Washikaji ninyi ambao mko US mwishoni mmebadiri mada hivi mnajua kwamba walio nyumbani walihitaji sana info mahusus? Ko hamkumbuki walio Om mnakalia kumshauri apandishe bei 😂😂😂😂😂
Habari. Nimesoma certificate ya Information Technology, nahitaji kusoma Diploma ya Information Technology. Naomba msaada wako. Niwe na Documents gani? Ada bei rahisi ni kiasi gani? Hostel za bei rahisi sana ni bei gani?