Тёмный

HII NDIO SABABU YA MRISHO MPOTO KUTEMBEA BILA VIATU... 

TimesFMTZ
Подписаться 533 тыс.
Просмотров 753 тыс.
50% 1

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Развлечения

Опубликовано:

 

5 июн 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 918   
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 6 лет назад
Amen Amen. Leo nimepata mfuasi wangu. Siku zote nawambia watu pesa aishiki dunia bali pesa ni sehemu ya matumizi ya mwanadamu. Mungu ndiyo ameshika dunia. Amen.
@dominafredrick7999
@dominafredrick7999 Год назад
Q😊
@geofreychambua2560
@geofreychambua2560 6 лет назад
si kwamba mjomba havai viatu............anavaa viatu vya kuzaliwa (soli ya Mungu)
@deograsiakigodi6701
@deograsiakigodi6701 2 месяца назад
🤣🤣😂😂 umetisha san
@HamadAbdul-mw3jm
@HamadAbdul-mw3jm 22 дня назад
Hongera sana mjomba Mrisho Mpoto,mimi nakubali kazi yako,maneno yako ni ya uhakika.
@gasperkiwo8279
@gasperkiwo8279 5 лет назад
This guy is intelligent, the issue of shoes he is talking about is true,walking bare feet has importance in our life, sometimes is good to practice this.
@oyugikwasi1667
@oyugikwasi1667 3 года назад
As an African who understands tradition,culture and religion we mpoto iko sawa!!!
@fatumantirampeba8186
@fatumantirampeba8186 2 года назад
Mjombaunasemakweli
@thabitmohamed8744
@thabitmohamed8744 6 лет назад
Binaadam asili yake ni udongo lazima uwepo uhusiano wa binaadam na ardhi kwa chakula na kuikanyaga kams asemvo mjomba,Big up kwako
@rabbithare381
@rabbithare381 3 года назад
Very very true... We have to release all the electromagnetic static & releasing the negative energy back to the ground instead of recycling it back into our system.. .He knows what he's talking about except the part where he gives the theory of dead bodies giving back their talents back.....
@fredmankaingu4172
@fredmankaingu4172 6 лет назад
Mpoto hio akili nikubwa sana, umewajibu wambea hao, mungu akuneemeshee neema
@anwarjamal5066
@anwarjamal5066 6 лет назад
Mjombaa waambie ukweli vijana wasikuhizi na Mungu akuzidishie Ameen
@swalehmwamazola7100
@swalehmwamazola7100 6 лет назад
Kicheko chako dida rekebisha akionyoshi umakini wa kazi yako . PUBLIC
@magaraombogo7335
@magaraombogo7335 4 месяца назад
Somo lako niko ndani darasani i say mjomba😊
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Mjomba bhana, 😂😂😂😂 haya bisheni, ndio kwanza leo najua mjomba ni mwislam, hongera sana Mjomba.
@yosefalkhalil6112
@yosefalkhalil6112 6 лет назад
Saumu Hassan kumbe wasanii wengi ni waislamu mm pia sijui wallahi leo nimejua
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Yosef Alkhalil Wallah, nina mwaka kama wa kumi na hivi, ndio nimejua kupitia hii video kuwa mjomba ni Mwislam.
@petronasor23
@petronasor23 6 лет назад
ok
@mtoto_wa_kiba79mo_fayatz76
@mtoto_wa_kiba79mo_fayatz76 6 лет назад
Hivi umeshaambiwa Anaitwa MRISHO,MRISHO anakuwaje Mkristo,....yaani wamekosea sana kuuliza hili swall wallah....Halikuwa na Faida
@abdulramadhan981
@abdulramadhan981 6 лет назад
Nimuislam tena thabiti last year Alifuturisha..kwake Mbgl.Kuu kichemchem..ithnk thc yr pia..
@lamickwazanzibar863
@lamickwazanzibar863 3 года назад
Mjombaa asantee nikwelii yanii natamani ningekua karibuu unifundishee. Kitu daah
@jackmwakalunde2808
@jackmwakalunde2808 4 года назад
Kama umexikia mjomba hana masiala kwenye mambo yetu gonga like
@Elijahfondo.
@Elijahfondo. 4 месяца назад
Mjomba salute ww unaweza unatufunza mengi 🤲🤲💯
@panadomadola3064
@panadomadola3064 3 месяца назад
Igwe igwe igwe ,isweno hahahahah da ! Mmenifurahisha
@heriethkambanyuma6835
@heriethkambanyuma6835 5 лет назад
😂😂 sijui mnani elew 😂 gong like tulisongeshe
@ceikai5722
@ceikai5722 6 лет назад
Scientifically he is very right. Stay grounded.
@suzanaelia7084
@suzanaelia7084 5 лет назад
Hakika unastaili kuitwa mjomba 👏👏👏💪💪💪😘😘😘
@bonventrychevai5183
@bonventrychevai5183 2 месяца назад
Mjomba nakupenda bure tokana na ucheshi, ubunifu na nasaha katika jamii si kuimba tu🇰🇪🇰🇪👏
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 6 лет назад
Mjomba mifumo ya maisha imebadilika
@azizisalamanda7194
@azizisalamanda7194 6 лет назад
Safi sana mjomba kwa maneno yako
@badboy2577
@badboy2577 6 лет назад
Mrisho Mpoto du! Leo niekuelewa sana.Mila zetu ni muhimu tuzifuate.Zina thamani zaidi ya hela
@kendajoseph3693
@kendajoseph3693 4 года назад
Nimeipenda hiyo mjomba, wanaume siku hizi wa vivu sana tena sana
@stevenpaul4818
@stevenpaul4818 6 лет назад
Kila mtu ana lifestyle yake KWAHIYO mjomba yupo sahihi kabisa Keep up mjomba
@sulejiTv
@sulejiTv 6 лет назад
Yesu mwenyewe Ali Vivaa Mtume Mwamadi pia Ali Vivaa Sasa wewe je? kapambane Na miungu yako uko.
@luqmanhakeem3685
@luqmanhakeem3685 6 лет назад
Kutembea bila viatu ni alama ya qiama
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 6 лет назад
Yesu hakuvaa viatu altembea na malapa open shoe's .na hata kafya damu huzunguka vyema mguuni kwa aliyevaa malapa kukiko alebana muguu kwa Sox ma viatu vya kufunika
@wlkmwlkm2912
@wlkmwlkm2912 6 лет назад
Ulimuona huyo mtumee
@ashelimihila7242
@ashelimihila7242 6 лет назад
nyooooo
@judithmkopoka9290
@judithmkopoka9290 6 лет назад
hahahahahaa
@waheedaw1953
@waheedaw1953 Год назад
Mjomba uneasema kweli kabisa maneno yako MashaAllah nakuunga mkono
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 2 месяца назад
Asante sana kwa kutufundisha mjomba mpoto ❤❤❤❤❤❤
@wilingsonadam6388
@wilingsonadam6388 3 года назад
Yesu tu alikua na sendos
@EvangelistJsolomonMkwata
@EvangelistJsolomonMkwata 3 месяца назад
Wapi imeandikwa kuwa yesu alikuwa na sola
@user-px7ef5oc2x
@user-px7ef5oc2x 2 месяца назад
Yule sio yesu ni muvi ile
@regnaldobadia753
@regnaldobadia753 4 года назад
Hiyo akili ya mpoto ni faida ya kutembea bila viatu yaani kapata vipawa vya walioshindwa kuvitumia wakafariki jamaa hatari huyu kama tupo pa1 nipe like embu.
@syliviaibrahim5315
@syliviaibrahim5315 Год назад
Kweli mjomba
@saidajabu9289
@saidajabu9289 11 месяцев назад
😊
@mabujuma9355
@mabujuma9355 9 месяцев назад
​@@syliviaibrahim5315😂😂
@Duniakuu25
@Duniakuu25 3 месяца назад
Ni kweli ata mtume mohmad alikuwa havai viatu lkn alikuwa na tarent nyingi kichwani
@omarndege811
@omarndege811 11 месяцев назад
💯😂😂 dida upoo 👍 habari ndio mjomba mjomba mrisho mpoto wape vdongee, wakomeshe ubishi nakubalii😂😂😂💯
@cedratjaivu8905
@cedratjaivu8905 6 лет назад
Duh mjomba io iman nimeipenda... 🙌🙌🙌
@dianashemakulenge6878
@dianashemakulenge6878 6 лет назад
Nakupenda mjomba hahahaha nmekupenda bure
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 5 лет назад
Getting charged: The benefits of earthing can be especially important in our modern society. "We wear artificial fibres and shoes all the time and indoor spaces are carpeted with synthetic materials," says McFarlane. "We are very isolated from the earth's environment and this means we slowly but surely build up an electrical charge. Not everybody is going to benefit from earthing, but there does appear to be some truth in the concept and [it] warrants further research. "Our nervous system is electrical and you really only need slight alterations to your [body's equilibrium] over long periods of time to have health effects." The best way to release the accumulated charge is by taking our shoes and socks off. "Walking barefoot on moist earth makes better electrical contact with our bodies and hence allows discharge [earthing]," says McFarlane, who adds that earthing may feel strange initially. "Because we constantly wear shoes, our feet are soft and we don't like that feeling of pressure."
@tinagorges3741
@tinagorges3741 6 лет назад
Shukrani sana kwa somo ni sahihi kabisaa
@nasryomary6203
@nasryomary6203 4 года назад
Mjomba anaongea point sana love you so much
@SimuliziMix
@SimuliziMix 6 лет назад
mbali na kufurahi ....nimepata uelewa .....I am Me...😍😍😍😍😍
@zainabswaleh4907
@zainabswaleh4907 6 лет назад
Hahaaa
@jacksongithae5173
@jacksongithae5173 6 лет назад
Nimekuwlewa mjomba 101%
@MhamooodmoMhamooodmo
@MhamooodmoMhamooodmo 4 года назад
😂😂😂Nimecheka kifalankweli. sijuwi mnanielewa 😁🏃🏃🏃
@zainabguthera7923
@zainabguthera7923 6 лет назад
Masha Allah we love u mjomba+974 following u.
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 года назад
Nikimualika mjomba Ulaya wakati wa baridi (winter) hataweza kwenda bila viatu. Viatu ni stara na ustaarabu kutokana na mazingira. Sitoweza kuingia kwenye choo cha Mswahili bila viatu.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Kabisaa na kuna vyoo vingine ni vichafu sana,bila viatu jmn haiwezekani
@sbchris2277
@sbchris2277 3 месяца назад
Yeye ni mu Africa
@SimuliziMix
@SimuliziMix 6 лет назад
Me nimevunja kitanda tafadhali 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀kila siku nachomelea😁😁😁😁Alhamdulillah nimefurahi kiukweli
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 6 лет назад
Simulizi Mix Duuuù
@edwardkachwele7299
@edwardkachwele7299 4 года назад
Inategemea kiwango cha kitanda chako, jaribu kuuvunja mkongo au mninga utavunjika mgongo tu ,hizi mastory hakuna mpya
@geoffreyluckson8866
@geoffreyluckson8866 6 лет назад
Asante mjomba upo sahihi..sana..
@annyrutty657
@annyrutty657 4 года назад
Amna ukwel wowote hayo maneno tu😌et mtu yupo kny shughul anachat 😂
@nasibumbiro5526
@nasibumbiro5526 6 лет назад
Mambo ni 🔥🔥🔥
@christophermlaponi534
@christophermlaponi534 4 года назад
Mmm, sina hakika na majibu hayo kama ni geunine au la ! Ila kuvua viatu kabla ya kuingia ndani siyo lazima, hiyo utegemeana na mambo yafuatayo; 1. Aina ya nyumba, 2. Aina ya watu, 3. Mazingira, 4. Mfumo wa maisha nk ! Maana kulingana na hayo manne hapo juu, basi kuna wengine wakitoka kazini, anashuka kwenye gari yake na kuingia sebuleni, then jikoni nk bila kuvua viatu, yaani mazingira yake, mfumo wake wa maisha nk vinaruhusu !
@leonardfrednand6810
@leonardfrednand6810 3 года назад
Anatuchanganyat
@geraldtarimo2550
@geraldtarimo2550 2 года назад
Mchawi wewe
@johnmamba682
@johnmamba682 2 года назад
Anasema pale unapovua viatu unajisikiaje?
@amanipriva6055
@amanipriva6055 Год назад
Kwan hvyo viatu unalal navyo o
@amanipriva6055
@amanipriva6055 Год назад
Lazma uvue tu
@mansalu112
@mansalu112 6 лет назад
mjomba nakukubali miaka yote mungu akujalie miaka mingi tutafahamu mengi kupitia wewe mjombaaaaaaaaaaaaa
@AdelaMusa-ut5mx
@AdelaMusa-ut5mx 3 месяца назад
Mjomba mi ndo yule mpwa wako adela nakubali maneno yako
@salomepwele4962
@salomepwele4962 4 года назад
Tunakuelewa mjomba, mzee wa nyumba ni choo. Eti kitanda sita kwa sita kuna ndoa hapooo
@yoeljaphet4557
@yoeljaphet4557 6 лет назад
Wazee wetu walikuwa wanachomeka mkuki nje wanafunga mlango watu wakigonga wanaambiwa tumesafiri 😁😁😁😁😁😁😁😁Mjombaa hapo nimekuelewa
@bilalbinali1227
@bilalbinali1227 6 лет назад
Noel Mbwilo 😂😂😂wameenda kwenye shuhuli
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 6 лет назад
Noel Mbwilo ndo kamaniisha nn
@kitonekantasha1687
@kitonekantasha1687 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@yoeljaphet4557
@yoeljaphet4557 6 лет назад
Kitone Kantasha1 😁😁😁😁cku hizi ukiwa romantic ya mkeo mara jirani anagonga kuja kuazima chaji ya smartphone
@yoeljaphet4557
@yoeljaphet4557 6 лет назад
Bilal Bin Ali .😁😁😁😁😁
@sidebale3163
@sidebale3163 6 лет назад
kwl ww mjomba you deserve one love
@shamumaabdala6341
@shamumaabdala6341 3 года назад
Penda sana kaka mpoto wa kunyumba ,ruvuma kwetu
@standardtv3494
@standardtv3494 6 лет назад
Ingekuwa kutembea peku unapata hizo taranta basi waokota makopo wangekuwa nazo nyingi maana wanatembea mpaka kwenye mabwawa
@josephmwachalula6134
@josephmwachalula6134 6 лет назад
fabian sylivestet nimecheka mnoo kaka. Ila kweli kabisa. Taranta za kuokota pekupeku nazisikia kwa Mpoto
@aminakawiche6867
@aminakawiche6867 5 лет назад
hahahahahaaaaaaa
@jeremiajuma9659
@jeremiajuma9659 5 лет назад
standard TV unajitahidi kutembea bila viat
@fremwamedia1976
@fremwamedia1976 6 лет назад
Mmmhh!!! Ni imani yake ,kuna watu wanamini kuwa ng'ombe ni mungu .
@ruthogungo
@ruthogungo Год назад
😂😂😂😂😂😂😂
@elizabethmwandu9899
@elizabethmwandu9899 6 лет назад
Mmmmhu hili la kuvaa viatu maelezo yako sijayaelewe sio kutokuvaa viatu labda umepewa masharti sehemu fulani hivi amazing ila hapa unataka kutuzuga tu. Hayaaaa yetu macho.
@user-xj3ss3rq9n
@user-xj3ss3rq9n 4 месяца назад
Mfano mjomba bint anajarbu mara Moja tu. Tyari mjamzito tunatumia Uzaz wa mpango Uzaz upon sana maisha magumu mjomba..
@edgarngomani8208
@edgarngomani8208 6 лет назад
noma sana
@asumaniwilongela1310
@asumaniwilongela1310 5 лет назад
mtukutokuvaa viatu nimasharti aliyopewa muachekudanganywa uyomuongo kweli😂😂
@mariakilimo5577
@mariakilimo5577 3 года назад
Na ww kapewe mashart
@mariakilimo5577
@mariakilimo5577 3 года назад
Na ww kapewe mashart
@omarndege811
@omarndege811 4 месяца назад
💯 nakubaliana. Na. Mjombangu. Mrisho. Aisei. Yupo. Sahihi. Maneno. Anayo yasema. 🤝
@millyisiji3577
@millyisiji3577 6 лет назад
😂😂😂😂Nimependa sana
@idrisarashidi7453
@idrisarashidi7453 4 года назад
😂😂😂😂 hii ni interview ya mwakaaaa
@kissjohantho6722
@kissjohantho6722 6 лет назад
ivi sijui mnanielewaaa😂😂😂
@fofomohammed6253
@fofomohammed6253 6 лет назад
Johnny Anthony 😂😂😂
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 6 лет назад
Nakuelewa sana mjomba
@dicksonbakari5679
@dicksonbakari5679 4 года назад
Johnny Anthony MN
@mariaamosy2701
@mariaamosy2701 4 года назад
Mjomba nimekuelewa sn kwa somo😅😅😅😅Jmn mjomba
@nassorojuma6250
@nassorojuma6250 6 лет назад
Apana chezea mjomba 👏👏👏👏👏
@aishahassan9211
@aishahassan9211 6 лет назад
Goli moja tu hoihaaaaahaaaaHaaaa mjomba mbavu zangu miee
@tysonmichael7322
@tysonmichael7322 5 лет назад
Umecheka mwenyew yaan mmh
@hussenadam5143
@hussenadam5143 5 лет назад
Aisha Hassan ooo
@semhineshauri3410
@semhineshauri3410 5 лет назад
Did you know that you can benefit a lot by walking barefoot? When your bare skin comes in contact with the earth directly, the negative ions present in the earth can help balance the positive ions in your body and this will improve your health in many aspects. Many of us have read or heard that there are pressure points in our body. When we walk barefoot on sand or on grass, the pressure on our foot activates the acupuncture points. This in turn, energizes our body and improves our health.
@maikofrae560
@maikofrae560 4 года назад
Mjomba mm namwelewa Sana maneno yake
@jovinabunyomyo3993
@jovinabunyomyo3993 6 лет назад
doctor kimbuka basi shemeji yetu Leo hapumui😂😂😂😂😂😂😂😂
@vanessadahnilly8551
@vanessadahnilly8551 6 лет назад
Sijui mnanielewa lakini 😂😂😂😂😂 tuna kuelewa mjombaaa
@bantuempress1744
@bantuempress1744 6 лет назад
😂😂😂😂nmecheka kishenzi
@vanessadahnilly8551
@vanessadahnilly8551 6 лет назад
chriss cherry hunishindi mimi sijui unanielewa? 😂😂😂😂😂😂😂
@mbunahchannel2179
@mbunahchannel2179 6 лет назад
rahaaaaa
@InnohubGroup
@InnohubGroup 6 лет назад
Vanessa Dahnilly 😂😂😂😂😂😂
@sadaabdallah1641
@sadaabdallah1641 6 лет назад
Vanessa Dahnilly hahahaahaa
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 6 лет назад
mjombaaaaaa👊👊🔥
@allybanda8252
@allybanda8252 6 лет назад
Johnson Chonja p
@omarndege811
@omarndege811 11 месяцев назад
Mjomba hongela kwa majibu yako ,
@anesmusbuchichi2555
@anesmusbuchichi2555 5 лет назад
Mjombaaa ,,,napenda nyimbo zako
@fklouisviutton9424
@fklouisviutton9424 6 лет назад
Hapo ndipo mjomba!! Support 💯 🇰🇪
@akhuiramamzuzu7130
@akhuiramamzuzu7130 6 лет назад
Huyu aende nchi za uarabun miez Kama hii afu atembee bila viatu ndo atajua kwann watu wanavaa viatu😂
@Slama-bq1hb
@Slama-bq1hb 6 лет назад
Akhui Rama Mzuzu 😂😂😂kwa jua hili
@masikaninah9078
@masikaninah9078 6 лет назад
Aje hapa riadh kwanza
@chubaali3090
@chubaali3090 6 лет назад
Akhui Rama Mzuzu hahahahahaha atakoma yeye solar 45 degrees
@akhuiramamzuzu7130
@akhuiramamzuzu7130 6 лет назад
Slama9876 9876 kwaiyo kwa hii namba nakupata 😛😛
@edinaokhonga1255
@edinaokhonga1255 6 лет назад
Miguu zitaaka moto😂
@princesssalmahtz4531
@princesssalmahtz4531 6 лет назад
Hahahahah mjomba wew ni noma sikuwezi
@wlkmwlkm2912
@wlkmwlkm2912 6 лет назад
Mjombaaaa da dida sio kwa kicheko hichoo 😘😘😘
@nelsonnmwaipaja6980
@nelsonnmwaipaja6980 4 года назад
siri ya anko kutovaa viatu ni yakwake mwenyewe sinaimani na hayo anayoyasema tumwachie mwenyewe ##
@safielchambua9798
@safielchambua9798 4 года назад
Mjomba mjomba mh
@aminaluttu649
@aminaluttu649 4 года назад
Unaakil sana
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 2 месяца назад
#ww kichw san kuliko wote humu walio comment
@maryannqueen7356
@maryannqueen7356 6 лет назад
😂😊😂😂😂😂😂😂😂dah! Sijacheka interview ingine HIVI 🤣🤣 Mjomba waeleze hao watoto.. ati wanawahi KIPINDI 😂😂
@maryannqueen7356
@maryannqueen7356 6 лет назад
@mrishompoto sio FEK
@mussamaduka2828
@mussamaduka2828 5 лет назад
@@maryannqueen7356 mbona unatuonea wanaume
@maryannqueen7356
@maryannqueen7356 5 лет назад
mjomba kanena........muache kuwahai kuingia insta hahhahhahhah!
@mussamaduka2828
@mussamaduka2828 5 лет назад
@@maryannqueen7356 naomba tuchat whatsapp 0767973122
@daniellyimo8610
@daniellyimo8610 5 лет назад
Maryann Queen Huo ni Mtazamo wake
@bayserjr4713
@bayserjr4713 6 лет назад
Big Up MJombaaaaaa We mkali
@salmahanai3601
@salmahanai3601 2 года назад
kwa kweli maneno yko ni mafundisho tosha nimependa sana sana
@damslandscapeworksadams6793
@damslandscapeworksadams6793 6 лет назад
Tunaomba ushaidi wa maandiko wapi m/mungu ameelekeza ivyo....
@neemabarikiely1640
@neemabarikiely1640 3 года назад
Kwel baba ushuhuda wa maandiko
@SabasMbuya-vn4yz
@SabasMbuya-vn4yz Год назад
Sikila kitu kinafaa. Usivutwe kwa maneno Mazuri ya kinywa. Kama hakuna andiko lolote hilo jambo siyo kweli. Mnarisishwa na vitu au tabia. Nanukuu km baba ni mchawi n.k utarithi Mjomba amekubali kurithi vyote alivyo fanya baba yake. Je imekaa sawa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 11 месяцев назад
Huyu Mpoto sio mtaaluma kwenye historia. Asemayo ni ya kufikirika tu. Yeye aimbe tu. Nabii Daudi aliimba na alivaa viatu hata vitani !! Ni UONGO USIOVUMILIKA KWA MWANA MAZINGIRA YEYOTE.
@angienas7161
@angienas7161 6 лет назад
Njooni tuvunje vitanda wadau 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hoyeeeh
@ndugusanga4779
@ndugusanga4779 5 лет назад
Hahahaha utawezaa
@joelkamunga1604
@joelkamunga1604 5 лет назад
Angie Ladyheart mhuu
@bahatialex5243
@bahatialex5243 4 года назад
Utaweza kumiliki masaa 12
@gaspermlay6963
@gaspermlay6963 5 лет назад
mlangoo umefungaaa hyo statement inamchechetooo sana
@mwanjammassa8563
@mwanjammassa8563 6 месяцев назад
😂Mjomba, Ubarikiwe sana
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 6 лет назад
😳😂😂😂Mjomba ume tisha 🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️
@mamafatuma138
@mamafatuma138 6 лет назад
Mm pia nampenda sana mjomba
@jasminebaibe7355
@jasminebaibe7355 6 лет назад
Binesi Harun mjomba yuwaniwacha hoi 😂😂
@mamafatuma138
@mamafatuma138 6 лет назад
+Jasmine baibe mjumba maneno yake wacha wengi hoi lkn penda sana nikipata nauli nitakuja mjomba❤❤❤
@stadiusbarongo761
@stadiusbarongo761 6 лет назад
+Binesi Harun gooda
@mamafatuma138
@mamafatuma138 6 лет назад
+stadius barongo maan
@GraceHassan-sy3tt
@GraceHassan-sy3tt 10 месяцев назад
😂😂 hiyo ni Siri ya mjomba ni ngumu kuiweka wazi
@jobnmp2487
@jobnmp2487 6 лет назад
daaaaaaa mjombaaaaa hatar sanaaaaa tuna weka 😛😛😛
@athanastheonest6728
@athanastheonest6728 6 лет назад
Haya bana mrisho mpoto
@helenmark7965
@helenmark7965 6 лет назад
Maneno yake ni kweli kabisa
@chalesminja4930
@chalesminja4930 5 лет назад
Du hapana
@debrastudio8213
@debrastudio8213 6 лет назад
😂😂😂😂 Mjomba umetisha bhanaaa km nakubali vileee
@mwassyazeez26
@mwassyazeez26 5 лет назад
Mjomba umetisha🤣😂😂 Lkn vaaa viatu buanah🙊
@yhohandoto9521
@yhohandoto9521 6 лет назад
uko sawa mjomba big upp
@salmaothman153
@salmaothman153 6 лет назад
mbavu zangu mie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jonathanmagayane4765
@jonathanmagayane4765 6 лет назад
ambasada
@rosechaula3147
@rosechaula3147 6 лет назад
mjomba kuanzia leohatamiminaachakuvaaviatu.
@luganuzimuwelu9544
@luganuzimuwelu9544 6 лет назад
Salma Othman !
@jamalalhabsi5649
@jamalalhabsi5649 5 лет назад
Jamen mjomba asemaukwell
@msaflus2492
@msaflus2492 6 лет назад
wenye shughuli zao waache wafanye shughuli zao
@aminamsinjepindonn5345
@aminamsinjepindonn5345 5 лет назад
Mjomba 😁😁😁😁
@user-wg5so4sd1e
@user-wg5so4sd1e 4 месяца назад
I love you mjomba elim yako nzuri sana
@aliymurid4433
@aliymurid4433 4 месяца назад
Mtume صلى الله عليه وسلم. Pia alikua anawaa amrisha maswahaba wake. Baadhi ya mda watembee miguu. Chini.
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 6 лет назад
Mjomba hyo baba ako alikuwa mkali kama baba angu aliowa wake 13 na alipata watoto 30 haki kwamaisha yasasa sio pouwa
@thedeo472
@thedeo472 6 лет назад
Kutovaa viatu ni uchafu!!!!
@silvanussinda6637
@silvanussinda6637 6 лет назад
DIOO DEO mjinga ww
@kikerekasusu7155
@kikerekasusu7155 6 лет назад
Ninachojua KUTOKANA NA kusoma vitabu vya afya vyenye makala na tafiti mbalimbali angalau kwa wiki upate dk 5-15 za kukanyaga chini bila viatu na sababu kubwa inayoelezwa Ni kwamba Kuna seli huwa zinakufa huko nyayoni na pia Kuna taarifa zinapaswa kupitia huko kwa hiyo ukikanyaga chini Kuna mchanga au changarawe vitaamsha mawasiliano mliosoma sayansi mnajua majina kamili ya hivyo vitoa na vipokea taarifa.Hiyo ya kutokuvaa kabisa nayo Ni kitu kingine!!madaktari tuelezeni vizuri kuhusu hili la kutovaa viatu
@RayaRashid-dc2hn
@RayaRashid-dc2hn 3 месяца назад
Pole shangazi hanaga masihara kwenye hyo shughuli😂😂😂😂😂
@victorwilbard2585
@victorwilbard2585 4 года назад
Hapo kwenye kutokuvaa viatu hajaeleza vizuri
Далее
CHID BENZ DUDUBAYA ALIKOJOLEA GARI LA FIESTA
14:55
Просмотров 230 тыс.
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
Концовка😂 @super.brodyagi
0:20
Просмотров 1,7 млн