Тёмный

HATUWEZI KURUHUSU HALMASHAURI ZIAJIRI WALIMU KWA SABABU - PM MAJALIWA 

Daily News Digital
Подписаться 226 тыс.
Просмотров 179
50% 1

DODOMA; WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema halmashauri zenye uwezo haziwezi kuruhusiwa kuajiri walimu, kwani kufanya hivyo kutasababisha baadhi ya halmashauri ambazo hazina uwezo kukosa watumishi.
-
Ametoa kauli hiyo bungeni leo Juni 6, 2024, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Bahi, Kenneth Nollo, kwenye maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, aliyehoji kama Serikali haioni busara halmashauri zenye uwezo kuajiri walimu ziruhusiwe kuajiri ili kukabiliana na upungufu wa walimu.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
How to win a argument
9:28
Просмотров 607 тыс.
WAZIRI MKUU APANGUA MASWALI KONKI YA WABUNGE BUNGENI
28:16
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16