Тёмный

GPS: BIDEN hali ni tete baada ya kuvurunda kwenye mdahalo na TRUMP! Democrats wahaha! Atabadilishwa? 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

30 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 127   
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 5 дней назад
Vijana acheni wivu binafsi naona umuhimu wa uwepo wa mchambuzi Ally Masubi katika mdahalo wa GPS sababu anawakilisha Kizazi cha Gene Z na kuwapa changamoto Kizazi cha Milleniaz kuanzia kwa Sky Walker, Dj Smaa na Henry Mwinuka. Big up kwa Simulizi na Sauti.
@iam_sami
@iam_sami 5 дней назад
Wanao mkubal dj smaa gonga likes hpa 💪🏽🔥
@janethmafie7721
@janethmafie7721 4 дня назад
I wish ningegonga like nyingi zaidi
@murtalla2826
@murtalla2826 5 дней назад
Dj Smaa ni mtulivu sana mashaAllah 🎉
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 5 дней назад
Sana kabisa
@ZainabJolie
@ZainabJolie 5 дней назад
​@@salehkhalfan7345sn na ana hekima sn
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 5 дней назад
Hii Sio media tena hii #SNS Nizahabu ❣️🙏
@MWANGAZAbrain
@MWANGAZAbrain 4 дня назад
Kwanza niwapongeze sns kwa kuwa wabunifu katika kuijenga jamii ya kitanzania na kiafrika kwa ujumla kwa wale wenye kujua ligha inayozungumzwa hapa' mnawafumbua walio wengi nakuwafanya tujiamini uchambuzi wenu mzuri' Natumai kwa hili ipo siku mtapewa tuzo hapa nchini na hata Africa mashariki kama si Kenya na wakenya ama vinginevyo. Tunawapenda sana kwa kazi nzuri.Msiache kuchambua tunawasikiliza kwa makini katika kila nukta.
@KekeRose-yj6re
@KekeRose-yj6re 2 дня назад
Hennry mwinuka uko vizur sana
@zuwenarajab6675
@zuwenarajab6675 5 дней назад
Wagombea wa "United States of Israel" sera zao ni zile zile. Kwa mtazamo wangu hakuna mwenye afadhali.
@ziongate5464
@ziongate5464 5 дней назад
Zuwena kunywa soda kwa mangi nitalipia. Viongozi wasio na huruma na ubinadamu! Yaani wao wanajali maslahi yao kwanza. Nyinyi hata mkifa wao hawajali. Nimecheka kwa sauti Aly alivyosema "li Trump likajibu"😅😅😅
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 дней назад
Kaka sky,dj smaa Henry na ali nipo apa shabiki yenu kabisa nafuatilia hapa gps...napia tutasapoti gps innshaala tukijaaliwa ili tujifunze zaid..#tujifunzesote#tusapotianekwahiyari na upendo ili tujifunze zaid
@KhafisaAli
@KhafisaAli 5 дней назад
hongereni ila Nakushaurini jitahidini musije mukanunuliwa kama zinavo nunuliwa tv nyengine tu😂
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 4 дня назад
Kongole sana Henry unajua sana na unaeleweka sana.Ila all in all SNS mko vizuri DJ-SMA na Ally Masubi hongereni pia.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 дней назад
Mim ali akiwa anachambua mala nyingi huwa simuelewagi sanasana namuelewaga sana dj smaa...au Henry lakin leo uchambuzi wa ali simuelewi..hajuw kufindisha kama ni mwalimu...japokuwa anajua vitu vingii..ila hawez kufundisha
@janethmafie7721
@janethmafie7721 4 дня назад
Huwa akianzaga kuongea nashindwa kujizuia napeleka mbele
@salehkhamis9994
@salehkhamis9994 5 дней назад
Sawa zaidi sisi tunataja kusikia mnachambua siasa Za nje ya bara la African TU itakua POA zaidi
@bronykenzie2322
@bronykenzie2322 2 дня назад
Kupandisha interest rates inahusisha kusave hela kwenye banks au kununua government bonds sio kukopa. Henry jifunze zaidi. Matajiri now wanapeleka usd kwenye us banks au kununua government bonds kwasababu interest rate imepanda . And hyo interest rate sio 15% ni 5.5%
@janethmafie7721
@janethmafie7721 4 дня назад
@SNS, SKY HUWA NASUBIRI KWA HAMU SANA VIDEO ZENU LAKINILEO NIMEPATA HASIRA NIMEJISIKIA VIBAYA SANA KIPINDI LEO NIMEKEREKA SANA YAANI ALLY HAPANA. Dj SMAA na kaka MWINUKA BIG UP SANA. Ally tunaomba wenzako wakiongea usiwakatishe
@HamadJuma-kj5td
@HamadJuma-kj5td 5 дней назад
Nawakbali sana GPS mpo juu sna yan✌️
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 5 дней назад
Big up kwa Team ya SnS pamoja na wachambuzo wote kuanzia kwa DJ Smaa, Wakili Mwinuka na Ally Masubi kutupa Madini ya Geo Politics Analysis GPS.
@mariusmashelle4528
@mariusmashelle4528 3 дня назад
Aly jamaa anadetails za kutosha. Anajua mnoo 🙌
@HenryFlowin-gc6bi
@HenryFlowin-gc6bi 2 дня назад
Nawakubal sna wachambuz wa GPS hap studio ila tafadhl naomben mnieleweshe vzr kuhusian na hli kwamb, inakuaj Marekan inaubav wa kuwakataz mataif kam Iran, Korea kaskazin, Urusi na mengin wasitengeneze silah za nuclear ingal wao, waingereza na wafaransa wanatengeneza bla kuwekewa mipak yyt ile? Tafadhalini naomben mnieleweshe iv hta ktk uchambuz mwngn. Ahsanten.
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 5 дней назад
i sallute you guys
@asambakanyalusambya249
@asambakanyalusambya249 2 дня назад
Netanyahou pamoja na Zelensky wengine ni pamoja na Biden pamoja na Macron
@jkifutu7936
@jkifutu7936 4 дня назад
Mupo vizur sana
@user-rk6jf6zq6d
@user-rk6jf6zq6d 5 дней назад
Kinacho nivutiaga Hapo ni Wachambuzi Kuwa na Mitazamo Tofauti Kutokana na Suala Moja hiyo mmefunika Tofauti na Chaneli zingine Zenye Mrengo mmoja
@janethmafie7721
@janethmafie7721 4 дня назад
Ally please Yaani hao wenzako wanajua zaidi yako na wakiongea tunawaelewa lakini wewe Sasa ndg unaongea wewe tu halafu Ndio HUJUI AAAAAH . Please jaribu kujilimit PLEASE
@muhamadharun9432
@muhamadharun9432 3 дня назад
Kaka ndio rahaa ya kuwepo mtu mwenye mtazamo kama ally ili debate inoge yani ni bora awepo tukubali hilo please
@abuunesta-ct5ms
@abuunesta-ct5ms 4 дня назад
Huyu Ally masubi anapoelekea ataharibu ichi kipindi anaongea sana mpaka anakera
@SadikiMwakisambwe-yw9cp
@SadikiMwakisambwe-yw9cp 10 часов назад
Bundala huyo Ally hawezi kitu
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 4 дня назад
Kaka Sma nataka nikupe mdog wangu InshaAllah
@salumadam2862
@salumadam2862 4 дня назад
😂😂😂😂 smaa chukua jiko
@FayeezAlbahassaney
@FayeezAlbahassaney 4 дня назад
@@salumadam2862 kbc ndg yng
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 4 дня назад
Pindi pendwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fredymwanzi4448
@fredymwanzi4448 4 дня назад
Kwani USA kwa nini wanangangania hivi vizee vyote
@amemasudi5735
@amemasudi5735 4 дня назад
Kw nn na hapa kwtu Tanzania pasiwe na Vyama vikuu viwili tu vikafanya Debate kuliko kupoteza Pesa nyingi maaafa na hata miundo mbinu huvurugika kwa siasa mbovu tulizo nazo tubadilike Viongozi tusiangalie matumbo yetu tu tutakwnda kuulizwa kwa Allah Kesho kiama tumuogopeni Allah
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 дней назад
Dj sma awo waisrael hao wapo laki tatu tu ndo wanaran hii dunia hata dokta sure aliwasema hao..awo ndo wanaran kila kitu...ata mungu aliwaongelea
@user-tx9lx7kw1x
@user-tx9lx7kw1x 5 дней назад
Natamani mchambue kinachoikumba nchi ya somalia
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 5 дней назад
Tutachambua
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 3 дня назад
Ukiangalia hawa jamaa djsma anatokea kanda ya ziwa,mwinuka anatokea nyanga ya juu kusini sijajua ally masubi anatokea wapi ila hawa 2 sehemu wanaotekea vyakula vyao sio mchezo hata ukiangalia sky nae kanda ya ziwa utagundua
@timothybanda3219
@timothybanda3219 5 дней назад
Ndio mana siku chache kabla ya ile debate trump alitaka ifanywe drug test sababu alijua kua babu atapewa dawa za kumpa nguvu
@khadijaa815
@khadijaa815 4 дня назад
Mie naona trump na Biden wote wapumzike hawafai
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 4 дня назад
Nadhan 1.zelensik 2. Maklon 3. Ramaposa 4. Huyo wa German Luto namweka nafasi ya 8
@Mrsuzuki-bq5gh
@Mrsuzuki-bq5gh 5 дней назад
Nipo nyuma yenu kuwa sapiti umsijali kw ilo🤝
@AbdallahMohamed-en9ko
@AbdallahMohamed-en9ko 4 дня назад
Kigezo gani apewe ili awe kiongozi wa nchi
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f 5 дней назад
jaman mie naikubali hii sns mpaka nahisi kuingia kwenye piriod yan mpaka tumbo la piriod linaanza kuniuma
@user-pu4og7df4y
@user-pu4og7df4y День назад
💣💣
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 4 дня назад
Ally Masubi kaeleweka sana kwenye hii topic, hao wanaomkosoa wana upande wao.
@muhamadharun9432
@muhamadharun9432 3 дня назад
Mbona debate safi tu kila mtu kuongelea upande wake
@Eng2460
@Eng2460 4 дня назад
GPS🎉
@Ally-qi7xo
@Ally-qi7xo 5 дней назад
🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇧🇮
@kingpunzy194
@kingpunzy194 5 дней назад
Kwangu mimi majibu ya siasa za nje naona kama wote walikubaliana ku skip. Na ndio maana walitumia muda mwingi sana kujadili katika maswala ya utoaji mimba na sera ya uhamiaji. Sera ya nje ndio inayopasa kutoa kura nyingi sana. Wauliza maswali wamelimiti maswali katika upande wa Siasa za kimataifa.
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 2 дня назад
Oya smaa anakil basi ningumu kumuelewa
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 5 дней назад
William Samuel Ruto
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 5 дней назад
Trump mjanja sana, hakutaka kuegemea upande wowote, maswali mazito ya GAZA na vita vya Ukraine hakutaka kujibu moja kwa moja asije akabainika yuko upande gani, ingemkost ndio maana alikuwa anakwepa kujibu kijanja😅🙏🤣😂nimeluelewa sana trump binafsi
@mudiskaina2342
@mudiskaina2342 4 дня назад
Baiden kama anajifunza kusema. tayar umri ushaenda ila democat hwatki wampunzishe maana wanajua malengo yao walopanga hayawezi kua
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 5 дней назад
Nikukumbushe apo kaka Henry unajuwa hata sisi mtume wetu alikabidhiwa rasmi utume kuanzia miaka 40 ...ila kwakuwa sisi umri wetu ni mdogo waanze kugombea miaka 35 mwisho miaka 60
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 5 дней назад
Hapokwa Ruto nakubali.
@user-gi2jv4kl7s
@user-gi2jv4kl7s 5 дней назад
Mimi nnacho hisi kwamba hoja ya Ali masubi ipo sahihi coz Kuna BAADHI ya mataifa ulaya hususan Kama marekani ili uwe raisi Basi lazima uwe na ushawishi fedha,ukaribu kwa matajiri na kua na ukaribu na watu wazito.nje ya hapo wamarekani hawakupi tu urais.
@msuyamsuya9337
@msuyamsuya9337 4 дня назад
Yani ninyi nawamarekani mnajiiona mjajua kushinda wao
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 5 дней назад
Nalikubari hili Channel hadi naumwa na tupo pamoja hâta ktk kuchangia ila nivzr mneweka na account number
@espoiraklonda8664
@espoiraklonda8664 5 дней назад
Wakwaza leo
@godsonraphael6669
@godsonraphael6669 5 дней назад
Uchawi upo Hadi kwenye siasa
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 дней назад
DT 67% vs JB 33%
@godfrey3926
@godfrey3926 3 дня назад
Hivi wewe wanaokulipa kuendelea kudanganya Watanzania ni nani, naona kama vile ni warusi.Hakuna mtu.ambae yupo slow na kazi ya uraisi ni kubwa sana kwake kama Trump.Anachojua ni kutukana wanawake na mtu yeyote na matusi yenyewe makubwa.Huyo kichaa utamuweka vipi kwenye uraisi..Sisi tunaoishi hapa nao tunayaona mengi..Wanaokulipa tutawaweka hapa baada ya muda
@mrdaslam301
@mrdaslam301 4 дня назад
GPS flashback
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 5 дней назад
"Putin pia kwa mbaali anamtia Stress Netanyahu" Dj Sma Tunaomb utuchambulie japo kwa ufupi tu
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 5 дней назад
Dj smaa lzm atafute engo ya kumtukuza putin
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 4 дня назад
@@josephwilliam5813 Labda hzo hoja ktk hilo hvo sku akituwekea Makala yke tutaelew zaid
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 4 дня назад
@@salehkhalfan7345 mdahalo WA trump na Biden Putin anahusikaje?
@albert1088
@albert1088 4 дня назад
Sky jaribu kumcontrol Ally jamaa anaongea sana............ show nzima tunamsikiliza mwana.!!
@janethmafie7721
@janethmafie7721 4 дня назад
HALAFU Sasa Ndio hajui sasa
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 4 дня назад
​@@janethmafie7721Wewe kila sehemu upo tu, punguza chuki binafsi mpuuzi wewe.Uchambuzi hamtakiwi kuwa na sauti 1,kila mtu achague upande wake.Mjinga wewe.
@aloycekomba1
@aloycekomba1 5 дней назад
Kaka sky naomba nafasi 😢 kufanya kipindi cha michezo
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 5 дней назад
Mtumie official email.thats a professional way bro.
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 5 дней назад
Trump 4 tena
@KidawaMzee-xr3mv
@KidawaMzee-xr3mv 4 дня назад
Mi binafsi sioni Kama baiden wa matukio ni og naona lile ni robot tu, yaani Kama utakuwa makini kunuangalia mcheki mikono yake inavyo move utagundua kitu
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 4 дня назад
Acha uchawi mkuu
@Abdulshabani-nl8xk
@Abdulshabani-nl8xk 5 дней назад
Naomba kuuliza kwann.marekani.ina.balozi.nchini.urusi na urusi ina baloz marekani nahali wanapigana.?
@ibrahimmakungu9711
@ibrahimmakungu9711 4 дня назад
Wapo
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 4 дня назад
Kuna uhusiano mwengine wa kidiplomasia tofauti na vita
@STEVEN-f6g
@STEVEN-f6g 4 дня назад
Trump ni mbaguzi alipo sema Africa itawaliwe tena sijui aliwaza nini..
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 5 дней назад
Hi namba, wakenya wanawezatumiyapiya?
@djsma255
@djsma255 5 дней назад
NDIO
@iam_sami
@iam_sami 5 дней назад
Huu uchambuz Henry and djsmaa mmeupiga mwingi uyu ally aeleweki aisee
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 дней назад
Tanzania we need presidential debate pia tujue sera za wagombea. Wagombea waulizwe though questions.
@malongoisack5811
@malongoisack5811 5 дней назад
GPS ni nn
@DANIELWILLIAM-jo5bw
@DANIELWILLIAM-jo5bw 5 дней назад
😂😂😂😂😂😆😆🤣🤣
@sundaysenga7608
@sundaysenga7608 5 дней назад
SNS KILA KITU MNAJUWA NYINYI ONGEENI SIASA ZENU ZA TZ CONVICTED FELON NDIO ACHUKUWE NCHI USA 🇺🇸?? RACIST HUYO?
@murtalla2826
@murtalla2826 5 дней назад
Moja Kati ya hasara ya kuzaliwa 90-2000 ni vijana kujiona wajuaji sana huyu dogo Ali masubwi mpaka anakera anasema yeye tuuu mpaka anachosha broSKY huyu dogo kua nae makin anatuboa bhana
@ZainabJolie
@ZainabJolie 5 дней назад
Na anapenda kumkosoa Dj smaa 😢
@mathayobmasunzu278
@mathayobmasunzu278 5 дней назад
Mnakosea kuchagua upande... Kama haumuelew mtu fulani msikilze unae muelewa... Mdahalo wa upande mmoja hauna maana... So aly ni mtu muhim kwenye GPS... Kazi nzurii...
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 5 дней назад
Acha wivu wewe kubwa jinga dhidi ya mchambuzi Ally Masubi sababu umemzidi umri ila kakuzidi maarifa. Karibu GPS uondoe ujinga
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 5 дней назад
Naitwa Ally Masubi.kunichukia nichukie lakini jina langu litamke vizuri boss.kuhusu kuongea kila mtu gps anahaki sawa ya kuongea.so chuki zako nitatizo lako.
@murtalla2826
@murtalla2826 5 дней назад
@@thefactbook...1607 hakuna chuki maana sioni ufundi mwingi kutoka kwako ninachokiona unaongea sana ile GPS inatoa nafasi kila mchambuzi kuongea kwa mda flana lakin ww unachukua hata nafasi za wenzio hujamaliza kuongea ww ushadakia tunajua ww ni wa 95 lakin hebu pevuka kidogo sikiliza wenzio kwa makin then jenga hoja
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v 4 дня назад
Kichaa anapigana na mlevi chakari.Hapo wote hawafai kabisa.pesa zinafanya vituko vyake tu hapo
@user-tq4lx9si1n
@user-tq4lx9si1n 5 дней назад
Nyinyi chaneliyenu ya kibinafs yenyelengo lakueneza habri zauwongo na upotoshaji hamjui nn mahana harisi ya habari mmekariatu ushabik na unazi unazi nachuki zdi yawatu hambao mnahonanyi hawako saii kiupandewenu rakin ss tuliyoko USA baden laispendwa sana kwawatu weusi nawahamiaji hanashda nass kabisa
@radjamtaki5597
@radjamtaki5597 5 дней назад
Elewa content kwanza ndo ukosoe,kama unataka wadifie2 c utazame BBC na CNN huku unafata nini????
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 5 дней назад
Kajifunze Kiswahili Kwanza....acha mihemko haitokusaidia
@radjamtaki5597
@radjamtaki5597 5 дней назад
@@salehkhalfan7345 we akili yako haiko sawa ufai kucomment kabisa huku mana wa2 wasio na akili ndo hua wanadeal na v2 vidogo vodogo visivyo na maana na wanaacha v2 vya msingi,nazan ulielewa ila ukosefu wako wa akili umeona hyo typing error ndo k2 cha kukosoa
@malongoisack5811
@malongoisack5811 5 дней назад
Yaani wewe unaishi USA halafu hujui hata kuandika kumbe hata USA wajinga wapi
@svt3
@svt3 5 дней назад
Rudi shule kwanza ujifunze ku andika, ukijuwa kuandika unaelewa wanacho ongea, go back to school education is important
@mrdaslam301
@mrdaslam301 4 дня назад
GPS flashback
@mrdaslam301
@mrdaslam301 4 дня назад
GPS flashback
@mrdaslam301
@mrdaslam301 4 дня назад
GPS flashback
Далее
Hallie Jackson NOW - July 2 | NBC News NOW
1:34:20
Просмотров 250 тыс.
Kein Respekt! Eskalation statt Integration? | Am Puls
43:06
Кто понял тот понял
00:24
Просмотров 378 тыс.
Watch Deadline: White House Highlights: July 1
39:06
Просмотров 206 тыс.
Das System Putin: Macht. Eliten. Angst.
34:59
Просмотров 3,1 тыс.
tagesschau 20:00 Uhr, 02.07.2024
16:43
Просмотров 139 тыс.
подчистили салон авто
1:00
Просмотров 2 млн