MashaAllah, hakika ujembe una manufaa sana katika maendeleo ya Sayansi. Allah awajaalie afya na kutoa elimu kama hizi ili kudhihirisha ukweli wa Qur'an na Uislam kwa wale wanaopinga.
Asalamu Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh shukran Mwanasayansi IBRAHIM KITOTA niwiye radhi ikiwa nimekosea kuandika jina lako kwa usahihi, tuletee na mada za sayansi ndani ya Qur'an ulizowahi kuzielezea ktk vipindi vya tv iman, pia naomba utaratibu wa kupata vitabu ulivyo vitunga, BARAKALLAHU FIIKUM.
Maa shaa llah Allah sw.azidi kukupa akili yenye Afya baba ubainishie ummah wetu huu. Miujiza tele.iliyoko ktk kitabu na sunnah. baaraka llahu laka yaa Akhii
@@allybobsaith unfortunately,mtu anafahamu sayansi lakini bado anaamini kuna mwanaadamu yupo mbinguni!!mtu huyu ana elimu ya sayansi au amekariri sayansi ?
Muujiza wa quran kama jua litachomoza mashaliki kuzama maghalibi basi hakika itakua ndio maana ya kuludi livas kwenye muhimili wake hivyo hawana budi kuifata quran hakika😊
Sio hivyo ndugu yangu! kubainisha mfano: Qurani Surat Ar-rahman aya 33: Enyi makundi ya Majini na watu km mnaweza kuzipita mbingu na kuzifikia hizo ardhi basi piteni! hamtapeta ila kwa kupewa madaraka. Na hayo majini ndio wanaofundisha watu kutengeneza rocket,wako marekani na ulaya na urusi na china n.k. Na huku Africa majini wamewaletea tunguli,vinyamkela na wa ganga wa kitabu. Naictoshe bara la Asia majini wamewapa mungu ngombe,tembo,panya,n.k😂😂😂😂😂
KAFIRI @USER ACHA POROJO, KAMA WEWE KIDUME KWELI LETE AYA MOJA NDANI YA BIBILIA YAKO INAYOZUNGUMZA KWA UHALISIA ELIMU YOYOTE YA SAYANSI KAMA INAVYOJIPAMBANUA QUR'AN.