Ume improve kweli, zamani ulikua mjinga mjinga unamletea shobo Mwambino akuoe sijui mpaka unaenda kumroga na ulipo shtuka kuwa alikua anakutumia tu uka move on, na kuhisi ukidate na wanaume maarufu au wenye hela na wewe ndio utatoboa, sasa hv umejikita kwny mishe zako na mambo yanaenda
UZURI WA MTU UNAPIMWA NA UWEZO WA MTU KUWEZA KUJENGA FAMILIA NA IKAWA STABLE KINYUME NA HAPO BINADAMU HAUNA MAANA HATA UWEJE UTAISHIA KUJICHEKESHA LAKINI NDANI UNAUMIA