Тёмный
No video :(

HAKUNA MATUSI AMBAYO ADHABU YAKE NI KIFO! 

SK Media Online TV
Подписаться 56 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Tukosoane kwa hoja. Tupingane kwa hoja. Hata tukitukanana, tusiuane.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 159   
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 4 месяца назад
Hongera SK Media kwa kwa elimu ya bure kwa Umakathi.
@akilimali8726
@akilimali8726 4 месяца назад
Mungu akubariki, mafunzo yako ni adimu sana ila nna uhakika yanawafikia walengwa na nna imani yanawaathiri kwa kiasi kikubwa. Ndugu yangu tengeneza taasisi ya kuwafundisha watu uzalendo, utaungwa mkono na utapata ufadhili mkubwa tu, ingwaje mwanzo mgumu. Big up sana Ansbert.
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 4 месяца назад
Asante sana kwa uchambuzi wako muzuri na wakueleweka, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 4 месяца назад
Asante sana. Mr. Ansbert Ngurumo. Ni kweli hata wahariri wakipelekewa issue zinazowagusa wananchi, hawaziandiki, maana Kila mara wana scramble kuandika taarifa za viongozi na watu maarufu katika society. Hawa walisomea Journalism wapi? Ni ajabu. Ukiangalia upande wa viongozi wa dini wengi hawana muda hata wa kuwapatia waumini wao spiritual direction. Ila wanashindana nani awe karibu na viongozi wa serikali ili kupata michango mbalimbali. Inasikitisha
@emmanuelbwile1175
@emmanuelbwile1175 4 месяца назад
Hii analysis ni miongoni mwa analysis bab kubwa. Vyombo vya habari vya tanzania nchi yangu vimegeuka kuwa gulio la wanasiasa, kadhalika na nyumba za ibada. Hatari sana
@josephmwita6012
@josephmwita6012 4 месяца назад
true my bro
@josephmwita6012
@josephmwita6012 4 месяца назад
ila proffesor ngurumo unakaa wapi ndo unatoa hizi narration this is incredible and let godbless u and your family
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 месяца назад
Anaishi Ulaya,huenda Sweeden
@godfreyntibakula5697
@godfreyntibakula5697 4 месяца назад
Chief Taifa letu hili linaangamizwa na Unafiki tena Unafiki ulijaa Vijana wengi washamba ndani ya CCm
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 4 месяца назад
Kwa kauli ya huyo kijana nimeamini kuwa kumbe ccm ndio wauaji
@AbuuMtupa
@AbuuMtupa 4 месяца назад
Hongera sana Mr ngurumo kwauchambuzi mzuli.
@josephmwita6012
@josephmwita6012 4 месяца назад
Mzee hakika wewe ni professor wa siasa that is thrue
@MawazoMofu
@MawazoMofu 4 месяца назад
SK MEDIA. Sijutii mb zangu, uchambuzi wako nisahihi Mungu awe pamoja nawe 🙏
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j 4 месяца назад
Well said Mkuu and stay blessed.
@WITNESSIBAHATI
@WITNESSIBAHATI 4 месяца назад
ngurumo uko vizuri sana mungu akubariki lakini sijui kama wanakuelewa au wanakuchukia !!!??
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 4 месяца назад
Mwanzoni nilimueléwa Rais Samia kama kiongozi makini na nilimpenda sana lkn kwa jinsi mambo yanavokwenda naona kama umakini umeondoka Kumteua Makonda na kwa kauli hizi za hovyo ya kupoteza watu kutoka kwa viongozi wa chama chake na yy ukimya wake kama amewatuma au kubariki naona Hawezi kutuvusha
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 4 месяца назад
Wee nae ni mjinga tuu Sasa huyo mwanamke shetani anavusha nani?
@alfredndau9195
@alfredndau9195 4 месяца назад
Huyo mwenyekiti wa uvccm kagera kama kweli alisema hayo maneno ilitakiwa akemewe kwa maneno yake ya hovyo.pia aondolewe kwenye hiyo nafasi hafai kabisa kuwa kiongozi. Akipata nafasi kubwa atachafua Taifa. Utafikiri ataishi miaka 500.Ni hatari sana.
@johakhimu.mgembe.3297
@johakhimu.mgembe.3297 4 месяца назад
Huyo aliyesema kupoteza watu na kutaka makofi hao wote wakasomee Siasa japo ya miezi 4. Ameropoka Aibu kwa chama chake na Amekidharilisha mbere ya Taifa na wapenda Ustaarabu Naona Amekiparamia Chama. Usome Mwongozo ukusaidie Uelewa Mnamuaribia Ndg.Raisi. kutaka Siasa za Uovyo,Ubabe na mtafaruku ktk Taifa..Ole wako ndg.zetu wapotee Utawajibika kwa Umma.Acha hizo.
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 4 месяца назад
Huyu bwana kweli ni mchambuzi .anapiga kotekote
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 4 месяца назад
Ni mwandishi wa habari sio makanjanja.
@mutalemwajohanes-kx9dj
@mutalemwajohanes-kx9dj 4 месяца назад
Nilishasema hiki kitu kinaitwa CCM ni kitu kibaya saana , ni ugonjwa mbaya sana , ni hewa mbaya saana , BUT MUNGU NI MKUU
@kastulideemay6721
@kastulideemay6721 4 месяца назад
Shikamoo mwalimu! Sijawahi kujuta kukusikiliza, Mungu akulinde, kumbeeee.....!
@allyomary2271
@allyomary2271 4 месяца назад
Tumefika mbali sana ee mwenyezimungu tusimamie
@stanslausmchonde7892
@stanslausmchonde7892 4 месяца назад
Maongezi ya Siri hadharani 😂😂😂
@ObediKinkusha-gq8fw
@ObediKinkusha-gq8fw 4 месяца назад
Kutukana c jambo jema bila kujali ni nani anatukanwa ILA MAKONDA KAMA ANAWAJUA NA ANAO USHAHIDI WA WAZI KWA NINI ASIMWAMBIE MAMA ANAONGEA NA UMMA? nchi ya uchawa tutateseka sana mpaka tupate katiba mpya
@giovannir.restone182
@giovannir.restone182 4 месяца назад
Unaongea kwa uelewa Mkubwa sana na umesema ukweli Mtupu. Hongera sana..Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa vipindi vyako. Nakukubali sana. Keep up the good work 👏
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 месяца назад
Bwana yesu alionya waandishi na mafalisayo kwa unafki na leo wameivaa dhambi za unafki kama joho ili kujipatia majina
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 месяца назад
CCM NDIYO WATEKAJI, WAUMIZAJI NA WAUAJI WA WATU WATANZANIA WENZETU WAMEPOTEZWA WENGI SANA , KUMBE WAMEPOTEZWA NA MAKADA WA. CCM
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 4 месяца назад
Changamoto kubwa sana
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 4 месяца назад
Bashite bado sana hajakomaa kisiasa
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 4 месяца назад
Hawezi kukomaa.Ni hulka
@LumolaSteven
@LumolaSteven 4 месяца назад
Bashite ni fara sana
@aminimushi6945
@aminimushi6945 4 месяца назад
Na hatakomaa,muda aliokaa bench,kama ni kukomaa,angekomaa,kwa mtindo huu,hatutaishia vizuri.
@wahurumasibale6155
@wahurumasibale6155 4 месяца назад
Huo ndiyo udhaifu wake.
@LumolaSteven
@LumolaSteven 4 месяца назад
Mzee upo vizuri sana
@JustinMkwanda
@JustinMkwanda 4 месяца назад
Uko sahihi kabisa mzalendo. Nimekuelewa
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 4 месяца назад
Watauana wao kwa wao.......kwa kauli kama hizi
@rahabufilangali-cp6br
@rahabufilangali-cp6br 4 месяца назад
Wamwagiwe Maji moto harakaaa hasbetiiii
@nassibdoma5408
@nassibdoma5408 4 месяца назад
Sk nakufuatilia sana najivunia uwepo wako by Doma from chanika
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 4 месяца назад
Leo nimepata nafasi nzuri ya kusikiliza hayo mazungumzo hatari. Hongera sana kwa watu walio record mazungumzo hayo. Amani ya nchi, uvumilivu, kupendana, kusaidiana vimeenda wapi? Hivi mtu anapanga mipango ya kumu eliminate mtanzania mwenzake, ndio upendo gani huo?
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 4 месяца назад
Hatari!
@edsonedward146
@edsonedward146 4 месяца назад
Wewe unayaishi yote anayosema Makonda. Hamna tofauti
@robertzingu9889
@robertzingu9889 4 месяца назад
Hayo mazungumzo ya simu kati ya huyo dada na huyo bwana kupanga kumdhuru Mange Kimambi ni hatua ya juu kabisa ya upumbavu. Na huyo "boss" ambaye ndiye "mwenye bajeti" na "mratibu" wa uchafu huu wa kupanga mauaji ya wakosoaji ni nani hasa? Bila shaka ni huyu huyu aliyekwisha kujianika wazi yaani Paul Makonda!
@sambulugu9988
@sambulugu9988 4 месяца назад
Wewe nawe uwe na akili kama angekuwa Makonda unadhani wasinge jipanga kunasa mazungumzo yake kwanza ndo watoe hii clip? Ujinga ni kuamini kila kitu! Wewe una uhakika kweli hao watu wanawasiliana au ni maigizo? Never be brainwashed kizembe kama mtoto wa darasa la kwanza! Hawa watu ni wanafiki,wapuuzi na wajinga sana na wanajua watanzania wengi hawawezi kufikiri ipasavyo!
@viaurfk
@viaurfk 4 месяца назад
Ushaurii Muhimu Sanaa
@trainervalue1321
@trainervalue1321 4 месяца назад
Good sms
@dismasmtui729
@dismasmtui729 4 месяца назад
Ukiwa kiongozi unatakiwa uwe makini sana kusikiliza na kufanya maamuzi ili kuepuka udanganyifu!.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 месяца назад
Yaanii wanatunga hila alafu wao wanataka usalama jamani binadamu wanajisahau sana
@felixmsengi1084
@felixmsengi1084 4 месяца назад
Nakuelewa Sana kaka kwa umakini was kuelimisha jamii
@talents7934
@talents7934 4 месяца назад
😂😂hii nchi ukiwa na Akili sana Wanakushughulikia,kuna watu Wengi sana wapo Nje ya Nchi wangekuwa Hapa Nchini pengine Tungehesabu Hatua kadhaa za kimaendeleo kupitia hao Watu,Ngurumo Endelea Kunguruma Sauti Yako invuma kwa kila mzalendo Wa nchi hii
@piuskatunzi7112
@piuskatunzi7112 4 месяца назад
This is a worrying trend! What happened, was Tanzania a dormant volcano which was mistaken for an island of peace? Kwani huu ukatili na siasa mbovu, za kutotakiana amani na kujipendekeza kwa raisi, zilitoka wapi. Why can’t we use our education and brains to drive the country forward!
@rastheunique
@rastheunique 4 месяца назад
Asante!! HAKUNA TUSI AMBALO THAMANI YAKE NI KIFO CHA MTUKANAJI😭😭
@DallasGranima-py5rj
@DallasGranima-py5rj 4 месяца назад
Prof Ansbert Ngurumo. Nimebahatika kusikiliza baadhi ya mada zako (clips) na kwa uhakika una umakini na uchambuzi wa hali ya juu. Mimi sio mwandishi kitaaluma ila Watanzania wenye kipaji cha kuelewa na kutanzua mambo bado wapo(aghalabu wachache) ila jinsi ya kuleta mabadiliko thabiti katika haya unayoyaainisha kwenye mada zako....ndio najiuliza tuanzie wapi kimkakati! Kwa kuanzia (sina uhakika), je huwezi wewe kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania ili tushirikishane haya maarifa kujazia mapungufu ya hivi vyombo vingine vya habari? Please keep it up!
@sosmakanya4901
@sosmakanya4901 4 месяца назад
Mtu makini ni makini tu hebu tuendelee kumsikiliza mchambuzi wa sisa aliyebaki tz.
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 4 месяца назад
Tunawachekea mno,ndiyo maana wamejipa hati miliki juu ya maisha yetu lakini wajue kabla hujamuua mkosoaji wa kiongozi wako utakufa wewe kwanza kwa ajali
@saulmwalubunju1076
@saulmwalubunju1076 4 месяца назад
Makonda yupo vizuri sana angalia alivotembelea mikoani akiwa mwenezi KERO za jamii ziliibuka nyingi sana pili kamfananisha rais Samia na Jpm tatu anawsfahamu watu wenye matusi mtandaoni Sasa mwenye akili ya roho ajiulize mambo yafuatayo
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 4 месяца назад
Makonda huyu sio mwanasiasa kabsaaa ni mhuni tu na mwuwaji ila watu kama hawa umaarufu anaoutafuta utamtokea puani.
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 4 месяца назад
Our infatuation with Samia is the pandemic in Bongo, this is worse than coronavirus. another 7 years of this, god bless us!
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 4 месяца назад
Na wapuuzi wa ccm wanapiga makofi
@nikundiweamosi5087
@nikundiweamosi5087 4 месяца назад
We tishia watu na kifo hata magu alitishia yuko wapi makonda ajifunze ustahimilivu ataua wangapi kwe cheo maisha yanapit
@bulugunhandi
@bulugunhandi 4 месяца назад
Uchambuzi uliotukuka
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 4 месяца назад
Hii kauli haijawahi kusemwa katika awamu zote zilizotangulia, hivi inajenga au inabomoa?, muda utaeleza !
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 4 месяца назад
Yapo, hasa kama matusi hayo nayo yanasababisha kifo
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 месяца назад
UPO VIZURI SANA, KWA UCHAMBUZI, CCM IMESHAOZA
@simontamba1285
@simontamba1285 4 месяца назад
Hata wahubiri wa dini wanawaabudu wao. wataihubiri kwelii? Ndipo naona anguko la kanisa na misikitini
@sebamachusa5396
@sebamachusa5396 4 месяца назад
Ukweli ndo huo
@abedymtore2707
@abedymtore2707 4 месяца назад
Mukiwapoteza watu police wasiwatafute?? Mmmmmh mbona noma sasa
@patriciamuganda4498
@patriciamuganda4498 4 месяца назад
Basdhi ya watu walisema tangu mwaka 2015 kuwa unafiki ndio unaowatafuna watanzania na chama chao cha siasa. Wakati umefika wa kuachana na unafiki. Ubaya ni kwamba hakuna muda wa dialogue huko Tanzania. Watu huwa wanapenda kusema vitu kichinichini, wakifika hadharani wanaanza kuchekacheka na kujipendekeza. Yaani watu hawajui kuambiana ukweli.
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 4 месяца назад
Tz act movie
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 4 месяца назад
Kaka nakupa tano kwa elimu unayotupatia
@nikundiweamosi5087
@nikundiweamosi5087 4 месяца назад
Yaani huyu hafai uuongozi ni mhatari anaweza kutumia mtu yoyote na pess akumalize bado mama anapaswa kumtafakari bashite
@salummohamed2689
@salummohamed2689 4 месяца назад
Aulizwe mteule kama naye anapendezwa na stahili hii ya uchawa Ili likizuka naye awepo.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 4 месяца назад
Madam watawala wanafurahia kauli kama hizo,hakuna atakaepinga
@claudesimukoko1436
@claudesimukoko1436 4 месяца назад
Nakuelewa
@lodrickkisanga8681
@lodrickkisanga8681 4 месяца назад
Akili kubwa
@nikundiweamosi5087
@nikundiweamosi5087 4 месяца назад
Kwamba atawapoteza watu akamatwe huyo uvccm angekuwa chadema ole wake
@GeophreyMsomba
@GeophreyMsomba 4 месяца назад
UV CCM wawe makini
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 4 месяца назад
Huzi ni aiasa za kipuuuzu sana.
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 4 месяца назад
Bashiteism
@jimmymushi2357
@jimmymushi2357 4 месяца назад
Hakika
@marthaswai1185
@marthaswai1185 4 месяца назад
Ni maana kuna mvua ajabu ajabu na milima kuporomoka ovyo.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 4 месяца назад
CCM wako wengi sana wanajipendekeza kwa na wanaona hata kupoteza mtu kwao ni kitu kidogo kwakuwa tu yeye si mwana CCM au yeye si mchawa. Kweli hii ni Inchi tena? Jamani tumekaa katika Inchi mbali mbali za Africa na inje ya Africa. Kwa kauri kama hizo Kweli wanainchi wa kawaida hawako salama kabisa. Unaweza hata siyo mwanasiasa.
@user-cw7on6jz4b
@user-cw7on6jz4b 4 месяца назад
Makonda.siyo Malinda.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
Makonda anakurupuka sana na anakosea sana
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 4 месяца назад
SK MEDIA WAZEE WA CHAMA WAPO WAPI? AU AMEBAKI JAJI WARIOBA NA MZEE BUTIKU. OLE WAKE TAIFA LANGU LINAAMIA KWA KUKOSA MAARIFA YA KAWAIDQ.HUHITÀJI KUWA DiIGRII!
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 4 месяца назад
Angamia.
@simonnjovu586
@simonnjovu586 4 месяца назад
Angamizwa
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 4 месяца назад
"Nataka!" sio "Natoa rai" kwa mamlaka niliyopewa! Huku ni kutiana hofu ndio maana hajitokezi mtu yeyote kati yao kulikemea!
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 месяца назад
Haya Haya yanalalamikia ufisadi kwamba watu hawachukuliwi Hatua akitokea mtu mwenye mrengo huo yanarudi kutetea Mafisadi kua wanaonewa yapo kama majinga😂😂😂
@rogathesarwatt
@rogathesarwatt 4 месяца назад
Bashitenology
@thobiasgervasius4931
@thobiasgervasius4931 4 месяца назад
Umenikumbusha mccarthyism kwenye subtopic ya kitabu cha modern history cha ben walsh.
@user-cw7on6jz4b
@user-cw7on6jz4b 4 месяца назад
HATA Musiba alikuwa Mccarthyst kama Malinda lakini Kwa style yake.
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 4 месяца назад
True
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 4 месяца назад
Angekuwa ajateuliwa angeyasema hayo makonda ndo Tanzania yetu iyo wateule wake kujikomba kwa Raisi ili kulinda ugali
@rahabufilangali-cp6br
@rahabufilangali-cp6br 4 месяца назад
Tunanyamaza tunasonga mbele siku Moja tutasema...?
@nicksonmasatu7209
@nicksonmasatu7209 4 месяца назад
daaa...
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 4 месяца назад
Mh tunaelekea wapi jamani kauli ngumu
@jesaminzo
@jesaminzo 4 месяца назад
Hivi hajui kuwa amemdhalilisha rais? Umakathi!
@jumayusuf1694
@jumayusuf1694 4 месяца назад
Lakini nyinyi si ndo mliopita KANISANI kumnadi LOWASA na kuhusu kauli ya MAKONDA mbona mna wasi wasi au nyinyi ndo mnaemtuka SAMIA? MAKONDA amezungumza na watu wanaomtukana SAMIA sasa kama ww hamtukani basi tulia
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 4 месяца назад
Umeelewa ulichosikia? Tuliza ubongo kwanza. Pata muktadha.
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 4 месяца назад
Laia hawa jaguliwi ninamunaganikiongoziwao wamuseme au vibaya auvizuri kati yahayomawili huenda ndiyosifa yahuyo kiongozi kulipawatu ilikumutukanakiongozimukuuwanchi hilonikosakubwasana wanapaswakushughulikwa kamakunaushahidi..
@mumuomar5541
@mumuomar5541 4 месяца назад
Are you seriously..... makubwa haya,na ni lazima yakomeshwe
@edsonedward146
@edsonedward146 4 месяца назад
Brother Ansbert, wewe na ma groups yako mnafanya haya haya. Huwa una record hivi kumfurahisha nani?
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 4 месяца назад
VIVA COMRADE NGURUMO!
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 месяца назад
Haya Haya yanalalamikia ufisadi kwamba watu hawachukuliwi Hatua akitokea mtu mwenye mrengo huo yanarudi kutetea Mafisadi kua wanaonewa yapo kama majinga😂😂😂
@user-sp4xo9rm8l
@user-sp4xo9rm8l 4 месяца назад
Kwahiyo unawatetea wanaojiita wasiojulikana hata kama wanajulikana kwa tabia zao?
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 месяца назад
@@user-sp4xo9rm8l kama hawajulikani nyie mmewajuaje
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
Mjinga ww sikiliza hoja nzito zinazotolewa.Sasa huyo makonda wako hata yeye ni fisadi papa.
@allyshaban406
@allyshaban406 4 месяца назад
SK,Mimi nakuelewa Sanaa!!
@ibrahimissa8106
@ibrahimissa8106 4 месяца назад
Ogopa watu wenye vipara
@johnambrose7223
@johnambrose7223 4 месяца назад
Nataka niwe napakua hizi video hapa unafanyaje
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 месяца назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 месяца назад
Huko kukosowa na kusema ukweli ndio matusi yenyewe ya Zama hizi za mwisho maana wapo waliodhamilia kuzamisha meli yetu iwe nvua iwe juwa
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 4 месяца назад
Na wewe mzeee january makamba ni mzuri kwako?
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 месяца назад
Umeuliza swali nzuri
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 4 месяца назад
Umenisikiliza vizuri au una mada yako nyingine?
@arodiapeter3934
@arodiapeter3934 4 месяца назад
⁸⁷
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 4 месяца назад
Umeweka namba 87. Fafanua
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 месяца назад
Weee mzee ni mnafiki sana unaongea taratibu utazani unabusara kumbee huna akili inamana kira analofanya makonda mnamuandama
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 4 месяца назад
Mchambuzi uko vizuri. Umesema vizuri mambo ya nchi hii ktk ukomavu wa kisiasa ulikuwa unaenda vizuri hadi 2015. Tatizo ni kweli linasabishwa na ujinga wetu. Tupo wengi tunataka kulia kisa kiongozi kukosolewa. Kiongozi hata aongee utumbo namna gani tunadhani in wajibu wetu kushangilia.
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 месяца назад
@@ulomirabiel6980 ni lini waliwai ata kusifia selikali
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
​@@eliassabbath2480zuri lipi lilikosolewa, nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
​@@eliassabbath2480punguza ujinga ww
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 месяца назад
@@MiriamAbdallah kipindi anapinga Ushoga madawa ya kulevya BAdo mlisema anabambikizia watu kesi
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 месяца назад
Nyie hamna akili ok unavilaumu vyombo vya habari vya Tz emu nambie ni vyombo vya habari vipi Duniani ambavyo hatumiki na Selikali Ata democrasia yenyewe hakuna taifa lolote Duniani lenyee democrasia wehuu nyiee emu nitahie ili ni kuprove wrong
@josephmantago2837
@josephmantago2837 4 месяца назад
Ww ni mpumbavu huna akili ninyi ndo machawa wauaji
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
Punguza mdomo huna hoja
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 месяца назад
@@josephmantago2837 mpumbavu mama ako weka hoja apa acha hasira mpumbavu wa ukoo weee
@sambulugu9988
@sambulugu9988 4 месяца назад
Ukweli ni huo demokrasia ya kipuuzi ya hawa wanaotumika na nchi za kimagharibi ni upuuzi mtupu! Ujinga huu fanyeni Tanzania tu kwenye nchi ya wanafiki wasiojitambua lakini nchi hata hizozinazojiita za kidemokrasia ujinga huo hamna na hawacheki na wapuuzi!
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 месяца назад
@@sambulugu9988 Nchi kama Senegal wale ndio wana demokrasia na nchi yao ilipata uhuru wa kweli sio hii inayoongozwa na wakoloni weusi ,ufisadi kibao na wizi wa kura.Ww ukishaona nchi inapira uchaguzi kwa kuiba kura ujue hiyo nchi sio huru na bado inatawaliwa na wakoloni weusi na ukoloni wa mtu mweusi ni hatari kuliko ule ukoloni wa mtu mweupe.
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 4 месяца назад
Makondanism
@user-gx4gt2pe4w
@user-gx4gt2pe4w 4 месяца назад
Ndugu yangu ebu tuambie tufanyeje hii tabia ya kumtukana rais is iendelee ili waliokua nyuma yetu wasije wakaendelea kwa kuiga kwetu kweli sipendi hawa watu watatu watukanwe kabisa rais, makamu wake na waziri mkuu huwa natamani kulia kama mtu anawakashifu hawa sijui hili litakomeshwaje ili kizazi chetu wasiige hiii tabia ya kuwatukana viongozi wetu
@eliajimmy95
@eliajimmy95 4 месяца назад
Kwani sheria hazipo, wakamatwe washtakiwe
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 4 месяца назад
Umenichekesha eti watatu hao wakitukanwa unataka hata kulia. Baba yako je? Mama yako je? Ndugu zako je? Uchawa unaazaga hivyo hivyo. Kujikomba kwa wakubwa sio akili. Tafuta maisha kwa kuchapa kazi!
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 4 месяца назад
Mungu anatukanwa.,.....sembuse wanadamu Viongozi wanaokufa.....
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 4 месяца назад
Akiwa Rais yeye itakuwaje...,....think big
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
Kama hawataki watukanwe watimize wajibu wao iwapasavyo, kinyume na hivyo watatukanwa sana wao sio MUNGU, na wewe unayelia Lia machozi ya damu😅😅😅😅😅
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 4 месяца назад
So unakataa kuwa rais hatukanwi ama?? Na tunapataje kuamini maneno yako wakati unaonekana tu kuwa mpinzani wa Makonda. Mi nafikiri na wewe unaendelea kumdhalilisha makonda kwa kutafuta watu waovu na kumfananisha.
Далее
KAULI YA KIJINGA YENYE FAIDA
7:42
Просмотров 25 тыс.
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
Просмотров 256 тыс.
KWANINI BUNGE LIMEJIGEUZA KIKARAGOSI CHA WATAWALA?
17:07