoAlifa 14 дней назад
Kweli kabis
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 15 дней назад
mie ni SIMBA nakubal kuwa chama ni mchezaj hodari lkn kibri kilimzid kujiona mkubwa kuliko timu na pia alikua hana tn mapenz na simba, ivo nmefurah kuondoka. SIMBA NGUVU MOJA ❤️💯❤️
@manmanonline6394
@manmanonline6394 15 дней назад
Simba nguvu moja❤❤❤❤❤
@danielpeter8085
@danielpeter8085 15 дней назад
Ata mm nafurah kuondokà...alizingua sana
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 15 дней назад
Mzeee saidi kashasema nyie mnaosema chama Bora alivoo ndo ka ni afadhali ni waongooo hhhaaaah mzee said 4rever
@LindaMbilinyi
@LindaMbilinyi 15 дней назад
Kbsaa chama alishajiona yeye ni Bora zaid acha tuitengeneze team yetu
@mohamedmseka5644
@mohamedmseka5644 15 дней назад
Nimefulahi sana simba kuachana na.chama simba nguvu moja
@LindaMbilinyi
@LindaMbilinyi 15 дней назад
💪💪
@aminaomary5567
@aminaomary5567 15 дней назад
Mwecheni chama aende jamani. Mbona mayele aliondoka yanga bw. Sisi tunahitaji vijana wapya na Kocha wetu Mgunda. Mo wala usiangaike na makocha wa nje wanatupoteza fedha zetu. Weke vijana wazuri. KWELI KAKA MANENO YAKO YOTE ni SAHIHI WALA SIO NONGWA❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉👍👍👍
@stellamboya8673
@stellamboya8673 15 дней назад
Nimefurahi sana simba kumuuachia chama alishaichoka simba tunampenda ila inatosha
@MartinDismas-ou5oy
@MartinDismas-ou5oy 15 дней назад
Mashabiki Wenzangu Poleni kwani tumeondokewa na Chama kimpira. Msijali Sana tutapoa tu. Watu wanaoshughulikia Usajili wafanye KWELI watusajilie kweli.Atajuta tu baadaye msihofu..SIMBA NGUVU MOJA..❤❤❤❤
@Nestory-zm3nh
@Nestory-zm3nh 15 дней назад
Oya kwahiyo ww ulitaka siondoke yeye ninani kwanza mtu mwenyewe migomo kila siku aensde zake mbona time imefanya vizuri mechi za mwisho bila chama ten mm nimefurahi sana
@DulaPila-bn4kg
@DulaPila-bn4kg 15 дней назад
Nakukubali sana gb ume nyooka sana kwa maelezo
@linusjohn4790
@linusjohn4790 15 дней назад
Kabisa kk upo very clear mkuu
@user-ps6wm2qm4f
@user-ps6wm2qm4f 15 дней назад
Aondoke kiburi sana
@user-kq8ec3yq1m
@user-kq8ec3yq1m 15 дней назад
Aende zake katuflotisha sana
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 15 дней назад
MOJA ya watu waliyo turahi kuondoka KWA CHAMA manura na inonga nimimi yani Safi Sana hayo b NDIO mamuzi magumu
@user-xh8sh9pu4s
@user-xh8sh9pu4s 15 дней назад
Kaka nakulubali sana
@manmanonline6394
@manmanonline6394 15 дней назад
SIMBA nguvu moja❤❤❤❤❤
@RamadhanIbrahimMaganyila-ff6jy
@RamadhanIbrahimMaganyila-ff6jy 15 дней назад
Uko sawa kabisa
@user-ju5xi2jm7w
@user-ju5xi2jm7w 15 дней назад
GB 64 umeongea vema Chama aende tu misimu mitatu Simba haijapata kombe na yy alikuwepo aende tu tulishamchoka
@charlesmahuna
@charlesmahuna 15 дней назад
Chama Simba ilikupenda lakini ulijivuna nakumbuka hata pre season ilopota uturuk ulisumbua uongozi na ukaenda peke yako, nenda yanga ukavune ulichokipanda, utatukumbuka saaana . Acha tusafishe ghara
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 15 дней назад
nikweli kabisa acha waende wawo cyo wa kwanza kuichezea simba simba ni temu kubwa
@LindaMbilinyi
@LindaMbilinyi 15 дней назад
Aende tu
@nuru.simkoko
@nuru.simkoko 15 дней назад
Chama bora ameondoka kaa alianza kiburi sana
@JemesKasase
@JemesKasase 15 дней назад
Lekin umetumia were!
@user-nf4zs6cu3j
@user-nf4zs6cu3j 15 дней назад
Maneno ya mkosaji yanga hawana ela ya kumsajili chama
@mohamedmseka5644
@mohamedmseka5644 15 дней назад
Chama hana jipya aende tu mchezaji hata kukimbia hawezi kama bata bhana ndambwa ndambwa
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 15 дней назад
Aende tu hawezi kufia simba km mafisango ndo mchezaji alofia simba na tukaumia mno
@patrickymkoma3558
@patrickymkoma3558 12 дней назад
Sahihi sana
@ThobiasKarima-rn3hw
@ThobiasKarima-rn3hw 15 дней назад
Gb64 kaka umeongea vizuri sana....
@GodfreyJailos
@GodfreyJailos 14 дней назад
Acha aende simba ijipange vizuri
@AliAchimoAchimoAlifa
@AliAchimoAchimoAlifa 14 дней назад
Chama sio Simba aende zake
@JoharyHumbe-fb5ke
@JoharyHumbe-fb5ke 14 дней назад
Safi sana ende tuuuuu huko
@user-um8if8mi5w
@user-um8if8mi5w 14 дней назад
Hapa Ndio Naamini Hkn Mlevi Mwenye Akili
@gastonmbarila9458
@gastonmbarila9458 15 дней назад
Chama kawaacha sio nyie😂😂
@abdrazakimamlo7655
@abdrazakimamlo7655 15 дней назад
Safi gb uko pamoja na mimi na uongozi wetu
@user-nu3ne8ul5d
@user-nu3ne8ul5d 15 дней назад
Aondoke kaiujumu sana simba yetu
@LindaMbilinyi
@LindaMbilinyi 15 дней назад
Me nawaambia yawezekana tukaumia kwenye hal ys kibinadamu lkn ukwel ni kwamba chama acha aende alishajiona bora kuliko simba,,acha tuitengeneze simna yetu sasa,,alishakuwa kibur mnooo na kujions bila yeye hakuna simba kitu ambacho si kwel
@AlexGwambie-xr2hm
@AlexGwambie-xr2hm 15 дней назад
GB 64 daa we shda kubwa unafungua kinoma hujawah nifrisha at kdg
@CosmassEmmanuel
@CosmassEmmanuel 14 дней назад
Kweli Chama ni mchezaji mzuri sana,kuondoka simba, aliona mashine Kali kuliko yeye kutoka huko kwao Zambia sio wazee kama yeye,ndio maana kaswepa mapemaaaa,kwaheriiiii Chama nenda na kibuti chako 🐕
@salimmalaka256
@salimmalaka256 15 дней назад
TUMNYAKUWE AZIZI KI WATASHONA MIDOMO MACHOGO HAO
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 15 дней назад
Wengi waliotoka Simba leo wako wapi? Kina Morison na wenzake
@ConfusedEucalyptusTree-zb3vx
@ConfusedEucalyptusTree-zb3vx 13 дней назад
Gb we mwongo xnaaaaa hamia uko azm
@SalumAuka
@SalumAuka 14 дней назад
Yanga bingwa tena asee,waache waendelee kudanganyana mamae😂😂😂😂
@IbraMwakipesile
@IbraMwakipesile 15 дней назад
Kiukweli chama Bado inatuuma na sajili hizi ata zizielewi daah
@salimmalaka256
@salimmalaka256 15 дней назад
WACHEZAJI WAMEJAA DUNIA NZIMA
@Mrisho-bd1lg
@Mrisho-bd1lg 14 дней назад
inakuuma wewe
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 15 дней назад
Huyo chama mwaka 1 tu mtamwona
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u 13 дней назад
Like za kelele za karume apa 🤙
@christopherkiswaga9270
@christopherkiswaga9270 13 дней назад
Chama ana kiburi na hana shukrani.
@Abdubunda
@Abdubunda 15 дней назад
Kaisha huyo acha aende Nyuma mwiko
@JanuaryJoseph-c8p
@JanuaryJoseph-c8p 14 дней назад
Nakuunga mkono
@rajaburajabu8005
@rajaburajabu8005 15 дней назад
Chama aende tu Simba nikubwa kuliko yeye,kwanza alikua anaanzisha migomo ya wachezaji,kujiona anaweza kutupangia nacho taka,hongera kwa viongozi kwa kileta hizo mashine mpya za kazi,yani natamani vyura TUKUTANE nao hata kesho kwa sajiri hii mwaka wetu
@caristuskabibi3470
@caristuskabibi3470 14 дней назад
Upo sawa
@eunicerichard5179
@eunicerichard5179 14 дней назад
Jamani ndoto yangu imetimia chama kuondoka simba alikuwa anakibur
@FatumaAmis
@FatumaAmis 15 дней назад
Kweli kabisa
@HappyKulwa-n1n
@HappyKulwa-n1n 9 дней назад
Uko vzur xn kaka
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 15 дней назад
NI MAAMUZI SAHIHI KUMUACHA CHAMA,NAIONA SIMBA MPYA YENYE KASI NZ USHINDI
@salimmalaka256
@salimmalaka256 15 дней назад
AYUHAAA SAFI SANA
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu 15 дней назад
Zanzaibar finest Feisal, Feisal ,Feisal Salum Feitoto Abdala 😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌☝️💥💥💥💥💥💥💥
@mwanangusana
@mwanangusana 15 дней назад
😂😂😂 atakuja kwenye mkutano mkuuu
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu 15 дней назад
@@mwanangusana 😀😀😅
@salimmalaka256
@salimmalaka256 15 дней назад
​@@mwanangusanaHATA WEWE NJOO 😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@mwanangusana
@mwanangusana 15 дней назад
@@salimmalaka256 hiv ndo tunapenda ndugu yangu ... Yale matusi achana nayo , utani wa jadi Bila kuporomosha matusi inawezekana , .... Hapa tupo pamoja tutakuja na akina mayele , Feisal na Manzoki kwenye mkutano mkuuu 🤣🤣🤣
@salimmalaka256
@salimmalaka256 15 дней назад
@@mwanangusana OK
@BenjaminKwitega
@BenjaminKwitega 10 дней назад
Wewe GB 64 ungekuwa msemaji wasimba ingependeza sana brow
@bakarimbasha6542
@bakarimbasha6542 14 дней назад
Big up Mo
@Mrisho-bd1lg
@Mrisho-bd1lg 14 дней назад
CHAMA aende2 kwanza mchezaji Gani hajawahi kuwa majeruhi
@manmanonline6394
@manmanonline6394 15 дней назад
Acha kirusi kiende
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 15 дней назад
sisi wanasimba ukwel chama tunampenda sana na ndoo shida kumbwa nyuma mwiko wana mhonga ili aiharibu timu yetu bora aondoke ametutesa sana
@user-fg1rf2cc4b
@user-fg1rf2cc4b 14 дней назад
Huyu hasa ni msanii tu alisema chma alihujumu wp leo anasema ni muhujum mkubw chama maneno ya mkosaj hayo
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh 15 дней назад
Na mangungu nae asafishwe aondoke anatafuta matatizo
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 15 дней назад
Kazeeka mlija wa yanga umeondoka muhujumu mbwa chiba na guu lake bovu
@user-kn7bo6iz4n
@user-kn7bo6iz4n 15 дней назад
Yaani mm kama shabiki wa lunyasi nimefurahi uyo sura ya mbuzi kuondoka simba
@LindaMbilinyi
@LindaMbilinyi 15 дней назад
😅😅😅😅😅
@makamelila
@makamelila 15 дней назад
Simba oyeeeeeeeeeeeeeeeee
@maikonyondo-gr7gd
@maikonyondo-gr7gd 15 дней назад
Katika siku zote leo umenikosha umeongea sahihi kabisa
@AlexiaMilao
@AlexiaMilao 14 дней назад
Kweli bangi mbaya ww leo umebadilika ndio maana wana simba wemzako walikuacha polisi hawakukutolea dhamana polisi
@user-gz3es9eb8c
@user-gz3es9eb8c 15 дней назад
G64 uko sahihi
@TrebaMagambo
@TrebaMagambo 14 дней назад
Maneno ya Mfamaji 😂😂😂
@rubensamson8681
@rubensamson8681 15 дней назад
Hawa ndo yanaropoka tu mpk mashabiki wte simba tunaonekana hatujielewi Mchezaji ni kama bidhaa kuna mda anaangalia mwisho wake
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 15 дней назад
Mdudu mangungu jeee
@saidsalum6101
@saidsalum6101 15 дней назад
Gb hapo huwa nakukubali sana umenyooka sana walikuweka ndani police ajili yasimba wewe kweli nisimba dam
@castrocastro9615
@castrocastro9615 15 дней назад
We pimbi. Ulisema Chama akiondoka Simba utahamia Azam. Ondoka tuachie timu yetu
@user-he3wt8vk8z
@user-he3wt8vk8z 15 дней назад
Mfa maji.
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 15 дней назад
Chama hataitwa na tena chipolopolo tunza hii sms yangu
@hamadyasin7429
@hamadyasin7429 15 дней назад
Mm mwenyewe nimefurah kuondoka kwake
@chamimdesa148
@chamimdesa148 15 дней назад
Maneno ya mkosaji
@user-he3wt8vk8z
@user-he3wt8vk8z 15 дней назад
Ulisema ndo aliyescout kina Mutale Leo mhujumu ila wewe Kenge.
@bobbyfiasco4311
@bobbyfiasco4311 15 дней назад
Chawa.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 15 дней назад
CHOGOOOOOOOOO
@user-he3wt8vk8z
@user-he3wt8vk8z 15 дней назад
Mtoe mwaliko Corona irudi usije ukaishia kubweka.
@UswegeMwaigomole
@UswegeMwaigomole 15 дней назад
Wewe ulinazingua simba hiii tutapoteana ....ttzo ni viongozi ambao wanawasajili wakina jobe /fred/......wewe jamaa duuu ni mnafiki sana chama ndo unamsema ivyo duuu wewe jamaa
@Sherrymwinyi
@Sherrymwinyi 15 дней назад
yy na manula ndo walikuwa wanaigeuka simba wakwendreeeeeeeeeeeee tu ss tunataka wachezaji wapya na wazuri zaidi wao
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 15 дней назад
Haya maneno ni "Fungu la kukosa"
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 15 дней назад
Ww kumbe mjinga izo gb zako za uongo unashindwa kumuheshim mchezaji kisa kuondoka ktk team yako ww si ndie uloukulia mjina 1 ww
@amaniomar1755
@amaniomar1755 15 дней назад
Mwamba kigeugeu kwelikweli na bado atasema sana
@vaxminja9053
@vaxminja9053 15 дней назад
Kuna wajinga wengi Simba, muda si mrefu wataanza kumtukana Chama
@martinndunguru6358
@martinndunguru6358 15 дней назад
Kama mnavyomtukana Feisal
@user-he3wt8vk8z
@user-he3wt8vk8z 15 дней назад
Umekuzwa unaona nawe star? Mshamba wa kiingereza.
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 15 дней назад
Au kushaanza kutumwa mpumbazu ww
@debbykasitu6990
@debbykasitu6990 15 дней назад
Ewaaaaaa huyu sasa nimemuelewa.
@houmdmajid-ur9dp
@houmdmajid-ur9dp 15 дней назад
Hlf unapenda kujisifia ujinga wakat uongoz wako umezidiwa mpka leo wapo ktk maongezi watu wamemtangaza mjinga kwel hlf ww unapenda kubadilika kuanzia leo singali tena video yk
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 15 дней назад
VP HUKO MO KAFIKISHA BILLIONI NGAP 85 AU 290 ...MSISANAU KUULIZANA
@israelnibigira4990
@israelnibigira4990 15 дней назад
Chama ni mbemba njooni niwape story zawa bemba nipo Zambia yaani ndivyo walivyo
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc 15 дней назад
😃🤣😃🤣🤣🤣💃
@user-zz4iu9tg9o
@user-zz4iu9tg9o 15 дней назад
Uyu jamaa kumbe ndio maana walimuweka ndani, anamatatizo yaakili mimi simba chama katufanyia mengisana
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 15 дней назад
Sio tena mwamba wa Lusaka ni mwamba wa lushwa
@hassanimsizilo
@hassanimsizilo 15 дней назад
Kaka umesema kweli cha ninani? Wakumbushe wanasimba tulipo ifunga azamu chuma 3 chama enonga kibu walikuepo?
@debbykasitu6990
@debbykasitu6990 15 дней назад
Umeongea point wewe,umesahau na Benchikha pia alimkataa Chama sababu ana kibri
@halidijuma1884
@halidijuma1884 15 дней назад
Si ulisema TAJIRI amerudi,,,tulishawazoweaa kwa porojo zenu makolo
@donatusalfred582
@donatusalfred582 15 дней назад
GB 64 USIJIZIME DATA IMEUMANA AISEE
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 15 дней назад
Wewe ujitambuwi ndiyo maana walikuweka jela fala wewe simba awakujuwi
@user-wg2vl1rh4l
@user-wg2vl1rh4l 15 дней назад
Acha ushamba weweee ,apo aloihujuma simba ni wachezaji au Viongozi kwa Kauli yako GB.
@user-zx3kv9hb7p
@user-zx3kv9hb7p 15 дней назад
Jana tu ulisema amuwezi kutoa silaha kwa adui leo umeipinga kauli yako nahisi una matatizo ya akili uko kama mauzinde
@user-pv3hw5ib5w
@user-pv3hw5ib5w 15 дней назад
Akili ya kazi unaitoa wapi ww , taarabu hiyo.
@MuhamedIssa-kw2qh
@MuhamedIssa-kw2qh 15 дней назад
Wewe jamaa chenga sana
@user-nf4zs6cu3j
@user-nf4zs6cu3j 15 дней назад
Maneno ya mkosaji ulisema tajili ameludi chama hawezi kuondoka kwamba yanga hawana ela achena unafik
@siamekennedy3540
@siamekennedy3540 15 дней назад
Kumbe GB 64 kigeugeu? siji kumwamini tena muongo mkubwa huyo. Anatoa ahadi na hawezi kutekeleza. Nimemshusha hadhi sana kumbe mpuuzi tu
@jumahamad9463
@jumahamad9463 15 дней назад
NENDA WEWE UKASHABIKIA AZAM
@salimmalaka256
@salimmalaka256 15 дней назад
NENDA WEWE MATOPOLO MACHOGO FC WEWE
@saidikambi9597
@saidikambi9597 15 дней назад
Yani nimewashangaa chama kuwatoa jasho chama mitaani uto kinye mmmh bado sana
Далее
Ruto's Biggest Mistake Firing Attorney General Muturi?
14:27
AHOUA JEAN CHARLES
4:22
Просмотров 131 тыс.
GB64:HUYU HAJI MANARA ANARUDI KUIMALIZA SIMBA
8:10
Просмотров 82 тыс.
Показал узбекский дух! #shorts
0:38