Тёмный
No video :(

HADIJA YUSUPH AFUNGA MTAA KUPOKEA SUPU YA MJUKUU WAKE/PAMBE KAMA ZOTE RUSHA ROHO TARUMBETA 

Geah Habibu
Подписаться 368 тыс.
Просмотров 178 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 283   
@ashaally6993
@ashaally6993 2 года назад
Mmh! mbuzi kajionea heka heka kabaki kuzubaa🤣🤣🤣🤣🤩
@aishajumaa9787
@aishajumaa9787 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 2 года назад
😀😀😀
@reyb2006
@reyb2006 2 года назад
Haki 🤣🤣🤣
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 года назад
hio ndo bongo daresalam
@zabibutofiki3993
@zabibutofiki3993 2 года назад
Hahaha umejua kunichekesha
@dhabiyaalawi3024
@dhabiyaalawi3024 2 года назад
Yani wake za watu kujidhalilisha kukatika hivo ndio wanapata nn jamani ogopeni mwenyezi mungu tusije tukapata kharka ya allah acheni hayo mambo fanyeni shughuli za staha
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 года назад
Yani hawaoni haya watoto wanawashangaa mikalio inarushwa bila mpangilio wala aibu
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 года назад
tunaona haya sie jamani
@noonelike6382
@noonelike6382 2 года назад
Usikute hapo huyo misezi Musa kavunja kikoba 👌😆😆😆
@felistamfugale7472
@felistamfugale7472 Год назад
😂😂😂😂et kavunja kikoba
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 года назад
Mashallah mtangazaji ana zinga la kiuno nimempenda bure from (Kenya)
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 Год назад
😆😆😆😆😆😆
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 года назад
Mc nimependa ujumbe wako WANAWAKE TUFANYE KAZI TUITAFUTE PESA, Safi Sana.
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 года назад
Sio Wafanye Ibada Waitafute Radhwi Za MOLA Wake. Kilakitu Nichenye Kupita. Ukamilifu Niwa MOLA
@oscaroscaroscar7974
@oscaroscaroscar7974 2 года назад
Duh Adija yusuphu ana Bint mkubwa Ivi na kazaa ndio najua leo
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 года назад
Ata mie
@gaudensiajohn7047
@gaudensiajohn7047 2 года назад
Hata mie
@user-le9lb8oc8d
@user-le9lb8oc8d 2 года назад
Kijiji chetu cha dar n kijeur sana kwan hamjasikia ya akina masha haya kz kwenu mkija ambiwa mtoa fain
@samiajafar5229
@samiajafar5229 2 года назад
Namhurumia huyo mbuzi maskin 😃
@johasaeed391
@johasaeed391 2 года назад
Wallah sipendi huu uswahili aisee
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 года назад
hio ndo Tanzania
@fundsaniaog5998
@fundsaniaog5998 2 года назад
Afu unamaliza bando kuangalia🤣🤣
@khadijamohamedy4492
@khadijamohamedy4492 2 года назад
@@fundsaniaog5998 umeonaeeee
@ishadulla4525
@ishadulla4525 2 года назад
​@@fundsaniaog5998 si ndo hapo tena kaangalia mpk mwisho ana hashuo tu mtu mzima ovyo
@mashamasha2854
@mashamasha2854 2 года назад
ʜɪᴠɪ ᴜᴍᴇᴋᴜʀᴜᴘᴜᴋᴀ ᴛᴜ ᴋᴜᴀɴᴅɪᴋᴀ sᴛᴜᴛᴀs 😀😀😀
@tatotato506
@tatotato506 2 года назад
Hongera hadija kwakuitwabibia
@huguetteigiraneza4760
@huguetteigiraneza4760 2 года назад
Uyo model wa Mrs moussa naomb🤩🤩🤩
@naomialliyalliy2161
@naomialliyalliy2161 2 года назад
Mbuzi kacheza taarabu atake asitake 😂😂😂
@mamaibra2402
@mamaibra2402 2 года назад
Nimecheka kwa sauti kama mazuri vile
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@latifaonesmo7629
@latifaonesmo7629 2 года назад
ahaaaaaa kwakweli mbuzi kakubaliana na mazingira
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 года назад
😃😀😃😀
@saleemmussah
@saleemmussah 2 года назад
😄
@khadijambuya794
@khadijambuya794 2 года назад
Mashaallah mtto wa khadija mnzuri
@mimahmunah2853
@mimahmunah2853 2 года назад
Sanaaa Mashallah 🤩
@hanihaadamuhanifaadamu4125
@hanihaadamuhanifaadamu4125 2 года назад
@sheshi beshi dollop pp popping ppppppppppppppppppppppppppp ppppppppppppppp
@hanihaadamuhanifaadamu4125
@hanihaadamuhanifaadamu4125 2 года назад
@sheshi beshi loophole ppl plz poll pppppp
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
Hvy ndo vitu vya kutunza 😊😊 hapo ununui vitu vya mwezi 🤣🤣🤣
@maryamtan682
@maryamtan682 2 года назад
Umeona eee.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
@@maryamtan682 😁😁
@jojoskitchen1210
@jojoskitchen1210 2 года назад
🤣🤣
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 года назад
MDA SI MREFU TUTASIKIA ,NIRUDISHIE MBUZI WANGU NA NYANYA ZANGU,PILIPILI ZANGU.
@firdausrajabu6822
@firdausrajabu6822 2 года назад
😂😂😂
@bintymohammedy5759
@bintymohammedy5759 2 года назад
🤣🤣🤣
@hawangwalima347
@hawangwalima347 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@bernaberna4159
@bernaberna4159 2 года назад
😂😂😂😂Ukweli huu
@mimahally8025
@mimahally8025 2 года назад
Nakwel🐵🐵🐵🐵
@zainajuma4266
@zainajuma4266 2 года назад
Hnger san miss mussa n khdij allah awawek muskilizan inshallah musij mukagombn mkawap faida watu n musij mkasikiliz mann ya wat mkaj kugombn mwshon Allah barik
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 года назад
Kumbe khadija anae mtoto mkubwa had amefanikiwa kuzaa kabisa Mashallah jaman ❤️❤️❤️❤️saut ya chiriku
@noru9028
@noru9028 2 года назад
Tena wamefanana mashallah
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
@@noru9028 sana
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 года назад
@@noru9028 kabisa a mzue
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 года назад
Anae ila wapo kama 3 alikuwa anawakosa
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 года назад
@@ashuuuaisha9122 okky
@jokhaali5893
@jokhaali5893 2 года назад
jamani mbona hiyo supu. Mbuzi kakonda. chinjeni hayo mauno yanayokatwa kwenye kijora.
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 2 года назад
😂😂😂😂
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@merisianantandu1327
@merisianantandu1327 2 года назад
Yenyewe sikwaubaya amekonda Kweli 😂😂😂
@vero57
@vero57 2 года назад
Serikali imekataza hiyo michezo
@wardadallu1820
@wardadallu1820 2 года назад
Kweli kabisaa ata hawasikii
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Yaaan ni kazi
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 2 года назад
we msenge kwel serikal ya nyoko...kwahyo watu wasifurah na familia zao we mkundu kwel
@mariamjuma9486
@mariamjuma9486 2 года назад
@@jacquilinenoah949 😄🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅
@azizatwaha2229
@azizatwaha2229 2 года назад
@@jacquilinenoah949 🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah dunia hiii hatarii
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Mtihani wallah
@annaswai6072
@annaswai6072 2 года назад
wanawake tutafute pesa jamani daaaah hadi raha 😋😋😋💜💜💜
@jamilaedward7597
@jamilaedward7597 2 года назад
Hongeraa nitakuja kunywaa hiyo supu
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Hongera shoga umeweza shughuli ya heshima Masha Allah
@badeehuliya8962
@badeehuliya8962 2 года назад
He
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 года назад
@@badeehuliya8962 🤣🤣
@mussamayombe7377
@mussamayombe7377 2 года назад
Geah twende pmja mpka mwisho dada,nimemuona Mrs mussa bass
@muuhspecial6802
@muuhspecial6802 2 года назад
Madam hongera
@zahramohammed2337
@zahramohammed2337 2 года назад
wakitok apo wanalalamika maisha magumi
@naimasuleiman1073
@naimasuleiman1073 2 года назад
😂 🤣 Isijekuwa mkopo tu hpo
@hanifaally4694
@hanifaally4694 2 года назад
@@naimasuleiman1073 🤣🤣🤣🤣
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 года назад
Ndio kumbe mapesa wanayo baadae maisha magumu
@emmanuelchejo7154
@emmanuelchejo7154 2 года назад
Mc we fundi sana nimekupenda bureee
@raybby9291
@raybby9291 2 года назад
Mnabinua mikundu yenu wenyewe alafu watu waseme wazaramo ndo tunakaa uchi mtukomeee kutuchafua
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 года назад
Asaivi kukaa uchi kila kabila wanakaa uchi
@raybby9291
@raybby9291 2 года назад
@@dottohamisi9844 ndio kila kabila na mzaramo halisi hachezi uchi
@azizaisack2572
@azizaisack2572 2 года назад
@@dottohamisi9844 wapare hapana
@barikiwa22
@barikiwa22 2 года назад
Wasukuma hatuna ujinga huu
@sadabahla7120
@sadabahla7120 2 года назад
👌👊
@athumanisalum5462
@athumanisalum5462 Год назад
Mc nimekupenda bule shuuli pambeeeeeeh ❤️
@fathimamct232
@fathimamct232 2 года назад
Mkixhukuwa mikopo mnatuzana mkija kudaiwa na kutolewa ndani ya majumba kwa ajili ya madeni mnalia na Serikali na kusema mnaonewa.
@juliethjustus5424
@juliethjustus5424 2 года назад
Hogera sana hadija kwa kupata mjukuu
@jehidahamisi2404
@jehidahamisi2404 2 года назад
Mrs mussa kajitadi lakini mc hakuna apo
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Год назад
waooh nimeona pambee ya mtaani kwetu kwalimboa hiko full
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Год назад
Yaani munamuita mwenzenu supu.. wakati yuko hapo anawasikia! Mnafikiri mbuzi haelewi mnachosema? tabia mbaya hiyoo!
@mcback4384
@mcback4384 2 года назад
Mbuzi wa watu haielewi hili wala lile
@joanmbunda1669
@joanmbunda1669 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@azibossladykenny2455
@azibossladykenny2455 2 года назад
🥰🥰🥰🥰undugu rahaaa sanaaa mwalim
@frenkdaniel171
@frenkdaniel171 2 года назад
Umeonaa
@ruthusinde966
@ruthusinde966 2 года назад
Da Geah nyumbani raha jamani pambeee tu
@fridamusa8152
@fridamusa8152 2 года назад
Ila mashangingi jmn wanamambo
@saidmnyamwezi3729
@saidmnyamwezi3729 Год назад
Yeah Habib naomba unitafutie huo wimbo hapo !! Maana nimeupenda lakini siujii?? Nimeutafuta Sana lakini sijupata!!
@mauamrope7768
@mauamrope7768 2 года назад
Nayapendaga sana hayo mambo
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Ww upo kma mimi 😂😂😂Ila home 😢😢😢
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 года назад
Unacho kiuno?
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Kumekucha tena 👌🏽👌🏽👌🏽
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 2 года назад
Jamani selikari si umekataza kunengua hivi watu bado hawakomi jamani chezeni kwa uzuri sio matako mdebwedo hivyo mtafungwa wenzenu washafikishwa mahakaman huko
@nailaty
@nailaty 2 года назад
watu wamevurugwa hakuna anae waza sheria za nchi
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 года назад
Kumbe serekali imekataza ? Imefanya vzr sana yaani huu uchezaji siupendi hadi basi , wananikera kweli kweli wakicheza ivo. Wanatuzalilisha tu wanawake wenzao
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 2 года назад
@@rahmaabdulla4949 ndio imetangaza ukikamatwa jela na kuna wengine washafikishwa mahakaman kwa tabia ya vigoma na kibao kat yaan hao wanaocheza kutikisa matako na kuvua nguo sasa kazi wanayo yaan wanawindwa na serikali wanaharibu maadili ya utu na kuzalilisha wanawake wote kuonekana washenzi km wao
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 года назад
@@upendowakwelinaamani1060 itakuwa vzr sana sana kama serekali imamua ivo. Manake wanawake mame zidi sikuhizi. Uchezaji waovyo kabisa hunaraha hata yakuangalia hizi vidio kwa machezaji yao yakipuuzi
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 2 года назад
Khee kumbe wamekatazwa kusambaratisha Kei? Mana hiyo mibinuo lazima K ziwe wazii ka kisima cha kijiji
@aileenlema8103
@aileenlema8103 2 года назад
Hivi wanawake lini mtaacha mambo ya kijinga?kwanini msifunge mtaa kule ocean Road hospital mkawasaidie watu wanateseka na cancer? Eti supu?
@omanoman2044
@omanoman2044 2 года назад
Siyo wote nihaw wasiyo j8tambua
@nasribakari189
@nasribakari189 2 года назад
Kwann wewe usifungue
@mariammkuyu5906
@mariammkuyu5906 2 года назад
Umewaza mbali we🙄🤔🤔
@rayanamrsshariff5777
@rayanamrsshariff5777 2 года назад
Acha kukashifu wanawake si ufanye ww
@omanoman2044
@omanoman2044 2 года назад
@@rayanamrsshariff5777 ukweli unauma kuteta nidhabi penye ukweli lazima wambie nawarekebishwe arjalu kawamun wanaume niwachunga wa wanawake saw usikurupuke tuy kusem et musikashifu wanawake kwan hatujui ndo wametuzaa hao mam zetu baadhi yao wasiyo jitambua
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 года назад
Mbuzi anajiuliza, hivi huku ni wapi? Mbona siwaoni mbuzi wenzangu?
@MunaMuna-tn3go
@MunaMuna-tn3go 2 года назад
Mbuzi rohoo imempasuka ajui chakufanya jamani😆😆😆
@latifaonesmo7629
@latifaonesmo7629 2 года назад
ndio wapo mbuzi wewe nzie wanaocheza mziki
@nyangetakaliba8585
@nyangetakaliba8585 2 года назад
@Shakila Masoud nmecheka wallah eti mbuzi hawaoni wenzie....🤣🤣🤣🤣🤣
@biabumwarua2444
@biabumwarua2444 2 года назад
nimecheka na hii comments Yako mpaka machozi
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 года назад
@@nyangetakaliba8585 🤣🤣🤣🤣 siunaona anavyoshangaa
@user-jp6dt2ey8p
@user-jp6dt2ey8p 11 месяцев назад
Napenda watu wanaotoa kama hao ndoniwape
@fridamusa8152
@fridamusa8152 2 года назад
Me nkajua ng'ombee
@emanuelamrope7423
@emanuelamrope7423 2 года назад
Ila wanaume wao wana mioyo kweli kuwapa ruhusa usiku huo
@rosemsafiri7568
@rosemsafiri7568 2 года назад
Aisee wewe kuna shida gani
@uaekfn8803
@uaekfn8803 Год назад
Huh wimbo unaitwaje
@firdausrajabu6822
@firdausrajabu6822 2 года назад
Hongeraaa hadijaa👏👏
@maggieandrew995
@maggieandrew995 2 года назад
Mm naomba kuuliza kwann wanaoprnda kufanya haya mambo n waislam,
@faidhahemedi4759
@faidhahemedi4759 2 года назад
Waislam tuna hakika ya mtoto lkn sio ya kupiga madufu Wala mauno, Ila sahv watu wanapenda kukatika katika ndo wameona fursa kufanya hvyo, sahv si wakristo Wala waislam Bali wadada wa uswazi wote wameona ndo dili
@aminaabdallahisa6827
@aminaabdallahisa6827 2 года назад
Baadae wasije kudhalilisha kuitji kurudishiwa vitu hatutaki kusikia
@kimcash3079
@kimcash3079 2 года назад
Ndio Nni sasa 🤣 kwani kumpa kimya je
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 2 года назад
Hii yaitwa baadae asiporegesha aje adaiwe
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
Watajuaje Hao haeatakiswabu wanatakasifatu inawatosha ya Dunia kwa Allah hakunakitu
@hugoburuda7334
@hugoburuda7334 2 года назад
Angalia sura zao mbayaaa kwa Lana
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Hongera bi khadija kupata mjukuu
@jescahamis8901
@jescahamis8901 2 года назад
Ok
@rayaali7551
@rayaali7551 Год назад
Ovyoooo. Shuhuli nyengine. Hazina vichwa wala miguu. Bastuu kutafuta sababu za kunywa gongo na kukukashifika tuu hamuna lolotee ujinga umewazidi njaa nazo hurusha akili
@swideranthony4126
@swideranthony4126 2 года назад
Jamani naombeni jila la hiyo taarabu waliyoanza nayo
@zaliermuya2437
@zaliermuya2437 2 года назад
Lawama si mzigo
@swideranthony4126
@swideranthony4126 2 года назад
@@zaliermuya2437 shukrani dear
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 года назад
Vigoma hivi wakatazwe kwakweli wanawake hawavai chupi
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Hataree
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Kwann sasa hawavai?
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 года назад
@@salomewandya7257 wachezeshe matako vizur
@florahmgaya1640
@florahmgaya1640 2 года назад
@@rukiaiddyyahaya9506 😂😂😂
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣wajinaaaa
@user-lx4of8fr3l
@user-lx4of8fr3l 2 года назад
Pambeeee
@joycekikoti8670
@joycekikoti8670 2 года назад
MC kidogo kuna sehemu alitaka kuharibu, eti sio kwa kimbuzi hiki🤣🤣ila tunashukuru akaweka sawa harakaa🤣😂😂😂😂
@annethomas7520
@annethomas7520 2 года назад
🤣🤣🤣🤣YAANI
@nailaty
@nailaty 2 года назад
wanaume wambea shuhuli si yao lakin wamo🤣🤣🤣🤣
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 года назад
😃😀😃😀
@mpesatosha7358
@mpesatosha7358 2 года назад
Umewaona kumbe
@saleemmussah
@saleemmussah 2 года назад
Wanabaishiahaoooo😄
@rahmajaffar794
@rahmajaffar794 2 года назад
Astaghfirullah hivyo Ndivyo tunavyoshukuru neema za Mungu ? tumempata mtoto WAnawake hizo style mnazocheza za kukaribisha shetani, Mungu amjaalie huyo mtoto awe mtoto mwema amlinde na kila maovu awe mcha Mungu na ampe kipaji katika kuwasaidia watu
@MsAggie5
@MsAggie5 2 года назад
Ndo nashindwa kwanini mauno shughuli ya mtoto
@joharithabiti334
@joharithabiti334 2 года назад
Amina
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 2 года назад
Watu wa dar bwana wanapenda sherehe
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 года назад
Wanapenda Sherehe Wanapenda Dhambi. Katika Sheria Sherehe Hazijakatazwa. By The Way Mnasherehekeaje. MOLA Atuhifadhwi
@husseinashura8536
@husseinashura8536 2 года назад
Waswaili tunamambo mengi🤣💓
@dahtuu2061
@dahtuu2061 2 года назад
nimeipenda iyomc
@hadijaabdallah8614
@hadijaabdallah8614 2 года назад
Haya mambo jamani
@leylasalim9380
@leylasalim9380 2 года назад
Kutokwa na haya
@dashuu5295
@dashuu5295 2 года назад
Maryam khamisss lawama cmzigoo.... Mungu amrehem huko alko
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 года назад
Allahuma ghufirlahuwarhamawaskinhufil jannah
@jamilajamila183
@jamilajamila183 2 года назад
Pambe san
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Bass haya
@victormutua4043
@victormutua4043 2 года назад
Wa kwanza leo
@diolindanativo7268
@diolindanativo7268 2 года назад
Mc sura mbaya ila matako ya kulegea mengi sana duu,ana bongoa itakuwa
@halimakihame1744
@halimakihame1744 2 года назад
Ngoja.badae waje kudaiyana.pumbavu kabisa
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 2 года назад
Umeonaaa
@halimakihame1744
@halimakihame1744 2 года назад
@@nassirmohamed8492 mm sinawajuwa mm mzawa wa bongo kindaki ndaki na ghea atatuletea mrejesjo
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 года назад
pambe hongereni sanaaa
@portinagodson3836
@portinagodson3836 2 года назад
MIMI NIPO NA MBUZI MASKINI🤣
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 2 года назад
Sisi tulozaliwa pwan tunaelewa raha ya hizi shughuli..raha sana "eheee wenzangu nyie acheni choyo nyiee" mambo ya fedha hayo mambo ya fedha hayo"
@reyb2006
@reyb2006 2 года назад
Mbuzi amejionea mambo haki🤣🤣
@agathathobias8690
@agathathobias8690 2 года назад
🤣🤣🤣🤣umenifanya nimecheka kwa nguvu
@redtatoo4209
@redtatoo4209 2 года назад
Uswazi bwn...🤣🤣🤣hali ndo imefikiahvo tz...mbuzi mmoja eti huyu tajiir....bc itoshe rohonzuri tu ni utajiri
@salomedaison9131
@salomedaison9131 2 года назад
Wee ameweza maan shughuli nzima inakuwa yako usifanye mchezo 🤣🤣 ila me nilivo mbaili sasa
@aishabory9649
@aishabory9649 2 года назад
Mbuzi kakonda mbona
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 года назад
Ila wenzetu wana pata wapi pesa maana 😢😢
@ilhamswaleh3428
@ilhamswaleh3428 2 года назад
Yaani 😜
@MunaMuna-tn3go
@MunaMuna-tn3go 2 года назад
Naminyika na kazi omani, wenzetu cjui ela wanazipata wapi zakuchezea ivi
@biubwamohd6089
@biubwamohd6089 2 года назад
Mtu ata km hanahela yakula lkn atakopa kwasifa apo mtu hajui kesho atakulanini lkn sifa tu
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 года назад
@@MunaMuna-tn3go 🤣🤣🤣hawana Cha maana wanachopata wameridhika kwenye majumba y kupanga ww unapambana ujenge mpendwa Wala usiumie roho pambana hd mwisho
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 года назад
@@linahsemindu4261 ndio hayo maana kila anaekuja oman ataka kijenga
@kassimjuma7859
@kassimjuma7859 Год назад
Naib wazir chande
@mariej6962
@mariej6962 2 года назад
Gharama ya show imezidi gharama ya zawadi. Haya weee, hii ndo tz.
@sameerarashid4641
@sameerarashid4641 2 года назад
Una nini lakini😂😂😂
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 года назад
Kalot_lafudhi_mtihan
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 года назад
Mambo ya uswazi hayo
@MsAggie5
@MsAggie5 2 года назад
Kwa raha zao. Nilidhani siku hizi haya mambo hayapo
@mussamayombe7377
@mussamayombe7377 2 года назад
Mrs mussa bass Safi sana
@agnellapius8142
@agnellapius8142 2 года назад
Miwanawake mingine ndo nini sasa kujikatisha ovyo afu mnalalamika waowaji amn pumbavu
@mdmahammed2852
@mdmahammed2852 2 года назад
Dar jmn
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 2 года назад
Mmmh
@raiyansuma9961
@raiyansuma9961 2 года назад
Jamani uyu si ticha taiya uyu
@tatumbarouk8576
@tatumbarouk8576 2 года назад
Mc pambe👌👌👌
@mussamayombe7377
@mussamayombe7377 2 года назад
Geah mwanamke wa mjini anatafuta
@jacksonpeter7484
@jacksonpeter7484 2 года назад
kwaiyo dstv umeishia wapi
@malkiawakemomba2219
@malkiawakemomba2219 Год назад
Imefanaa mashallah
@humudimbonde1632
@humudimbonde1632 2 года назад
Iyonyimbo inaitwaje
@zuhurasaid7097
@zuhurasaid7097 2 года назад
Mashallah ushoga gharama
@najmanassoro308
@najmanassoro308 2 года назад
Sijawahi kupenda ujinga huu
@maggieandrew995
@maggieandrew995 2 года назад
Huwa mnakosa kaz kweli za kufanya
@sultansallah8772
@sultansallah8772 2 года назад
Kweli supu
@nasirrashid8460
@nasirrashid8460 2 года назад
Shuhuri ilikuwa pambee tu
@kassimjuma7859
@kassimjuma7859 Год назад
Naib chande
Далее
Gelik yoki Velik?
00:20
Просмотров 549 тыс.
JUA KALI LEO ALHAMISI TAREHE 15/8/2024 FULL MOVIE HD
29:23
Mkasi - SO6E04 With Khadija Kopa
27:02
Просмотров 200 тыс.
HAYAYA KUMEKUCHA/HII NDIO KAMPANI YA MAMA IKI
2:48
Просмотров 1,3 тыс.
Rusha Roho
18:09
Просмотров 13 тыс.