Тёмный
No video :(

WEMA SEPETU NA HAMISA MOBETTO WALIVYOMCHEKESHA LULU DIVA, STEVE NYERERE NA MAMA WEMA HAWANA MBAVU 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 83 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 дек 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@annafrancis5065
@annafrancis5065 2 года назад
Pole sana luludiva kwa kuondokewa na mama...ila nimependa sana hamisa na wema vile wamekua jaman kama mtu na dadaake wa damu ...I just love them
@annaumugisha5642
@annaumugisha5642 2 года назад
wema muzuri bwana.. pole sana lulu
@ashayusufu1284
@ashayusufu1284 2 года назад
Wema sweet mrembo 💥💥🔥🔥🔥
@mikyfosikama8752
@mikyfosikama8752 2 года назад
Mashallah wema, hamisa mobeto yani kama ambae amkotongozwa na mume mmoja hogereni sana
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 года назад
Mashallah umoja ni nguvu Mobeto, sepetu safiii kabisa
@tatyanamousa9736
@tatyanamousa9736 2 года назад
Amissa mzur bwan pol sn lulu div mung akupe moyo wasubra nimempenda wema anamfarij lulu div San mung awape upend wadaima allah amlaze mahal pema mama yet allahumma amin😭😭🤲🤲mtagazaj onger
@joselinecherotich4067
@joselinecherotich4067 2 года назад
Rip mum my condolences from Kenya pole diva be strong enough
@nurumanyota416
@nurumanyota416 2 года назад
Bila makeup ni wazuri sana ila makeup wana kuwa kama wazee
@kochamelleh2906
@kochamelleh2906 2 года назад
Umeona, kweli kabisa
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 2 года назад
Hawajiamini cjui kwa nini
@jocelyneinarukundo3655
@jocelyneinarukundo3655 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@shakylahamad8326
@shakylahamad8326 2 года назад
🤣😂
@faithjonathan3845
@faithjonathan3845 2 года назад
Mbona hawa wadada wazuri sana bila makeup jamani???🤨🤨Hamisa kazuriiii..wema kazuriii..waache vipodozi🥺
@queenandchill91
@queenandchill91 2 года назад
Mtu amefiwa...wapumbavu wako busy kuangalia kama amepaka make up au hajapaka.....wakati wa majonzi na kuhitaji faraja...Ndo watu huonyesha upumbavu wao...si lazima kusema lolote linalokuijia kichwani kwako...mengine mfunge midomo kama hakuna jambo zuri la faraja la kusema....
@leaherasto929
@leaherasto929 2 года назад
Wema mrembo sana
@ashayusufu1284
@ashayusufu1284 2 года назад
Tena sana🔥🔥👑
@asmaswalleh822
@asmaswalleh822 2 года назад
jaman Wema mzuri sanaaa
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 2 года назад
Katika uzuri hana labda iyo sauti
@asmaswalleh822
@asmaswalleh822 2 года назад
@@ukhtyrayyan7884 ninasema mimi ni mzuri snaaaaaaaa. no Filter no makeup
@millionsofreasons9806
@millionsofreasons9806 2 года назад
Kumbe mtu akifiwa uwa anacheka sometimes!? Msinitukane Mie nilikua sijui maana sijafiwa, mie nikadhani mtu uwa analia mwanzo mwisho mpaka kichwa kinauma
@hadijamwinyihija6465
@hadijamwinyihija6465 2 года назад
Mwenyezimungu n mkuu ameumba kusahau,na pia ni kukufulu kulia mda ote kwasababu tunaamn mungu hakosei,m niliifiwa na mamaangu sikua nauzuni saana siku ya mcba coz sikua naamn ila cku mbl mbele ndo kma nilikua nmetoka kupewa taarifa ya mcba yan jnc nilivyokua nalia lia kila wskt
@zainabukabis2510
@zainabukabis2510 2 года назад
unalia lkn wale wanaokufariji pale kidogo nawewe moyo unapata faraja sasa ngoja urudi kuzika watu wasambaratike mbaki wafiwa tu hapo ndo msiba unarud upya nakumba kwa baba yangu alipofariki ndo ilikuwa hvy
@rizikiruwa7116
@rizikiruwa7116 2 года назад
Pole lulu diva kwa msiba
@teresiamutua4487
@teresiamutua4487 2 года назад
Mungu amtie nguvu wakati huu mungumu luludiva
@helminaanthony1447
@helminaanthony1447 2 года назад
Pole da lulu kazi ya mungu hainana makosa,ila kweli wema anamoyo wa pekee sana nampenda sana wema
@samyranykadogo2684
@samyranykadogo2684 2 года назад
Bila unafki wema ni msichana mrembo sana
@kochamelleh2906
@kochamelleh2906 2 года назад
Make up uwakosea sana,wadada warembo naturally
@abokrarshamsan7963
@abokrarshamsan7963 2 года назад
Mm binfsi nimefurah kuwaon pamoja wadada wzur kama hv, mungu awape upend zaid🙏🙏🙏
@omanss268
@omanss268 2 года назад
Hamisa ni mzuri Sana bila mekup
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 2 года назад
Wema huwa ana utu Sana ila baadae hawakumbukag baadae
@gadilunga9307
@gadilunga9307 2 года назад
Poleni wafiwa wote
@carineniyera7788
@carineniyera7788 2 года назад
Hamisa mzuri sana
@azizaidd1998
@azizaidd1998 Год назад
❤❤❤jaman hamisa nawema
@bettyokito774
@bettyokito774 2 года назад
Wote ni wazuri❤️❤️❤️
@emiledanieli185
@emiledanieli185 2 года назад
Iv uyu diva ana sura ngap mehata simuelew
@rahmambwana1204
@rahmambwana1204 2 года назад
Amisa mrembo mashaallah kwa kifup wote warembo
@lynneamolo2777
@lynneamolo2777 2 года назад
No make up doh!.. Poleni sana
@shakilamohamed546
@shakilamohamed546 Год назад
Am very sorry to hear about your mom lulu I didn't know you but I just saw ur mom am sorry
@neemamarwa672
@neemamarwa672 2 года назад
Mungu awape upendo wenu udumu jan
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 2 года назад
Pore sana. Sisi wote njonjiya
@salomecaroly5534
@salomecaroly5534 2 года назад
Shilole sio kila sehemu kuropoka jmn
@magdalenapeter419
@magdalenapeter419 2 года назад
Jamani steve nyerere kasimama ktk shimo mbona leo namuona mfupi sana
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 2 года назад
Poleni sana lulu wema nawote mliofiwa poleni sana inna lillah wainna ilaihi rajiuon
@zulachama1067
@zulachama1067 2 года назад
Dar to Tanga how many kilometer?
@shukurubucumi3236
@shukurubucumi3236 2 года назад
Amisa nimulembo bilakujipodowa polesana lulu
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 2 года назад
Jamani huyu lulu nilijua muwarab kumbe ni mekap tu heee manaa uso unawesi wakujichubua hatari
@samyranykadogo2684
@samyranykadogo2684 2 года назад
Bila unafki wema ni msichana mrembo sana
Далее
KADANGANYA
10:21
Просмотров 201 тыс.