Тёмный

GEN-Z WALIOCHOMA BUNGE WALIPIGWA RISASI NA ALIYECHUKUA FIMBO YA SPIKA HATUNAYE TENA 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 2,4 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 3 месяца назад
Mungu awalaze Katika Pumziko la Ushindi, kwa maana maisha ya mwanadamu ni hadithi tu, nahiyo hadithi basi yafaa iwe njema ambayo itakumbukwa na Kizazi chote Cha Wakenya waliopo Sasa na Kizazi Kijacho kwamba kilikuwepo Kizazi Cha Gen-Z ambacho kilipambana kwa Jasho na Damu, ili Taifa la Kenya Litamalaki katika Haki na Usawa. Mungu azilaze roho za Mashujaa wa Gen-Z mahala pema peponi. Hakika wameacha historia itakayo andikwa kwenye vitabu barani Afrika.
@vanemmy6043
@vanemmy6043 3 месяца назад
😢Rip Comredi 🙏 ...tanguliyeni nasisi tuko nyuma😢
@mainabenson5173
@mainabenson5173 3 месяца назад
Wanasema ni non-negotiable....Ukija Nairobi Nitafute
@JailosShalu
@JailosShalu 3 месяца назад
Alisema ni zakayo😂😂
@muliamadi859
@muliamadi859 3 месяца назад
Inchi ambazo zina marahisi watusi zina shida sana
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 3 месяца назад
Rip legend 😭
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 месяца назад
Hawa walizidi sasa ,,walivuka mipaka,,,,ila muda wa kuish dunian ukikoma unaweza kujitumbukiz hat bahlin
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 3 месяца назад
Hizi hari sijasikia kama wameuwawa
@dubzman5874
@dubzman5874 3 месяца назад
Gen Z ambalo lina maana ya: Gen=Generation. Z=Zoomer. Gen Z ni vijana waliozaliwa kuanzia mwishoni mwa miaka 1990 mpaka 2010 Pia wanafahamika kama kizazi cha kidijitali kwa sababu walizaliwa wakati mtandao ndio umeanza kuchipukia.
@Africaamkenitznawenuso
@Africaamkenitznawenuso 3 месяца назад
Wamewauwa nisawatu kwani beigani mtu kufa kwaajiri ya vizazi vijavyo viishi maisha mazuri. Bona hata babu zetu walikufa kwajir yetu wakitukomboa kutoka kwa wakolony. Kawaida tu dote wakpita hivyo tusiogope tukaruhusu kunysnyasika na kuonewa
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 месяца назад
We unasema tu ,,yaaani ufe kisa mambo ya kidunia ,,,ni bora ufe ukipigania imani,,,,,kwakweli huo ushauri siwez ufwata sijui nikifa naenda wapi alafu nijisokomez moton ,nijiharakishe kufa kisa Nini ,,,nooonooo
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 месяца назад
Uhaini ,huwa inakuwaje??
@Madilupatrick
@Madilupatrick 3 месяца назад
Kenya tuko Sawa ,uwezifanya maandamano ya kuibia watu
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 месяца назад
Hawa walizidi sasa ,,walivuka mipaka
Далее