Mi mkenya toka mji wa Eldoret ,watanzania laiti mgelijua tunavyomtamani mhs Msukuma😢 , ana hoja za kuijenga nchi ,duh mungu akuongoze sina la kuongeza .
Ahsante sana Rais wa Hoja za msingi hongera sana . NATAKA KUJUA MBUNGE WA JIMBO LA KYERWA KAGERA Alipewa Ubunge kutalii bungeniii au anafanya nini bungeni. OFFICIAL JB NAULIZA.
Kweli Mimi kama Mimi nasema tu wewe ndio ungekua rais Tanzania ingefika mbali tena sana point yako inasemeka mungu akubaliki ikaje kua rais tu kwanza ww ni zaid ya rais kabisa
Good morning musukum uko sawa uko kwa bungeni nakupenda san unasemanga ukweli lkin musomeeni uyo mama wakambo aache ujinga kuusa nch kwel tutakuj kuliman