Тёмный

HARUSI YA JOTI: Mtoto wa Joti ameliza watu ukumbini 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 657 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 342   
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 7 лет назад
Jamani machoz Yamenimwagikaaa nikifikiria maugovi ya baba Na mama watoto tunakuwa Na Hali ngumu wapi tuegemee mungu awalinde Jamani Mtoto Ana kipaji cha kuimba
@dianaalice9434
@dianaalice9434 7 лет назад
Mama mpende mtoto uyo jman kama akupendavyo na machozi ya furaha ya mtoka God bless
@sophiakigombola9031
@sophiakigombola9031 7 лет назад
hongera sana kwa jambo la kheri ulilofanya. hongera kwa kuwa na binti mrembo so cute. kuhusu wimbo alioimba wwe n msanii unajua lugha ya usanii. tafuta cku tna usichelewe muulize kwa mapenzi na upendo. atakuambia ki2. Mungu awasimamie ktk ndoa yako. bi. harusi hongera umependeza. mapenzi uliyaonyesha cku hii yakawe cku zte ya maisha yako.
@christopherhaule908
@christopherhaule908 7 лет назад
I can't watch it anymore so touched...kweli joti anampenda huyu mtoto check alivyobadilika sura
@eliabumoses287
@eliabumoses287 7 лет назад
Vitu vyote ni sawa, panapo pendo, Kila sauti tamu, panapo pendo. Pana amani pale, na furaha nyumbani, Siku zote salama, panapo pendo. CHORUS: Panapo upendo, siku zote salama, panapo pendo. 2 Furaha i nyumbani, panapo pendo, Hapana machukizo, panapo pendo, Chakula ni kitamu, mashamba yasitawi, Maisha ni kamili, panapo pendo.
@lincraftinnovator8930
@lincraftinnovator8930 7 лет назад
Thanx for these wonderful lyrics
@donathanovath2959
@donathanovath2959 7 лет назад
Mungu amuinulie kipaji chake cha uimbaji ikibidi akamfanye kuwa mtumishi wake na awe wa kulitangaza neno lake kwa uaminifuAmina
@faridabakari8511
@faridabakari8511 7 лет назад
mashallah mabrook wallahi joti na mtoto ametumbuizaa smart😂😂😓😌amenifanya nimeliiaa xnaaa tuu akii mtoto love u sana
@saimonimloka4221
@saimonimloka4221 7 лет назад
farida bakari Kwan mama yake yupo au amefariki jmn!??
@faridabakari8511
@faridabakari8511 7 лет назад
Saimoni Mloka am in comfstn .....myb that awu awu awu ???
@saimonimloka4221
@saimonimloka4221 7 лет назад
inaumiza lkn 😔
@beatricemapembe8941
@beatricemapembe8941 7 лет назад
Mtoto mzuri sana. Mungu akulinde
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 7 лет назад
Uwiii nani kakata vitunguu pembeni yangu! That kid is a diva👌👌👌👌 So emotional....
@irenesisamo2184
@irenesisamo2184 7 лет назад
Jamani Joti Mungu awabariki mumlee mtoto huyu katika hofu ya Mungu
@roseirungo1950
@roseirungo1950 7 лет назад
Jameni bona huyu mtoto kalia hivi soo imotional there must be something hidden 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@anithakikalugaa7258
@anithakikalugaa7258 7 лет назад
Rose Irungo kabisa
@samwelkimaro7330
@samwelkimaro7330 7 лет назад
Uyu mtoto awezi kulia bila sababu ya msingi...kuna kitu kimejificha ..isikilizeni iyo nyimbo vizuri.
@namsamson3443
@namsamson3443 7 лет назад
Very sad hakuna mtoto asiyependa mama yake aolewe..ila huyu Bibi arusi pia amefanya vizuri sana kumkumbatia huyu mtoto na kumwambia everything will be alright
@annen3923
@annen3923 7 лет назад
jamani huyo mtoto kaniliza kweli. dah! Mungu akubariki mtoto na aibariki ndoa ya wazazi wako
@tumaininalaila2865
@tumaininalaila2865 7 лет назад
Mungu akupiganie mtoto Mzuri, unakipaji sn..Joti please kiendeleze hicho kipaji cha mtoto mpeleke THT akaongezewe ujuzi
@consolatamaarufu6762
@consolatamaarufu6762 7 лет назад
wimbo umeniliza mbona umelia Sana mtoto
@sallykanze
@sallykanze 7 лет назад
Beautiful gal,,joti you have a beautiful gal mashallah!!
@happymkasiwa5944
@happymkasiwa5944 7 лет назад
mtoto MUNGU akutangulie mama umenifanya nimelia jamani duh
@claraemmanuel4169
@claraemmanuel4169 7 лет назад
Mtt kaniliza huyu😭😭😭😭 dah!! Siku zote furaha palipo na pendo. Ndio hivyo mama yako hakumpenda baba yako alimtaman tu ndio na wewe ukatokea so sad.😢😢
@africanoupdateds9361
@africanoupdateds9361 7 лет назад
Daaa hivi vitunguu vina zingua. Sikati tena
@saimonimloka4221
@saimonimloka4221 7 лет назад
Mathias Kiyabo Kabisa asee
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Mathias Kiyabo 😂😂😂
@shaniatwilka5063
@shaniatwilka5063 7 лет назад
Mathias Kiyabo 😂😂😂😂
@imankawogo4
@imankawogo4 7 лет назад
unavituko nawe
@abrahamrehani4564
@abrahamrehani4564 7 лет назад
Jamn
@emmahazengaemmahazenga6531
@emmahazengaemmahazenga6531 7 лет назад
Waow mpaka nimelia
@groliasalila6589
@groliasalila6589 5 лет назад
Nimeumia sanah
@atukuzwemungudaimaariseand6156
Mungu akujali mtt ukue.vizuri
@kidotiali9414
@kidotiali9414 7 лет назад
Mashaallah uwache vituko sasa joti
@issadesmond477
@issadesmond477 7 лет назад
Ebu tumueshiemu mwezi mungu mumba wa vyote kweli unaweza funga arusi na ukiwa umenyolewa kiduku namna iyo mungu apendi km ivyo
@mammymammy241
@mammymammy241 7 лет назад
Jamani kichunaaa chaniliza mungu akufanyie wepesi
@gabrielmugabo9223
@gabrielmugabo9223 7 лет назад
Hongera sana JOTI
@jacklinegodwine3456
@jacklinegodwine3456 7 лет назад
hongeraa kwa huvuka hatua mmoja! munguu awatanguliee ktk Safari yenu
@elianamasonga8427
@elianamasonga8427 7 лет назад
Kwa kweli ameniliza huyu mtt daaah😓😓😓
@aliabemba2967
@aliabemba2967 7 лет назад
eliana masonga nikweliirenekaolewa
@yaaishbaybe9272
@yaaishbaybe9272 7 лет назад
Allah Barik
@ismailmsuya5129
@ismailmsuya5129 7 лет назад
Daaaaa safi hata nimejisikia kulia
@mwaijaramadhani6662
@mwaijaramadhani6662 7 лет назад
Kuna mda anawaza je mama huyu atanipenda kma mama angu na kuna mda anatamani angekuwa mama ake ndiyo anaolewa dah nyumba hizi ndo mna zimewekwa madrisha
@sallykanze
@sallykanze 7 лет назад
Kwani sio mamaake uyu jomon
@shaabanmusa5127
@shaabanmusa5127 7 лет назад
Mwaija Ramadhani Duh Neno hiloo
@lulukisinda5561
@lulukisinda5561 7 лет назад
siyo mamae
@jamilajamaljj7976
@jamilajamaljj7976 7 лет назад
Mashallah mtoto mzuri sana.
@ummimohammed1856
@ummimohammed1856 7 лет назад
Bilashaka mama mpya atakua mama mzur kwa mtoto huyu sio hoja kuolewa mamakemzazi ilimradi aloolewa na babake ndio mamake namuombea kila la kheri na wazazi wake wote waishi kwa upendo na amani na asimsahau mamake.mzazi pia.mungu ibariki ndoa yao na uwape umri.mrefu amin
@josephkulija293
@josephkulija293 22 дня назад
Siyo rahisi kwa mwanamke, ukweli utabaki tu wazi upendo wa mtoto uko Kwa mama yake mzazi pekee. Mtoto huyu ana maono ya mbali yenye ukweli.
@millykeru6821
@millykeru6821 7 лет назад
God bless pretty gal ,nimelia kweli
@kihanda2554
@kihanda2554 7 лет назад
Joti Peleka mtoto Studio huyo. Tena nakuamuru mkimaliza Fungate tu Raia tunataka Single toka kwa Huyo mtoto. Nyambafu Kumbe unatuchekesha kila siku na Ndani umeficha Kipaji. Tena weweeee 👉👉👉
@sallykanze
@sallykanze 7 лет назад
Ukweli mtupu uliongea
@pendogerald8942
@pendogerald8942 7 лет назад
jamani it z xo emotional it has touched me a lot, hongera joti kwa mtoto mzuri
@lilianmavika2757
@lilianmavika2757 7 лет назад
mempenda bibiharus kwamapenz yadhat nahuyu mtoto mungu akusaidie Dada uendelee namoyo huo inavyoonekana ata moyon upo hvy hvy mtoto ameniliza wallah
@halimkepa7766
@halimkepa7766 7 лет назад
Lilian Mavika mwanae jot hy nahy mama yake
@salomekadendula2878
@salomekadendula2878 7 лет назад
Mbona wanasema huyu ni mama yake mlezi?
@rosepiere1857
@rosepiere1857 7 лет назад
+Salome Kadendula ni mama yake mlezi mama yake mzazi alifumaniwa joti akamuacha
@mariamgululi7708
@mariamgululi7708 7 лет назад
kwakweli mtt umeniliza Pole kwa ulichokiwaza mpk ukalia kwa uchungu
@athumanimashango3204
@athumanimashango3204 7 лет назад
daah ujumbe mzuri
@magialbert9436
@magialbert9436 7 лет назад
ameni
@nabintukadende2388
@nabintukadende2388 7 лет назад
😂😭😍 God bless you little girl 👧😻🙏🙏
@blessedtwinsseke7161
@blessedtwinsseke7161 7 лет назад
mtoto una mafeelings ya hatari nimekupenda umenifanya nimelia eti daah nakupendaaa....
@zainabukalua6641
@zainabukalua6641 7 лет назад
Goz_B Bubex loo! umenishinda tabia hahahha
@lovenessgoodluck3486
@lovenessgoodluck3486 7 лет назад
Wanaume jamni ameiisikia vbya laiti angekuwa ni mama ake anawaza kuishi na mama wa kambo kazi sana mungu tu amsaidie mtoto
@alimaalima6016
@alimaalima6016 6 лет назад
Katoto ka smart mashallah
@bjzee1981
@bjzee1981 7 лет назад
yani joti be a strong man. acha mtoto a ishi na bibi yake au mamake mzazi. usije uka amini mama wa kambo ata kutunzia mtoto kama ambavyo angetunzwa na mama wake mzazi. never. ni wachache sana.
@athumanimashango3204
@athumanimashango3204 7 лет назад
ahsante kaka @millardayo
@merydonard7969
@merydonard7969 7 лет назад
mtoto kaniliza huyu roho yng imeuma tu kwa jinsi huyu mtoto anavyolia kwa hisia kari nmn hii, mwenyezi mungu akutie nguvu mtt mzur
@sophicatesalim9757
@sophicatesalim9757 5 лет назад
Be bless baby girl ata mm nimelia
@magrethjoseph2059
@magrethjoseph2059 7 лет назад
siku sote salama panapo pendo nawaombe mungu awabaliki katika ndoa yenu milele yote god son
@nurloy510
@nurloy510 7 лет назад
Duuuuh wazazi wenzangu niambieni.imeniliza kweli
@latifahissa1114
@latifahissa1114 7 лет назад
Dooh!!joti vichozi vinamlenga lenga
@fatmaali77
@fatmaali77 7 лет назад
Huyu mtoto ameniliza mpaka Mimi😭
@aminaabdallah949
@aminaabdallah949 7 лет назад
fatma ali kumbe tumelia wengi
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 7 лет назад
fatma ali kweli maskini wenye roho nyepesi kama zetu tukitazama hii vdeo huyo mtto anavyoimba utajihisi kutoa machozi tu, jamani hadi mie nimetoka machozi na vdeo sjaimaliza. Pia.anatia huruma hukumbuki kawaza kitu gani hadi nae akawa anatoa machozi.
@aminaabdallah949
@aminaabdallah949 7 лет назад
yan acha tu
@melodyanne3249
@melodyanne3249 7 лет назад
Waaaaaaah congrats
@elizabethnyika1421
@elizabethnyika1421 7 лет назад
Ujumbe sahihi kwa wakati sahihi,Ujumbe unahitaji rehema ya Mungu kuuishi hasa ukiusiliza na kuuutafakari kwa Moyo,{ @.furaha i nyumbani panapo pendo b,Hakuna machukizo nyumbani panapo pendo, c,E Yesu niwe wako wako kabisa ndopo patakuepo pendo nyumba, b.macho yanapendezwa na viumbe vya Mungu. nae Mungu huona panapo upendo, D.Vitu vyote salama panapo upendo} haya ni baadhi ya maneno ktk wimbo huu,
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 7 лет назад
So sweety jamani,anamwimbia Baba yake kwa hisia,anamwimbia mama ake kwa Upendo,anawatakia baraka katika ndoa yao,so sweety jamani
@angelklistofa4914
@angelklistofa4914 7 лет назад
Nimetoka machozi wallah mung akutie nguvu jot tizama sana mwanao
@enjobw5954
@enjobw5954 7 лет назад
Huruma sana kabisa
@goz-bbubex4466
@goz-bbubex4466 7 лет назад
😤😤😤😤toto kasepa na mpunga! Mi Cna Hata Buku!😱😱😱
@hildaedson7054
@hildaedson7054 7 лет назад
Goz-B Bubex hahahahha ww kaka chizi
@goz-bbubex4466
@goz-bbubex4466 7 лет назад
hilda Edson 😂😂😂😂😂😂😂
@zionmasawe7223
@zionmasawe7223 7 лет назад
ahhahhahah
@mammymammy241
@mammymammy241 7 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂
@farhatrajab766
@farhatrajab766 7 лет назад
Goz-B Bubex kabisaa asa tulie ya nn
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 3 года назад
Joti ana binti mrembo sana
@fatmat6883
@fatmat6883 7 лет назад
Aiseeeh mtoto ameniliza sana jamani mpendeni kwa mapenzi ya dhati .machozi yake yanathamani kubwa kuliko chochote hapa duniani.joti hongera kwa kumpata mke mwema tunakutakia kila la kheri.bye dadako mkenya na chat nikiwa dubai.
@preciousmoshi3392
@preciousmoshi3392 7 лет назад
mi sikuwa na mpango wa kulia ila comments zote zinalalama mtoto amewaliza basi nami nkajikuta nalia tuu
@nyakubhogamockey3073
@nyakubhogamockey3073 7 лет назад
Precious Moshi hahahahaha
@preciousmoshi3392
@preciousmoshi3392 7 лет назад
+nyakubhoga mockey hahaaa
@nanyihagabriel3968
@nanyihagabriel3968 7 лет назад
Precious Moshi hata mm comment zmenifanya nilie
@Yourhereforareason95
@Yourhereforareason95 7 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 dah
@joycejeremiah7570
@joycejeremiah7570 7 лет назад
Huhuhuhu na mimi
@consolatamaarufu6762
@consolatamaarufu6762 7 лет назад
nimetafakari mpaka nimekosa ucngizi jaman
@rahmabaigana
@rahmabaigana 7 лет назад
Yaan nimejiona na mie natoka machozi, Mungu ambariki huyu binti
@magynzioka1122
@magynzioka1122 7 лет назад
😢😢😢usilie atakupenda kama mama yako.na jua unavio fikiria mungu ata mwepusha na mabaya
@annuarygrace2926
@annuarygrace2926 7 лет назад
daa jamani huyu mtoto kaniliza sana hongera joti
@lulugama1547
@lulugama1547 7 лет назад
Mmmh jamani huyu mtoto ameniliza khaaa
@judithcharles5523
@judithcharles5523 7 лет назад
yuhu MTT asoma shule ya kisabato. kuleee heriteji
@mkamimatha2692
@mkamimatha2692 7 лет назад
haki ww Mtoto umeniliza Kwa ujumbe wako
@annasalumu1850
@annasalumu1850 7 лет назад
Wow mtoto yuko vizr
@sweetmama3242
@sweetmama3242 7 лет назад
Kwa kweli. Panapo upendo. Ooh..! Baba Mungu. 😢😢😢
@sophiajumah4808
@sophiajumah4808 7 лет назад
machozi yamenitoka wallah
@maryangela107
@maryangela107 5 лет назад
mtoto mzuri
@siwemamrema7955
@siwemamrema7955 6 лет назад
Jaman mtoto kaniliza sana wa mama jaman tuwapende watoto wa wenzetu
@kibakibamondisorry7293
@kibakibamondisorry7293 7 лет назад
Jamani
@rizikijaha8260
@rizikijaha8260 7 лет назад
Jamani ila niuzima hio style ya nywele ya bwanaharusi
@phaustaemma3327
@phaustaemma3327 7 лет назад
Riziki Jaha hahahahhaaa
@siznic2156
@siznic2156 7 лет назад
waah jamani 😭😭😭😭 mbona dogo anamachungu hivo duh chizi limentoka
@rahimalewe6280
@rahimalewe6280 7 лет назад
Mtoto ananiliza kweli
@babymarrycharlesjames5501
@babymarrycharlesjames5501 7 лет назад
mtoto kaniliza Saaaana
@daynesakulu3169
@daynesakulu3169 7 лет назад
Oh maskini mtoto ali waza nini mpaka afikie kulia? kama ali tamani ange kuwa mama yake kaolewa kweli.
@sallykanze
@sallykanze 7 лет назад
Kwani kulikoni
@asiamwarabu7510
@asiamwarabu7510 7 лет назад
Esther Mlebinge nami nahisi hivyo
@mishmish.2148
@mishmish.2148 7 лет назад
Waaaaaah machozi yamenitoka.
@mwanalelee6
@mwanalelee6 7 лет назад
ndo kwnz Leo nimemuona joti akiwa serious
@christinahaule9726
@christinahaule9726 7 лет назад
Duu hongera jot mwanao anakipaji
@nermayohane1046
@nermayohane1046 7 лет назад
duu,!motto anawaza atakavyogeuzwa kuwa housegirl
@shafiirajabu7395
@shafiirajabu7395 7 лет назад
Mashaallah
@shufaamohameed2603
@shufaamohameed2603 7 лет назад
Kawaza mbali sana mtoto 😓😓😓😓
@lovenesmsuya1755
@lovenesmsuya1755 7 лет назад
Da kweli yalizaaa
@beatricebarcos2626
@beatricebarcos2626 7 лет назад
Ameeen🙏🙏🙏nimelia walah
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 7 лет назад
😫😥😥😥😥 dah jamani vdeo hata sjamaliza kuiangalia nahisi machozi yanidondoka, mtto anatia huruma kweli, aah lkni mungu azidi kumpa moyo wa ujasiri, nae hapo kwa kutoa machozi alifkiria mengi zaidi kipindi cha nyuma babake na mamake walvokua pamoja, alitamani aone siku yao kama hio wakiwa wote wanafuraha.
@starshinemussa8326
@starshinemussa8326 7 лет назад
Touching
@christinearotso8837
@christinearotso8837 7 лет назад
daaa huu wimbo umenifanya hata mimi nilie aki.
@happinessmataluma1948
@happinessmataluma1948 7 лет назад
mungu awaongoze wapenz
@jamesmaleo3407
@jamesmaleo3407 7 лет назад
jam an😭😭😭 hiv huyo mtoto Hana mama au imekuwaje jaman maana sio kwa kuimba kwa uchungu wa namma hiyo
@danielmsangi7271
@danielmsangi7271 7 лет назад
Nimependa mtoto kaimba Kwa hisia kweli jaman tuudhamin upendo jote uache kuchepuka
@helenagidion1017
@helenagidion1017 7 лет назад
jote msikilize vizuri mwanao Wenda kunajambo nyuma ya pazia
@ezzeadam3723
@ezzeadam3723 7 лет назад
Ongela sana joti
@evangeliquehb4640
@evangeliquehb4640 7 лет назад
ooooo she makes me cry
@halmasaidi6688
@halmasaidi6688 7 лет назад
mtoto kaniliza duuh
@pepechombwe9214
@pepechombwe9214 7 лет назад
Duuuuuh basi bhana
@evelynejuvenary6077
@evelynejuvenary6077 7 лет назад
Toto umeniliza, bila shaka Kuna jambo moyoni mwako linalokutoa machozi mama, baba na mama wanakupenda mwanangu acha kulian
@aminaally93
@aminaally93 7 лет назад
Dah nmelia ucku huu mtt umeniweza hongera jmn
@afrarugakingira5862
@afrarugakingira5862 7 лет назад
Nimejikuta nalia ka nimepigwa jaman...kweli nyoka hawezi kuzaa simba
@Tiffany340
@Tiffany340 7 лет назад
mweeh nalia eti
Далее
VIDEO FUPI: Harusi ya Joti Kanisani
14:07
Просмотров 13 тыс.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 121 тыс.
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 358 тыс.
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52