Тёмный

GEN-Z WANATAKA SERIKALI IACHE KUKOPA PESA IMF NA BANK YA DUNIA 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 3,2 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 17 дней назад
Big up mwalimu 💚
@sulaimanabdullah-qp8vs
@sulaimanabdullah-qp8vs 17 дней назад
Ccm.wanajifunza.nini..au.wao..wapo Safi
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 17 дней назад
Kondoo wa bwana tz
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 17 дней назад
Nawahurumia kaka zangu kupelekwa haiti pesa 20k😭😭😭💔💔na umaarufu wa vita hawana
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 17 дней назад
Vijana wa Kenya wanajielewa sio km Bongo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 17 дней назад
Ngono kubeti kamali shinwaa mpira token vigodoro pull table. Saa ngapi utaamka
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 17 дней назад
Nikweli zidikutujuza kaka niko hapa ujerumani mwalimu ruto nikibaraka wawazungu hacha wamuonyeshe
@ibrahimsabri9437
@ibrahimsabri9437 17 дней назад
Habari mm ni mmoja wa wasikilizaji wako MZOZO WA ISRAELI NAO TUNATAKA TAARIFA BASI BASED MOTE.OMBI
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 17 дней назад
Natamabi huyu traore ndio mwanajeshi wetu🇰🇪
@NiyoBuja
@NiyoBuja 17 дней назад
Wakwanza aaaa🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@user-bw6cd7ml1i
@user-bw6cd7ml1i 17 дней назад
Afrika viongozi wetu ni tatizo kubwa wanajiangalia wao na familia zao kuangalia wananchi na uchumi ni tatizo barabara afrika ni
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 17 дней назад
Nikweli kabisa
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 17 дней назад
Mpaka 2060. Tutakua mikononi mwa wazungu rasmi tena
@simonmartin5358
@simonmartin5358 17 дней назад
Saf
@kellymumani9724
@kellymumani9724 17 дней назад
I WISH Huyu RAIS IBRAHIM TRAORE ANGEKUWA RAIS WETU AWAONYESHE JINSI NCHI INAFAA KUONGOZWA.Huyu Kiongozi anafaa kuigwa Afrika nzima
@Zainab_salat
@Zainab_salat 17 дней назад
Mm niko kenya maandamano sawa,lakini maandamano yamekuwa wezi wanaiba na kuchuma moto maduka ya wananchi na kuingia masupermarket. Nimeona live wezi wanachukua mali ya wananchi.
Далее
America's grid battery revolution.
12:34
Просмотров 85 тыс.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00