Тёмный

HAJA KUBWA NI DILI UTALIPWA $500-$180,000 MAREKANI 

Hapa Nilipo
Подписаться 4,1 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Leo nawapa Dili la Kazi, Yani ni kazi rahisi sana.Kazi ambayo unaweza kuifanya ukiwa sehemu yoyote ile duniani.Ukiwa qualified utalipwa $500
Website:www.humanmicro...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 123   
@michaelpatrick9317
@michaelpatrick9317 7 месяцев назад
NakupaTaje wew Dada
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious Год назад
Tupe Michongo Hiyo Dada 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@Ivylaismusic
@Ivylaismusic Год назад
Keep them coming. If you can do more 6 figure jobs that don’t require a degree or extensive hours that would be good. Asantee
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Thank you.
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 Год назад
Haja yenyewe hadii nipate kwa week mara moja Au mbili alafu choo kugumu Apo nalipwaje😊😊
@NIMFASHADieudonne-cy1fx
@NIMFASHADieudonne-cy1fx 10 месяцев назад
Sawa dada nashukulu sasa ninaswali mimi sijui kingereza nitafanyaje mbona namimi nina itaji kupana haja kubwa ,naishi Burundi 🇧🇮 nitafanya aje?
@anwary_sultan
@anwary_sultan Год назад
Sometimes tuwe tunajiquestion maswali ya ufahamu hv kweli mtu akupe pesa for that reason... watu muache ulafi.. hapo kuna agenda chafu inatekelezwa, au watu wanafanya research zao mbovu mbovu but ukweli ni kwamba hyo issue there is something fishy going on. Ila kama unavojua wanadam wa sku hzi wanapenda kuonekana na pesa tu bila kuzitafuta wala kutumia akili wataaply tu ila mkiipata nipo nmekaa pale..
@website3755
@website3755 Год назад
Ume ongea point
@Bongomastermind
@Bongomastermind Год назад
😂😂😂😂kaz moj safii hai itaji mtaji wowote ni choo tuuu😂😂
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz 10 месяцев назад
From mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 iyo mimi naitaka sina kitu hata wakisema figo natoa tu😂😂😂😂
@hapanilipo
@hapanilipo 10 месяцев назад
Hahaha, Jamani figo tena?
@rizikimabruki4131
@rizikimabruki4131 Год назад
WANATENGEZEA NN AYO MAVI
@thomasmwasongwe7790
@thomasmwasongwe7790 Год назад
Dada Leo umenifurahisha sana
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
🤣🤣🤣
@nikitadiamorelivingstone2831
@nikitadiamorelivingstone2831 10 месяцев назад
wenye haja ngumu, na kwa week mara moja, hiyo inawafaa?
@hapanilipo
@hapanilipo 10 месяцев назад
Hahaha.. nadhani, nenda kwenye Website yao wameeka picha kabisaaa uone.
@yahayahanafi3234
@yahayahanafi3234 Год назад
Dada iyo haja ukishaipata. Inasafishwa vipi
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Utafanyiwa Interview, alafu watakupa maelezo mengine.
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Год назад
Wanafanyia nini?
@AbduliThimosi-mr2iu
@AbduliThimosi-mr2iu Год назад
👊🏿👊🏿👊🏿
@allyhusseinally2461
@allyhusseinally2461 2 месяца назад
Sasa kama upo africa
@MarieLulu-k9u
@MarieLulu-k9u Год назад
Mukifika huko iyohajakubwa mkaikosa itakuaje maana kunaichi ukiingia haja kubua inakata kaka😂😂😂
@mallowmduhu4933
@mallowmduhu4933 Год назад
Tuko pamoja sana my sister!, huu ni muda wa kutafuta chapa tu. Tupe dili 👍👍👍
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Asante ndugu yangu.
@mallowmduhu4933
@mallowmduhu4933 Год назад
Sister issue mwisho kwenye submit, nimejaza vyote but sijaona sehemu ya kuSubmit
@saidizuber8831
@saidizuber8831 Год назад
nipo bongo nahitaji hilo dili
@justincalee4151
@justincalee4151 Год назад
❤I like it u'r amazing dada God bless you Keep going na fursa hizi
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Thank you so much.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Ebu tueleweshe vizuri dada
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Yani Kaka yangu, Hii kazi unalipwa $500 Kwa Haja kubwa.www.humanmicrobes.org/donors .Ni Kampuni ya Research ya Magonjwa sugu. Chronic diseases.
@williams979
@williams979 Год назад
Hamna lolote hapo unataka kutuuzia dry ice ya kuhifadhia mavi, halafu hutakuja kununua hayo mavi.
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂hii kitu mbona sijaelewa vizur dada nafanyeje ili kujiunga 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@hapanilipo
@hapanilipo 10 месяцев назад
www.humanmicrobes.org Nenda kwenye Website Yao kuna maelezo yote ya kujiunga.
@ktvinjilidaima6016
@ktvinjilidaima6016 Год назад
Dada nimekuelewa sana
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Asante sana.
@KennedyWafula-xj8hh
@KennedyWafula-xj8hh Год назад
Hi, Mimi ni kennedy toka kenya,tupe maelezo kwa ufupi kazi ya haja kubwa..
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Hi,Kennedy. Nenda kwenye Website Yao :www.humanmicrobes.org/donors .Ni kazi kamą kazi nyingine, Nenda ka Complete screening questionnaire and verification of stool type and physical fitness. Then kuna video interview.
@Mr.Latino85
@Mr.Latino85 Год назад
Mimi nimeelewa na naanza kazi mara moja
@Mr.Latino85
@Mr.Latino85 Год назад
Nimeshajaza taarifa zangu. Nimetuma tayari
@MatukimagereMagere
@MatukimagereMagere Год назад
We mdada mungu akupe afya njema na undelee kutumbania
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Asante sana.
@shabanimwinyikhery1174
@shabanimwinyikhery1174 Год назад
Duh kama tupo huku bongo inakuaje mbona kama mchongo sana hii
@sokohurugroup
@sokohurugroup Год назад
Naomba namba yako, let's do something.
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Nicheki Insta @Hapanilipo
@vom84
@vom84 Год назад
Hiyo si ni hadi uwe huko USA Dada?.
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Hapana nduguyangu.www.humanmicrobes.org We’re accepting donors from anywhere in the world where they have access to dry ice.
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz 10 месяцев назад
Dada iweke poa hiii kitu watu atuna kitu😂😂😂😂😂😂😂😂😂je inaitaji elimu gani maana hiii dunia kila kitu paka uwe na elimu
@hapanilipo
@hapanilipo 10 месяцев назад
Haiitaji Elimu Kaka yangu.
@Mr.Latino85
@Mr.Latino85 Год назад
Good job lady
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Thank you.
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx Год назад
Mm naitaka iyo kaz dada niunganishe
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Need kwenye Website yao ka apply.www.humanmicrobes.org
@PaschalFabian-zo6pp
@PaschalFabian-zo6pp Год назад
Tuko Tz huku hiyo fursa tunapataje huku jmn
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Год назад
Mie hapana! Hela hizi jamani tutakuja kutoa kifaa cha kutolea haja kubwa mbeleni
@careenevance1535
@careenevance1535 Год назад
Wa kwanza now nipeni mauwa yangu
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
💐💐💐🌺
@shabanimwinyikhery1174
@shabanimwinyikhery1174 Год назад
Nisha subsrib tayari
@drsamsonkibona371
@drsamsonkibona371 Год назад
Dada dola 500 sio 1,179 n kitu, bali ni milioni 1,137,000 na kitu
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Sawa Kaka.
@abdulrazakali2197
@abdulrazakali2197 Год назад
Kaka wee kazi hiyo sasa tuanze kunya kwa wingi Thanks sister nice deal
@Justine_Tz1
@Justine_Tz1 Год назад
Mhhh mbona kama nimestuk iv😂😂 icho kinyesi wanapeleka wap n kwa Kaz gani? maana sio kw izo hela
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
www.humanmicrobes.org/donors Ukienda kwenye Website Yao wameandika n kwa kazi gani. (Mission) Research for Chronic disease.
@Justine_Tz1
@Justine_Tz1 Год назад
@@hapanilipo Sawa mdada nimekuelew
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Год назад
Aisee kunya mavi napo unalipwa ukinya mara kumi
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Ukinya maranyingi ndio unapata hela nyingi
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 Год назад
Wanatafuta kila njia kuwafanya watu kuwa masho.. Kua makini sn tamaa mbele mauti nyuma
@ChoroTesla
@ChoroTesla Год назад
unawaza ushoga tu ndugu yangu
@rhobywerema6996
@rhobywerema6996 Год назад
Jinsi ya kijibu dada
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Jamani ndugu yangu.Mtafute basi mtu akutafsirie, ukielewa maswali ni rahisi sana kujibu.
@amirikoshuma6022
@amirikoshuma6022 Год назад
Kanye mavi ulipwe dola na weww wakule iyo jicho
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
😅😅😅
@beatricejika2725
@beatricejika2725 Год назад
baada ya muda gani wanajibu?
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Sijui jamani, hata mimi nime apply. Wakinijibu nitakwambia.
@israelezekiel
@israelezekiel Год назад
@@hapanilipo mwongo unawapoteza wenzio Dada sio vizuri okoka mrudie Mungu kipenzi chetu
@MatukimagereMagere
@MatukimagereMagere Год назад
Ila nini, naomba unisaidie kujaza tafadhal
@emabajuta979
@emabajuta979 Год назад
Je kama luga ni shida najazaje?
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Muombe mtu akusaidie. Jaza kwa English.
@emabajuta979
@emabajuta979 Год назад
Ok ww ukifika stage ya mwisho nijuze
@NickTrickaddictedboy18
@NickTrickaddictedboy18 Год назад
@@emabajuta979 hahahahaaaaa... kweli kabisa tatizo hajaelezea vizuri hicho kinyesi wanakifanyia nini baada ya kuwapa_😅
@ramadhanipongela80
@ramadhanipongela80 Год назад
Tuwekee Site hapa chin
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Sawa Kaka.www.humanmicrobes.org
@MwasityKhamis-dh7rx
@MwasityKhamis-dh7rx Год назад
😂😂😂 ila dada ni kwa walipo marekani au
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
www.humanmicrobes.org We’re accepting donors from anywhere in the world where they have access to dry ice.
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Год назад
DM uko na jina gani
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Hapanilipo.
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Год назад
Nimekumc DM momy
@RobertChacha-hb9re
@RobertChacha-hb9re Год назад
Ndo unatuandikia haja kubwa😅😅😅
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Jamani sasa niandikeje💩😅🤣
@rhobywerema6996
@rhobywerema6996 Год назад
Sasa tusiojua kingereza hiyo interview tunafanyaje
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Mimi naomba Ujiamini, Kama hujui kabisa kinge waombe uongee Kiswahili. Kama wana Kubali watu kutoka Inchi tofauti, wanaelewa kuwa sio kiła Inchi inaongea English. Nakuaminia nduguyangu.
@rhobywerema6996
@rhobywerema6996 Год назад
@@hapanilipo Asante kwa kunipa moyo
@katwangakakima4601
@katwangakakima4601 Год назад
Please muwe makini na ulafi wa pesa jamani, tutaletewa ugonjwa na hatutapata dawa, men they wana deal with country DNA, so please.please, please. Tujiulize wanataka haja kubwa ya kazi gani? Emagine waafrica hatukuumizwa na corona kwa kiwango kikubwa coz of DNA
@Mr.Latino85
@Mr.Latino85 Год назад
Usikurupuke kuongea,set your motion in gear. Ukisikia jambo jiridhishe. Dada wa watu ametoa hadi website basi nenda kwenye website kasome ujiridhishe ili ujue lengo Lao la kutaka mavi ni nini. Hiyo kazi nimesoma wameanza kufanya research hiyo tangu 1997.
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Jamani asante sana.Ubarikiwe.
@NickTrickaddictedboy18
@NickTrickaddictedboy18 Год назад
@@Mr.Latino85 resach ya nini sasa si muweke wazi, coz hata sister hajasema pia amesema vitu nusu nusu
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Год назад
@@NickTrickaddictedboy18 we website c ameweka kasome huko
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Год назад
Maana ya kutowa website ni nini sasa ukasome uko sasa ujue kama wanataka ya nn.
@ruwaidamabrouk1797
@ruwaidamabrouk1797 Год назад
Nyie kuweni makini na huyu dada anawafundisha uchoko huo ni uchoko nawaambia mamae hela itawatokea puani mamae mtakuwa mashoga mnauza mavii😂😂😂
@amirikoshuma6022
@amirikoshuma6022 Год назад
Hapa akijichanganya mtu analiwa jicho
@clevermngao7565
@clevermngao7565 Год назад
Hahahaaaa! Kupupu!
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
🤣🤣💩
@shariffamohamed6292
@shariffamohamed6292 Год назад
mimi niko Afrika nita fanya vipi
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Nenda kwenye Website yao wana maelekezo.www.humanmicrobes.org
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 Год назад
MATAKO YAKO MALAYA WEWE PUMBAVU SANA WEWE..HAKUNA WA KUMBEBA UFALA ...CURSED PUSHING WESTERN AGENDA..
@mauwamwinga6880
@mauwamwinga6880 Год назад
😂
@neemajames2073
@neemajames2073 Год назад
Dada wengine hatujw kingeli
@Ivylaismusic
@Ivylaismusic Год назад
Jifunze acha kelele- hii channel ni kwa ajili ya watanzania walioko ugaibuni na ambao wamerudi kutoka uko
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Instagram yako dada unatumia jina lako gan?
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Hapanilipo
@NuruHassan-g2j
@NuruHassan-g2j Год назад
Dada jina Instagram unatumia gni
@NIMFASHADieudonne-cy1fx
@NIMFASHADieudonne-cy1fx 10 месяцев назад
Dada namimi nirikua na itaji kuingiya kwakundi hili,tatizo sijui kiswahili vizuli nitafanya aje?
@rajuxcharity
@rajuxcharity Год назад
Swali langu kwahio watu wambao wapo Africa wanafanya je
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Kaaply kazi.Ni kazi kamą kazi nyingine. www.humanmicrobes.org/donors .We’re accepting donors from anywhere in the world where they have access to dry ice.
@ladylucky1714
@ladylucky1714 Год назад
Nimekuwa wa kwanza kuangalia hii video but Kwa kweli mimi sijaelewa kabisa 😂😂😂😂
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Nduguyangu, Ukinya mavi yako yapeleke Lab, Utalipwa $500. Website: www.humanmicrobes.org. Kajiandikishe😅
@sospeteralex378
@sospeteralex378 Год назад
Hi
@ladylucky1714
@ladylucky1714 Год назад
@@hapanilipo 🤣🤣🤣🤣🤣
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@kijokasumu
@kijokasumu Год назад
wewe choko
@careenevance1535
@careenevance1535 Год назад
Sijaelewa unaongea mkato mkato
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Kazi ya Hajakubwa, Malipo$500, Uki Qualify .www.humanmicrobes.org
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 Год назад
Hiya access to dry ice tunaipataje kwenye hospital 🏥 au kwenye nini? Msaada wa ufafanuz please.
@hapanilipo
@hapanilipo Год назад
Sidhani kama utapata Hospitali. Mimi nazionaga Restaurant/Bar, jaribu kuuliza wanazipata wapi.
Далее
UKIJA MAREKANI JIANDAE KULA CHAKULA HIKI...
15:47
Это было очень близко...
00:10
Просмотров 1,1 млн
APARTMENT YA DOLA MOJA MAREKANI (PART 2)
6:56
Просмотров 53 тыс.
BOMBA LA MAJI YA KUNYWA MAREKANI
5:00
Просмотров 6 тыс.
Maisha ya Marekani kipindi cha SNOW kali (Winter)
23:48
KAZI ZA MAREKANI PART 3
3:51
Просмотров 1,4 тыс.
DUKA LA DOLA MOJA
9:42
Просмотров 2,2 тыс.