1. If you born poor its your parents 2. If you die poor its your problem 3. Comfort zone kill many dreams 4. You are the CEO of your life 5. Lack of confidence kill many Vision Yaan Joel sina cha kukulipa ila Mungu aendelee kukutumia ni kweli nimepewa support na bank baada ya kuona jitihada zangu nimejenga store lkn haina kitu, mabadiliko yanaanzia ndan na kujiamin see you at the top
👏am really impressed by this speech @JOEL NANAUKA🤗 nathani hotuba hii uliitengeneza Kwa ajili yangu🙏🙏🙏🙏 Mark this comment, ONE DAY WE WILL SHAKE HANDS & I WILL REMIND YOU OF THIS TOUCHING SPEECH🙏🙏🙏🙏 NIMESHUKURU🙏🔥🔥🔥
Thanks alot brother Joel nakubaliana nawe mia kwa mia, Mimi ujiamini sana kwa kile ninacho kifanya ata mtu hainiambia siwezi mi humwambia hayo ni maono yako wala sio yangu
Mimi naishi Marekani ila huyu jamaa ni Mwalimu wangu mzuri sana tangu nimeanza kumfuatilia mtazamo wangu wa maisha umebadilika sana . Thank you brother for your teachings ❤
Amen nilibadilisha maisha yangu kipindi fulanii kwa kuacha kufuata mpango nilikuwa nao na kuanzisha mpango mwingine ambao ulikujaa kuniumiza sana kiasi cha kupoteza ndoto na muelekeo wa maisha lakini ashukuriwe Mungu nimesimama tena na kujitafuta upya.