Sijawahi kukoment wala sio vitu vyangu kukoment but hii inanifanya niandike Love I understand u me to when I talk about my mum and my life and my family I feel bad and I crying too so i oky to cry
Ni sawa unapitia hayo yote ni ngumu ktk hali ya kibinadamu...lakin icho ni kipimo chako akuna mtu anae pita akanyooka mtazame Mungu anaitaji nn katka maisha yako....pengine Mungu anaitaji utoke ulipo umtumikie..yamkini mama atapona...Mungu wetu ni mwaminifu na anatenda fanya maamuzi...kama mkristo Okoka sasa....muhislamu rudi kundindi swali sana ....Kunahaja ya wewe ya kubadilika mwamini Mungu achana na yadunia....
Pole Lulu Diva, Mwenyezi Mungu hajawahi kumuacha mpamnanaji bila kumbariki hata sikumoja. Nimejipata nalia 😭😭😭 . Keep fighting you are a very strong woman and as a woman mimi nita support kazi zako kwa kutizama kila nyimbo unao toa.😘😘😘💗💗💗
kilamutu anahistoria yake lulu diva unanipa ushungu dada Mungu atakuwezesha dada.courage .Nawatu wanayo ku jaji hawajuwi ushungu unayo pitiya na liya sana
I got emotional after hearing her story for those who have their mum in good shape always thank God for that not everyone is blessed to that extent Lulu God will see you through your mum will one day get well 🙏
Umeniliza kw kweli lulu naskianga 2 lulu but sikujua ni Binti mrembo pia mvumilivu shupavu na Leo umempoteza mamako inasikitisha RIP mola amweke pema peponi
Sometimes unaweza ukimwona mtu anacheka machoni, amechangamka lakini ndani ya moyo wake ana maumivu mengi/ struggles nyingi, so ni vizuri kuthaminiana, kusaidiana, kutiana moyo na kuwa na lugha nzuri unapokutana na watu, huwezi jua how your words zinamtia nguvu na kumfariji awe imara
Pole lulu ndio maisha Allah hakupi mtihani bila kukupima Imaan.. lkn kiukweli ktk hyo mitihani jaribu pia kujielewa mavazi uliyovaa upo uchi na watu wengi wanakuangalia kiukweli haipendezi hasa ktk dini yetu hii isitoshe usijichune punguza na taft dawa ambayo itakutoa sugu mkononi.mbona ww uko vzr bila kujichuna? Allah akufanyie wepesi In Shaa Allah. (AMIIN)
You are an angel ,Lulu and the best daughter that any mother would wish to have.You have done the best for her in your circumstances.We shall continue praying for you and your mother’s spirit shall live forever.
Yani acheni tu umeombna na mama ako ili awe sawa ila Mungu amempenda zaid ila umepmbn sana KUHUSU mama yako hongera pia natamni hata nionane na wewe lulu jamni acheni acheni tu
God bless you great daughter in this world you have been looking after your mum there are very less in this world who can take care of their parents You are getting so much blessings lulu don’t care about this world people will never know the struggles of person
Pole diva Allah atakufanyia wepesi kwa hili na in shaa Allah atapona....imenigusa kwakweli imeniuma pia Mungu atakupa nguvu dadangu am naangalia nkiwa kenya
Unajua am single mother and nina mtoto mmoja nafikilia kuongeza mtoto mwingine inshallah mana naona mwanangu nitamtia unyonge,,namuelewa sana mim lulu diva,,,pole mamy
Mpelekeni kwenye maombi,,, vitu vingine mwanadamu akishindwa YESU KRISTO anaweza lulu,,,, mpeleke kwa mwamposa,,,, mungu aliemumba mama yako ndiye atakae unganisha ivo viungo
THE PAINFUL STORY HAVE WATCHED THIS YEAR, MOTHERS ARE OUR STRONGHOLD IN OUR FAMILIES I LOST MY MUM WHEN I WAS STRUGGLING TO HAVE A LIFE NOW THAT I Have little to give her, she is nowhere to be seeing it hurts
Duh pole sana kiukweli umeniliza hata mm maana mama ndio pepo yetu kesho akhera mungu atamjaghalia atapowa kuwa na subra piga kazi mungu yuko pamoja na ww
Cjawah kuhisi Lulu atakuwa anapitia magumu nakuombea kwa mungu ufike mbali pia mama yako apone watoto wa kike tunapitia magumu Sana na tupo wengi na pia hatuwez kusema kuhusu maisha yetu kikubwa kupambana inshaallah
Pole Sana dada ang mwenyez mung akupenguz zaid yakufanyakaz naliziki upate zaid uweze kumsaidia mama Amin pole Sana machoz yamenitoka tunakupenda Sana haswa Mimi 💕💕💕
Mungu hachelewi wala hawai ipo sku ataamka atatembea mwenyewe tunapotia changamoto nyingi kwa wazazi wetu naelewa maumivu unayoyapata mungu akutie nguvu katika kipindi chote cha magumu sister lulu diva
pole dadaangu wala usilie kuna watu wanamaisha magumu ayo yako cha mtt mimi niliacha shule ilinimuudumie mamaangu lkn wapi mungu ndoaljmpenda zaidi sibora ata wewe mamaunae vumilia uwo ndoujanajike
Sorry sister you went through a lot in life, may you have peace in your life, God is the only healer will heal you my sister, may your mum rest in peace Diva
Pole sanaaa Mungu atakusimamia Kwa kila Atua unayopiga akuna swawabu unayopata Kama kuudumia mzazi wako Mungu atakufungulia milango ya heri na kila unachofanya utafanikiwa Kwa sbb mama anafuraha na wewe
pore sana dada angu umenifanya nirie hata mm mwenyezi mungu yupo pamoja na ww pambana ndugu yangu usikate tamaa ira nikushauri tu yakupasa umuombe mwenyezi mungu akupati mume iri upate watoto maana umesema uko pekeyako zaa ndugu yangu watoto wako ndio faraja yako pore sana dada
Pole Sana diva umenikumbusha Sana mamangu ambae nijuzi tu ametuacha shkuru mungu wamuona wamgusa wamfanyia chochote natamani Sai Nami n ingekua Nampa mamangu hata maji yakunywa lakini siezi Tena Alhamdhulilah
Pole Sana Dada, but siku nyingine ukifaninywa interview Kama, hii! Kumbuka kuvaa vizuri Basi! Thus utaonekana uko seriously, paja linatamanisha tu watu! Ushauri tu Dada angu.