Kijana huyu wa makamo kutoka Kenya anatusimulia jinsi biashara yake ya tofali za kuchoma inavyomnufaisha kuendesha maisha.
Tom Kitiabi ametueleza siri ya mafanikio, wewe hapo ulipo unazingatia vitu gani kufikia ndoto za maisha yako? Tueleze kwenye maoni
30 янв 2020