Katika hii dunia hakuna kitu kizuli kama uwaminifu, hatakama uko masikini ila uwaminifu utakutoa hatua moja kukupeleka hatua nyingine, mimi mwenyewe nitakutafuta mdogo wangu.
Asante sana fundi wangu,, ndo mimi mwenyewe mwenye huo mjengo,, nashkuru na nakuamini,,, InshaAllah ALLAH azidi kukufungulia,, maana ilikotoka hii nyumba na ilipo si mchezo, ww ni kiboko Yao,, tena unaweza sana,, hongera bro 👍👍💪umeisha kinoma
Mashalla na kukubali najipanga kwa ajili ya zanzibar Mchango wangu switch za jikoni zimekuwa kidogo sana mana sasa unatumia mambo mengi ku Shere switch si vizuri ❤❤❤ Uaminifu unakaribisha fursa.
Jamani huu ni ukweli au ni comedy. Maana dunia ya leo upate mtu akujengee Mpka nyumba ifikie hapo. Kama ndugu yko turbo moja hawezi kukufanyia. Je mtu baki?