Тёмный
No video :(

TRAORE AMETOKA ECOWAS/UN NA UMOJA WA AFRIKA (AU) KASEMA ANATOKA 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 39 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@othumanomari1589
@othumanomari1589 26 дней назад
Jambo Zuri Mr president Ibrahim traore umoja wa Africa wote niwanafki
@gilbertmathias7594
@gilbertmathias7594 Месяц назад
Tunaitaji viongozi wenye fikira pevu kama hao vijana. Na siku waafrika wakikitambua wazungu watasaga meno. Tatizo vibaraka ni wengi wanapandikizwa . Haswa wanaojifanya wapinzani kwenye nchi zao maana uchukua pesa kule na kuahidi malipo badae iwapo wakipata nchi. Jpm aliwasoma sana . Asante sana madogo wazalendo sana.
@dhamiirrashid6175
@dhamiirrashid6175 Месяц назад
Allah ampe nguvu rais kaka wangu TRAORE, NATAM NIWE RAIA TU NCHINI BOKINAFASO
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Месяц назад
Yaan natamani hta mm kwa kweli Lau kma magufuli angekuwepo Africa ingetambuliwa sasa hv
@calvinnelsonmoshi2616
@calvinnelsonmoshi2616 28 дней назад
The lion of africa ibrahim traore
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh Месяц назад
Gadafi mpya mzimu wa gadafi na magufuri viva
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 Месяц назад
Umoja wa Africa ni wa kinafiki. Una faida gani? Marekani na NATO gays wakampiga Libya wao umoja wa Africa ukakaa kimya
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 Месяц назад
Afrika inawatu waelevu na wazalendo sana, tatizo ni wale vibaraka wanao jiangalia wao kwa kutumwa na mabeberu
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Месяц назад
Waerevu waelevu bakita mtusaidie ili kuboresha kiswahili
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 Месяц назад
​@@edsonnelson4464ni viongozi werevu na sio waerevu wala waelevu
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 Месяц назад
​@@edsonnelson4464 usahihi wake ni WEREVU na sio waerevu/waelevu
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Месяц назад
Na hao vibaraka ndo wanaohusika kuhujumu wa Africa wenzao wenye maono kma hawa
@MahdouMomba
@MahdouMomba Месяц назад
Umoja wa Afrika ni umoja wa kihuni kabisa, ndio maana Late JPM wa Tanzania hakutaka kushiriki hata siku moja, Magufuli aliouna huu umoja kua ni umoja wa nzi usiokua na madhara kabisa
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Месяц назад
Yaan yule mwamba angekuwepo angekuwa bega kwa bega na traore we real miss him
@Matalatala267.
@Matalatala267. Месяц назад
UN ni wanafki sana safi sana jeshi la Burkina faso
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 Месяц назад
Wapo sahihi kabisa wajiondoe tu ❤❤❤ mie naunga mkono maisha marefu aes sahel pamoja mauti tutashinda asante MUNGU WENYEZI kwa zawadi za umoja SAHEL
@planetanimals9547
@planetanimals9547 Месяц назад
Kweli kabisa Au ni vibaraka wamarekani tu nawamagaribi
@jotafungo4622
@jotafungo4622 Месяц назад
Asituangushe tu huko mbeleni,big up kwake.
@nelson-cd7fr
@nelson-cd7fr Месяц назад
Free Africa
@JulienNsengiyumva
@JulienNsengiyumva Месяц назад
👍👏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👍👏
@bahatimanegabe1777
@bahatimanegabe1777 Месяц назад
Good job, brother nakufatilia sana nikiwachapa United States of America 🇺🇸 Boston Big up sana
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz Месяц назад
Nakupenda sana kk kwakutupasha habari niko germany
@omariselemani6578
@omariselemani6578 Месяц назад
Hiyo ni kweli sana
@user-to4jw7tm1j
@user-to4jw7tm1j Месяц назад
Mungu amlinde Kwa kujitambua
@danielkavugha189
@danielkavugha189 Месяц назад
Mungu awabariki sana kwa mawazo mazuri wafanikiwe kuwasaidia watu WA nchi zao. Inaweza kuwa mfano WA kuigwa huko mbeleni kwa wale tuliochagua ubabaishaji kwa Sasa.
@ramadhanihafidh7732
@ramadhanihafidh7732 Месяц назад
Mwalimu Isaya Benson Mwakilembe umoja wa sahel ukitoka AU huu ndio mwanzo wa kwenda kutimia maneno ya Mtume Muhammad s.a.w, africa itakapokuwa huru wake ndio nyakati za mwisho. Hivyo uislam unajua kama africa itatekwa na itakombolewa nyakati za mwisho, ishara yake ni misri.
@oscarmwambwelwa7208
@oscarmwambwelwa7208 Месяц назад
Ndio maana hata Museven alisema hataenda tena AU sababu hakuna kitu wakienda kule wanasolve zaidi ya kupiga kerere tu...
@MobileDawat
@MobileDawat Месяц назад
Nawaunga,mkono,juu Umoja wa Africa hausemi kitu
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Месяц назад
Yupo sahihi kabisa maana UN & AU ni wanafiki tu wanaotumiwa na hawa mabeberu hususani nchi za Magharibi ulaya.
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz Месяц назад
Kweli umoja wa afrika ahupo kusema kweli tusifichane tuambiane ukweli nahata lilejumba lililopo Ethiopiah nijumba lawahuni ambapowahowanapangiwa tu namataifa ya inje wewe jifikirie walipohwnda kutafuta msahada wakupiga wa afrika wenzao haohao ecowas washenzi sana hao mfano mtu kama assane watara bola tinubu patrice talon Waking osmani sonko washenzi wacha watoke wanahaki wako sahihi sana Akunaga umoja wa afrika ni umoja wamatapeli tu
@AbuuBakar-t26
@AbuuBakar-t26 Месяц назад
Mungu ampe nguvu uyo jamaa aongeze nchi nyingi mwuxo afrika yote iwe 1 na yeye ndo awe raisi wa afrika
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 Месяц назад
Traore na wenzake Wana akili nyingi sana waendelee hivyo hivyo.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Месяц назад
Mbabe wao namba moja alikua idi amini wa uganda huyu aliwpigisha magoti wazungu halafu wakatudanganya eti idi amini alikua mtu mbaya
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz Месяц назад
Guterez mwehu yeye alifanya nini wakati bendjamini nettenyahu wasaidizi wake walichana barua
@shegiahuseinshegia9008
@shegiahuseinshegia9008 Месяц назад
Hongera kwako mheshimiwa Ibrahim,huo ndio uongozi tunaohitaji. Afrika.
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Месяц назад
Wajiondoe kweli au haya mataifa mengine ya africa yafuate mwendo wa hizo nchi tatu za sahel maana viongoz wengi ni vibaraka wanaweza kuwapindua hao wenzao na kuuwa malengo yao
@nongollohsuleyman9734
@nongollohsuleyman9734 Месяц назад
Wanajua wanachokifanya kwani kwa sasa wanasita kufanya maamuzi hayo kwa sababu kwa sasa operation hozi Mali za uma ili wawe vinara wa maisha bora baadae asante
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 Месяц назад
Kabisa tena wanataka watu wakope.angekuwepo magufuli angeunga nao au ngeenda kuwatembelea kuwaalika
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 Месяц назад
Tulidhania Ruto atakuwa kama Ibrahim traore kumbe yeye ni wale wale tu
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 Месяц назад
Ruto ni balloon (ni put ni hewa tupu hamna kitu) ndio ileile mizigo
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Месяц назад
Big up mwalimu 💚
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk Месяц назад
HAWA VIJANA WATATUFUNDISHAMENGI😂😂😂 NA TUTAISOMA NAMBA MDA SI MREFU.😂
@SaudiSalman-f1g
@SaudiSalman-f1g Месяц назад
Hakikaa Africa
@user-wt1cg7hj9z
@user-wt1cg7hj9z Месяц назад
Ni umoja wa kinafiki kweli. Mbona gadaffi hawakuweza kumsaidia
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham Месяц назад
Nakubariana naye huyu mwamba,AU ni wanafiki , Bora waunde umoja wao,Gaddafi kauwawa Au wapo tu
@maryamsharif6926
@maryamsharif6926 Месяц назад
Good job burkina faso miamba hiyo safi sana
@jotafungo4622
@jotafungo4622 Месяц назад
AU haina mpango na wala haijawahi kuwa na mpango
@omarimahela7690
@omarimahela7690 Месяц назад
Ndg yangu upo vizuri sana, nakufuatilia habari zako na unajua kunogesha
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Месяц назад
Mwenzenu anauliwa na amewasaidia sna mataifa yenu mnamuachia anauliwa na marekani wapumbavu sana hata mm huu umoja wa africa ni wa vibaraka umewekwa na wazungu
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 Месяц назад
AU NI KIJIWE CHA WAKOLONI MAMBOLEO.HATUTAKI AU KABISA KIJIWE CHA KUNYWA CHAI
@tradamus4158
@tradamus4158 Месяц назад
Kenya wanajionaga wao ni wamarekani na kutwa kujisifia kuwa wanajua English basi ndio wanachojua 😂😂
@CubeedCali
@CubeedCali Месяц назад
Nikweli kaka au wako nchini somalia miaka 15 hakuna amani wanalinda magaidi wasimalizike somalia
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Месяц назад
Ukiskia waafrica halisi ndio hao sasa wameshajipata na kujitambua lazima wawe maaduwi wa mkoloni. (NATO)
@zainabzain3434
@zainabzain3434 Месяц назад
Waoo 5 again 🎉🎉🎉❤
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Месяц назад
Na mm nahama Tanzania naamia kwa Taore
@JumaNurudini
@JumaNurudini Месяц назад
Kwanza hataki ushoga inchini mwake
@user-ui1cj5re9k
@user-ui1cj5re9k Месяц назад
Mwalim mwakilembe tunakupata mojakwamoja vemakabii
@LwinziMohamed
@LwinziMohamed Месяц назад
Hapo wamefanya la maana ni kujitoa tu wazungu washenzi mno tumechoka kutunyonya
@SaudiSalman-f1g
@SaudiSalman-f1g Месяц назад
Leta za Iran sasa
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 Месяц назад
viongozi wote wafrika wanatakiwa kupinduliwa wengi wameficha mahela mengi nchi za ughaibuni ndio maana wanakua ni wasenge wasenge
@daudimaimunammbowe1631
@daudimaimunammbowe1631 Месяц назад
Umoja wa Africa auna maamuzi,,
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Месяц назад
Umoja wa Africa ni wanafiki
@beatricecharles1110
@beatricecharles1110 Месяц назад
Nawaunga mkono kwa sababu shirikisho zote ni za kikoloni
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g Месяц назад
Unalikuta libaba lizima kitambi. Na mvi kibao ila bado linakua likibaraka LA wamagharibi shenzi kabisa
@kimeajuma3267
@kimeajuma3267 Месяц назад
Huyu traore nimemuelewa
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Месяц назад
Un na Au Ni ujinga mtupu
@DamiaoAgostinho-si3kh
@DamiaoAgostinho-si3kh 4 дня назад
Unaongea sana kukiko kulenga unachotaka kuongea
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 Месяц назад
Jambo Jema 🎉🎉🎉🎉
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud Месяц назад
Hata kama peke yake hata weza
@lucasbatano333
@lucasbatano333 Месяц назад
UN na AU hakuna umoja hapo
@ziggysamson5956
@ziggysamson5956 Месяц назад
Sasa mungu do amemleta Traore??Na kaamua Magufuli😂
@fistonmakasi3803
@fistonmakasi3803 Месяц назад
Mwamba kaamua
@FatnaMfinanga
@FatnaMfinanga Месяц назад
Huyu Ibrahim twaore nikijana mwenyemwanga wakuonambali lait viongozi waafrika wangeungana najuwa kitu kimoja nakujikombowa kwenye mikono yamabeberu
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Месяц назад
Sasa huyo mzungu yanamuhusu nini ya Africa
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 Месяц назад
Ww nmkunduuu😂😂😂😂
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Месяц назад
Yaan unasema mwalimu tena unasema viongozi wa Africa hawajui wanachokifanya ivi unawafundisha watu benson usifikili kuongoza nchi ni kama unavosemasema maneno yoyote yale uongozi ni kazi ngumu usiwazarau viongozi wa Africa wako vizuri tu ni wewe tu na mawenge yako
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Месяц назад
Falaaa wewe umelaaniwa na Mwenyezi Mungu pumbavuu masikini mkubwa wewe yaani unawatetea Viongozi Mashoga wakubwa wenzako! Mbwaaaa Shogaaaaaaa jeusiiiiiiiiiiiiiii katafute mboo za wazungu zikufire au nenda katawale BWEGEEE wewe fuck youuuu
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Месяц назад
@@nasseralhatmi1762 kwA maneno yako tu umejilani mwenyewe.nani kakuambia marais I ni wakina Mungu mnaabudu marais I mpaka Mungu kawaacha hata mema hamuyaoni yanayotendeka mmehalibu maisha yenu mnataka mharibu na yawenzenu soma vitabu vya Mungu raisi nae amtegemeae ufanye kazi wewe cha ajabu umejaza matukano pole sana umejaza madudu moyoni unataka Mungu neema ya kristo ikutafute
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Месяц назад
@@nasseralhatmi1762 ko kuna watu mnajipa sifa kuwazarau viongozi wenu na kuwatukuza wawenzenu mkishauliwa mnamtukania wenzenu nakusikitikia.sana tena sana marais I was dunia moja.sio wenye dunia tena hawakuandika ramani.ya maisha yako ambayo ni biblia mche Mungu uepukane na lawama ulizonazo siku za mwisho ni mbaya mtawaua marais I wenu.bado biblia inasema uchumi wa dunia nzima utaporomoka ma'ana Mungu atawapiga mafreemasoni wote na hawatakuwa na nguvu kule.watu watahangaika ndo maisha yatazidi.kuwa mabaya
@kassimmtwana8539
@kassimmtwana8539 Месяц назад
Siku zake zinahisabika huyoo tangu lini shikio likazidi kichwa na huo umoja pia hautodumu huo wanajihangaisha tuuu
@basilsimon676
@basilsimon676 Месяц назад
Tatizo wabongo tunaongea sana na kutafuta like tu wakati nyumbani kunanyesha hebu tudeal na nyumbani kwanza ya watu hayatuhusu sisi nyumban tunafanya nini
@beatricecharles1110
@beatricecharles1110 Месяц назад
Duh nenda BBC huko
@wallacekatini3424
@wallacekatini3424 Месяц назад
Ushoga wa Traore umefanya yeye kujitoa kwenye asasi za UN!
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Месяц назад
Mmmhhhhh!!!! " una uhakika?
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 Месяц назад
ANAE KATAA KUJIUNGA NA NCHI ZA MASHOGA NA ALIEPINGA USHOGA NCHINI MWAKE LEO HII AKAITWE SHOGA? MBONA KAMA WALLACE KATINI UNAFERI? WEWE NI MWAFRIKA KWELI?
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 Месяц назад
@wallacekatini3424 hivi hii comment yako umeangalia vizuri? Au nawewe ndo walewale 😂
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Месяц назад
Shogaaaaaaa jeusiiiiiiiiiiiiiii katafute mboo za wazungu zikufire tuuu yaani unamuita Ibrahim traore ni Shoga pumbavuu wewe mmekalia unafiki tuuuuuu hivi nyie Waafrika mtaacha lini kufirwa na Wazungu? Mbona hamfahamiki ? Akitokea Kiongozi mzalendo mnakaa mnampinga?Hivi mbona mpo hivyo? Basi endeleeni kufirwa na Wazungu tu
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g Месяц назад
Pumbu za Bibi yako shenzi kabisa wewe
@daniellubundabunda
@daniellubundabunda Месяц назад
need 1 afrika
@SaudiSalman-f1g
@SaudiSalman-f1g Месяц назад
Leta za Iran sasa
Далее
IFAHAMU PARADISO YA DUNIA USWIZI
48:46
Просмотров 3,4 тыс.
SNAKE BOY | ep 28 | SEASON TWO
40:50
Просмотров 819 тыс.