Habari. Nimesoma certificate ya Information Technology, nahitaji kusoma Diploma ya Information Technology. Naomba msaada wako. Niwe na Documents gani? Ada bei rahisi ni kiasi gani? Hostel za bei rahisi sana ni bei gani?
Je kimfano umeingia marekani na ukapata demu mukakubaliana kufunga ndoa,na ukamueleza ukweli kuwa una mke mwengine Tanzania au kwenye nchi yako,ila yeye akarizika hivyohivyo je hapo inakuwaje km kwa upande wa serekali ya marekani?