Тёмный

HAWA NDIO WANANYAMA 10 WANAOUA BINADAMU WENGI ZAIDI DUNIANI, WA KWANZA ATAKUSHANGAZA 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

#ICHUKUEIACHE #CLOUDSDIGITAL
HAWA NDIO WANANYAMA 10 WANAOUA BINADAMU WENGI ZAIDI DUNIANI, WA KWANZA ATAKUSHANGAZA

Опубликовано:

 

29 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 47   
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 2 месяца назад
Binadamu binadamu ndiyo wanaongoza akuna mwengine.
@BARAKAMzinga
@BARAKAMzinga 2 месяца назад
Hapo kweny inge umetuchota
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 месяца назад
Kiboko na Mamba nilijuw ni majini tuu wakija nchi kavu wanakuf kumbe siyo Eee Mungu bora sikuwh kukutan nawo ningekuf kipuuzi
@ALBATWA5-zh4zk
@ALBATWA5-zh4zk 2 месяца назад
Hapo kwa mbu umetupiga bro
@Vordmusic
@Vordmusic 2 месяца назад
Mmbu ni mnyama au mdudu
@Obertan_coolkid-04_
@Obertan_coolkid-04_ 2 месяца назад
Sawa lkn idadi watu ni kubwa sana bro😮
@pitosjuma7224
@pitosjuma7224 2 месяца назад
Nilikuwa sijui kama mbuu ni mnyama
@sophiakipeto4436
@sophiakipeto4436 2 месяца назад
😅😅😅
@jamespetro3014
@jamespetro3014 2 месяца назад
Kwa idadi hiyo boss mwaka ungekuwa unaisha dunia pia wameisha hapo hujaweka ajari ,magonjwa ,+ hao wanyama dunia nzima mwanaka ukiisha na binadam wanaisha punguza idadi kaka
@ayapoa
@ayapoa 2 месяца назад
😅😅😅 kwakweli kama hapa Tz tungekua tumeisha kabisaaa
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 2 месяца назад
​@@ayapoawajinga nyinyi maanayake kwawanyama wote dunian
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 2 месяца назад
Ila kuna wengine wanazaliwa kila mwaka wengi kuliko wanaokufa!
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 2 месяца назад
Shida mnashindwa kuelewa kinachozungumzwa dah! Mnakulupuka tu, hapa hajasema sababu zinazouwa binadamu kwa wingi ila ametaja sababu za wanyama wanaouwa binadamu kwa wingi.
@aminnoour4788
@aminnoour4788 2 месяца назад
Nikuulize wewe unajua bina adamu kwa siku wanazaliwa wangapi ?
@JossephSimon
@JossephSimon 2 месяца назад
Fanyen takwemu yenu iyo vizuri kwasisi tunaokaa sana maporin akuna mnyama hatari sana kuliko wote kama nyati na nyoka hao ndowanyama hatari sana nakuja huku nashanga kusikia nyati hawapo hata kwenye top 10
@Singa-rw9vq
@Singa-rw9vq 2 месяца назад
Singa country tanzania
@Singa-rw9vq
@Singa-rw9vq 2 месяца назад
Singa country tanzania
@rutimarlon
@rutimarlon 2 месяца назад
Mbwa nyinyi tokeni uko
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 2 месяца назад
Mh mbu ni mnyama
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq 2 месяца назад
good video
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 2 месяца назад
Umesahau mnyama mwanamme😢
@keitatv9219
@keitatv9219 2 месяца назад
Unatuokota
@AgueroBoaz-ei5qt
@AgueroBoaz-ei5qt 2 месяца назад
Tafta ya kutangaza chenga
@SikituLusato
@SikituLusato 2 месяца назад
Me getto wapo kibao hao Mmbu
@GeofreySambu
@GeofreySambu 2 месяца назад
Kwani mbu na mende wako kwenye kundi la wanyama?
@keitatv9219
@keitatv9219 2 месяца назад
Mmbu n mnyama
@ayapoa
@ayapoa 2 месяца назад
😅😅😅😅😅😅
@jamespetro3014
@jamespetro3014 2 месяца назад
Kaka mbu ni mnyama kumbe siyo habari ni comedy
@mohamedsalum591
@mohamedsalum591 2 месяца назад
kasome bios then utaelewa
@LizenMaker
@LizenMaker 2 месяца назад
Ni hatar
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 2 месяца назад
Kwenye mbu jombaa umechemka, mbu sio mnyama na hayupo kwenye kundi la wanyama kwa aina zote, nyoka anaweza kuwa kwenye jamii ya mnyama sababu wapo nyoka hawatagi ila wanazaa, mbu ni mdudu. Hivyo hausiki kwenye hii orodha.
@seniorkweyunga-xl1ip
@seniorkweyunga-xl1ip 2 месяца назад
Ww ndio umechemka ndugu mbu ni mnyama sema yuko kwenye kundi la wadudu,kiufupi tu kuna aina mbili za viumbe hai yaan mimea na wanyama sas swal kwako mbu ni mmea au manyama
@Vordmusic
@Vordmusic 2 месяца назад
Sasa binaadam ni mnyama😂😂
@user-fi6hb3lp5y
@user-fi6hb3lp5y 2 месяца назад
Shehe mbu ni mdudu na sio mnyama ham Rudi while Basi ili uje ule mb zetu kuliko kujiongopea mpaka wewe mwenyewe
@Aluminiumdoctor255
@Aluminiumdoctor255 2 месяца назад
😂😂 na meno ya kiboko kasema mita na nusu
@Aluminiumdoctor255
@Aluminiumdoctor255 2 месяца назад
Hivi nge, mende na mbu ni wanyama?🤔
@user-rx7te2px5d
@user-rx7te2px5d 2 месяца назад
Kuwa makini ssna mtangazaji,mbu sio mnyama
@mohamedsalum591
@mohamedsalum591 2 месяца назад
viumbe ai ni mimea na wanyama kwa hiyo ukiacha mimea viumbe vyote vinavyo baki ni wanyama but na wamegawanyika makundi kibao
@user-rx7te2px5d
@user-rx7te2px5d 2 месяца назад
@@mohamedsalum591 sijui nikujibu au basi...
@naftaliiddi4780
@naftaliiddi4780 2 месяца назад
Ila m’mbu si mynama bali mdudu
@AfricanSmile
@AfricanSmile 2 месяца назад
Mbu sio animalia broo, ni insect uyo
@joebinarysignals
@joebinarysignals 2 месяца назад
Mnatudanganya, kiboko ndo mnyama anayeongoza kwakuua binadamu kuliko mnyama yeyote mbugani, sasa tembo na mamba wanakujaje? Tabia ya kiboko anaua usiku na anaua akikuta mtu anapita kwenye njia yake, na tabia yake hua akianza kukimbiza hawezi kukuacha lazima akukamate, huyo ndo kiboko, did you know?
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 месяца назад
Kwan kiboko anaishi kweny maji na nchi kavu makubwa sikuw najuw hili najuw only kweny maji
@ASALABOY
@ASALABOY 2 месяца назад
Kwani uyu s Adam mchonvu ayo umeyatoa WAP Kaká?
@johnsalehmat5856
@johnsalehmat5856 2 месяца назад
Kuna sehemu unaongea ukweli ila uongoo umekuwa mwingi hapo kwenye idadi ya vifoo 😂😂😂😂😂
@andrewmallya1704
@andrewmallya1704 2 месяца назад
Utafit bri
@jenipherjackson3826
@jenipherjackson3826 2 месяца назад
nyoko wew najuta kutumia mb zangu kiskiliza uongo wako ivi unadhn wote ni wajinga kama ww😂😂😂
Далее
Crossing the Most Dangerous Crosswalk
00:24
Просмотров 7 млн
LIVE: SPORTS XTRA
Просмотров 202
SNAKE BOY | ep 28 | SEASON TWO
40:50
Просмотров 523 тыс.
Nisingekuwa Chris Mauki Bila Harris Kapiga
5:57
Uchambuzi kuhusu mabadiliko ya Baraza la Mawaziri
23:40