Тёмный
No video :(

MZEE MASATU:AGEUKA MBOGO KWA CHAMA | NIULIZE KUHUSU JOSHUA MUTALE | TUNASHUSHA VYUMA HATARI SIMBA SC 

wispoti tv
Подписаться 40 тыс.
Просмотров 58 тыс.
50% 1

JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

Опубликовано:

 

14 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 Месяц назад
Naam kuipenda simba ni neema wamemchukua chama kwa mbwembwe kama okra, msimu mmoja tu okra tupa kule na chama msimu mmoja tunae tupa kule mtayaona tu haya
@abelimaganga417
@abelimaganga417 Месяц назад
Huyu mzee atunzwe ana kitu kikubwa Sana nimekukubali mzeee Wang
@costacongo7131
@costacongo7131 Месяц назад
Asante sana mzee
@PauloSamuel-o7g
@PauloSamuel-o7g 23 дня назад
Nakubali Sana mzee masatu
@ernestmkila9356
@ernestmkila9356 28 дней назад
Hongera sana mzee masatu kwa kuwapa ukweli usiopindika mchezaji akiwa simba mzee akienda Yanga kijana bila kujuwa wanaenda kuchukuwa pensheni zao wakina Mkude
@SulemaniNassor
@SulemaniNassor Месяц назад
Mze masatu upo juu sana good
@AthumaniMsuya
@AthumaniMsuya Месяц назад
Baba waambie hao wachambuzi wasikuchoze na maswala ya chama hao hao ndio wali kuawa wakisema chama kazeeka Leo Yuko yannga wanaona kazaliwa upya!
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 Месяц назад
Mzee safi sana ira nashanga sana taifa letu linawatu wa ajabu na ndio taifa ra kwanza kuwa na watu mtindo huu wanafanya kazi ya kununua bando kwa aajiri ya kutukuna watu kwenye mitandao hongera sana mzee masatu
@charles-lc4pp
@charles-lc4pp Месяц назад
masatunakukubalisana hongera sana
@almasmanumbu7945
@almasmanumbu7945 Месяц назад
Masatu anajisahau ni moja Kati ya mashabiki waliokuwa wanamponda MO na uongozi
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t Месяц назад
Mashabiki bwana chama mwacheni kafanye yake ameifanyia simba makubwa jamani mpeni mauwayake
@Shaban-d6l
@Shaban-d6l 27 дней назад
Wewe ndo huna akiri kabisaaaaa usimkashifu Mzee wetu
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Месяц назад
UPO SAHIHI SANA MZEE WAPO WACHEZAJI BORA WAMEHAMA NA KWENDA MECHI KUBWA HATUSHITUKU KABISA
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 Месяц назад
Mzee masatu chukua maua Yako umejibu kisomi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
SIMBA KALA NYAMA MAFISI YANAFURAHIA MIFUPA 😂😂😂😂😂 SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Lusindehalima-si3ej
@Lusindehalima-si3ej Месяц назад
Tumekula nyama tumetupa mfupa mmeukimbilia, haya kuleni makombo sisi haooooo
@JuhudiChunga-br5gh
@JuhudiChunga-br5gh Месяц назад
Mm namtaka Mzee said
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Месяц назад
Sisi tunaona kelele jamani:chama ndio nani bw?mwacheni aende jamani tulikuwa na wachezaji wangapi. Ende kauze mechi huko kama alivyokuwa anafanya simba.
@afropanorama4730
@afropanorama4730 Месяц назад
chama amebaki jina tu,amekua wa kawaida sana na nina uhakika ataenda kusugua benchi yanga
@AbelDaniel-u4s
@AbelDaniel-u4s Месяц назад
Huyu mzee yuko sawa ww ndo hauna akili chama anaenda kumalizia kalia yake ya mpira.
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Месяц назад
Mashabiki wa mpira Bongo,sometimes mnakuzaga mambo bila uhalisia --- Class ya Mutale ni ya dataja la kati --- tungekuwa na maskaut proper,wachezaji class ya Mutale,hapa hapa Bongo unaweza kuwapata hata 200.
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 Месяц назад
Ili uwe na ukumbuko,nitakuja kukuulizi hili ulililisema
@user-hj5mi6zz6p
@user-hj5mi6zz6p Месяц назад
Jamani yote hayo yann chama namtakia kiralaher akafanye makubwa kama aliyoifanyia simba hata mm napenda kazi yake
@SaidOmary-nh5kr
@SaidOmary-nh5kr Месяц назад
saivi watu Wana taka Vijana ndoo ukweli wanaumia wasio Juan mpila
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 Месяц назад
Masatu kwenye ubora wake😂😂
@AbushirVicent
@AbushirVicent Месяц назад
Mzee masatu ongera
@upendofreddy6431
@upendofreddy6431 Месяц назад
Mzee umeongea nakupongexa
@RehemaRamadhani-i9z
@RehemaRamadhani-i9z Месяц назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@vilaboy3675
@vilaboy3675 22 дня назад
We ndo huna akili masatu waambie ukweli
@user-gj6mo9me8j
@user-gj6mo9me8j Месяц назад
Ira nikweri maana chama umuri umendaa
@DesdetyDesderymjwauzi
@DesdetyDesderymjwauzi Месяц назад
Ni ukweli mzee masatu,akale penshen
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 Месяц назад
Katika timu zilizoomba hapo mutachagua mbovu kuliko zote
@MuhamedKhamis-ip6tm
@MuhamedKhamis-ip6tm Месяц назад
Ahsant mzee wetu
@japhetmwangwa2145
@japhetmwangwa2145 Месяц назад
Mzee masatu namkubl Sana mzee wangu ❣️🇹🇿
@ibadimohamedi9756
@ibadimohamedi9756 Месяц назад
Mzee anajua mpira
@japhetievaliste5887
@japhetievaliste5887 Месяц назад
San
@EdwinAmbakisye-li4zq
@EdwinAmbakisye-li4zq Месяц назад
AAA Masatu wambie hao.maana hawajui . Ooo Chama.chama ninani
@ELIYAMAGEMBE
@ELIYAMAGEMBE 15 дней назад
Ni m2 kwako simba h2taki wasaliti,mache masatu aseme ukweli.
@BarakaJiroli
@BarakaJiroli Месяц назад
Ww ndo auna akili masatu a naongea ukweli
@DenisiMeja
@DenisiMeja Месяц назад
Mzee wang unakitu mkubwa😅😂🙌
@SelinaNana-f1z
@SelinaNana-f1z Месяц назад
Jama akibaki
@user-cp2fr6ct5g
@user-cp2fr6ct5g Месяц назад
Nakubar msinbaz
@rashidikusaga9719
@rashidikusaga9719 Месяц назад
Safi sana Mzee masatu una madini sana baba
@tellyandrew7030
@tellyandrew7030 Месяц назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@charles-lc4pp
@charles-lc4pp 28 дней назад
masatu mauayako chukuwa
@AyubuMajahasi
@AyubuMajahasi Месяц назад
❤❤❤❤❤❤
@BeniYaredy
@BeniYaredy Месяц назад
Huna akili masatu
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 23 дня назад
Mzee toa no yako tukutumie za suupuuu
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 Месяц назад
Safffi mzee masatu chukua mauwa yako🎉🎉🎉🎉
@othmanhamad7887
@othmanhamad7887 Месяц назад
Huyu muuza kahawa wa kwny hicho kijiwe anauza sana kahawa mana kijiwe hakikauki watu na ofa za kununulia watu kahawa yote ndo kibao,usihame ichi kijiwe ndg yng😂
@abdallahchingua1630
@abdallahchingua1630 Месяц назад
atakimbia huyo tarehe 8
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 Месяц назад
unateumia na chama wew ni bwege kweli
@MotibaMashana-hv3tf
@MotibaMashana-hv3tf Месяц назад
mzee masatu ww rudi makojo ukale furu umbea wachie watu wa mwambao
@DottoJohn-ku9fq
@DottoJohn-ku9fq Месяц назад
Mnao mtukana huyu mzee ni kuma
@richardmaimu9596
@richardmaimu9596 Месяц назад
Kitaalamu inaitwa "SIZITAKI MBIVU HIZI"
@samsonpaul-uz6nq
@samsonpaul-uz6nq Месяц назад
Unajuwa sana Mzee wangu
@bonshag1
@bonshag1 Месяц назад
😂😂😂😂😂 mzee masatu umeua kabisa
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
MZEE WANGU SISI WOTE NI WANA SIMBA ILA KWA CHAMA WEKA AKIBA YA MANENO... LIGI HAIJAANZA BADO TUSIJE TUKAMTAFUTA MCHAWI!!
@user-up4kd4di7h
@user-up4kd4di7h Месяц назад
Anaongea ukweli
@YohanaMboma-vz3sl
@YohanaMboma-vz3sl Месяц назад
Nimemuona masatu leo
@abdallahchande1467
@abdallahchande1467 Месяц назад
We ndio huna akil akiachwa wapo Zaid ya Cham wewe nyie si wababa makapi mbon okra mmemuacha tena
@kasolesambula1678
@kasolesambula1678 Месяц назад
Manshaallah mzee 🎉🎉🎉🎉🎉
@SarahAthumani-yr3fm
@SarahAthumani-yr3fm Месяц назад
Ukovizur baba
@AISHAALLY-zl8rz
@AISHAALLY-zl8rz Месяц назад
Daah nimependa sanaa majibu ya uyu mzeeee
@AyubuMajahasi
@AyubuMajahasi Месяц назад
Mim mwansimb nawapogeza kwausajil mnaofan 🎉🎉🎉🎉🎉
@akimAkimuWA-m3t
@akimAkimuWA-m3t Месяц назад
Waaaambieeeeemzeeeee
@OmariBwagizo
@OmariBwagizo Месяц назад
Wachezaji hawana timu wao wanatizama pessa tu kwahiyo mchezaj anahak ya kwenda kokote
@Hasnspop
@Hasnspop Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@Aloycepastory
@Aloycepastory Месяц назад
😂😂😂
@FumaoFumao-d8w
@FumaoFumao-d8w Месяц назад
Kŵeli
@maxmia100
@maxmia100 Месяц назад
Hawa wazee kama huyu mzee masatu hana akili ya mpira na huyu ndo wale mizee Haina akili chama bado mtu sisi tunaumia waandishi msiwe mnahoji mizee mjinga hapa mzee saidi ndo anajua mpira
@andekisyenasibu312
@andekisyenasibu312 Месяц назад
Wew ndo hauna akili, kwan Chama atacheza milele? Zwazwa wew kama mumeo mfate aliko
@mussakinkon5252
@mussakinkon5252 Месяц назад
Kwani Chama mulianza kumtaka leo ndoto zenu sisi kama tungemuhitaji angebaki mbona kipind yuko dogo mbona mlishindwa kumchukua ...ACHENI KUOKOTAOKOTA
@AbdulshakurAthuman
@AbdulshakurAthuman Месяц назад
Chama sio Simba
@michaeltilusasila2992
@michaeltilusasila2992 Месяц назад
Hana akiri baba akhooo ila mzee masatu ana akiri
@issakikwazi-jm5rq
@issakikwazi-jm5rq Месяц назад
kua na adabu kijana hayo ni maoni yake toa nawewe maoni yako usitukane mjomba chama siyo mwanachama wa simba bali chama ni mchezaji anaweza kucheza timu yoyote duniani kumbuka tumekosa ubingwa mara tatu mfululizo na chama akiwemo hiyo ndo football
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 Месяц назад
Wewe masato akiri ndogo sana jieshim ww ndio mama unaliwa weee
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Месяц назад
CPA = CHAMA -- PACOME --- PRINCE -- AZIZ --- Huo moto mtakimbiana " Kariakoo Derby, itakuwa nafuu sana kwenu madunduka,kama hamtapeleka timu Lupaso "
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Месяц назад
Waligombania na simba
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Месяц назад
Huyu alikuwa mchezaji wa simba kwaiyo alihitajika na nani na nani nje ya simba ?
@MapangaMapanga
@MapangaMapanga Месяц назад
Lll
@DanielChaula
@DanielChaula Месяц назад
Mbona mbogo
Далее