Asante hamisa mtoto mdogooooo busara ulonayo kuuuuubwa nakupenda misa mmwaaa HAKUNA BINADAMU ANAEPENDWA NA WOTE hahaha a HAYA SASA MSIOMPENDA HAMISA MNAEZA KUTOA MAPOVU ila yee ndo yupo na mondi wake Allah awasimamie waoane
siku zote nmekuwa nkisoma comments kwny video zinomuhusu Hamisa jinsi binaadamu wanavohukumu na kuchukia hata kama ni decent video.... hadi nmeshindwa vumilia.... ndio my first time to comment Leo Hamisa my dear sio kila mtu atakupenda dunia hii....usiache kuwa your old self kwa kuhofia walimwengu lengo lao ufeli loh! wapate wakucheke... jiamini and be urself.... ww mzr for Real....wala me cjaona tatizo lakuwa wakuandame kiac hiko... stay blessed always
I like the way she smiles, she's an intelligent lady with a dream and she's pointing far. May God bless this girl. Haters please keep off ! If Hamisa was your topic then let it be the story. Leave her alone.
mwanamke ulimi na mashallah unao❤Hamdellah na ukiwa na kauli nzur bwana Hakuchoki huskia raha kukuskiliza tu.. Allah akuzdishie kila lenye kheri kwako🔥👌
Hii couple ya hamisa na diamond aileti shangwe,,,,hamisa anajilazimisha tu kuwa na nasib ila sijaona love hapo,,kila kukicha muko kwa social media ,,ila sioni mahaba kati yenu,,,miss tzd na boss lady ndiyo walivunja record,,,ww unaiga tu
love u missah we CIO hela kusema upendwe na kila MTU,waache waongee wakimaliza wanalala hawakulipii kodi, wala hawakupi nusu ya unga ,love u moooooreeeee
jameni amepigwa, angekua hajapigwa angekanusha ile mbaya na angeangusha kicheko kama kawaida yake Ila kajibu kama hataki kuliongelea, hmmmm tumekusomaaa duuuh
Leo umeongea kibusara sana najikuta nakupenda na zaidi napendaga unapowakalia kimya watu wanaokusema vibaya hapo tu mama umejaliwa ustaarabu wakutopiga kelele hovyo kaza buti mama
Stuart Anna any woman hv sex is a malaya unless u were married by the man who broke ur virginity funny u r a woman n u r calling another woman prosititue God hv mercy on this she is a confused person
Ukiona mtu anamdhania mwenzake, mwanga au mchawi au mrogaji ujue hio kazi ameshaipitia na hwenda akawa na imani ya kishirikina na ndio maana kila anae muona anafanikiwa na kunyookewa mambo yake. Anafikiria ameroga km alivyo zoeya yeye huwezi kumdhania mtu kitu km huna uzoefu nacho .HasbunaAllah waniimal wakin ,ndugizangu dhana ni mbaya ni sawa na kumshirikisha M/mungu.