Duu kumbe bilioni 1.9 unaweza kujenga ghorofa kubwa hivyo ghorofa tano tunasikiaga maghorofa mengine gharama bilioni 60 bilioni 15 ya mjini hapa dar es salaam
Kipindi chetu tulikuwatunajuwa golofa ya NDITUYE pekeyake ndio ilikuwa gholofa kubwa mpaka naondoka Kasulu kuja Dar es salaam niliacha gholofa ya Ndituye ndio kubwa 😢 Nimepamis nyumbani lakini maisha hayana fomula