Тёмный

Haikuwa Rahisi: Simulizi ya DJ Ally B - Umaskini hadi kuwa DJ anayelipwa zaidi Tanzania (Part 2) 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Kama wewe ni mhudhuriaji wa sehemu za starehe kwenye viwanja vinavyopendwa Tanzania, huenda ukawa umeshabahatika kumuona #DjAllyB akifanya yake. Tofauti na Madj wengi wenye majina, Ally kwa sasa ndiye Dj anayetafutwa zaidi kwaajili ya kutumbuiza kwenye clubs nyingi katika mikoa karibu yote.
Hapumziki, anafanya tour zaidi ya waimbaji. Na huenda kwa sasa ndiye Dj anayeingiza mkwanja mrefu zaidi.
Amefikaje hapa? Fuatilia historia yake
#HaikuwaRahisi

Опубликовано:

 

21 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@cosmasmkinga296
@cosmasmkinga296 2 года назад
He is living my dream....I had a chance to look for another career coz wazazi waliweza kunikomalia na shule but I'm looking forward japo kuwa hata investor tu kwenye Djying
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 2 года назад
Brother sky wewe ni tofauti na presenter wengine hapa Tanzania nakumbuka ndoto yangu ilikua kuwa kama wewe na nashukuru niliweza Fanya Kazi na Newsquest Media Group ya South London 2014 Nina story nzuri Sana looking forward ku share na sns siku Moja InshAllah
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 2 года назад
Inshaallah ALLAH kareem
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 2 года назад
@@kreamagdfsa1697 Amiin amiin Yarab
@temeketv
@temeketv 2 года назад
Wewe ni nom ally b, endelea kutisha ndg yng, May God bless you
@enock1444
@enock1444 2 года назад
A very humble guy, sns mkafanya niwinde show ya huyu mwamba. To.be honesty anakiamsha aisee🙌🙌🙌
@danpool5816
@danpool5816 Год назад
From 🇰🇪 I am inspired he is a beast very humble God akubless saana
@djdbway604
@djdbway604 2 года назад
Nakubal San teacher Wang bless you Mimi piah nimepitia kwenye chuo chake
@abubakaryzahoro5075
@abubakaryzahoro5075 Год назад
Nmetazama story mwanzo mpka mwisho kiukwel nimeguswa sana .Pia nmeokota maneno baadhi ya simulz yako prof. Ally b nauhakika nikiji2ma kwa bidii namm nitafikia malengo niliyokuwa nayo god bless broh 🙏🙏
@mfalmegideon3987
@mfalmegideon3987 2 года назад
Shule Nyingi sana Humu Ahsante Sky na Ally B
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 2 года назад
Nimependa sauti yako broh sky una vibe hatare sautiy usipime Maasha ALLAH
@wilsonjustin3668
@wilsonjustin3668 2 года назад
Mwenyezi mungu aibariki kazi ya mikono yake Very inspirational
@kelvin4496
@kelvin4496 Год назад
JAMAA .....N GOOD STORY TELLER ...BLES UP
@phinerjulius8487
@phinerjulius8487 Год назад
Interview ni nzuri Sana. Nimejifunza kuwa natakiwa kujitafuta ktk ninacho kifanya . Asante lkn bila sauti yako Sky hainogi sn.
@jamesverdian2445
@jamesverdian2445 Год назад
Asante mkuu nimependa kukieleza kwako na stori yako ujumla
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 2 года назад
Asante
@venturebown6983
@venturebown6983 2 года назад
I wish to be.. Crazy DJ brio from Chuga 🙌🙌 tatizo connection 🙌
@venturebown6983
@venturebown6983 2 года назад
Bravo bravo bravo bravo 💥💥👏
@afreecastzaxie
@afreecastzaxie 2 года назад
kumbe huyu chalii ya home kabisa... aminia sana ali simba
@lodrickkisanga8681
@lodrickkisanga8681 Год назад
Professor
@hasheemabby2583
@hasheemabby2583 Год назад
Jamaaa yuko smart kinoma
@keizerkaundila8805
@keizerkaundila8805 2 года назад
Chuo chako DJ ally b Niko wapi nikitu nachokipenda
@mcjmcheshi
@mcjmcheshi 2 года назад
Part 2 now
@abdulrahmanahmed770
@abdulrahmanahmed770 3 месяца назад
🔥🔥🔥🔥
@mcjmcheshi
@mcjmcheshi 2 года назад
Heshima
@mcjmcheshi
@mcjmcheshi 2 года назад
Tumejifunza vingi sana
@nurudinmwakisale1509
@nurudinmwakisale1509 Год назад
Mungu mwema
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 года назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@Manswabu
@Manswabu Год назад
Sauti yake ni tamu sna
@Manswabu
@Manswabu Год назад
Sky unajua bahn
@mcjmcheshi
@mcjmcheshi 2 года назад
Bora ameongea ukweli
@daudmasawe4459
@daudmasawe4459 Год назад
Nim kukubali San ntaiga mfano wako
@GANG3MONEY
@GANG3MONEY 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-DtFfq1E2O9Mh.htmlttps://ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-DtFfq1E2O9Mh.htmlttps://ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-DtFfq1E2O9M.html 👆👆👆👆👆 DJ Ally Tz Angalia maujanja kibao.....
@kingndinyo9764
@kingndinyo9764 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Далее
ATHUMANIIII TAJIRIIIIIII NA VIBE KAMA LOTE
7:33
Просмотров 26 тыс.
شربت كل الماء؟ 🤣
00:31
Просмотров 13 млн
شربت كل الماء؟ 🤣
00:31
Просмотров 13 млн