Wa3 anaitwa Sizya!! Nae ndio mkubwa jmn au? Maana tunasikia Maisemore isemwayo wa kwanza atakua wa mwisho😂😂 nina imani Sisya ndio wa kwanza kutengenezwa aknafata doto akamalizikia kulwa👀ndio maana kaanza kutoka kulwa!! Wanasayansi hp msaada wenu tafadhari!